🔴LIVE: MBOWE,LEMA wachafua hali ya hewa MKOANI KWA MAKONDA

  Рет қаралды 12,800

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Upinzan.mzuri.michezo.timu.2.asiyetaka.vyama.vingine.ubnafas.kila.mtu.aatoe.sela.yake.astukana.
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 3 ай бұрын
kuna mapimbi wanakomenti pumba wakimfagilia Mukunda ili hali ameletwa kuangamiza upinzani kitu ambacho hakiwezekani
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
IVINYIE WA ARUSHA MBONA HAO VIONGOZI WENU WA CHADEMA WANA WAFANYA KAMA WAJINGA HAMJAENDA SHULE NIWAONGO SANA
@WamboiMangore
@WamboiMangore 2 ай бұрын
MBOWE = M-- mabadiliko B-- bado O-- ongoza W---wanachama na E---elimisha
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
WEWE LEMA ULIVYO MJINGA WEWE UNAWAONA WAKENYA NI WAJANJA AMBAPO WANA ABUDU UKABILA NA UDINI WEWE KWELI NI ZIRO NJOO MIRERENI TUCHIMBE
@SEIPHNASSOROHATIBU
@SEIPHNASSOROHATIBU 3 ай бұрын
Hawana watu Arusha Samia kumiletea makonda kaja kuizima chadema mazima😂😂
@bekabakari7394
@bekabakari7394 3 ай бұрын
Sissa hizi ni sissa njaa Ukimuons kiongozi kama huyu Kweli anaweza kua waziri flani Siongoe Kama ni mwana chama Wa chama chochote ninavyoona Ni kua wote wanao taka madaraka Tunamtaka mzalendo kama traute
@ErnestShija-y2f
@ErnestShija-y2f 3 ай бұрын
Wao si watetezi qa wanyonge haturdi nyuma,hawana sera
@magaigwa4204
@magaigwa4204 3 ай бұрын
Tulidhani mmebadili siasa zenu, kumbe bado hakuna lolote.
@AdamJohn-r1c
@AdamJohn-r1c 3 ай бұрын
Ataa mkimpaa uongozii mtakulaa vumbii pakaa mpag
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 3 ай бұрын
Mapambano mapambano atutakubali kamwe CCM ipite mbele mwambieni Samia tunuona sana makonda anakuja na mapepo ya CCM alisema mbele ya watu ya kwamba wanatumia mapepo kututawala wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika wenu
@AdamJohn-r1c
@AdamJohn-r1c 3 ай бұрын
Makondaa ndokashukaa apoo ndoo kaletaa vumbi
@AdamJohn-r1c
@AdamJohn-r1c 3 ай бұрын
Ataa mkimbaa uongozii mtakulaa vumbii pakaa mpagawe
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 3 ай бұрын
Amna kindo hapo Mzee.. mbowe alishindwa kuachia uenyekiti 😅
@rodrickkasilati183
@rodrickkasilati183 3 ай бұрын
Tuonyesheni picha au ni kikao Cha Ndani?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Rushwa miaka nennda rudi😅
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
NYIE MMEISHIWA SERA KAZI MLIYO BAKIWA NAYO NI SERA ZA KUWATETEA WEZI NA WANAO VUNJA MILA NA DUSTURI WA TANZANIA MPAKA MNAWACHANGIA HADI 5000000 KWA AJILI AMDHALILISHE KIONZI WETU NANYINYI KWANINI HIZO PESA MNAZO WACHANGIA HAO HALIFU MSINGEZA KUWACHANGIA MASIKINI AO WALEMAVU
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 3 ай бұрын
HUYU JAMAA NATABIRI HANA MUDA MREFU ATAONDOKA CHADEMA,
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Chade m a kazi yenu wizi tu
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 ай бұрын
Bila shaka Umelewa UGORO!!! WEZI ni mabwana zako CCM ofisadi kila kona!!!
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Makonda machine chadema ni ubwa na silaa wake
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 3 ай бұрын
Wewe ni mpuuzi number one😂
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Dr.silaa.anajua..mengi.kuliko.waongea.amemona.nyerere.mpaka.sasa.ccm.anajua..viongozi.hekima.zawadi.toka.kipaji.toka.kwa.mungu.sio.kusoma.mwuongozo.acheni.kutukana.hata.wazee.mnatukana.hamoni.aibu
@ErnestShija-y2f
@ErnestShija-y2f 3 ай бұрын
Hamna kitu hapo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
ChA m a c h a ukabila😢😢
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 3 ай бұрын
Hivi lema hayati Magu alikutikisa kidogo tu ukaikimbia nchi leo unawaongopea watu eti tuwe kama KENYA
@lgf7297
@lgf7297 3 ай бұрын
Naona CHADEMA wako serious ni Ilani yao ya Serkali ya Majimbo, yaani ya Ukabila kila Kabila na Jimbo lake. Hapa majina yote ni ya Wachagga.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 79 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 3,4 МЛН
Maciira ma kũhagũrwo kwa DP Rigathi gũthathaũrwo makĩria
1:45:40
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН