Mtihani duniani malipo akhera kila mtu atalipwa kwa kila jambo liwe zur au baya
@shabanegaddafi15118 күн бұрын
Sheikh chapakazi ya Allah Allah atakulinda wauni achana nao dawa ya mjinga ni kumpuhuza
@FatimeOmari7 күн бұрын
Masha Allah alhamdullillah tunawapenda Firdausi familia hongereni kufika Tanga na karibu sana ,Tanga Raha waja Leo kuondoka majaaliwa!😂😂
@alhadajjmohammedsmith90427 күн бұрын
🙌😂😂😂
@RamadhaniKhalifa-g6g6 күн бұрын
Wewe babu izo kazi hamuwezi kauzeni machungwa
@FatimeOmari7 күн бұрын
Wwnaomchukiia wataumwa sa na dawa hakuna Firdausi yuleyule
@SaadaAlsheibani7 күн бұрын
Tatizo lenu akili zimeganda na elimu hakuna na WA kuchukia huyo mshirikina anaejificha katika kifuli cha uislamu na kumchezea dini musidhani Allah haoni au ameghafika kwa anayoyafanya anampa muda na hivi sasa ashaanza kudhalilika abadae atakuja kuwacheka kama kiboko ya wachawi atazimisi laki moja zenu mulizokua mkimpa hapo ndio mutainamisha shingo zenu chini kwa wingi wa kuona haya na aibu