Ahsante sana DR Sulle, mwenyezi Mungu azidi kukupa hekima.
@AlhajiSaidi-uo8zl Жыл бұрын
allah akuongoze mwalimu sule
@broayubjema Жыл бұрын
Asante sana Dr Sulle kwa mafundisho hayo mazuri mno.Ili kudhibitisha Yesu Kristo ni Mungu,naomba usome Injili kama alivyoiandika Yohana mtakatifu sura ya kwanza aya ya kwanza hadi kumi na nne.
@sharonpaur9640 Жыл бұрын
Allah akupe kheri nyingi
@Respicius Жыл бұрын
Yesu ni Miongoni mwa waliotumwa na Mungu kama wakina Ibrahim, Mussa, Daudi NK kila mtu kwa zama zake ili wakawafundishe kumjua Mungu wa Mbinguni vile vile ata Mtume Mohamed naye akuwa na baya naye alifundisha habari za kumjua Mwenyezi Mungu me kwa usomi wangu wa Dini sioni kama wote wana Ubaya sema kinachotuharibu watu wa sasa ni Udini na sio Iman
@rehemamalwa11313 жыл бұрын
Allah sw awaongoze waione haki
@coffeetreetza95432 ай бұрын
Soma Yohana 1
@sharonpaur9640 Жыл бұрын
Asiekuelewa Bado ajakua kiroho bado ni mtoto bado ana mambo ya kidunia sana
@ebuelamichael9693 Жыл бұрын
Bwana wasabato una jichanganya
@mbarakaabdallah6526 Жыл бұрын
Daaah sasa hapo akilini mwa mtu kufata unapoona ni sahihi, lakin kwa mawaidha haya ukweli mweupeee!!!.. njooni huku kwenye haki ili mpate kuingia peponi
@ebuelamichael9693 Жыл бұрын
Elezea kwanza maana ya bwana wa sabato
@hassaniharuna1010 Жыл бұрын
Paulo ni chawa tu
@elishaskazoza8268 Жыл бұрын
Kwa habari ya Bwana Yesu wewe,huwezi kumuelewa kwani yeye sio hakuwa was ulimwengu huu,Kama ambavyo wanaomwamini sio wa ulimwengu huu,wewe hapo wachezea makopo Kama mtoto,ukichoka ukatafute chakula ule ushibe urudi tene kwenye makopo
@princessafrash8757 Жыл бұрын
sasa kama hakuwa wa ulimwengu huu wewe wa ulimwengu huu unamuamini vipi wa ulimwengu mwingine??
@MuuYascohy-oc7os11 ай бұрын
Kafiri siku zote hasikii!! endelea na ukafiri wako!!