No video

🔴LIVE: Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania - Mbeya

  Рет қаралды 6,503

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@Eulalia-zs5vd
@Eulalia-zs5vd 2 ай бұрын
Shukrani kwa Vionngozi Kwa yote Wliyo yafanya pamoja na Taabu zote
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 ай бұрын
Viongoz wot wa Tz mjifunze hapa jambo sio mnakaa tu kukodoa macho, haswa wale waliopachikwa sehemu ya kazi na ndugu zao walioko nafasi za juu
@user-zg1hd6no9v
@user-zg1hd6no9v 2 ай бұрын
Hongereni sana.... Taifa letu linahitaji wanasheria waungane,,wanasiasa waungane,Tasisi za kiraia ziungane,,,Wakulima,wafanya biashara wafanyakazi waungane,,,,Ili tuwe na Lugha 1 katiba ya wananchi inayo simamiwa vizuri.... Bla kuungngana wafalme watatubruza sana....
@rastheunique
@rastheunique 2 ай бұрын
Mjadala mzuri sana viongozi walafi wa madaraka hii inawakera ila kwetu sisi wananchi hii ni taa ya njia zetu zote!
@JohnNdabise
@JohnNdabise 2 ай бұрын
Good Discusion
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Very interesting debate.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 ай бұрын
Jamani kaka asante sana kwa kutufundisha na kutuelewesha haya, maana watanzania tunajiuliza sana kwa kina ni kwanini samia hataki kupitisha katiba mpya?? Leo unatufungua macho kuwa anataka akae kwenye madaraka ambayo anaweza kufanya lolote atakalo na hakuna wa kumuambia chochote, inauma sana.
@rejobu9723
@rejobu9723 2 ай бұрын
Ahsantenteni kwa mjadala mzuri tunataka katiba mpya 🇸🇦
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 ай бұрын
Sarut sahihi
@YoelMagese
@YoelMagese 2 ай бұрын
Mzee wa Mbeya nimekuelewa. Kweli watanganyika hatuna maana. Ni sawa kama tumeolewa.
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 2 ай бұрын
Hongera kwa wazo la mgombea binafsi
@namsamson3443
@namsamson3443 2 ай бұрын
Shida ya watanzania sisi ni waogo na ndio maaan inchi inauzwa na sisi tukiwa ndani yake. Ila huyu baba ana point sana. We need a new katiba
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 ай бұрын
Tuendelee kuihangaikia Katiba Mpya
@gwakisamwakatage4656
@gwakisamwakatage4656 2 ай бұрын
Pamoja na hayo yote pia tuangalie kusimamisha miimili ya taifa yaani Rais, Bunge, na Mahakama. Tunaomba Rais asiwe mwenyekiti wa chana Wala Spika wa Bunge asiwe mjumbe wa Baraza kuu la chama
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 ай бұрын
Katika nyaraka muhimu za kurejea wakati wa kuandaa Katiba Mpya ni pamoja na Katiba ya Tanganyika.Katiba ya Tanganyika,kwa taarifa zangu haikufutwa wakati wa kushirikiana na Zanzibar.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 ай бұрын
Niko ujerumani na nawapata vizur, ukweli kabisa bila kumumunya maneno kwa Tanzania yetu tunahitaji katiba mpya tena haraka kuliko upesi , tumsihi tu samia aipitishe bila kuguna. Itatusaidia sisi wengi kuliko katiba iliopo inawafaidisha wachache na kujiona kama wao ni malaika kwenye nchi yetu ya TANZANIA. Samia aipende aikubali katiba mpya kama anavyopenda kusafiri.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Big mind Mary
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Hapana hilo la kuuwa Bora afungwe maisha,maana kuliko mkisema afungwe na kutoka,na kwamba mshara awe anapereka kwa yule mtu aliyefiwa,mauwaji yatakuwa menge,kwa Sababu atajitamba,na ataleta hasira kwenye jamii yetu.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 ай бұрын
Tanganyika,kwanza tukamilishe Katiba yetu.Pili,tutafakari kwa makini kama tunahitaji ushirikiano na Zanzibar,kwani Zanzibar tayari inayo Katiba yake.Wananchi wa Tanganyika ndiyo waamue jambo hili.Baada ya hapo ndiyo tutengeneze Katiba Mpya ya Muungano ambayo imepatikana kwa idhini ya Tanganyika na wananchi wa Zanzibar.
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 ай бұрын
Katiba ya nchi impe uhuru mwananchi haki na uhuru wakufanya ubunifu wa Kisayansi na Teknorojia katika katiba ya jamhuri ya muungano Watanzania.
@ezromndangalasi8164
@ezromndangalasi8164 2 ай бұрын
Mimi binafsi naona kuendesha mijadala hii tupoteza muda Rais Samia nikuombe ruhusu latiba mpya iandikwe tu Mama hili haliepukiki
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 2 ай бұрын
Ulinzi na usalama wa kila raia, jeshi la wananchi na si jeshi la chama
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 2 ай бұрын
Tunaendelea na mijadala huku tunaendelea kupigwa mnada taratiiiibu.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
KATIBA MPYA NI LEO
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 ай бұрын
ASANTENI SANA WAZUNGUMZAJI....LAWAMA ZOTE ANABEBA RAIS WA WAKATI HUO MH. KIKWETE....HAKUWA 'MSAFI'....ALIKUWA 'MNAFIKI'.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 ай бұрын
Kuna mambo yanatakiwa kubadilika kwenye katiba lakini tuache mifano ya mataifa ya nje. Marekani kuna mahakama za rufaa za majimbo na za kitaifa.
@PelleSamky
@PelleSamky 2 ай бұрын
Umesema kweli kuhusu mauwaji nimeshudia Kwa macho yangu Nishudia Mke anajaribu kumua memewe kwakumwitia mwizi.
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Hapana huwo mfumo ulipo kwenye katiba siyo rafiki kwa sisi wananchi ni rafiki Kwa viongozi,tubadirishe katiba yetu
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 2 ай бұрын
Mh. Sugu, zungumzia contents ya Katiba na mchakato wake
@user-bg8zz5vw5v
@user-bg8zz5vw5v 2 ай бұрын
Tusunguke kufanya nn tunataka katiba ya warioba.
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 ай бұрын
katiba imebeba mambo yanayohusu sheria,kwa hyo kama wanasheria wameshindwa kusimamia kwa weled hzo sheria wamebaki kufanunua mambo kwa matakwa au maslahi ya watu au kundi fulani ndio maana leo tumefika hapa ,sheria inabaki kulinda kundi la watu fulani ,usimamiz wa taratibu zilizowekwa na kuheshimiwa na kila mmoja wetu bila kuangalia mimi mtoto wa nan au natoka kitengo gan tutafika mbali ,zamani kulikuwa mtu akikosea katika jamii anaazibiwa hadharan na jamii husika na serikali vivyo hvyo ilikuwa ikiadhibu mtu bila upendeleo leo nan anasimamia hayo
@hamadimadisa9346
@hamadimadisa9346 2 ай бұрын
Kwa hivo tuna pingana na sheria ya Mungu?
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 2 ай бұрын
Wakili TV, wananchi wa kawaida watapata elimu hii?
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 ай бұрын
Kaka unachanganya, yani watu wakakae tena kujadili upya katiba angali tayari ilishamalizika, sasa ukisema hivyo unamaanisha hiyo ya warioba sio kitu, iwekwe pembeni, na hiyo sio sawa, mhimizeni samia aipitishe na maisha ya watanzania yaendelee. Hatupaswi kurudi nyuma ki fikra.
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Fungueni statasi za watu mnaziminya, mnataka tuonekane km tuliyochangia ni wachache!!!
@gwakisamwakatage4656
@gwakisamwakatage4656 2 ай бұрын
Mbunge awe na ukomo wa kuwa mbunge. Mawaziri waajiliwe kutokana na sifa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 ай бұрын
KATIBA MPYA NI LAZIMA....NGUVU YA UMMA ITAWAANGAMIZA WOTE WANAYOIPINGA NDANI YA CCM NA SERIKALI YAKE.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 ай бұрын
Alafu eti utamkuta samia anaiambia dunia kuwa katiba ni kijitabu tu. Alikosea sana kusema hilo. Kama hajui angenyamaza tu kuliko aseme hivyo.
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 ай бұрын
We mzee yaani ndiyo unajifagilia ili upate urasi nani akuchaguwe uwe Rais ni mama Samia Suluhu Hasani sasa hivi hatutaki Rais mwanaume ujuwe hivyo
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 ай бұрын
Kuna kingine raisi gani wakutoka tangnyika amebinafsisha vitu zanziba
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 2 ай бұрын
Tungekuwa nawazee wengi wenye busala nyingi kama nchi ingesonga wazee wengine nchi hii wameweka matumbo yao mbele tu
@jonasnzemya7700
@jonasnzemya7700 2 ай бұрын
Mzee msekwa uko wapi,Malichela uko wapi,mmemuacha mzee warioba peke yake,Wasira mmmm
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
KATIBA MPYA IPATIKANE SASA KABLA YA UCHAGUZI WA 2025. NI MUHIMU SANAA KATIKA MAENDELEO YA NNCHI. NCHI YA TANZANIA NI KUBWA SANAA ,KWA MTU MMOJA KUIONGOZA PEKE YAKE. INABIDI VYAMA VIUNGANE KATIKA KUIONGOZA . MAWAZO YA WATU WAWILI SIYO SAWA NA WAZO LA MTU MMOJA.
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 2 ай бұрын
Yote tisa haya yote ni kazi ya akili za Chenge,Msekwa na Warioba. Walikuwa machawa....wa mwalimu JK N...
@aronlubango7934
@aronlubango7934 2 ай бұрын
Mnatupotezea muda ninyi kaeni na hiyo katiba lkn mtajua baadaye kwa nn tunaomba
@andreasadi445
@andreasadi445 2 ай бұрын
Chawa wa Samia wanasumbua
@andreasadi445
@andreasadi445 2 ай бұрын
Chawa wa mama n🎉
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 ай бұрын
Mkome tuna katiba
@vaxcraker99
@vaxcraker99 2 ай бұрын
Wewe ndiyo ukome na mawazo yako na ubinafsi wa watawala wezi wachache, na wanaouza nchi ya Tanganyika.
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 ай бұрын
@@vaxcraker99 Kumbe wewe ni kilaza hata hujui maana ya katiba
@vaxcraker99
@vaxcraker99 2 ай бұрын
@@faustinluambano2958 Ninaamini kunaweza kuwa na kutokuelewana. Katiba ni hati ngumu, na tafsiri zinaweza kutofautiana. Hebu tujadili hili kwa utulivu ili kuhakikisha sote tunaelewa mitazamo ya kila mmoja wetu. Taja manne na elezea jinsi unavyoyaelewa kwenye katiba ambayo sitayaelewa?
@melch3097
@melch3097 2 ай бұрын
Guys can you stop this nonsense, kweli watu wazima, tunapoteza kujadili, kitu cha dakika mbili, kusema kweli hatutaendelea kwa mtindo huu,
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Sijakuelewa NDUGU Paschal
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 ай бұрын
Kuna kingine raisi gani wakutoka tangnyika amebinafsisha vitu zanziba
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 23 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Secret Service Director Kimberly Cheatle testifies in House hearing
3:22:49
The war in Ukraine and the decline of the West | #1623 with Douglas Macgregor
2:01:30
KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUCHELEWESHWA I  Mwl. Aaron Ulaya
1:22:21
INJILI YA WOKOVU TV
Рет қаралды 1,3 М.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 23 МЛН