MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

  Рет қаралды 30,016

Ibada live

Ibada live

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@Oliverwilliam-um7vx
@Oliverwilliam-um7vx 10 күн бұрын
Asante MUNGU kwa siku nyingne tena naomba siku yangu ikawe siku yenye baraka nakafanye yale yote yanayokupendeza 🙏🙏
@marthakimati8913
@marthakimati8913 26 күн бұрын
Bwana Yesu nakùkabithi kazi zangu zote na Familia yangu nasafari zote za Leo na Hospitali naenda ikawe naBaraka nimpate Dactari sahihi Bwana ukatawale siku yangu ikawe siku ya fur aha kwangu. Ambayo BWANA YESU KRISTO
@ChristinaJoseph-p6b
@ChristinaJoseph-p6b Күн бұрын
❤ 😅
@RinahMichael
@RinahMichael Күн бұрын
Bwana yesu nakukabidh maisha yangu na mume wangu,wazazi wangu ,na kaka zangu sikuhi yaleo na kazi zetu katika jina la yes kristo wa nadhareti alie hai amina
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 5 күн бұрын
Baba nilinde popote niendapo linda watoto wangu katika jina la yesu yesu 🙏🙏🙏🙏 amen and amen 🙏
@MagrethOmmary
@MagrethOmmary 7 күн бұрын
Bwana yesu nakushukulu kwazawadi yauhai nasema asante baba nakukabizi siku yaleo uniongoze kwakila jambo nifanyalo uwe mbele yangu niepushe na kila shali nikinge na mabaya ee yesu nakukabizi bwana yesu kila nikanyagapo nanigusapo nakukabizi baba utawale🙏
@RogathAbdiel
@RogathAbdiel 6 күн бұрын
Asante yesu kwa nafasinyingine ya uhai nakushukuru kwa kunipa afya uzima mpya na uhai tena yesu nakuomba unipe rehem keakila kitu naombaa toba jehova nakukabidhikila ki tu nitakacho kifanya kila jambo naweka mbele zako ee Yesu simam kinyume na wote ambao wapo kinyume chako wa kutane na mkono waka tawala hatua zangu mambo yote tawala ukanipe furaha na amani haijalishi napitia yapi yesu jehova siku yote ikawe njema juuuya familia yangu kwa jina la yesu
@happynessmalisa6258
@happynessmalisa6258 10 күн бұрын
Ahsante bwana yesu kwa ulinzi wako usiku kucha,bwana yesu ukatawale siku hii ya leo kazini kwangu na familia yangu eeh mungu mipango yangu naikabidhi kwako eeh yesu
@frankevaristo
@frankevaristo 5 күн бұрын
Bwana wangu Yesu naomba unisamehe makosa yangu nakuomba unitangulie katika siku hii ya Leo.
@Christianchazinho
@Christianchazinho 3 ай бұрын
Nakukabidhi mipango yangu yote nikaone mkono wa bwana siku ya leo katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@TinaNombo
@TinaNombo 25 күн бұрын
Amina ,, Bwana nakabidhi shughuli zangu mikononi mwako na naomba ukanipe kibari cha kuweza kutimiza malengo yangu ee Bwana hakika wew ni mwema sana kasema pamoja nami Asubuhi ya leo ukanionekanie katika mipango yangu
@ElinaMdimi
@ElinaMdimi 7 күн бұрын
Asante mungu wangu kwa siku hi ya Leo ambae bwana umtuamsha tukiwa wazima umetupendelea kwani Kuna walopanga mipango Yao lalikini hawajaifikia Mimi ni nani umenipa neema hii sifa na utukufu ni wako bwana najikabidhi Mimi na familia yangu na biashara yangu uchumi wangu nakabidhi kwako vyote hivi ni Mali yako bila wewe nisingekua hivi Leo kaweke ulinzi kwenye uchumi wangu eneo langu la kazi Chocho nachoenda kugusa ukakibariki wewe na kuniongoza kwa Kila hatua wema wako juu ya Naomi akapone ukafute hii isitoria mbaya kwangu ilyodum kwa miaka xaxa nsafari Yao yakwenda hosipitali ikawe siku nzuri yenye kicheko na furaha kwake na familia yake yote ukampe amani Nomi ukampe uponyaji wa kudum usiyettreka mabaya yote yanaisha Leo nakata mabaya siku ya Leo nakata magonjwa kwajina la yesu nisiku ya baraka nitausiklia wema wako kwa matendo yako makur ulonifanyia Leo Linda biashara yangu chchte kikawe na ulinzi wako ukafunike kwa dam yayesu ikafuni uchumba wangu duka landu wangu eneo langu la kazi duka langu mtaji wangu uchumi wangu familia yoote nafutaa mipango ya adui alioipanga juu yangu siku ya Leo nipe neema yako ikawe juu ya watoto wangu ikawe juu ya mume wangu nipe neema ya kutenda sawaswa na neno lako nipe ameeeni
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 5 күн бұрын
Niongonse bwana kwa kila Jambo nipe neema na ushindi in Jesus name 🙏🙏🙏
@MarthaKiondocha
@MarthaKiondocha 25 күн бұрын
Bwana Yesu naikabidhi siku ya Leo kwa ukawe nasi, uwe na watoto wangu popote walipo tawala na bark bkazi zao, fungua milango ya baraka kwa familia hii, ukatukinge na hatari zote za roho na mwili. Nakataa mabaya yote kwa siku laeo. Napokea baraka na uponyaji kwa Jina la YESU KRISTU. AMINA
@julianalex9537
@julianalex9537 2 күн бұрын
Bwana yesu bariki siku yangu ya leo amina
@CyprianNyakundi-m8d
@CyprianNyakundi-m8d 26 күн бұрын
Eh Mungu naomba utawale maisha yangu nimejikabithi mkononi mwako, nimekabithi familia yangu mikononi mwako mipango yangu yote nimeikabithi mbele zako unikumbuke Yesu ynitimizie ndoto zangu maana naamini wewe n Mungu usiyeshindwa Amen
@ImeldaTimothy-r7k
@ImeldaTimothy-r7k 24 күн бұрын
Ee Bwana Yesu naomba ukailinde familia yangu, ndoa yangu, na Kila eneo la maisha yangu, Bwana Yesu ukatawale siku ya leo
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 14 күн бұрын
Nakukabith yesu kila Jambo kila jombo langu 🙏🙏🙏
@aminanikwuzwe7864
@aminanikwuzwe7864 15 күн бұрын
Ee mungu wangu naomba nilinde in Jesus name 🙏🙏
@JoyeeShanzy
@JoyeeShanzy 25 күн бұрын
Asante mungu kwa kulala na kuamka yesu acha bwana hii siku yaleo ikawe siku ya baraka zako leo mungu nakukabth kila kazi ya leo mungu anglia kazi zetu yesu🙏🙏
@RogathAbdiel
@RogathAbdiel 6 күн бұрын
Yesu naikabidhi sikuyangu mikononi mwako tawala hatua zangu assnte kwauhai na omba ulizi kla roho za visasa na mashambulizi na ziseta mbali ktk jina kuu la jina lako damu ya yesu fuika njia zangu afya yangu watt wetu ambatana n nao wote nanao liitia jina lako juu kazi zao ambatana naoyesu kila mitego iliyo pangwajuu yangu naitegua kwa jina layesu da mu ya yesu ifunika familia yngu naomba neem naomba rehem nipe kibali yaku yafanya mapenzi yako amn
@felitab3914
@felitab3914 5 күн бұрын
Bwana na yesu siku yaleo ikakuwe ya furaa
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 2 ай бұрын
Bwana yesu nakukanidhi siku yangu ya leo unitangulie kila hatua ninayo pitia naomba nifanyie wepesi pale penye ugumu katika kazi yangu. ❤❤
@marthakimati8913
@marthakimati8913 28 күн бұрын
Bwana Yesu siku ya leo Bwana Yesu tunajikabithi kwako AFYA YANGU NAOMBA UPONYAJI WA AFYA YANGU
@clementinecibalonza1324
@clementinecibalonza1324 13 күн бұрын
Asante MUNGU nakuomba siku yaleo unintended maki na makati
@MapendoBora-w5o
@MapendoBora-w5o 27 күн бұрын
Amen Amen Amen🙏🙏🙏 merci beaucoup papa
@SteraChristopher
@SteraChristopher Ай бұрын
Amen mtumishi nakukabizi siku ya leo ya jumamoss ,onekana bwana yesu unayetupenda
@Danystrazanny
@Danystrazanny 20 күн бұрын
Bwana Yesu ukatawale kazini kwangu naikabizi family yangu katikati jina la Yesu Kristo 🙏
@NaomiRamadhani-r8b
@NaomiRamadhani-r8b Ай бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi wanaofanya mitihani ya form 4
@KwizeraTagawa
@KwizeraTagawa Ай бұрын
asante baba kwa wema wako🥰🥰
@gloriavisongo2432
@gloriavisongo2432 26 күн бұрын
Asante Mungu wangu kwa yote
@EmmanuelKasambale
@EmmanuelKasambale 3 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe sana kwa maombi mazuri
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi
@winnieangelo4985
@winnieangelo4985 29 күн бұрын
Nakukabidhi bihashara yangu,amanii yangi,familia yangu,mausiano yangu ameni
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 5 күн бұрын
Amen in Jesus name amen 🖐️
@RachealAdhe
@RachealAdhe Ай бұрын
Nitangulie bwana yesu kwa kila jambo
@Willeysh
@Willeysh Ай бұрын
Asante sana yesu na shukuru kwa maombi ya asubui
@marthakimati8913
@marthakimati8913 28 күн бұрын
Bwana Yesu tunajikabidhi kwako familia nzima ukatutamalaki.
@KamangoIkia
@KamangoIkia Ай бұрын
Asante bwana yesu kwa maombi ya asubui ya Leo Nina amini na uhakika ya kwamba utatenda.
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS Ай бұрын
Emeni emeni emeni😊
@DicksonMasukuma
@DicksonMasukuma 12 күн бұрын
Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu kristo
@ossyhaule5128
@ossyhaule5128 Ай бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi wewe mahusiano yangu
@DorcusSaul-wv9rd
@DorcusSaul-wv9rd Ай бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏,,, asante Yesu kwa wema wako
@christinemoranga7598
@christinemoranga7598 Ай бұрын
Amen and and more blessings
@christinemoranga7598
@christinemoranga7598 Ай бұрын
Amen and Amen more blessings
@elickaMatonya-n5i
@elickaMatonya-n5i Ай бұрын
Amina mtumishi kwa maombi mazuli mungu akubaliki sana
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 14 күн бұрын
Asante yesu
@DianaBwire-s7g
@DianaBwire-s7g 4 ай бұрын
Ameen sasa nafunguliwa kuomba asubuh ni jambo ambalo nlikuwa usiwez kabisa ! Kwasasa naomba asubuh usku Nashukuru kwa maombi yako
@marykyamba9042
@marykyamba9042 2 ай бұрын
Amen. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏
@BenetlidaFidelis
@BenetlidaFidelis 25 күн бұрын
Ebwana na kabidhi familia yangu mikononi mwako asubuhi ya Leo Kila hatua tunayo piga ukatusimamie ee bwana
@DOUBLEGJOHN
@DOUBLEGJOHN 5 күн бұрын
Barikiwaaa
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 14 күн бұрын
In Jesus name amen 🙏
@ABDALLAHSHEHOZA
@ABDALLAHSHEHOZA 27 күн бұрын
Asante yesu maana ww ndie uzima wangu
@emilyemily8047
@emilyemily8047 Ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa maombi hii ya asubui naamini tutabarikiwa kwa jina la yesu🙏🙌
@PapaNoah-e8m
@PapaNoah-e8m 3 ай бұрын
Mungu akuongezeye mafuta pia akuongezeye siku zakuishi mtumishi
@Sarahchristian-p2p
@Sarahchristian-p2p 2 ай бұрын
amen naamin mungu atafanya kila kitu 🙏🙏
@RememaSamwel
@RememaSamwel Ай бұрын
Asante mungu kwa uzima
@HappyAstrolabe-pd2zv7
@HappyAstrolabe-pd2zv7 2 ай бұрын
Ee mungu wangu chochote kilicho nenewa kilicho kibaya kwa watoto wangu au mifugo yangu au chochote ulichonipa nakataa kwa damu ya yesu naisweka kuzimu baba wa mbinguni nakushukuru amina
@Felly-xn3ng
@Felly-xn3ng 2 ай бұрын
Yesu kristo nakukabizi siku yanguya leo ukanitangulie kila hatua
@agneslunge5538
@agneslunge5538 Ай бұрын
It's okay 👍 I love it❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NiceNemmy
@NiceNemmy Күн бұрын
AsanteYesi
@AngelinaDauson
@AngelinaDauson Ай бұрын
Nakukabuzi maisha yangu siku ya Leo bwana ukafungue milango yaliziki kwangu
@florapolino3702
@florapolino3702 2 ай бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi Kila kitu changu
@SifaelNoah
@SifaelNoah 28 күн бұрын
Ebwana yesu tangulia kwenye biashara zangu na linda afya yangu na familia yangu
@oman798
@oman798 4 ай бұрын
AMINA
@emmabanda6175
@emmabanda6175 4 ай бұрын
Ameeeen,much blessings
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 Ай бұрын
Nakukabidhi biashara yangu yangu ya duka siku hii ya Leo
@RoseOkumu-k8c
@RoseOkumu-k8c Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 22 күн бұрын
Ameen ❤
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Ай бұрын
Siku hii ya leo ikawe furaha Yangu,Yesu usinipite na familia yangu
@AgnessMtembelea-x6y
@AgnessMtembelea-x6y 23 күн бұрын
Nakubidhi siku yaleo nasiku zote
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 Ай бұрын
Nakukabidhi bwana yesu siku nzima hii ya Leo kila mpango nilio panga siku hii ya leo nakukabidhi biashara yangu nakukabidhi mahusiano yangu nakukabidhi mahusiano yangu na kukabidhi family yangu Leo bwana yesu siku hii ya Leo ikawe siku ya furaha kwangu siku hii ta Leo ikawe ya kicheko kwangu 🙏🙏
@tumainimmari9577
@tumainimmari9577 Ай бұрын
ASANTE mungu
@dorcasobanya
@dorcasobanya Ай бұрын
amina
@PierreclaverGitutsi
@PierreclaverGitutsi 2 ай бұрын
Ameni ameni Asante.
@MonicaThadeus
@MonicaThadeus 21 күн бұрын
Bwana Yesu nikauone wema wako.
@Japhetsimba-w9u
@Japhetsimba-w9u Ай бұрын
Amin
@esthermchaki2643
@esthermchaki2643 Ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu
@AgnessMaseka
@AgnessMaseka Ай бұрын
Ameen
@ScholarBwire
@ScholarBwire 4 ай бұрын
Aimen 🙏🙏🙏
@LucyPeter-d2m
@LucyPeter-d2m 2 ай бұрын
Ninamkabidhi mtoto wangu kwa Kila kitu
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 Ай бұрын
Ninaowadai wote ukawaguse bwana wanilipe
@AliceNzomwita
@AliceNzomwita 3 ай бұрын
Ameeeen
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 14 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@carolinekigembe4426
@carolinekigembe4426 17 күн бұрын
Amein
@EmilianaJulius-z5o
@EmilianaJulius-z5o 2 ай бұрын
Ameni
@JanethUrasa-qs5ot
@JanethUrasa-qs5ot 4 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@Suplier
@Suplier Ай бұрын
Amiiiiiina
@fatnajuma1832
@fatnajuma1832 4 ай бұрын
Aminaa
@anngracious2010
@anngracious2010 4 ай бұрын
Amen amen 🙏
@rindkin1856
@rindkin1856 4 күн бұрын
🙏
@rehemasilasi2985
@rehemasilasi2985 Ай бұрын
Bwana yesu nakukabidhi maisha yangu fungua milango ya baraka uzima na amani Amen
@florapolino3702
@florapolino3702 2 ай бұрын
Siku hii ikawe ni siku ya furaha kwangu
@GiftChisombo-t3w
@GiftChisombo-t3w Ай бұрын
Amen ❤❤❤
@LightnessMagez
@LightnessMagez 4 ай бұрын
Amen
@glorygaichugi973
@glorygaichugi973 2 ай бұрын
Amina
@JoyceOdera-x7l
@JoyceOdera-x7l 4 ай бұрын
Niko Nairobi nakunamwenye anahitaji usaidisi lakini haelewi kiswahili mwongozo please
@RememaSamwel
@RememaSamwel Ай бұрын
Usaidizi kama upi mpendwa
@ChristinaJoseph-p6b
@ChristinaJoseph-p6b Күн бұрын
😢Asante bwana yesu kwakunipa uzima ßiku hii tens sio kwa ujanja wangu ila in kwa neema yako nàomba ukasiname na familia yangu baba ikujue na ikutukuze Sikh zote naomba neema yako baba amen
@NaomiRamadhani-r8b
@NaomiRamadhani-r8b Ай бұрын
Bwana Yesu nakukabidhi siku yangu pamoja na familia yangu na wote wanaofanya mitihani ukatawale siku ya leo
@NellyKombe
@NellyKombe 20 күн бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi kwa maombi
@RogathAbdiel
@RogathAbdiel 6 күн бұрын
Yesu naikabidhi sikuyangu mikononi mwako tawala hatua zangu assnte kwauhai na omba ulizi kla roho za visasa na mashambulizi na ziseta mbali ktk jina kuu la jina lako damu ya yesu fuika njia zangu afya yangu watt wetu ambatana n nao wote nanao liitia jina lako juu kazi zao ambatana naoyesu kila mitego iliyo pangwajuu yangu naitegua kwa jina layesu da mu ya yesu ifunika familia yngu naomba neem naomba rehem nipe kibali yaku yafanya mapenzi yako amn
@AGNETHAKASSOMBA
@AGNETHAKASSOMBA 16 күн бұрын
Asante yesu kwa wema wako
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 14 күн бұрын
Asante yesu
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO - Innocent Morris
29:18
Ibada live
Рет қаралды 3,1 М.
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA - Innocent Morris
28:01
Ibada live
Рет қаралды 12 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Swahili Worship Songs 30 Minutes of Prayers and Worship
30:20
Delos Michael Official
Рет қаралды 412 М.
MAOMBI YA KUONG'OA MAPANDO YA ADUI - Innocent Morris
1:33:18
Ibada live
Рет қаралды 4,5 М.
MAOMBI YA USIKU...
13:06
ARARAT CHRIST MINISTRY
Рет қаралды 7 М.
ZABURI YA KINGA DHIDI YA MAJANGA NA MIKOSI-- PR. DAVID MMBAGA
1:05:10
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 167 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 115 М.
Ametenda Maajabu Nami Siwezi Kueleza
8:39
teens for christ
Рет қаралды 65 М.
MAOMBI: OMBA MUNGU ATANGULIE MBELE YAKO by Innocent Morris
1:10:38
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 46 М.