🔴# LIVE: RIPORT YA LEO SIMULIZI YA JESCA SEHEMU YA (NNE) - JAN 11, 2024

  Рет қаралды 11,585

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

6 ай бұрын

🔴# LIVE: RIPORT YA LEO SIMULIZI YA JESCA SEHEMU YA (NNE) - JAN 11, 2024
#simulizizamaisha r #efmtanzania #live #esports
-
Muziki Unaongea 🎶
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 70
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
Oh tena mimi NDO wa kwanza jammanii haijawahi tokea naomba like zenu munaonifuatia
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
Msikilizaji wa kwanza kutoka Pakistan
@janethkomba4485
@janethkomba4485 6 ай бұрын
Mimi leo wa 32 nasikiliza kutoka 🇴🇲
@janethkomba4485
@janethkomba4485 6 ай бұрын
Daaah🙆Nimejikuta moyo umeshindwa kuvumiliy💔💔💔💔💔baada yakukumbuka maneno ya mtoto kua mama sitaki kwenda shule nikienda atutoonana tena nakweli ndivyo ilivyo uwiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 6 ай бұрын
Kabla anguko lolote au .mafanikio yoyòte kutokea Mungu ni mwema sana kwa wanadamu huwa anaonyesha kwenye NDOTO.kwa hiyo msiwe mnapuuzia ndoto.Mungu atulinde jaman
@zawadimfambo3075
@zawadimfambo3075 6 ай бұрын
Aseee Dunia inamambo jamani kumbe huyu mwaume alikuamchawi😢😢😢
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Mali za kishirikina
@eunicebuseni
@eunicebuseni 6 ай бұрын
Simulizi nzur sana jmn pole jesca😢
@complex7582
@complex7582 6 ай бұрын
Hii simulizi haendani na muda,corona imeanda mwaka 2020,Kuna mimba Tano za miezi Saba zimetoka,then kapatikana mtoto wa miaka 5,haya mahesabu hayapo sawa
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Mimi siku zote naheshimu matajiri sana maget malefu 🙌 mabinti endeleeni kutafuta wanaume wenye pesa,Mungu anaitajika unapopata mtu muulizeni kwanza before anything God protect us🙏
@user-oi1qy8uj6r
@user-oi1qy8uj6r 6 ай бұрын
Yes
@DeodatusDeusdedit
@DeodatusDeusdedit Ай бұрын
Hapo kuna kitu sielewi hii ni story jaman make hawa mwaka 2021 ndo kaanza kazi na zimetoka mimba 4 afu leo mtoto Ana miaka 5 mbona muda mfupi sana
@user-xe4ym2ho4w
@user-xe4ym2ho4w 6 ай бұрын
Masikini Jessica!😢 dah! Mkasa umenisikitisha sanaaaa...😭
@ataamansi8941
@ataamansi8941 2 ай бұрын
Hii simulizi na ile ya filipo ni za uongo, hadithi kama za shigongo
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
HASANTEE leo nimeipata mapemaaa
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 6 ай бұрын
Tuned 🇰🇪
@ivanpatrick6479
@ivanpatrick6479 6 ай бұрын
Yani 2020 mpka sasa si imepita miaka 4 tu
@user-kj3sx1um6d
@user-kj3sx1um6d 6 ай бұрын
Mama ima toka mbezi simulizi nzur kweli vero
@miriam5735
@miriam5735 6 ай бұрын
Coronavirus ilikuwepo 2019 kutoka hapo mpk leo ni miaka 5 lakini ndugu yetu jesca ndani ya huo mda kabeba mimba 4 mimba zinatoka zikiwa na miezi 6 kabeba mimba ya 5 mtt kafariki akiwa na miaka 5 huu mwezi ndo kwanza wa 1 😢😢 mhhh najiona kabisa mm siyo mwelewa nielekezeni jamani
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Nami nimejiuza some question
@naomicharles5444
@naomicharles5444 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 6 ай бұрын
Watu walio wengi wanamiliki pesa za kafara iyondoshida pole sana
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 6 ай бұрын
Duuh inauma kwa kweli 😭😭😭🙌🙌
@user-yk8jc5sf7t
@user-yk8jc5sf7t 6 ай бұрын
Hi dada Veronica napenda simuliz zako zinanipa mafunzo
@neemahashim5524
@neemahashim5524 6 ай бұрын
Pole jamani jesca
@pendorobert3552
@pendorobert3552 6 ай бұрын
Da vero mbn simulizi hatuielew corona imeingia 2020 kama cyo 2019 mbn simulizi ni ndefu inapita miaka ya corrona ushaanza mambo ya nabii kuboko ya wachawi😂 Eti muite muamshe scolla eee baba ameamka😂😂 ila watu YESU wangu atarudi
@gilbertpantaleo7280
@gilbertpantaleo7280 6 ай бұрын
Leo tumepigwa na kitu kizito 😂😂😂😂... 2019 plus mimba nne ziharibike afu mtoto awe na miaka mi5 hapana aisee
@nuriatyhamiss7201
@nuriatyhamiss7201 6 ай бұрын
Chukua elim achan miaka ✌️✍️
@janethkomba4485
@janethkomba4485 6 ай бұрын
​@@nuriatyhamiss7201Kabisaaaa hasiwe kama refa😢
@ZainaAlly
@ZainaAlly 6 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 6 ай бұрын
Mmmmh uku tunako elektra mi naogopa 😢jamani
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
Ushilikina mbaya sana
@user-xh8zm8pw2p
@user-xh8zm8pw2p 6 ай бұрын
Utajir huo jamn mungu tusaidie
@GraceNoeli
@GraceNoeli 5 ай бұрын
Simulizi ya Roz ya tarehe 20
@eunicebuseni
@eunicebuseni 6 ай бұрын
Mbona mwanza hatuwapat
@user-bb2wu7wj9r
@user-bb2wu7wj9r 6 ай бұрын
Kwakwel hii story ni yakusisimua cna
@aishanyoha7591
@aishanyoha7591 5 ай бұрын
Nilikumisi san dada leo ndo nimekupat
@carolinekapufi7441
@carolinekapufi7441 6 ай бұрын
Mnaosema story yauongo kuna watu yan km kizazi chake kipo vizuri haichukui mda kupona na anabeba mimba mapema mind you corona ilianza 2018 means ndan ya uo mwaka aliolewa fasta fasta na kabeba mimba ukieka miezi 6 mara 4 ni 24 ambayo ni km miaka miwili from 2018 na 2019 kwaiyo mtoto iyo wa miaka 5 alizaliwa 2020 had leo ni miaka 5 kuna watu km sisi vizazi strong alianguka mimba ikatoka akasafishwa baada ya mwezi tu mimba ingine inaingia.
@zakariasamwel7145
@zakariasamwel7145 6 ай бұрын
Rudi shule tena,,,hesabu hujui
@verenabusanda4044
@verenabusanda4044 6 ай бұрын
2020-2024=4
@zakariasamwel7145
@zakariasamwel7145 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hesabu za wapi izo
@carolinekapufi7441
@carolinekapufi7441 6 ай бұрын
@@zakariasamwel7145wewe uloenda shule mbona hueleweki au unatafuta attention?
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 6 ай бұрын
Mi nilijifungua mwezi wa12 2019 , 2020mwez wa2 ndo corona inaanza kusikika China mpaka saiv mwanangu ana miaka4 na miez2 sasa huyo wa miaka 5 ilitokea vp
@RayRay-dr6rf
@RayRay-dr6rf 6 ай бұрын
Dah jmn nyie watu inauma atali
@RayRay-dr6rf
@RayRay-dr6rf 6 ай бұрын
Nakupenda madam vero
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 6 ай бұрын
Hiii niugooooooooooooòoo corona inamiaka mingapi
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 6 ай бұрын
Iv nyie embu usimsikilize bhan kama amuwez kuchangia vitu vya maana
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 6 ай бұрын
Corona ilikuwa 2019
@khorima
@khorima 6 ай бұрын
Ina maana hizi story ni za uongo basi na za kutunga au kuongezwa chumvi mingi au sio eti? Hebu Veronika tuoe ufafanuzi please
@user-lh8bx3rz1s
@user-lh8bx3rz1s 6 ай бұрын
Kamuulize bibi ako sawa veronica yupo busy sana kiukweli sawa eeee ayupo tayari kujibu maswali yakijinga kama ayo
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 6 ай бұрын
Acheni kumvunja mtu moyo kwa iyo mtu mzima akae apoteze mda wake kutudanganya ili iweje khaaaa
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan 6 ай бұрын
Kachanganya madesa ndio ya wakati ndio maana amesema Jesica ataongea mwenyewe j3 ili arekebishe
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 6 ай бұрын
Sasa hii simulizi inaanza kutisha
@rehematawalani733
@rehematawalani733 6 ай бұрын
Yaani usiseme mi ndo huwa hata simaliziiagi
@aishatest4451
@aishatest4451 6 ай бұрын
jamani duuu pole sana dada😭😭😭😭😭😭😭😭
@UMMUL-KHEIRRWAMRAZA
@UMMUL-KHEIRRWAMRAZA 6 ай бұрын
Da Vero ni wiki ya pili sasa Morogoro radio haishiki
@paskastanley7370
@paskastanley7370 6 ай бұрын
Itakuwa kakosea umri wa mtoto jaman,,corona ina miaka michache kuliko umri wa mtoto
@petertemba9048
@petertemba9048 6 ай бұрын
Umenivuruga sana mimba zote ziki miez 6×4 plus miezi 3x3 akiwa free bila mimba plus mimba ya 5 miez 9 plus miaka 5 ya mtoto..dah...kitu kizito bana hiki
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 6 ай бұрын
Unakuwa huzai kwani miezi 4 tayari mtt kabisa na unazaaaa
@jullytenga5934
@jullytenga5934 6 ай бұрын
Vero la kuambiwa xhanganya nabzako! Tangu covid 2020 mpaka sasa kumbuka ni miaka 3 tu, huyo mwanae amefikishaje miaka 4?
@jullytenga5934
@jullytenga5934 6 ай бұрын
Mtoto miaka 5 imefika saa ngapi jamani🎉🎉🎉🎉
@khorima
@khorima 6 ай бұрын
Sio kwamna huyu mwanaume alikuwa mchawi inaonekana huyu kijana alipata utajiri wa mikataba na manguvu ya giza kama freemason nk uaione watu wana utajiri mkubwa halafu ni watu wa kuji isolate sana wana makubwa wanapitia na huyu bwana anajua
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 6 ай бұрын
Yaa inaogopesha kwa kwel
@user-yc5il9fh4l
@user-yc5il9fh4l 6 ай бұрын
Mimi ninachowaza corona tangu ilivyoanza imepita miaka mingapi
@user-yc5il9fh4l
@user-yc5il9fh4l 6 ай бұрын
Mbona kama miaka ya hii hadithi ni mingi kuliko corona ilivyoanza kuingia
@PascaziaNhigula
@PascaziaNhigula 6 ай бұрын
Ndio maana ikaitwa simulizi
@khorima
@khorima 6 ай бұрын
Ila hizi story kwa kweli ukiangalia ni hadithi kama za SHIGONGO
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 6 ай бұрын
Sikilizen kwa makin jaman kipind kile corona zimeanza ilikuwa 2018 mwishon had sasa ni miaka mingapi imepita mnajua au tu mnasema uongo hayajawakuta ndlmana hata kuna watu wanasemaga uchawi amna ila ukiwakuta ndo wanaelewaga
@Vanessa_Petro
@Vanessa_Petro 6 ай бұрын
Huku mbeleni ni baraa
@aishanyoha7591
@aishanyoha7591 5 ай бұрын
Nilikumisi san dada leo ndo nimekupat
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10   -   26 JULY
57:08
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
RAIS SAMIA /SABABU UONGOZI MBOVU.MFAUME PASTORY /DORA KACHECHE
24:39
Ibada ya Jumapili | Ufufuo na Uzima Cathedral | 28 .07.2024
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 73
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 16 МЛН