🔴

  Рет қаралды 6,718

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 17 күн бұрын
Alhamdulillah,hakuna wa kuziba nafasi yake!Innah lillahi wainna illahi rajiuun,Allah amrehemu kipenzi chetu,na wapendwa wetu wote waliotutangulia,wazazi wetu pia Allah awaondolee Adhabu za kaburi na awape kauli thabit,kaburi zao ziwe ni Bustani kati ya bustani ndani ya Pepo Filddausi, tunawaombea insha'allah Allah awalipe mema na kufuta mabaya yao, awakinge na adhabu za kabri,awape kauli thabit,awakinge na moto wa jahanam kesho Aakhera,wametangulia tuko nyuma yao!nasi Allah atupe mwisho mwema Yarrabb tuliwapenda sana❤Allah aliwapenda zaidi ALHAMDULILLAH!
@Aisha-c5w5w
@Aisha-c5w5w 17 күн бұрын
Jaman poleni sana naona mnavyo umia 😭😭😭
@AbdulilahiHashim
@AbdulilahiHashim 12 күн бұрын
Lil ommy team crown tunskupenda sana
@ChizaSaidi
@ChizaSaidi 17 күн бұрын
Nilikua namsikiliza kila siku nikiwa kazn sahiv mmechukia kipindi kwa sababu ya dida chidy kutoka uk
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 18 күн бұрын
Mbona hukumbuki Kwa kumsamehe Zuchu yet maisha NI mafupi
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 18 күн бұрын
Yani mm namkumbuka dida mpk sshv sanyingine nawekatu video zake nimsukilize
@SalmadaMsungi
@SalmadaMsungi 14 күн бұрын
Kiukweli mashamsham imepoa😢
@MustaphaKatenga
@MustaphaKatenga 17 күн бұрын
😢😢😢
@LatifaJuma-x8h
@LatifaJuma-x8h 18 күн бұрын
🤣🤣🤣 sijui nacheka nn
@Shortdailychristianprayer
@Shortdailychristianprayer 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 18 күн бұрын
Mume wekea nini kumbe mtalia? Wanafki nyinyi... mwanzo Juma wewe hata sikuamini?
@salamakiwinga6310
@salamakiwinga6310 17 күн бұрын
Asa unafki wao nn ivi ulikuw unaona kweli ukaribu wao😢😢 na hawawez kukwepa ni wajibu wao kumkumbuka na kumuenzi waache walie na Bado watalia sn sio rahisi kwao maskini😢😢😢 Allah awape subra na ampunguzie adhabu ya kabri dida wetu
@MbambaleEnterprise
@MbambaleEnterprise 17 күн бұрын
😅😅😅
LEMA AMKAANGA MBOWE "USITAMBE KUWA UMETUJENGA BANA"
15:57
JAMBO TV
Рет қаралды 12 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW
1:36:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 169 М.
MCHOKONOZI ABANANISHWA STUDIO ASIMAMIA MISIMAMO YAKE PALEPALE.
1:22:28
Platform Media
Рет қаралды 79 М.
MAMA ANAYEDAIWA KUMZIKA BARIKI BAA AJITETEA "SIO MIMI NI FAMILIA"
6:08
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 71 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН