LIVE: Nawatafuta Baba na Mama Yangu, Siwajui Majina | Leotena ya Clouds FM

  Рет қаралды 17,545

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 Жыл бұрын
Katika Media ninazozipenda Tanzania nzima ni hii Clouds mko vizur saaana God bless
@ramlaamiri5601
@ramlaamiri5601 Жыл бұрын
Ila nawapongeza sana clouds hasa kipind cha leo tena
@mayayashilindeshilinde3596
@mayayashilindeshilinde3596 Жыл бұрын
Polesana dada yangu
@asiaokelay8421
@asiaokelay8421 Жыл бұрын
Nawapenda sana clauos
@ahlamkilema1787
@ahlamkilema1787 Жыл бұрын
Yani jamani...
@AgredaMoyo-ni2jp
@AgredaMoyo-ni2jp Жыл бұрын
Naomba namba zenu jaman clouse nina jambo langu na mie
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Mbona kama dishi limeyumba huyo Binti.
@adamapollo9859
@adamapollo9859 Жыл бұрын
Kivp
@eliwazamienda950
@eliwazamienda950 Жыл бұрын
Jamani daaah doromoni kwetu kabisa
@alicekaruga6466
@alicekaruga6466 Жыл бұрын
Kazi nzuri mnayoifanya. Hongera. Naomba munieleze vile nitawapata i.e Kwa whatsapp
@ahlamkilema1787
@ahlamkilema1787 Жыл бұрын
na mm pia
@rajabpaul9433
@rajabpaul9433 Жыл бұрын
mwanafamilia mpya youtube da huuu
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Жыл бұрын
Jamani nawapenda sana ila hata Mimi namtafuta baba yangu mtoe namba natamani kuwasiliana nanyi
@omanoman2044
@omanoman2044 7 ай бұрын
Mie nataman hata kucheka miaka24 na hujui kujieleza duuh mtihan
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 Жыл бұрын
Ila Dahuuu, Mzaramo wewe kipindi unakiweza😅😅😅😅
@shekiondoiddy1479
@shekiondoiddy1479 Жыл бұрын
Naitaji kujua njia ya kuwafikia hata kimawasiliano kuna ndugu yangu anaitaji kumpata mzazi wake ......
@economistshillajr.1317
@economistshillajr.1317 Жыл бұрын
Nadhani aende Doromoni, akamtafute Mama yake na ndugu zake. Apande gari ashuke MISIGIRI, APANDE GARI ZA KIOMBOI ASHUKE KIOMBOI OLD NA APANDE PIKIPIKI ZA DOROMONI. ATAKUWA NA NDUGU ZAKE KULE!!!!
@nsumburoote2486
@nsumburoote2486 Жыл бұрын
Hata Gari siku hizi Zipo za doromoni
@nelsonmtaturu5298
@nelsonmtaturu5298 Жыл бұрын
Huyo wa nyumbn kabisa
@loner_wolf
@loner_wolf 7 ай бұрын
Mmmh ukisikia hiyo HEKAHEKA ujue na polisi ,migambo,mjumbe watahusika .....😅😅😅😅
@jumalove2631
@jumalove2631 Жыл бұрын
Geah huyo mwanao mmefanana Sana 🙄😜😜😜
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 7 ай бұрын
He!😂
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Жыл бұрын
Huyo aliemlea ndio babaake asijizime data huyo Mzee Kama sio mwanawe iweje amchukue akamsomeshe na kumlea?
@neemalemji9717
@neemalemji9717 Жыл бұрын
Ila geah copy Yako Huyo😀
@fetyalmas698
@fetyalmas698 Жыл бұрын
Hv Kuna wanawake Wana roho ngumu namna hii unaacha mtoto miaka yote hiyo mi ndo maana nakomaa na wanangu
@Asia-n6l
@Asia-n6l Жыл бұрын
Namtafuta bba angu na mimi
@mishysuyya1685
@mishysuyya1685 Жыл бұрын
Huyu nae mbona tokea umeolewa umwelezi Mumeo uebde
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Gear vipi huyo bint yako mnafanana sana
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
Nami nakuja jamn kumtfta baba mtto wangu nimiaka 7 ila bdo nampenda amekimbia malezi yamtoto mbwa yule ila bdo nampenda snaa yn nikirud tz nakuja uko mpk nimpte
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Una kazi ya ziada
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 Жыл бұрын
@@masalakulwa7601 siombaya
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@momosaid6193
@momosaid6193 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@omanoman2044
@omanoman2044 7 ай бұрын
Anamiaka 24 na mwili huo mungu wangu hajui hata kujieleza mtu mwenyew
@McT-m1m
@McT-m1m 3 ай бұрын
Hata mimi kujieleza sijui kwa watu nisiowajua kakini kwa watu wangu wa kariba nina mdomo hatari
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Nilikuwa naota ndoto mbaya, Unajua haya mambo ya ushirikina huwezi kushtaki Serikalini
18:55
CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Рет қаралды 4,5 М.
🔴#LIVE:JAY MOE ON THE SWITCH NDANI YA WASAFI FM - 06-05-2024
59:30
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН