MTANZANIA MWENZANGU ALIVYOSABABISHA NIFUNGWE JELA ULAYA | SAFARI YA UKIMBIZI WENGI WALIFIA NJIANI

  Рет қаралды 108,874

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

4 ай бұрын

Safari ya maisha ya Jasmin kutoka Tanzania na kuhitaji kuingia Ulaya kutafuta maisha
Alipata mchongo wa safari ili akifika Ulaya aweze kujilipua lakini mambo yalienda ndivyo sivyo na kuishia kua Deported akiwa ametua tu Ufaransa hata nje ya airport hajatoka.
Na alipoingia Ulaya mara ya pili basi aliishia kuingia Jela nchini Ugiriki ambako alikaa huko kwa muda wa miezi sita.
Mtanzania mwenzie alimuingiza mkenge na kumsababishia matatizo makubwa kwa kumuibia passport yake.
Lakini hakukata tamaa aliamua kutafuta mbinu za kumtoa Ugiriki ili afike Ujerumani na hivyo alianza michakato ya safari za ukumbizi ambayo haikua rahisi na ilikua na changamoto nyingi na kuishia kukaa jela tena katika nchi ya Albania na Macedonia
Kwasasa anaishi Ujerumani na anafanya kazi huko.
Thank you Jasmin for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 888
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 4 ай бұрын
Nimepitia comment zote za hii interview ya dada jasmine huyu dada simjui ila mambo aliyo pitia yamenipa funzo kubwa mnoo💐 mimi nimpenzi Sana wa hizi content za dada shena na anafanya kazi nzuri Sana Nampa 💐nikagundua Kuna mtu hayupo Sawa kiakili mana Ana comment matusi mnoo anaitaji msaada wa daktari na mungu, jomn sisi tupo humu kujifunza na kuenjoy nasio kuleta chuki humu kama unachuki zako malizaneni huko huko dada wawatu anaweka mda wake na nguvu zake kuakikisha tunajifunza mambo mazuri so tuliheshimu hilo wapendwa📌
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 ай бұрын
Ql
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Nikweli kama kuna mtu anatukana coments hizi, ni mpumbavu yeye mwenyewe. Nami nafurahia dada huyu anapowapata na wanatuelimisha mengi.
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 3 ай бұрын
Sana dear
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Imergin, yani yanasemwa na roho mbaya zao na bado waona comments mbovu bado
@ginahilary5689
@ginahilary5689 3 ай бұрын
😢
@MrSmile255
@MrSmile255 4 ай бұрын
Nime fatilia kwanzia mwanzo pole sana Dada Jasmine ila ni kwel nime jifunza kitu Asanteh sana Mungu akubariki
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 ай бұрын
Asilimia 99.9 ya WATANZANIA wa Ughaibuni ni wa kuogopa kama ugonjwa wa UKOMA.Mwenye masikio na asikie..Pole sana Jasmine.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 ай бұрын
Ni kuwa makini sana kwa kweli
@dorahisinika7576
@dorahisinika7576 4 ай бұрын
Yaani wana roho mbaya kuliko hata shetani mwenyewe😢 wivu sasaaa
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Sanaaaaaa
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 ай бұрын
​​@upendogreutert199Nilionywa sikusikia,yakanikuta makubwa, NIMEKOMA KABISA, nami nikaonya wengine hawakunisikia yamewakuta mazito.
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 ай бұрын
Umeongea ukweli kabisa, Huwa Mimi nawaona na mwisho salamu TU ,sitaki mazoez Wala namba zao ,ni kutafuta shida TU, MUNGU atusaidie
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 ай бұрын
Weeeee waafrika kwa ujumla,ogopa,ukiwa nje bora ujitegemee otherwise utaambulia patupu.. Watanzania weeee, roho mbaya ajabu,na inaskitisha sana
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 4 ай бұрын
This is the best interview I have ever listened from you,, km hujajifunza basi huna lakujifunza ni safari ngumu sn
@dkmhamilawa
@dkmhamilawa 3 ай бұрын
Pole saana
@lucaslyaruu8244
@lucaslyaruu8244 3 ай бұрын
Nampa pole nyingi sana binti Yasmin kwa yote aliyopitia. Pia nampongeza kwa ujasiri wake wa kutokata tamaa. *Amewashinda hata wanaume wengi waliojaribu kwenda nje bila mafanikio.❤❤🎉*
@sophiarwehumbiza209
@sophiarwehumbiza209 4 ай бұрын
pole sana Dada Jasmin nimejifunza ila hata mimi namuogopa mwanadamu
@mohdnasser3620
@mohdnasser3620 3 ай бұрын
Pole sana
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 ай бұрын
Asanteni kwa kushea stori zenu, sauti yako imefanana na Saida Karoli😂.
@graceandrew3988
@graceandrew3988 4 ай бұрын
Hii ya look like nayo kali ndo naisikia leo,Pole sana my dada..ila una Mungu wako aisee,umenifundisha kitu,kwenye maisha hakuna kukata tamaa.Big up kipenzi.
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 3 ай бұрын
Mimi nasemaga siku zote, hakuna sehemu kama nyumbani Africa. Africa kuna maisha mazuri mno, chakula, social life. Mi nitarudi tu nyumbani siku moja. Wanaotaka kuja waje tu wajionee, lakini kabla hujaja make sure una kitu cha kufanya, kama ni shule au kazi.
@naumikabila5880
@naumikabila5880 3 ай бұрын
Mimi nikimuambua mtu narudi nyumbani anashangaa sema watu wanaamini maisha ya ulaya ndo mazuri
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 3 ай бұрын
@@naumikabila5880 hawaamini kabisa wanaona kama unawabania
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 ай бұрын
Watanzania wengi wanajua ulaya ndo maisha yapo lkn yanaweza kuwa yapo ila sio rahisi kama unavyofikiria
@mediization
@mediization 3 ай бұрын
Hongera jasmine ni mpambanaji mzuri sana
@abasshajj2727
@abasshajj2727 4 ай бұрын
Pole sana dada Jasmin, kwa mitihani ulopitia na hongera sana kwa kutimiza ndoto zako za kufika ulaya much love ❤️. Na hongera sana dada Shena, kwa kazi nzuri unayoifanya kwa kutuletea wageni wetu ili tupate madini ya kutosha. Much love❤. Asante sana 🙏
@user-st4rb5oj2c
@user-st4rb5oj2c 3 ай бұрын
Jamani nimewahi pitia mahojiano lakini hii ya Mwanakaragwe mwenzangu,imeniuma muno but imenipa mengi ya kujifunza. Ahsante Shena kwa hizi interview.
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 4 ай бұрын
Harafu ukipendeza watu wanaumia Hawajui umetokea wapi pole mnoooo na hongera umehasoo na umependeza sana na rangi yako ❤❤❤❤❤❤
@AshaKaijage
@AshaKaijage Ай бұрын
Nimeipenda
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 3 ай бұрын
Duuu pole Xn dada yangu kwer unahaki y ku enjoy maixha yako Hii interview ndo namba 1
@MwalimuShauri
@MwalimuShauri 4 ай бұрын
Pole sana dada Jasmin. Asante kwa kutuelimisha kupitia maisha yako, kwakweli dunia ina mambo.
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 3 ай бұрын
Nipo Uturuk kitu nilichojifunza maisha sio rahisi popote duniani ila popote pazur km Mungu akikuchagua uish vizuri
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 3 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu nisaidie na mimi,nisiaibikie bidii zangu na ujasiri wangu ktk kujituma haijalishi napitia mangap,uso wako Mungu uwe na mimi niweze kufikia hatma ya ndoto zangu. Mungu bariki wanawake wote! Wapambanaji.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Amen amen 🙏
@sauda4505
@sauda4505 3 ай бұрын
Amin
@asmakhamis6508
@asmakhamis6508 Ай бұрын
Ameen
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv Ай бұрын
Amina
@Winstonfying
@Winstonfying 2 ай бұрын
Pole sana Ma’ sista yaani story imeniumiza sana, kuna watanzania wenye Roho za kutu, mapito yako hayakuwa mepesi, umepambana sana 👏mawasiliano kama hutojali!
@LavinaJoseph-ei2tv
@LavinaJoseph-ei2tv 3 ай бұрын
Pole Yasmin binadamu mbaya hata hapa nyumbani ni wengi na wengine ni ndugu tuwe makini sana
@annatemu4488
@annatemu4488 4 ай бұрын
Kiukweli huyo mpenzi wake alikua ni Destiny helper wake kabisa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Guardian angel
@JorynSamuel
@JorynSamuel 3 ай бұрын
Kweli
@pricemlay
@pricemlay 4 ай бұрын
Funzo kubwa sana .Hakuna kukata tamaa🎉Una nguvu kubwa ya uvumilivu
@vickysteven1172
@vickysteven1172 4 ай бұрын
Yes
@alicealen3495
@alicealen3495 4 ай бұрын
Huyo kaka aliyekuibia passport na fedha ungemtaja jina ili usaidie watu wengine waepuke utapeli wake, sababu inaonekana anaumiza watu wengi 😢😢 aisee inasikitisha
@tedysimon5400
@tedysimon5400 3 ай бұрын
Hakuna kukataa tamaaa
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 ай бұрын
Poleyake dadayetu ameteseka sana mungu amlimde zaidi na ampe maisha marefu.
@MiriamCheche
@MiriamCheche 2 ай бұрын
Asante dada Jasmine Mungu akuongoze ktk maisha yako,Mungu akutunze na uzidi kumuomba zaidi na zaidi,mpende sana Mungu na ukatoe sadaka kila unapoona inafaa na atakujazi zaidi,wasaidie wengine wafanikiwe
@ednaJF1028
@ednaJF1028 4 ай бұрын
Da Shana muache amtage ndo asiendelee kuwalangai wengine please
@neemafyumagwa7913
@neemafyumagwa7913 3 ай бұрын
Ogopa sana kukutana na Mtanzania ulaya afu ukawa unashida unataka akusidie. Hutopata msaada na wanaroho mbaya Sana .
@deboramsuya2940
@deboramsuya2940 4 ай бұрын
Jamaniiii pole sanaa dada Jasmine Story yako imenigusa lkn wewe ni mwanamke shujaaa. Hongera sanaa
@agnesndemanyisho5291
@agnesndemanyisho5291 4 ай бұрын
The best interview I have listen from this channel
@user-dl1ju4ge3x
@user-dl1ju4ge3x 4 ай бұрын
Kati ya interview nilizowahi kuzisikiliza hii imenipa funzo kubwa, hongera Shena kwa kutuletea watu hawa
@anniafredrick8925
@anniafredrick8925 4 ай бұрын
Kila siku naangalia vipindi vyako lakini hiki kimeniumiza sana, aaah pole sana dada Jasmine
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 ай бұрын
Shukrani
@hamidajay776
@hamidajay776 4 ай бұрын
Shukran ya nini wewe Malaya muunza tigo tigo
@marrypius576
@marrypius576 4 ай бұрын
​@@hamidajay776wew mbon matusi tena 😂😂
@yeslord2276
@yeslord2276 4 ай бұрын
@hamidajay776 mbona unamtukana dada wa watu? au we n moja wa watu uliomtapeli dada wa watu, acha ujinga
@hamidajay776
@hamidajay776 4 ай бұрын
Huyo dada muongo sana haseme ukweli
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 3 ай бұрын
Hongera kwa Dada Jasmine umevipiga vita na umeshinda.. huyo aliyekuibia hela na passport. Mungu atakulipia.....BIG up Shena what a beautiful, educational and emotional interview
@atuamohamed9664
@atuamohamed9664 2 ай бұрын
Ni kweli maisha hata katika nchi zetu za Africa nimazuri kuliko ulaya mtoto wangu unasema ukweli
@RebecaRebby
@RebecaRebby 3 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni nimehuzunika na kujifunza pia pole sana Dada Jasmine, ahsante Shena kwa hii interview hii
@azaransari7307
@azaransari7307 4 ай бұрын
Best interview ever! Big up Shena
@hildajoel5
@hildajoel5 4 ай бұрын
Kuna mtu US aliniambia hayo mambo ya nursing au security ila namshukuru huyu dada nimeelewa vizuri. Ila wabongo nyoko🙌🙌🙌
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 4 ай бұрын
Huyo dada NI kahaba alikuwa anajiuza patision usiku hapa Athens NI anafanya jamii uwezi kupata boarding pass bila ya passport NI muongo sana
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 ай бұрын
​@@chalemofaraji8797 Kajiuze nawewe kama unaona donge, wivu tu unakusumbua
@brendajulius2995
@brendajulius2995 4 ай бұрын
​@@chalemofaraji8797mlikuwa mwajiuza wote??? Hebu dadavua
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 4 ай бұрын
Kwahiyo unataka kusemaje acha roho mbaya km alijiuza ni yy wewe inakuuma nini hakuna mtu anapenda kujiuza ni shida ilimpata labda akafikia huko sasa ulitaka atuambie alijiuza acha ujinga ww kiroboto.
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 4 ай бұрын
@@sekikigosi8265 si Malaya mwenzio ndio maana unamuunga mkono huyo NI Malaya kama wewe
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 4 ай бұрын
Dada Shenah, Mgeni wetu wa leo Dada Jasmine story yake ni BAAABKUBWA na inasikitisha sana na ina mafunzo mengi mnooo. Much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@sadiqfixer
@sadiqfixer 4 ай бұрын
Asante sana da Shena na da Yasmin, nimesoma mengi sana hapa ktk hii interview
@CuteDon-ek9rb
@CuteDon-ek9rb 4 ай бұрын
Woow shena Leo ndo umependeza kuliko siku zooooote ❤mwah mwah mwah 💋❤️💋❤️
@Urembomilele_
@Urembomilele_ 4 ай бұрын
Uongo😅😅
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 4 ай бұрын
​@@Urembomilele_😂😂😂😂😂😅😅 jaman kapendeza bhn
@Urembomilele_
@Urembomilele_ 4 ай бұрын
😂😂😂kasitirika
@BibianTz
@BibianTz 4 ай бұрын
Leo nimekaa chini kwakutulia nikasikiliza mwanzo mwisho na 😢 sana hii story inamengi yakujifunza shukuran sana Sheina kwa haya madarasa. Pole sana kwa Dada etu.
@user-hg9xh8es1o
@user-hg9xh8es1o 4 ай бұрын
Duh pole sana Jasmine, hongera kwa ujasiri.
@josephifanda5626
@josephifanda5626 3 ай бұрын
Dada shena,katika interview ulizowahi kufanya this is the best
@NananaCoolCool
@NananaCoolCool 4 ай бұрын
Hii KZbin channel is the best!! Just discovered it but I can't stop watching!
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Thank you dear, share to other people wa enjoy na kujifunza pia Karibu sana 🥰
@flavianakanga4726
@flavianakanga4726 4 ай бұрын
Dada pole sana kwa yaliyokupata.There is light at the end of the tunnel and i believe you light.
@MwajumaIddy-nk1gn
@MwajumaIddy-nk1gn 3 ай бұрын
Jmn dada maomba no ya uyo dada please
@armstrong_007
@armstrong_007 3 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance YOU ARE VERY BEAUTIFUL GORGEOUS LADY OF EAST AFRICA AND CENTRAL AFRICA
@MsMasola
@MsMasola 2 ай бұрын
For sure hata mimi nimeipenda sana hii channel kuna mengi ya kujifunza. Watu wanapitia sana mambo magumu. Pole na hongera kwa dada kwa yote uliyoyapitia hata dhahabu lazima ipite kwenye moto ili iwe safi. Mungu azidi kukupigania na usiache kumshukuru kila wakati.
@marylibaba2589
@marylibaba2589 4 ай бұрын
USIJALI MAMBO MAZURI MAJARIBU NIMAKUBWA SANA.
@Ashreystar8465
@Ashreystar8465 3 ай бұрын
Hongera sana dada jasmin,kwa hatua uliyofikia nimejifunza kitu kikunwa kwako ❤❤❤❤
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 4 ай бұрын
UGIRIKI NI UTURUKI ILIYOCHANGAMKA CHANGAMOTO, NATURE YA KAZI NA MALIPO, UPATIKANAJI WA MAKAZI YAANI WALE WATU NI WATURUKI TYPICALLY 😢 POLE NDUGU YETU KWA CHANGAMOTO NA HONGERA KWA UZIMA BAADA YA CHANGAMOTO ZOTE
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Yani tunajifunza kila siku 🥰
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 3 ай бұрын
Pole sana Jasmine! Allah akuhifadhi muda wote.
@gracekakwezi8941
@gracekakwezi8941 3 ай бұрын
Hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉 Sheina ubarikiwa Sana Jasimie hongera sana kipenzi kwa kupambana Mimi nakupa .🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@masekebabere3282
@masekebabere3282 3 ай бұрын
Best interview ever dear Shena
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 4 ай бұрын
Mie nawashauri ndugu zangu Watz mnaosafiri kuweni makin na Watz mnaokutana nao nje ya inchi wengi wao Wana tamaa mtu badala ya kukusaidia anakuzidishia matatizo kw tamaa ya pesa ndogo tu na kukuharibia maish yako yote.
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 4 ай бұрын
Very nice story ina mafunzo mengi sana.. pole sana kwa changamoto ulizozipitia
@vanessamshana4144
@vanessamshana4144 4 ай бұрын
God is great .hongera dada jasmine
@Urembomilele_
@Urembomilele_ 4 ай бұрын
Wakenya wengi wanajidaia wanatujua watanzania sana wakati si kweli
@annamussa185
@annamussa185 4 ай бұрын
Yani wanakiherehere Cha Hali ya juu 4G kiherehere siwapendi jamani wanajifanya wanarujuwa wakati hawajawahi hata kukanyaga Tz wanaisikia tu nyau hao
@naturelle1097
@naturelle1097 4 ай бұрын
Mtu mmoja anaweza wachafulia nchi nzima jina.
@janetmwikali5477
@janetmwikali5477 3 ай бұрын
​@@annamussa185yaani umeongea kama mjinga kweli
@husnakaka8949
@husnakaka8949 4 ай бұрын
Wooow...what a nice story
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
WanaKarangwe sis umetuwakilisha vyema pole kwayote uliyopitia ilikua ni daraja ili sisi tupate experience,hongera sana kwakweli umepambana,God bless you ❤❤
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 ай бұрын
Wakola
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
@@Jassmin-media-official ❤️❤️
@kenty101
@kenty101 4 ай бұрын
This was so refreshing to watch.. sad.. but very informative..as well.. something cute about how she talks.. she is so funny...😂😂I love love her.. pole Sana m so happy you are okay now.. thank you for sharing your story with us..
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Glad you enjoyed it!
@gracecolyvas392
@gracecolyvas392 3 ай бұрын
Dada kwa kweli, Mungu akubariki sana,kweli mpambanaji sana unatupa shule asante,dada asante sana kwa kutuletea hawa wa dada
@rahmajaffar7007
@rahmajaffar7007 4 ай бұрын
story yako ni nzuri tumeenjoy kusikiliza inafanana na movie itaitwa the swimmers pole sanaaa kwa changamotoo ulizopitiaaa lakini Mungu ni mwema kakuvusha koteee
@franklinbernard4367
@franklinbernard4367 4 ай бұрын
Ni kweli😢 tena hiyo movie nimeiangalia wiki iliyopita tu
@rahmajaffar7007
@rahmajaffar7007 4 ай бұрын
yaani kujilipua ni kujitoa muhanga haswaaa @@franklinbernard4367
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 ай бұрын
Wabongo bana
@mitawilliam264
@mitawilliam264 4 ай бұрын
An awesome and touching jasmine story.
@dollymogosi6899
@dollymogosi6899 Ай бұрын
Pole sana dada Jasmin kwa safari ngumu sana ya maisha. Nafurahi Mungu alikuwa nawe kukuongoza katika mapito haya. Ni kweli kuna wanadamu ni wabaya sana inabidi uwe makini sana kuchagua mtu wa kumweleza undani wako. Wengine ni watu wema kbs sio Watanzania wote ni wabaya ila uwe makini sana.
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 4 ай бұрын
Hongera sana pia pole sana
@brigitajohn8102
@brigitajohn8102 3 ай бұрын
Dada jasmin hongera sana 🎉 wewe ni mwanamke jasiri love from italy
@sindiswanombulelomvene7951
@sindiswanombulelomvene7951 4 ай бұрын
Oh Jasmine dada yangu so proud of you. You are a strong, beautiful person .
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 ай бұрын
My sister from day one look where we are now 😍
@peninamisungwi1564
@peninamisungwi1564 2 ай бұрын
Duniani kuna mapito kweli kweli, hongera sana da Jasmin umesimamia malengo yako na Mungu kakuwezesha; thumbs up Shena.
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 4 ай бұрын
Pole sana mungu ktk ya changamoto huwa anatwalia utukufu ,maana kwake mungu hakuna linaloshindikana yote yanawezekana aminaaaa
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y 4 ай бұрын
Ma shaallah shena endelea kujistri hivohivo
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 3 ай бұрын
Busy enjoying to listen to my Nyambo accent ❤ weza mpola bhambe😢
@mwanaharabu82
@mwanaharabu82 3 ай бұрын
Pole sana Jasmine kwa uliyopitia, Mungu yu mwema sana. Alhamdulillah 🤲🏽
@samiramilky7946
@samiramilky7946 3 ай бұрын
Pole sana safari ilikua ngumu lakini tu akuombea maisha ya furaha na afya mzuri. Mungu akupe shifa yaraab 🤲pole dada itawafunza wengi sana!
@user-ig1ds2eq4d
@user-ig1ds2eq4d 3 ай бұрын
All in All never give up in Life❤❤❤ Thank you for sharing Dear😊
@INMYKITCHENJIKONIMWANGU
@INMYKITCHENJIKONIMWANGU 3 ай бұрын
Nimekupeeeendaaaa bure. Unaongea kiswahili vizuri hata hujifanyifanyi umesahau lugha. Nimefall in love na lafudhi yako
@praxedaandrewkato7472
@praxedaandrewkato7472 4 ай бұрын
Official your interview always good may god bless you 🙏
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Thank you 🙏 Amen 🙏
@mariamsouleymane2121
@mariamsouleymane2121 2 ай бұрын
Pole sanaa Dada Jasmim kwa yote iliyo pitia dhu Allah azidi kukuhifadh.na ongera sana Da shenah kwa kazi nzuri Allah akuhifadh na akubariki
@marymwasaru7983
@marymwasaru7983 4 ай бұрын
One of the most outsanding interview. True story. It is work that gives money. Education is empowerment to whatever work you do.Pole Sana Jasmine.
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 3 ай бұрын
Very humble lady❤❤
@wizardmobile5493
@wizardmobile5493 4 ай бұрын
Maashaallah sheina umependezaje hijab inakupendezesha Ramadan Kareem
@fatumakalunga2852
@fatumakalunga2852 4 ай бұрын
Pole sana dada jasmin kwamatatizo uliyo yapata, ila Mungu amekuwa msada mkubwa kwako.
@zainabwage4658
@zainabwage4658 4 ай бұрын
Kuna meng tunajifunza kupitia hii chanel mungu akubarik dada endelea kutupa vitu vzr zaid
@joelirunde2823
@joelirunde2823 3 ай бұрын
Yes in future I will take your advice
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 4 ай бұрын
Hongera sana dada umepambana sana. Mwanamke wa shoka.
@EstellaSebastiaoAntonioJ-fh2qg
@EstellaSebastiaoAntonioJ-fh2qg 3 ай бұрын
Ooooh!. Pole Dada Jasmin. History yako imenifundisha kitujamani daaah!.
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 4 ай бұрын
Pole sana dada binadamu kazi sana
@user-wf2np4ch6l
@user-wf2np4ch6l 4 ай бұрын
Story tamu chungu jamn mdadakapambana kiumee kafanya utalii mgumu bila kupenda. Daaaaah mungu asimame naye kwa kweli.
@user-gy6xz5xh3f
@user-gy6xz5xh3f 3 ай бұрын
Pole Sana Dadangu Yasmin Nimejifunza Mengi Sana Kwa Story Zko Nakutakia Good Live Maisha Yko
@brigittenene3641
@brigittenene3641 3 ай бұрын
Strong women, God bless you ❤
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 3 ай бұрын
Pole sana dada!
@ashikfidahusein8189
@ashikfidahusein8189 3 ай бұрын
Pole sana tena Sana bibi jasmin baada ya dhiki ni faraja
@SalumSadallah
@SalumSadallah 3 ай бұрын
Pole sana Jasmin mungu akuongoze Kwa Kila jambo jema mbele Yako .
@Juke995
@Juke995 4 ай бұрын
Kila siku nasema jaman mkifika ulaya bora uitwe una roho mbay yani ogopa watu weusi ulaya. Pole sana sweet
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 ай бұрын
Mimi wanasema najifanya mzungu maana sijihusishi na waafrica. Lakini kwa story nazosikoaga namshukuru Mungu sijuani nao.
@hildajoel5
@hildajoel5 4 ай бұрын
Mimi binafsi nimekuelewa maana mara nyingi sana nakuona unatuonya sana kupitia comments. Asante sana
@hamidajay776
@hamidajay776 4 ай бұрын
Kuma la mama ako msenge mkubwa mbwa koko wewe indio unabangaiza huko uliko mchezea pabaya sio wore ndio subiri dawa yenu iko jikoni
@homeandaway2811
@homeandaway2811 4 ай бұрын
​@hamidajay776 Shena tusaidie kumblock huyu chamatusi please
@hamidajay776
@hamidajay776 4 ай бұрын
Huyo katoa ushuhuda wa uhongo mwambie Kama mwanamke kweli aje kujibu hapa sio kuchaduwa watu kwenye mitandao na kuwakashifu kabila ujafa ujaupika ujui kesho yako hi vita nikumbwa tutakuja mpaka halipo ndio akome ucheze watu na mpaka bongo tunae na family yake chenzea watoto mwenye mji wetu tunahe huyo malaya muunza tigo ugiriki
@SophiaAthumani-ri4lu
@SophiaAthumani-ri4lu 3 ай бұрын
Pole sana ndugu story yako ni ushuhuda wa kutosha natamani uandike kitabu cha kusimulia historia yako na wengine tujifunze zaidi
@willsonsamwel1158
@willsonsamwel1158 3 ай бұрын
Hapo sawa nimeelewa
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 ай бұрын
Pole Dada Jasmin mimi niliingia kwakuolewa
@charitylulu8872
@charitylulu8872 3 ай бұрын
Pole sana dada duu
@zainabufeka87
@zainabufeka87 3 ай бұрын
Pole sana mungu atakulipia
@mamaabduly
@mamaabduly 4 ай бұрын
DADA JASMIN ZAIDI YA MWANAJESHI.... MUNGU AENDELEEE KUKUPIGANIA
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 4 ай бұрын
Pole sana Jasmine.
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Pole Sana mkabila mwenzangu kwa changamoto uliyo pitia hakika mungu amtupi mja wake 🙏🙏🙏
@user-rq9yg7sp3z
@user-rq9yg7sp3z 4 ай бұрын
I love your channel queen ❤❤❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Thank you 🙏
@rahaburahabucreophace9783
@rahaburahabucreophace9783 3 ай бұрын
Plz nisaidie no ya jasmine
@muthekimutheki
@muthekimutheki 2 ай бұрын
Dada asante kwa kutupatia hii story yani umetufungua macho sana dear. Mungu akuangazie, Vile vile Alieyechukua pass yako, 😊Mungu amlaani, Mungu amunyime amani kabisa..Yani kuna watu wanaroho mbaya.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Asante Sana dada kwamada yaleo ninzuri Sana tumejifunza vitu vingi vizur Sana
@talentshow2024
@talentshow2024 4 ай бұрын
Polee sana daa Jasmin
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 118 МЛН
BAADA YA KUJULIAKANA KANIOA WALITAKA KUMFUKUZA KAZI | UCHAFU WA WATURUKI WA KUJENGA TRENI
1:25:20
NIMEJIKITA KWENYE UJASILIAMALI | WAZUNGU HAWAELEWI MAMBO ZA KUSAIDIA NDUGU
1:08:50
Official Dating Assistance
Рет қаралды 31 М.
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41
Official Dating Assistance
Рет қаралды 22 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН