🔴

  Рет қаралды 34,316

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: MBOWE - TUNDU LISSU WAJILIPUA KWENYE TUKIO KUBWA la RIPOTI ya DEMOKRASIA NCHINI...
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 59
@globaltv_online
@globaltv_online 8 сағат бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 7 сағат бұрын
Mungu Baba Mwenyezi tunaomba haki na Amani. Tukubali kuonyana na kuchukuwa mawazo ya wazee pia. Maandamano Sio suluhishi, ni huzini Kwa wengine. Tuendelee kuliombea Taifa letu kila iitwapo Leo. Amina wajukuu zangu.
@SteveLabaran
@SteveLabaran 8 сағат бұрын
Tundu lisu n mtetezi wetu sisi wanyonge MUNGU akutie nguvu uchukue usukani, upite uchaguzi wa aslimia 100.
@JenifaWilbad
@JenifaWilbad 7 сағат бұрын
Mheshimiwa Selasini, MUNGU akubariki sana
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 5 сағат бұрын
Hongera bb selasini Kwa ukweli na uwazi
@MajaliwaMhungati
@MajaliwaMhungati 7 сағат бұрын
Lissu Antipas Tundu you are the Hero
@AlexMnane
@AlexMnane 4 сағат бұрын
Kwa lipi?
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 сағат бұрын
30 Mungu akubariki
@lovsply
@lovsply 6 сағат бұрын
WaTZ LAZIMA TUAMUE… EITHER WE NI CCM AU UPINZANI, 2025 SISI WOTE TUPIGE KURA KWA CHADEMA TUFANYE MAPINDUZI YA KIDEMOKRASIA….
@AnthonyPiusi
@AnthonyPiusi 8 сағат бұрын
Nawaelewa sana wote hoja zenu ni nzuri
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 8 сағат бұрын
Lipumba ni CCM B, Ameshauwa CUF Ngangari kinoma.
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 7 сағат бұрын
Lesu is is only man bone to speak the truth
@AlexMnane
@AlexMnane 4 сағат бұрын
Ni mtazamo wako usitusemee
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 3 сағат бұрын
Nitafutie walio poteya
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 3 сағат бұрын
SAMIA MUST GO &SAMIA LAZIMA AENDE
@RICHARDMBUKWA-r9e
@RICHARDMBUKWA-r9e 2 сағат бұрын
Nimefurahi sana kumuona mh mzee cheo, yeye Huwa ananiinspire sanaaaa kisiasa
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 2 сағат бұрын
Kiswahili mhimu sana kaka yangu
@Yohana-j4u
@Yohana-j4u 3 сағат бұрын
MADALAKA YA HAKI YANAPATIKANA KWA KUPIGIWA KULA NA WALA SIO KWA MADAMANO YA WAHUNI HATA MKIPEWA UTAWALA HAMUWEZI KUIGOZA HII INCHI KWASABABU YA MIHEMKO AU MNATAKA MLETE MCHAFUKO HALAFU MKIBILIE MALEKANI
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 5 сағат бұрын
Cheia ukalale
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 56 минут бұрын
CCM HAWAWEZI KUKUBALI KATIBA MPYA
@helpheezekiel
@helpheezekiel 34 минут бұрын
Mzee Cheyo
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 8 сағат бұрын
Mzee Cheyo nimekuelewa sana, safi lakini huyo sijui warioba unayemtaja wakati wake alifanya nini, cha maana
@AlexMnane
@AlexMnane 4 сағат бұрын
Jiangalie na kujiuliza we were ilichokifanya ni nn kwa taifa Hadi ujilinganishe mzee warioba?? ?
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 8 сағат бұрын
Lipumba msomi ila mpumbavu anakulanawo ccm
@petersipano6335
@petersipano6335 8 сағат бұрын
Kwanini? na ni kwa namna gani ?
@MeshackNgereja
@MeshackNgereja 8 сағат бұрын
Prof lipumba weee!
@Dutichgogo
@Dutichgogo 3 сағат бұрын
Wewe mzee maliza basi vipi
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 6 сағат бұрын
Hayo waliotekwa Marekani na nchi zingine watekaji na wauwaji wanachukuliwa hatua
@SteveLabaran
@SteveLabaran 8 сағат бұрын
Chadema ndio mkombozi wa watanzania, hakuna kitu ccm inafanya kwa sasa
@AlexMnane
@AlexMnane 4 сағат бұрын
Una evidence ya kutuaminisha kamba CCM hakuna ilichokifanya??
@user-kq8ec3yq1m
@user-kq8ec3yq1m 7 сағат бұрын
Lipumba atoke nje
@joneshelberth1025
@joneshelberth1025 6 сағат бұрын
😂😂
@AlexMnane
@AlexMnane 4 сағат бұрын
Una shida ya kufikiri/ ufahamu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 сағат бұрын
Haki sawa kwa wote
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 33 минут бұрын
KUMBE WENGI HAWAJAIFAHAMU CCM
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 45 минут бұрын
HUYU JAMAA WA CCM NI HOVYO ANAFANYA WATU WOTE HAWANA AKILI
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 2 сағат бұрын
Hawa wazee nao Sasa !!! Tumechoka mazungumzo ambayo hayasikilizwi na watawala ,tume zimezungumza hawajasikia Sasa unadhania Leo watakusikiliza Leo na wameshaua na mpango wao na mikakati Yao ni kushinda urais kuendeleza udhalimu
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 6 сағат бұрын
Wewe mzee unaturudisha nyuma
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 5 сағат бұрын
Hapa malekani
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii Сағат бұрын
Huyu mzee pamoja nakauli yake yakusema anauzoefu wa haya mambo niseme tu Ibrahim lipumba hanalolote lakuweza kusaidia nchi yetu kamampinzani wananchi tuachane nae huyu tusikilize wenzake
@mathayokaimaima4578
@mathayokaimaima4578 Сағат бұрын
Kwa hiyo ww mchangiaji uliye kaa karibu na lisu unafananisha maisha ya mataifa mengine na sisi watanzania? Kwahiyo unaona kutekana nitamadunizetu? Unaona farusafa ya kuishi kwahofu ni jambo jema? Tunakoelekea na tulipo unaona nikuzuri?
@user-cw4jr1jz4x
@user-cw4jr1jz4x 4 сағат бұрын
MUNGU awalinde
@AlexMnane
@AlexMnane 5 сағат бұрын
Ki democracy ni kupiigia kura chadema??
@NuhuIsmail-zu5ix
@NuhuIsmail-zu5ix 4 сағат бұрын
Hii mchi mnaivuruga nyinyi Kwa uroo wa madaraka
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 5 сағат бұрын
Huyu wa bunge chizi haelewi
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 4 сағат бұрын
Huyu Kingu mpuuzi tu anayejaribu kuwafurahisha walioko madarakani ili wampe cheo zaidi! Kutaka watawala wapewe ushauri wakati hao washauri, hasa Rais SSH, hawaelekei kutaka ushauri na kwa kweli hayuko tayari kuyaondoa maovu hayo kuna faida gani??? Matokeo ya ubabe wa JPM wa kuweke wabunge kwa uchawa ndiyo hayo-anahangaika kumtetea Rais aliyepo na serikali yake ili aonekane na ateuliwe anufaike binafsi, basi! Ni tatizo kubwa kwa sasa, na sijui litatibiwaje!
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii 16 минут бұрын
Mzee cheyo unatetea masilahi kumalizia uzee wako huna lolote unamanisha kuna waharifu wanaoihari serikali kwa watu wake kuwateka ukae ukijua umepata mda mlefu kuongea kwasababu huna hoja yoyote kwenye huo mjadala tofauti na kupoteza mda
@selemanimsangi3083
@selemanimsangi3083 3 сағат бұрын
Mheshimiwa kingu Umetoa statistic ya mauaj israel ujerumani marekan nk lkn serikal ilichukua hatua nakuwafikish mahakani washukiwa je serikal ya tz imewafikish mahakaman washukiwa?
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 7 сағат бұрын
Nilichojifunza hakuna kiongozi wa ngazi za juu anayekubali kuguza au kubadili katiba kwa katiba hiyo ndo ustawi wao kutawala wataguzaje katiba hiyo?
@RhodaKibona
@RhodaKibona 9 минут бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@NcheyeNswila
@NcheyeNswila 2 сағат бұрын
Acha siasa wewe kwanini wanatekwa nakuwawa wanachadematu
@JohnRwabigene
@JohnRwabigene 6 сағат бұрын
Mzee cheo,we sikiliza Tu,wakatiwako umekwisha.achawakusaidie vijana.
@yonawilliam9419
@yonawilliam9419 7 сағат бұрын
Je, tuzungumze na nani kama sheria za ungandamizaji wa haki zipo na rais anataka kuzitumia.
@allynassoro8448
@allynassoro8448 8 сағат бұрын
Hamna lolote mmeshiba mliamua mkapumzike kidogo
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 5 сағат бұрын
kwani serikali tunaiuliza maandamano ni haramu na yakifanyika lzma wauwe watu? ujinga tu watu na waandamane tu ni haki yaoooo
@user-kq8ec3yq1m
@user-kq8ec3yq1m 7 сағат бұрын
Huyo lipumba ni ccm kabisa
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 6 сағат бұрын
Lipumba.msomi.mjinga
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 57 МЛН
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 98 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,2 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 19 Septemba, 2024
59:50
ITV Tanzania
Рет қаралды 14 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 57 МЛН