🔴

  Рет қаралды 26,241

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 129
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@rogerspeter7143
@rogerspeter7143 3 ай бұрын
okay kazi nzuri
@umranim5854
@umranim5854 3 ай бұрын
Mbona ukijaribu kujiunga haikubali
@umranim5854
@umranim5854 3 ай бұрын
Mbona ukijaribu kujiunga haikubali
@obaidothmanalbulushi9196
@obaidothmanalbulushi9196 3 ай бұрын
Kichwa cha habari siyo mtanzania huyo sema ni mzaliwa wa tanzania nzega lakini yeye ni muoman huyu kabila lake ni al shedhan
@hansmsangi9828
@hansmsangi9828 3 ай бұрын
Doesn't exist hiyo 1 2 tunapataje kazi dada yangu ya malori hapo connection tunaomba❤❤❤
@McT-m1m
@McT-m1m 3 ай бұрын
Yarabii nifanyie wepesi wa riziki amiin
@rogerspeter7143
@rogerspeter7143 3 ай бұрын
mungu ni mkubwa 👏👏👏👏✍🤳 tutafika huko
@edwardkishiwa3296
@edwardkishiwa3296 3 ай бұрын
Global TV naomba kwa msaada wenu niunganishieni kazi nafasi ya Driver, mungu awabariki kazi njema,!
@MsifuFrancis
@MsifuFrancis 3 ай бұрын
Boss hongera sana maelezo mazuri mwenyezi azidi kukupambania katika shughuri zako za kila siku
@maryamhannif897
@maryamhannif897 3 ай бұрын
Boss uko vizuri
@abdullahal-adhary5180
@abdullahal-adhary5180 3 ай бұрын
Maa Shaa Allah ما شاء الله تبارك الرحمن
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 3 ай бұрын
Ukikaa na mfanyakazi kama ndugu na yy ujiaminisha sababu huyu boss ni nzuri ndio maana wanamfanyia vizur
@khalfanaltaley
@khalfanaltaley 3 ай бұрын
Well done. Keep it up! Allah bless you and the Company.
@vero57
@vero57 3 ай бұрын
HONGERA SANA ZARI UMEFIKA OMANI
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 3 ай бұрын
Dada zari upo oman ila hujawapata haswa house girl waliopo majumban ukajua shida wanazo pitia ukajua mapito yao umehoji wasataff wa house girl tu
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 3 ай бұрын
Sa si anachukua maokoto kwanza , maana harakati za mahouse girl ilikua tz wajanja kumzima wamemlipia tiketi kwenda kufichaficha kashafungwa mdomo unachezea njaa ndugu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Mwenye matatizo aende ubaroz
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 ай бұрын
Fahad Abubakar, Huyu mama usimdhulumu. Kwani Anafaidika nini? Naona kazitafuta hizo mbwa majumbani hakuzikuta. Ikiwa kuna mfanyakazi aliyezinishwa lazima ampe address mama wa Globe….akacheck. Kuwa na subra kidogo hajamaliza na hizo atazigusa. changamoto kama zipo lazima lakini uongo uliopindukia unaharibia watu fursa.
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
@@abdullahal-mahruqi9610 kwakwel
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 3 ай бұрын
@@abdullahal-mahruqi9610 hujui eeh ? Waandishi wa tz tunawajua sie mengine yaache , acha Dada amalize ziara
@lusakaone7782
@lusakaone7782 3 ай бұрын
Allah akubaariki, akuongezee kipato cha halali, na iwe sababu ya malipo mema mbele ya Allah. From Zanzibar
@am2323tze
@am2323tze 3 ай бұрын
Amin
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 3 ай бұрын
Hongera sana mwanetu sultan logistics 🎉 👍.
@aminahamad3428
@aminahamad3428 3 ай бұрын
Dada zari tupo oman tuombee ajira hapo tunamaliza mikataba pleas fanya hivo
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 ай бұрын
Sisi watanzania ni wezi na wavivu.
@seifixnetwork4663
@seifixnetwork4663 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 3 ай бұрын
kweli kabisa
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 3 ай бұрын
Karibuni na barka soko
@KH-on8pp
@KH-on8pp 3 ай бұрын
MashiAllah well said keep it up bless u
@maryamhannif897
@maryamhannif897 3 ай бұрын
Mashallah
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 3 ай бұрын
Alhamdulillah
@jazzmancoltrane
@jazzmancoltrane 3 ай бұрын
Mtangazaji anakosa u professional. Anasita sita na anavuta Maneno. Pitieni interviews za Salim Kikeke kisha mjifunze. Sina hakika kama research team ilifanya kazi yake kabla hamjaenda Oman. Kuna room for improvement.
@HaleemaOsman-r2m
@HaleemaOsman-r2m 3 ай бұрын
Ma sha Allah
@Mariam-t7k
@Mariam-t7k 3 ай бұрын
Tutunataka kaz
@surooral-humaimy6793
@surooral-humaimy6793 3 ай бұрын
Allah awabarikiye biashara na shirika lenu kwa ujumla, awaruzuku uwezo zaidi wa kutowa fursa za ajira kwa ndugu zenu. Ameen
@RukayyaNassor-i9o
@RukayyaNassor-i9o 3 ай бұрын
Jamani nacc tunawatoto wetu wanaujuzi WA kutengeza magari na kuendesha magari makubwa Ajira nindogo kutumika wanatumia kupitia kiac maisha haitoshi kuendesha maisha
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 ай бұрын
MAPINDUZI UPUUZI MTUPU ! Munauwa watu bila hatia kisha muwafwate waliko kuwaomba ajira !!!!
@maryamhannif897
@maryamhannif897 3 ай бұрын
Nataka ajira
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 3 ай бұрын
Bora atuuuuuulize sisi tunao pata khasara.
@PeninaAdam
@PeninaAdam 3 ай бұрын
Mashallaah naomba ajira
@aminaabood2898
@aminaabood2898 3 ай бұрын
❤Sister tuombeen kazi.. Nipo miaka 11
@saimjonas
@saimjonas 3 ай бұрын
Mzee anaongea kiswahili fasaha, mstaarabu, anaonekana kujali wafanyakazi wake na anawajengea uwezo. Huyu ni mwajiri wa mfano na wa kuigwa.
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 3 ай бұрын
Watu wengne washamba kweli Kuna mausiano gani Kati ya muwekezaji mwenye kampuni ya uchimbaji na mfanya kazi wa ndani ambae huajiriwa Kaz za ndani. Hii ni Logistic sio beki 3.
@Allyhujjat
@Allyhujjat 3 ай бұрын
Dada safi sana lkn uliza maswali kama muamdishi sio kama mmbea apo haumuhoji daz baba au chidi benzi uliza maswali ya msingi waombee kazi watanzania walio uko
@JasuminiOmarkataka
@JasuminiOmarkataka 3 ай бұрын
J. Kanzi. Ndani. Mashagara. Amuhitaji
@MaliamuNassoro
@MaliamuNassoro 3 ай бұрын
Kwakweli niwaambie ukweli hawa Waarabu wapo wenye roho nzuri kama boss wangu kiukweli namuombea dua nzuri ninakaribia kumaliza contract yangu ya miaka 2 ila kiukweli sikupt changamoto kama ninavyo zisikia.
@khalfanidriss8931
@khalfanidriss8931 3 ай бұрын
Sio Kiwandaa Hicho . Please
@seifixnetwork4663
@seifixnetwork4663 3 ай бұрын
Ni kiwanda hiko
@MaliamuNassoro
@MaliamuNassoro 3 ай бұрын
Yaani uzuri wa hawa Waarabu sio wachoyo walio wengi.
@islanderthegreat4135
@islanderthegreat4135 3 ай бұрын
Na pia sio kiwanda bali ni kampuni
@hassanbilali5576
@hassanbilali5576 3 ай бұрын
Aslm aleikum Fanya mpango tupate mawasiliano uwezo wa kuendesha mitambo upo tatizo connection
@Shanitiba
@Shanitiba 3 ай бұрын
Tunapenda kulalamika watz lakin oman wanaroho nzuri bas tu dubai ndio cyo kabisa wanakomoana
@Bahati47
@Bahati47 3 ай бұрын
Hata wabaya pia Oman wapo
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 3 ай бұрын
Diaspora wa kitanzania....
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
Mtafute na sumri,amezaliwa ngunga.ukenyenge.wilaya ya kishapu.
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 3 ай бұрын
Sultan Al sheidhani
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 ай бұрын
Huyu maswali yake hayana maana.
@manasstaMuhammad
@manasstaMuhammad 3 ай бұрын
Kuna vijana wetu tz wanataka ajira hizi wakipatiwa itakuwa bora zaidi
@salmaalsharji8205
@salmaalsharji8205 3 ай бұрын
Hawapo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Basi heli
@islanderthegreat4135
@islanderthegreat4135 3 ай бұрын
Sorry huyu si mtanzania bali alizaliwa Tanzania
@nassrasaif9148
@nassrasaif9148 3 ай бұрын
Looh munamuandama huyu mtangazaji kosa lake nini yuko kazini anajipatia chake hao wanapiga makelele wanamlipa nini?
@Maryam-qe5lb
@Maryam-qe5lb 3 ай бұрын
Asalam. Alaikum. Allah akulipe kilalakheri. Utitembeleya. Wafanyakazi. Madam. Watakaa. Sawa. Na. Tanzaniya. Itakuwajuu. Zaidi kutowa. Wafanyakaxi wengi. Mana. Watanzaniya. Imaniyetu ipojuu sana kuliko nchezengine
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 3 ай бұрын
Mna imani nyie ?ingekuwa na imani msingedhulumu wazanzibari na nchi yao mliotuvamia
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 3 ай бұрын
Dada Zari tunahitaji kujua namna ya watu mwenda kufanya kazi kwa huyo Mtanzania huko Oman muuljze contact zake tagadhali
@altentic8616
@altentic8616 3 ай бұрын
Waarabu lazima wabaki Oman na waiache Tanzania na Zanzibar kwa ajili ya watu weusi tu.
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 3 ай бұрын
Alokwambia Tanzania na Zanzibar ni ya watu weusi ni nani? Ondosha fikra mgando hizo
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 3 ай бұрын
Mashaallah dada tupatie namba vijana waje kazini
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
Unawajua?tuulze
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 3 ай бұрын
@@hamadsheni8997 wakwanza ni mwanangu kasomea kazi hiyo
@maymunakhelef2154
@maymunakhelef2154 3 ай бұрын
Na mm namba ajira
@JasuminiOmarkataka
@JasuminiOmarkataka 3 ай бұрын
Naurinza. Kanzi. Nza. Ndani. Hamuhitaji. Mashagara. Pasppoti. Ninae. Nipo. Tanzania. Naombeni. Ajira. Hata. Kurea. Wanzee. Nawenza
@aliyissa9857
@aliyissa9857 3 ай бұрын
Bhot achaye
@Krmood
@Krmood 3 ай бұрын
Watafute wafanyakazi wa nyumbani wanaosema wanateseka ujue uongo wao
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 3 ай бұрын
Kwa wanaopitia changamoto wapo ukipata sehem ukaa vzl bira matatizo yaliopitiliza tushukulu Mungu wapo wanopitia changamoto kusema apite kira nyumba Atapita nyumba ngapi na sio kweli anatakapopita uyo boss siku iyo atajifanya mwema mara mia kikubwa kuombeana tu Tuvuke salama
@tanzaniaafrica7019
@tanzaniaafrica7019 3 ай бұрын
Na kingine uwezi kutukana mamba kabla ujavuka mto tunapitia mengi tu mazito lakini atanijakuulizwa nikiwa kwa boss wangu nilazima niwasifie mnajifanya malaika hapa kwenye comment kuaminisha watu kwamba hakuna anaeteseka oman hovyoooo kabisa
@salma5187
@salma5187 3 ай бұрын
@@tanzaniaafrica7019 km unateseka ondoka
@Mariam-t7k
@Mariam-t7k 3 ай бұрын
Ndg zetu pia wanataka kaz
@aliyissa9857
@aliyissa9857 3 ай бұрын
Huyu anatolia Tabora
@salma-nh4of
@salma-nh4of 3 ай бұрын
Assalam alaikum kwahisani yako naomba uniajiri
@AbdallahHamoud-fe4lq
@AbdallahHamoud-fe4lq 3 ай бұрын
Ninaomba contact zake...tunahitaji fursa za hivi
@maryamhannif897
@maryamhannif897 3 ай бұрын
Tupe konesheni
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 3 ай бұрын
Anatoka tanzania sehem gani
@umranim5854
@umranim5854 3 ай бұрын
Shinyanga
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 3 ай бұрын
Kalibi dada iznk
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 3 ай бұрын
Je agent gani yimyagute maana kuna bijana wanahitajia
@maymunakhelef2154
@maymunakhelef2154 3 ай бұрын
Twataka ajira jamani
@HalimaMichael-x6x
@HalimaMichael-x6x 3 ай бұрын
Baba naomba kazi ata ya kufagia niko oman hapa maskati ata ukinipa mshahara rial 200 nitashukuru maana niko na hali mbaya sana nihurumie
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 3 ай бұрын
Kazi yakufagia akupe rial 200 ikiwa wafanyakazi wake wa mazra anawalipa rial 80 tuu
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 3 ай бұрын
​@@khadijauvuruge9700😂😂😂😂
@Bahati47
@Bahati47 3 ай бұрын
Da zai kma hujarudi nyumbani tafadhali nitafute nikupe namba ya dada mmoja anaeteseka sana hapo alipo
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
PDD wa omani
@HAWANassoro-o2j
@HAWANassoro-o2j 3 ай бұрын
😂😂😂😂watu mnamambo
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Huku ukhanithi wakumtangaza na kushughulikiya pdd hakuna hapa kazi tuuu na kutafuta petrol Hata huyo pdd wako hawamjui Nyie pigeni kelele ba pdd wenu
@shamzone388
@shamzone388 3 ай бұрын
Unasema kitu ambacho hakipo Ujue oman ni nchi yenye security kali sana wewe endeleaa tu
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 ай бұрын
Uzee woteuo bado una miaka59😳 mi nildhani atakua na 70+
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 ай бұрын
@@saidymbagalla6622 Shukuru Mungu wako wewe Wacha Unafiki wako kwani wewe ni Allah mpaka umuhukumu kwa umri wa Umri wa Binadamu? Mbona nyie Watanzania mnapenda sana Unafiki na Wivu kama mtu anafanikiwa kwenye Maisha yake? Wapumbavu sana nyie kama huwezi kucomment bora Nyamazaaaaa!!!!
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
Hela za viongozi wanawekeza nnje kuna watu walisema walianza kushona viatu harafu mabilionea
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 ай бұрын
Rizk. Tafuta
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Baharesa kaanza kuuza askrimu sasa yukowapi
@DohaQatar-w4t
@DohaQatar-w4t 3 ай бұрын
Roho mbaya wew
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 ай бұрын
@@MohamedIbrahim-bn1gz Bakhresa alianza kushona viatu, baadae ice cream. Mungu humpa amtakaye bila hesabu. Mipango ya Mungu
@Azza-o8c
@Azza-o8c 3 ай бұрын
Sasa huyo ni mtanzania ao mu Omani? Mbona wahindi wa Tanzania mnawaita wahindi hamuwaiti watanzani mna chuki na wa Omani Kwa nini nyie? Haitawasaidia kitu na huyo mama mwenye uso mpana kama chapati ya kusukuma mimi nimefunguwa ili kuona mtanzania yupi millionaire Oman ili nishangae
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 ай бұрын
Sasa wafanyakazi 350 hapa tanzania kuna kampuni wanamadereva zaid ya 400 jee mbona hamuwahoji
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 ай бұрын
Akirudi Tanzania ka Muulize hilo Suali hapa Yupo Oman hatuna Unafiki kama wewe
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 3 ай бұрын
Hawa sio madereva kuendesha tu waliopita veta pekee mze anasema wanatumia dollar 1000 kumpeleka shule kufanya course licha ya vyeti vyake pia kampuni Ina course zake inasomesha sio madereva wa dangote mtwara wizi mpk wa tyres za magari.
@khalfanidriss8931
@khalfanidriss8931 3 ай бұрын
Population ya Oman ni 7 M.. 😊
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 ай бұрын
@@abdallahdullah8642 kweli kabisaa 💯🤣🤣🤣🤣
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 ай бұрын
@@khalfanidriss8931 NO ni milioni 4 nusu ni Wageni
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН