Asante Yesu kwa neema hii ya Maombi Mungu ninomba nipe kuongezeka kwenye kila eneo la maisha Yangu
@zamoyonandrew72395 ай бұрын
Mtumishi kiukwel umenipa nguvu sana katika maombi yangu nahisi nmechelewa kukufaham ila Roho mtakatfu amenipa nguvu kukusikiliza yan mda wote nasikilza maomb yako hata kama yalshapta lakn yananpanguvu sana naposikilza na iman yangu inazid kuongezeka Mungu azidi kukupa nguvu ya kutupa huduma asante na ubarikiwe sana Sana 🙏🙏
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
Ahsante MUNGU wangu kwa uzima wako juu ya mama yangu, na kufungua tumbo langu la uzazi😭😭😭😭
@Fatmasafe-jz8ij4 ай бұрын
Ee mungu naomba uponaji kwa mwanangu yusra nanivunja nguvu zanguza zilizo ingia kwenye family yangu
@deboramsangi3604 ай бұрын
Ee Mungu nisaidi nikae salama ktk maeneo yooote, Nikue kiroho, nizidi kukujua, ndoa yangu iendelee kuwa na furaha, naomba Yesu tujenge nyumba yetu kwa wepesi kabisa, watoto wangu uwalee wewe, magonjwa yasisikike kwangu kamwe, kila jambo langu liende sawa Yesu ibariki Afrika nzima. Jifunue kwa watu waokoke.
@fridayuda9577 Жыл бұрын
Nimepokea kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth
@gracehose8840 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi unanibatiki sana
@Michael-sd5lv Жыл бұрын
Najiugamanisha Kwa damu yayesu kristo wanazareti alie hai 🙏🙏🙏🙏
@fredrickwandera7792 Жыл бұрын
nimejiunganisha
@collenskessy-ts7ue Жыл бұрын
Ee MUNGU kwa maombi ya leo usiniache Asante Mtumishi MUNGU ni mwema sana
@christinacosmas Жыл бұрын
Ee mungu nataka nipate mume wangu naomba unisaidie
@christinacosmas Жыл бұрын
Ee mungu naomba umpe mama angu afya njema naamini atapokea kwa jina la yesu Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
@NeemaStephen-oe4ww Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 Mungu nakuomba ukaweze kuilinda familia yangu uwape afya Njema ukawafinike na damu ya mwanao Yesu christo ninakataa njama zote zilizopangwa kinyume na jina lako zikashindwe .
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Ee Mungu naomba unirinde katika safari yangu ya maisha usiniache Mungu nakutegemea Ameen mtumishi ubarikiwe mtumishi
@graceamran326 Жыл бұрын
Mungu naomba uniepushe na majalibu nipate mme anioe
@FatumaKashindi2 ай бұрын
Naomba mungu badilisha maisha yangu yesu wangu nisaidiye katika maisha yangu kuwa jibu kwangu nioneshe umuhimu wa mimi kuwa Hai mpaka leo nakuitaji yesu wangu AMINA 👏🙏🙏
@paulaspokenwordcoversvieir9554 Жыл бұрын
Naomba Mungu anisaidie nimujue Saidi . Mimi nomba unisaidie kujua Kila nikipata MTU wakunisaidi ananiahidi hiyi Siku nangoja nitasikia Eti nimungojwa. Imenitendekea mara .naomba unisaidie na maombi.maombi Asante sana
@SabinaPatrice-fs5db Жыл бұрын
Namwomba mungu anitenganishe na roho ya mauti mimi na mtoto Wang inayojitokeza mbele yangu
@JanetNambeya-ce6lc Жыл бұрын
Mungu nimefanya biashara miaka mingi sioni ninachokifanya bwana nisamehe naomba niondoleee giza ktk biashara yangu naomba neeema iniongoze naamini kilicho anzishwa na mungu kitaenda kukamilishwa na mungu
@christinacosmas Жыл бұрын
Mungu uniguse katika uchumi wangu naomba Kwa jina la yesu Amina 🙏🙏🙏🙏
@oman798 Жыл бұрын
Eeee MUNGU nisaidie kujua wanangu alipo katika jina la Yesu KIRTO AMINA
@oman58753 ай бұрын
Ee mwenyezi Mungu nakuomba badirisha maisha yangu toka Leo ili niweze kukujua wewe zaidi ili niweze kuzipata baraka zako🙏🏿🧎
@ZakinaMakokha-s2s Жыл бұрын
Barikiwa sn mtumishi wangu aki umenitia moyo
@Sesilia1988-tn7ox Жыл бұрын
Àmen mtumishi mung akubarik San
@gracehose8840 Жыл бұрын
Najiunganisha na madhaba hu hii Kwa Jina la Yesu
@ashaomar9999 Жыл бұрын
Mungu niguse na usiku huu mimi na familia yangu
@CarolineOside-s5q9 ай бұрын
Mungu nashukuru kwa kulinda watoto wangu pia naomba roho yako iwe taa kwa Marshall yangu amen 🙏 ♥️ 🙌 ❤️
@kenya1kenya254 Жыл бұрын
Najiunganisha na siri za bibilia mtumishi wa Mungu nahitaji mahusiano yangu na mwenza wangu yakadumu Milele hadi tufunge ndoa 😭🙏 🇱🇧
@dianamvungimvungidaughter274 Жыл бұрын
Naamini katika kristo Yesu nakuwa mpya kabisa ndani ya maisha yangu ya kumtumikia kristo Yesu ameeeen
@cathypeter Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa maombi napokea ndoa yangu napokea kufunguliwa ki uchumi ktk jina la Yesu amen 🙏
@renfridakomba7499 Жыл бұрын
Ee Mungu naomba kwa jina la Yesu kristo nijalie ktk biashara nnayo kwenda kuanzisha, naomba nijalie mume mwema
@ModestaTemba3 ай бұрын
Najiunganisha na Madhabau hii kwa jina la Yesu Asanteni sana kwa maombi na masomo ya roho bwana awabariki, awe nanyi daima.
@chikuamedeus87009 ай бұрын
Baba naomba mwaka huu usiwe mwaka wamachozi Leo kwanzia Leo baba naomba unifute machozi yangu niliyo Lia mda mrefu. Baba naomba nijibu majibu yangu. Leo naomba iwe zamu yanguuuuuu 🙏🙏🙏
@byusaajumapili6750 Жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki mchungaji Nilikuwa nimekwisha kukata ta maha kwa neno ili najitia nguvu
@ruthnamarigo8289 Жыл бұрын
Eeh MUNGU wangu naomba macho ya Rohoni ili nione zaidiii
@cliffbosire132 Жыл бұрын
Mtumish ni Asante kwa kutuwakirisha kwa maombi bwana asifiwe Sana
@GlorySumaye3 ай бұрын
Mungu nikombelezako saanawakati huu nikiomba kibali chakupata mfadhili wamtoto wangu Mateo ilaweze kubadilika katika maisha yake naakujue wewe bwana
@nadegekubwimana8451 Жыл бұрын
Naitaji Mungu ongeye namimi baba
@NaomiBahat-bz6ri5 ай бұрын
Eee Mungu naomba unisaidie nipate mume sahihi kwa jina la yesu kristo amen
@NaomiBahat-bz6ri5 ай бұрын
Asante Mungu wangu kwakunirinda kwa siku ya reo na kurinda familia yangu asante Mungu wangu
@gracehose8840 Жыл бұрын
Napita sana na changamoto za familia eee Mungu niteteee
@CandyKenya-y1b Жыл бұрын
Nisaidie bwana niepushe na madeni bwana asante yesu kwakua utanilinda usiku wale Aimeeen
@WardaDullah2 ай бұрын
Nampenda sana yesu kristo ananitendeaa makubwaa sanaa katikaa maisha yangu najikutaa nafurahaa sanaaa na mitihani niliopitia sinaa kinyongoo
@AnithaAndrew-bs3ti Жыл бұрын
Asante yesu
@elishaathumanathuman169 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏
@cristinekenya1050 Жыл бұрын
Amen katika Jina la Yesu
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Natamani nipate msaada wakimungu .....! Mungu wangu naomba Unisaidie 🤲🙏🏼
@CandyKenya-y1b Жыл бұрын
Nisamehe dhambi zangu bwana yesu nikutaniahe nawatusahihi jevova jeireee 🙏🙏🙏🙏
@fourgmobile1969 Жыл бұрын
Ameeeen, asante YEHONA NINAPO ita jina lako nikapate,ndoa YESU,unitoe kwenye kudharauliwa mahali nakaa YEHONA, nakutegemea nakutumainia sina mwingine ksndo yako RABII
@dianamdanzi8177 Жыл бұрын
Amen, Asante saana was maombi, Mungu akutunze
@cathymlay29164 ай бұрын
Asante yesu kwa maombi haya naamini navuka Leo hii kwaushindi
@JanetNambeya-ce6lc Жыл бұрын
Nipenguvu mungu ninakuwa mwoga kwenye naomba nipe ujasiri bwana Mungu ktk jina la Yesu 👐👐
@graceamran326 Жыл бұрын
Eeee mungu wangu naomba uepusha mitiani kwenye family yetu ili niweze kutuza pesa mana imekuwa ikiishia kwenye matatizo naomba yaishe tu nimechoka
@GorethKamikazi8 ай бұрын
Eweee mungu nakuomba ututoreye misukosuko kukizazichangu nafamiria yangu Aya maombi yawe namwangu popotearipo
@RenathaKatambala4 ай бұрын
Mungu naomba watu wakunishika mkono nipate kuish kwenye nyumba yangu namme atokaye kwabwana
@chikuamedeus87009 ай бұрын
Asanteee Mungu nimwema Sana anatenda ntakujibu majibu yetu baba tunaomba uendelee kutubariki na kutupatia baraka zako baba kwenye biashara zetu ingia ndani ya Miyoyo yetu Tenda baba utakavyo
@prettyalecky6914 Жыл бұрын
ASANTE YESU 🙏🙏
@prettyalecky6914 Жыл бұрын
UBARIKIWE SANA MTUMISHI 🙏🙏
@GorethMtewele Жыл бұрын
Mungu aniondolee dhambi nilizozoea ndani yanguza mazoea Natamani kupokea nguvi za Mungu
@ZakinaMakokha-s2s Жыл бұрын
Mungu okoa familia yangu ondoa kicheko kwetu mungu ondoa umasikini kwetu sitakata tamaa amen 😢🙏
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
Mungu aweke kicheko kwenye familia yako
@stansiauisso5441 Жыл бұрын
Mungu aondoe kilio alete kicheko kwenye familia Amen
Mungu naomba uniondoe kwenye ndimbwi hili la madeni roho mtakatifu nisaidiye
@lucykache-uk2kf Жыл бұрын
Mungu naomba ubadilishe maisha yangu namafamilia yangu nahsta zawengine ponya wagonjwa mahosipitalin wagonjwa manyumbani nahata mayatima emwenyezi mungu naomba uwaponye kunao wagonjwa wako manyumbani hawajiwezi mungu waonekanie uwaponye mungu wangu tumekutegemea wewe pekeako pekeyetu hatuwezi
@upendomwapongo19326 ай бұрын
Mungu naomba uniondolee roho za mauti na roho za umasikini uliokisri
@jemapeter2261 Жыл бұрын
Asante Yesu, ongea nami katika nahitaj yangu
@susangeorge7472 Жыл бұрын
Mungu naomba ukomboe ufaham wa mumewangu kwa jina la yesu
@SalomeMangale-m8iАй бұрын
Madhabahu ya bwana ntete kwa Kila njia kwa Kila jambo ntete hapa kazini niondoleee roho ya kukataliwa roho za umauti mitengo pamoja na watoto wangu tutenganishe na hizi mitengo zote
@chikuamedeus87009 ай бұрын
Amina baba naomba nifungue vifungo vyote nilivyo fugwa kwajina la Yesu
@Fatmasafe-jz8ij4 ай бұрын
Ee mungu naomba mwaka huu nipate mume sahii katika maisha yangu
@AngelNdumizi4 ай бұрын
Mungu najiunga manishaaa usinipitee kwenye mausiano yangu nilejeshee .mausiano yangu yaripote na maiko naomba nisaidie
@CandyKenya-y1b Жыл бұрын
Usiku waleo kila nguvu zangiza zinazofuatilia maisha angu naziharibu kwadamu ya yesu christo na mkabidi mtoto wangu mikononi mwako yesu 🔥🔥🔥🔥
@upendomwapongo19326 ай бұрын
Usiku wa leo kila roho inayofatilia maishà yangu na mwanangu halima izo roho zote ziteketezwe kwa jina la yesu kristo🙏
@IRENEIRENE871 Жыл бұрын
Mungu sema nami BWANA natamani SAUTI yako mungu wangu
@elishaathumanathuman169 ай бұрын
Nisaidie bwanaaa niepushe na madeni bwana Asante YESU kwakua utanilinda
@SalomeMangale-m8iАй бұрын
Nashukuru mungu sana kwa kunikutanisha na madhabahu ya mungu
@NeemaKipande-hr9rz8 ай бұрын
Vamen mtumishi Mimi nashukuru mungu kwaulinzi KWA Mimi na familia yangu naomba MUNGU anifungulie baraka ili niweze kununya kiwanja na kujenga
@mariamwaweru6049 Жыл бұрын
Fungua maisha yangu jehovah ingilia mjengo wangu uliotamkiwa mabaya ikakwamia foundation
@EmmyPaula-op2nm9 ай бұрын
Yesu nitendee namimi usk wa leo... Amen
@SalmaAgaanda6 ай бұрын
Mungu niponye kichwa na ufungue mlango yabarakà kwa maisha yangu
@millykikwa-ex4wz Жыл бұрын
Nakuomba mtumishi
@ngesileanganile37476 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu Narudisha sifa na heshima kwake yeye aketie mahari pa juu palipo inuka
@EsterMallya-y4j7 ай бұрын
Mungu naomba jifungue kwangu na watoto watoto wangu
@Saidiebengotv-gf7nu Жыл бұрын
SAIDI Vitale Niko Namibia, Mungu anifunguliye milango ya mafanikio.
@KabulaNdamo4 ай бұрын
Mtumishi nabarikiwa sana maombi haya ni mda mchache sana nimeanza kufatilia natamani nijifunze zaidi, ubarikiwe mtumishi
@SalomeMangale-m8iАй бұрын
Naitaji mungu utoe hasira kwa bosi wangu awena upendo na mm naomba sana mungu
@DinaGwimo Жыл бұрын
Shalomtumish wa mungu ,mungu anazidi kunifungua roho mtakatifu ananifanyia jambo mtumish
@RadegundaChambi-ec7yw Жыл бұрын
Najiungamanisha na siri za biblica mtumishi naandamwa na roho ya umaskini
@CatherineMethew6 ай бұрын
Wanijua vema bwana ww peke yako,sema na maisha yangu
@ndayizeyevianney88036 ай бұрын
Mungu niko hapa na magonjwa yangu nakuomba usinipite bwana
@WardaDullah2 ай бұрын
Navyozid kusikilizaa maneno yako yanazid kunipa nguvu kwa uwezo wa yesu kristo nampenda sana nina ushuhuda wa kila kituu juuu take kwa matatizo niliopitia mm hakunaa anaeweza kuyahimili Ila me tumain langu lilikuwa kwa munguuu nampenda sana
@pamelabracedes9600 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa maombi ubarikiwe na Bwana yesu 🙏🙏🙏
@ungwamastajabu-3375 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ALESIACHIJOKA4 ай бұрын
Nakupata nikiwa marekani naomba mungu Anipe maarifa ya kupata kazi ili niweze kumtolea sadaka kwenye madhabau hii . Amen
@ModestaMduda Жыл бұрын
Amina naomba maobi nipate pesa nimariza kuripia kiwanja
@ZakinaMakokha-s2s Жыл бұрын
Shalom
@carenchelimo9695 Жыл бұрын
Asante yesu 🙏🙏🙏 Amen
@ungwamastajabu-3375 Жыл бұрын
Yas
@estervitars2413 Жыл бұрын
Mungu akubariki nimebalikiwa na kaz ya mungu unayo ifanya
@fredricktenga23848 ай бұрын
Naomba Mungu uniokoe ktk roho ya madeni pia unipe mke wa kusudi langu unitoe mawazo na roho ya kuwaza mambo machafu na ndoto mbaya zinitoke roho ya uzinzi initoke
@SalomeMangale-m8iАй бұрын
Nataka mungu aonekane katika hiii nyumba nafanya kazi huku saudia
@SalomeMangale-m8iАй бұрын
Mungu anipe kibali kwa mabosi wangu
@ambikayves9899 Жыл бұрын
Wakati ninarudiliya iyi sala ninajengwa sana aksanti sana mutumishi wa Mungu