🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10 - 26 JULY

  Рет қаралды 7,503

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Күн бұрын

🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10 - 26 JULY
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Пікірлер: 36
@gracelyimo6256
@gracelyimo6256 Ай бұрын
Numejifunza kitu kikubwa sana’Uhusiano wa mtu na Mungu ni inshu binafsi’
@sylviakitalika9719
@sylviakitalika9719 Ай бұрын
Kabisa, kuwa na Mungu kwa uhakika mtu unakuwa na nguvu hata kuliko watumishi ambao watu wanaweza kuwategemea
@magrethdominick9805
@magrethdominick9805 Ай бұрын
Simulizi nzuri sana katika haya maisha ukimtegemea MUNGU hawezi kukuacha kamwe mimi nina amini Mungu hajawahi kushindwa Yeremia 32:27
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 Ай бұрын
Sema dunia hii inauchawi wa aina aina huo uchawi ulikuwa Mkubwa sana kwaiyo kuuodoa inatakiwa nguvu ya mungu iliyoimara
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Hakika hii story imenifunza sana Mungu nimwema siku zote
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. Ай бұрын
Nimejifuza kitu kikubwa huusia nikitu muhim sana Dah Kunawatu wana roho mbaya sana pole sana Hamza waAsant da vero
@EndobileHerman
@EndobileHerman Ай бұрын
Inawezekana kweli baba hamza alimwambia mama white hiyo ni nyumba yake. Baadhi ya wanaume tu wadhaifu kwa wanawake. Mtu anaweza kumwambia wanamke gari lake kumbe kaomba kwa rafiki ake.
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Samahani da vero. Nimefatilia simlizi zako mda kodogo, nililikua naomba uniambie mda wa kuanza na lini hadi lini nianze kusikiliza napenda❤ sana simlizi zako
@naomiribson4615
@naomiribson4615 Ай бұрын
@@Levina0nesmo jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa Moja kamili
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Ай бұрын
Ahsante sana dada
@aishatest4451
@aishatest4451 Ай бұрын
😢😢😢😢
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Duh😢 maisha haya😮
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Duh😢 maisha haya
@fora2009
@fora2009 Ай бұрын
Huyu mama mtihani
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 Ай бұрын
Pole Hamza Ila ungeenda kutoa Sadaka Mungu anakusikia au kuita Masheik au Wachungaji wafanye maombi na sio kukaa tu
@AshaKillo-f1d
@AshaKillo-f1d Ай бұрын
Jamani ninikumsumbua mtt wamwezio mungu anakuona
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Mama wite muongo uyo ni tamaa tu zina msumbuwa anasingizia matehemu
@hadija_makange
@hadija_makange Ай бұрын
Haya yote alisababisha baba ake hamza nahy mwanamke pia mtihani sana
@user-un9xv6mu8b
@user-un9xv6mu8b Ай бұрын
Jamn hamza had nimetoka machoz kama naiona hiyo nyumba pole Sanaa kaka
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Ай бұрын
Mama wite. Ipo ck utalipia ili ww nahao unaoshirikiana nao yn famikia ya hamza sio kbs
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Ай бұрын
Daah pole sana,tumtangulize Mungu Kwa kila jambo
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 Ай бұрын
Mama white Limama lichawi
@user-lu4ie4fp1o
@user-lu4ie4fp1o Ай бұрын
Wakwanza leo
@user-vf3qt3lb9x
@user-vf3qt3lb9x Ай бұрын
Watu Wana malogo😂😂 sio poa 😢
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh Ай бұрын
Dada anavosimulia sasa
@naomiribson4615
@naomiribson4615 Ай бұрын
Anajivuta duh
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Mama white mchawi na alikuwa ana m blackmail kumwambia eti amemwachia baba ake as if ni kweli wakati ni yeye na uchawi wake. Watu wanajisahau sana sasa mbona kafa na kaziacha hiyo nyumba na pesa. Afrika ndo maana hatuendelei kwa sababu ya kurogana. Poke yake kijana
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Mtumishi wa Mungu anaambiwa unaweza kupambana namapepo Naye Mch anasema yani niache kuombea maisha yangu 😂😂😂😂😂famisihara niniiii namapepo
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc Ай бұрын
😅😅😂
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Ай бұрын
Nimecheka sana hapaa😂😂😂😂😂
@ScholarPeter
@ScholarPeter Ай бұрын
Kwaiyo watumishi wengi waongo 😂😂😂
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Duh😢 maisha haya😮
@IreneElias-t5y
@IreneElias-t5y Ай бұрын
😢😢😢
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Duh😢 maisha haya😮
@Levina0nesmo
@Levina0nesmo Ай бұрын
Duh😢 maisha haya😮
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA KASSIM SEHEMU YA 2 - 30 JULY
55:57
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 15 МЛН
RIPOTI YA LEO  KASSIMU VOLUME 04
42:22
Veronica Simulizi
Рет қаралды 4,6 М.
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 91 М.
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAMZA  SEHEMU YA 08  -  JULY 24
55:02
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 163 М.