🔴

  Рет қаралды 6,187

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@ZachariaSulle-m4n
@ZachariaSulle-m4n 3 күн бұрын
Hongera sana mhe Rais wetu kwa kuwa maono ya mbali
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 3 күн бұрын
Hongera Mhe.Rais Dr.SAMIA SULUHU HASSAN. kwa hotuba yako hii nzuri mbele ya kusanyiko la wahitimu wenzako wa Chuo Kikuu Mzumbe.
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 3 күн бұрын
Pamoja na changamoto hizo bado umeweza saaaaaaaaana. Barikiwa sana kipenzi chetu
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 3 күн бұрын
Watu wanatekwa na kuuwawa 24:37 kila siku, is that good administration? Our universities think so! Bado Tumaini, Mwenge, Mbeya etc, mko wapi?
@marychami1700
@marychami1700 3 күн бұрын
MORE CONGRATS TO YOU MY PRESIDENT DR SAMIA SULUHU HASSAN
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 3 күн бұрын
Mhe Rais Hongera sana sana Twanga kazi you are Great you are luck to Tanzania. Tanzania should Thank God you are Gift for us.
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 3 күн бұрын
Mungu wetu azidi kukutunza sana akupe maisha marefu sana. Najivunia kupata Rais mzuri.
@jumagora3462
@jumagora3462 3 күн бұрын
Mashallah mama samia uko mbele yetu nas tupo nyuma yako hogera sana mama kazi iyendelee
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 3 күн бұрын
Mashaallah Mama Big up
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 3 күн бұрын
Sitashangaa kama katiba itabadilishwa kama za uganda, Russia, Rwanda etc so that tuendelee na huu upumbafu. Kujikomba kila siku, historia itawajaji. People need a free health care, education etc, nyinyi mmekaa kupeana madegree tu. Mandela had 100s of them and never never used the title DR. Kuna protocol that how to award them and how to use the Dr. hapa kwetu ndiyo hivyo, I would give some to all mama ntilie, they do a great job!
@KostaJoseph
@KostaJoseph 3 күн бұрын
Rais wa kazi wala sio maneno mengi Mungu akupe afya njema na maisha marefu
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 3 күн бұрын
Are you serious my friend?
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 3 күн бұрын
Kwa kazi gani watu kila leo wanatekwa hizo shahada sijuwi ni za nini? Machawa wapo kona zote
@AminaKondo-fe4lc
@AminaKondo-fe4lc 3 күн бұрын
Mama samia ni rais wa vitendo tunakuomba Mama wasaidie wanafunzi wako waliomaliza wakahitimu chuo kikuu huko Sudan tunaomba Mama wapate vyeti vyao kwani wanateseka na mawazo tafadhali Mama yetu
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 3 күн бұрын
Pongezi kwa Rais wetu mpendwa kwa hatua hiyo. Hakika mchango wako ni mkubwa katika maendeleo ya nchi yetu! USHAURI: Naomba mamlaka husika katika vyuo vyetu viangalie pia na wengine waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Nao watambuliwe kwa namna hii. MASIKITIKO: Nasikitika kuona Ndugu yetu msomi Hayati Patrick Mfugale amekufa akiwa ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa hili bila ya kutambuliwa kwa namna hii!! Msanifu na mjenzi wa madaraja! Nae angepewa shahada ya heshima ya uhandisi. Tayari alikuwa na Shahada ya Uzamili ya uhandisi wakati anakufa! Natamani angekufa tayari akiwa Dr. Patrick Mfugale. Wapo na wengine wengi!
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 3 күн бұрын
Hivi hizi shahada za heshima huwa wanapewa watu wa namna gani? Waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii husika au kimataifa. Kama ndiyo hivyo, hupewa wanasiasa tu? Ni maraisi tu kwa nchi yetu? Hakuna na wengine? Kwenye uhandisi (Patrick Mfugale)Vip? Kwenye sanaa(Mrisho Mpoto) vipi? nk. Kama na wengine hawaangaliwi, basi tunaweza kusema huu ni unafiki! Tunaweza kusema hili ni zoezi ambalo huendeshwa na wateuliwa wa huyo mkubwa anayepewa heshima hiyo! Ni kujikomba tu! Uchawa tu! Ni maamuzi yanayofanywa na mamlaka hizo kwa kulenga maendeleo binafsi!
@pascofp145
@pascofp145 3 күн бұрын
Wewe mnafiki mresho mpoto kafanya nini Cha maana kwenye sanaa
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 3 күн бұрын
Ni ujinga wetu tu, hizi so called bongo univerties wanajikomba. What has she done, Nyerere hakupewa na UDSM. Sasa huyu mama, has only been there for 4 years, ni madegree tu kila siku! Iko kazi! Who’s is the Chancellor of Mzumbe, you tell me, who’s the chancellor of UDSM, tell me! Kama si wao kunufaika basi watoto wao are well looked after! Hii nchi imeoza!
@nestor384
@nestor384 3 күн бұрын
Childishly
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,7 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
#MIZENGWE  Tafuta kazi
16:27
ITV Tanzania
Рет қаралды 24 М.