🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 6 SIMULIZI YA SARA - MAY 30

  Рет қаралды 10,669

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Ай бұрын

🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 6 SIMULIZI YA SARA - MAY 30
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Пікірлер: 52
@annakimei4083
@annakimei4083 Ай бұрын
Da Vero punguzeni matangazo kwenye hii simulizi muda wa story uwe mrefu kidogo
@joycenamaumbo7697
@joycenamaumbo7697 Ай бұрын
Ndio shida ya kuamini watu badala ya kumuamini Mungu
@teddyurio2582
@teddyurio2582 Ай бұрын
Nahisi hata hiyo nyumba anayokaa mtumishi badae atasema ni ya kwake maan naona huyu ni Tapeli kama Tapeli wengine tu sema huyu kaja na njia y kuhubiri neno 😃🙌
@lucybatista2631
@lucybatista2631 Ай бұрын
Ila Vero bwana unajua kutupia bwana tena mitupio ya mana,,,maua yako Vero pokea
@yusuphsenkoro2759
@yusuphsenkoro2759 Ай бұрын
Veronica nakpenda sana unasauti tamuu natamani kuiskia mda wote
@user-dj3nf1wi2k
@user-dj3nf1wi2k Ай бұрын
Matangazo bhana
@hurumaanyisile1918
@hurumaanyisile1918 Ай бұрын
Mtumishi tapeli buaaaanaaaa shtuka kheee
@rabiarashid489
@rabiarashid489 Ай бұрын
Too much matangazo aisee
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Ай бұрын
Sarah, utaoshwa muosho mmoja hadi utii,, 🇰🇪
@aminakipande5645
@aminakipande5645 Ай бұрын
Kapigwa asee 😂😂😂wajinga ndio waliwao
@user-oy5oj6hh2q
@user-oy5oj6hh2q Ай бұрын
Pesa ya mkopo haina fungu la 10 Sasa unakopaje Ili utoe sadaka kupumbazwa Kiroho
@arjansonmloge5608
@arjansonmloge5608 Ай бұрын
Nanusa utapeli hapo!!
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Ай бұрын
Mmmh
@teddymassawe2834
@teddymassawe2834 Ай бұрын
Dada Vero Sara anaibiwa ndugu yangu.
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Ай бұрын
Mmmmh sara nahisi utapeli unakuhusu
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k Ай бұрын
Sarah nahuyo mtumishi wake wamchongo lazima kimrambeeeee📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 Ай бұрын
Mtumishi jambazi veronica anataka ajipatie utsjiri wa haraka
@user-ep7qs8ct6d
@user-ep7qs8ct6d Ай бұрын
Utuambie yale mashamba ya mumewake na ofisi alizo fungua imekuaje
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Ай бұрын
Huyo mtumishi mmmmh Sara Kaa chonjo kdg
@user-nn5lv6nb6i
@user-nn5lv6nb6i Ай бұрын
Yn hyo Sara atakuja kujuta na hyo mtumishi wake maan mpk ananikera ww mtu gan unaambiw mam ako mchaw n ww unakubar wacha akutapel ukome umenikel san yn
@user-no4rf5tu3h
@user-no4rf5tu3h Ай бұрын
Ndugu yangu nahisi atakuwa amefungwa akili asifaham chochot ndo maana anafuata tu kila kitu anachoambiw ingekuw ni akili zake za ukweli asingekubaliana na hayo maneno
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 Ай бұрын
Wa hivyo lazima aanze na ufahamu wako
@user-no4rf5tu3h
@user-no4rf5tu3h Ай бұрын
Ndio kwa sababu anajua nikiingia hivi hivi tu siwez pata chochot ndo maana anamkataz kuwa karib na watu ili asije akastukiwa au watu wasije mshauri Sara akakosa anachotaka kwa sara
@graciousmwacha
@graciousmwacha Ай бұрын
Cc huyu mtumishi kila mtu ni mbaya hii
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Ай бұрын
Yani hukuna kitu utakipata bila halama mtumishi kwako nichuma ulete naijua iyooooo twende kazi dada vero
@faidharamadhani1588
@faidharamadhani1588 Ай бұрын
Mmmh huyo mtumishi wa mchongo
@christinapaul4134
@christinapaul4134 Ай бұрын
Mmmh mtume roho yanguu Saraaa
@christinapaul4134
@christinapaul4134 Ай бұрын
Jamani naomba tuombe kwaajir ya Saraaa
@AzizaMerere
@AzizaMerere Ай бұрын
Heeee🙄🙄🙄 mjini shuleeeeeeeee
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Ай бұрын
80M aloo😂😂😂
@complex7582
@complex7582 Ай бұрын
Kwani mtumishi ni mwanamke au mwanaume
@mariakalson9254
@mariakalson9254 Ай бұрын
Mwanamke
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m Ай бұрын
Mwanamke huyo mtumishi
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Ай бұрын
Nmecheka eti ukimkopesha bwana 😂😂😂 dah cjui mbele itakuwaje
@maryammaryam444
@maryammaryam444 Ай бұрын
😂😂😂
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 Ай бұрын
Mchungaji tapeli huyo
@happynessswai3922
@happynessswai3922 Ай бұрын
Labda huyo mwanaume kaja kikuokoa kabla ujatapeliwa hyo m80
@lucybatista2631
@lucybatista2631 Ай бұрын
Yaan sio tu tapel mchawi aliyebobea
@thadeosanga7757
@thadeosanga7757 Ай бұрын
huyo mwanaume atamuokoa sara tu na utapeli
@ellysammy8129
@ellysammy8129 Ай бұрын
Yani naomba iwe hivyo mana huyu mtumishi kaa mchawi asee😂
@ChristinaSanulla
@ChristinaSanulla Ай бұрын
Anaibiwa Sara tapeli ilo
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 Ай бұрын
Hii simulizi haihuzunishi ila inakera. Iishage tu!
@aminakipande5645
@aminakipande5645 Ай бұрын
Kabisa aloo haina maajabu kabisa 😂😂😂
@janethjohn7994
@janethjohn7994 Ай бұрын
huyu mtumishi ni mwizi na ni mchawi pia
@OmarmsagoomarOmarmsago
@OmarmsagoomarOmarmsago Ай бұрын
mkombozi WA Sala huyo mwanaume
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Wanawake wengi wavivu kuomba mda wote pastor niombee ataakiota sm niombee hii story ni kwawote wavivu kuomba mnataka muombewe
@christinapaul4134
@christinapaul4134 Ай бұрын
Mmmh kwakweli limetukuta jambo
@user-dj3nf1wi2k
@user-dj3nf1wi2k Ай бұрын
Punguza matangazo
@user-ct8om8jw3l
@user-ct8om8jw3l Ай бұрын
Sala unataka kusababisha baba auze golofa ww😅😅😅😅
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 Ай бұрын
Huyo muite tu “mtumishi” da Vero sio “mtumishi wa Mungu”😂😂
@vailethhermanmlete
@vailethhermanmlete Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b Ай бұрын
Hawa Voda fasta wananichekesha
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [SIMULIZI YA SARAH SEHEMU YA 7]- MEI 31
56:47
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 55 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
🔴LIVE :  RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 7  SIMULIZI YA SARA - JUNE 3
49:11
🔴LIVE: SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA - JULY 02
55:38
EFM TANZANIA
Рет қаралды 6 М.
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 5 SIMULIZI YA SARA - MAY 29
45:22
🔴LIVE: SIMULIZI  YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA JULAI 1 - 2024
53:34
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН