🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 8 - APRIL 4

  Рет қаралды 9,303

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

3 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL 3
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 88
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 3 ай бұрын
Duuuu kweli ujana maji ya moto merc umetufungua macho sana haya maisha yanaweza kumfikia mtu yoyote usiombe kukutana na mtu jini loooooo
@sperabais
@sperabais 3 ай бұрын
Jamani mimi nitakuwq mshamba huo upuuzi wa kupenda ivo sina na haitakuja tokea nikapenda ivo eti unatiiiii mtu mwenyewe anakulaghai tu loh upuuz
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 ай бұрын
Huruma imewaponza wengi mzee kajitolea kulea anae lelewa anafata maelekezo ya meshaki dem mshamba sana
@RachelMkunda
@RachelMkunda 3 ай бұрын
Daaaa mercy ni mjinga 😢mwanzo nikajua huyo baba sio mwema kumbe ni mtu mzuri mwenye upendo
@atupelemsuva
@atupelemsuva 3 ай бұрын
Kweli wenye bahati ni wachache na Akili walinyimwa! Mungu tusaidie wanawake!
@user-mx7vo5mc9o
@user-mx7vo5mc9o 3 ай бұрын
Merce ni mjinga sana ameshidwa ata kuionea iyo familia huruma au ndo malipo amewalipa kwa mema yote waliyomfanyia
@evelyneibrahim7397
@evelyneibrahim7397 3 ай бұрын
Ashukuru asipate ukimwi
@quitnerjojo
@quitnerjojo 3 ай бұрын
Akomeeee na ninaomba mwisho wa simulizi aje aongee hapoo Ili nimfate hapo nimuongezee kichapooo🤨🤨🤨
@user-jc9oj1iv5r
@user-jc9oj1iv5r 3 ай бұрын
😂😂😂
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 3 ай бұрын
Haaaaaaaa kwahyo tunaungana au
@sperabais
@sperabais 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@simonmaige7785
@simonmaige7785 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@banguha
@banguha 3 ай бұрын
Kaniudh na kama yupo mjinga kama uyu kaniudh kweli unakuwaje mjinga familia iliyokupenda na kukufanya zaid ya mtoto wao kaniudhii
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 3 ай бұрын
Katapeliwa penzi pesa nakipigo jaman watu nimashetan😢
@lovenessmjaka9754
@lovenessmjaka9754 3 ай бұрын
Kabisa my umakini unaitajika sna MUNGU atusaidie 😢
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq 3 ай бұрын
Angalieni sana siyo kila kichaka unaweza kujisaidia,vichaka vingine ni balaa
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 ай бұрын
Uyo kaka alitakiwa amuuwe kabisa Mercy, maana ni mpuuzi, yani familia sio yako na wabakuoenda kuoitiliza ila unaleta ujinga??!!!
@berthasamuel4507
@berthasamuel4507 3 ай бұрын
Tungepataje sasa hii simulizi😢😢
@zaytunsuleyman-pp3yl
@zaytunsuleyman-pp3yl 3 ай бұрын
Alitakiwa hata wamtoe meno ya mbele yote hanausmart wowote
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 3 ай бұрын
😢😢
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 ай бұрын
Mercy utakuja kujuta sana
@AlexMasewa
@AlexMasewa 3 ай бұрын
Dada Vero umependeza sana
@cuthberthango7330
@cuthberthango7330 3 ай бұрын
Ni busara tu alionayo huyo Mzee ila mers ni utoto na kutokujuwa nataka kusema jambo Merc maisha yanaendelea maliza chuo muachie mungu tu kila kitu okoka na utapata mume wako KAZI pia utapata na familia utapata amino jina la mungu ameni
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Ulitakiwa upigwe haswa alafu umekosa maarifa na shukrani mjinga wew
@catherinehuruku9826
@catherinehuruku9826 3 ай бұрын
Roho ya umasikini, yakurudi nyuma ya mahangaiko. Hata bila huyo meshack maisha yake lazima yangepitia mengi. Ila bora kupitia mengi pekeyako kuliko kuumiza watu wengine
@graceelias8138
@graceelias8138 3 ай бұрын
Hii imenifanya nimuhurumie huyu mzee
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Mimi piah😩
@ModesterSeverin-rq5uo
@ModesterSeverin-rq5uo 3 ай бұрын
Ila mi naona kosa ninla hawa wazaz walbana sana lbda kama wangemuacha kwa yule kijana wenda angekua na uzoef na wanaume upande wa tabia za wanaume
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Hatari sana aisee huyu dada msimlaumu sana wala msimcheke ni kweli mapemzi yanatia upofu ila katusaidia Kwa kutusimulia at least tujifunze. Wengi wameumizwa sana. Tujifunze. Alipoanza kumhusisha na pombe mara sigara sijui Nini hizo ndio zingekuwa dalili za kuachana kabisa na huyo kijana. Mara Bangi.....
@Nuyusal96
@Nuyusal96 3 ай бұрын
Mapenz yana nguv san, kila mtu ni mtumwa wa mapenz akizama hasa akiwa wa mwanzo, hiv tuczid kumlaum mec huend anaona hiz coment na zinamzidish machung, kinachotakiwa ni kujifunz kutok kwake na ndio leng la kucmulia
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m 3 ай бұрын
Hakuna rorote huyu mess hana akili kabisa kwasababu anaweza kuweka msimamo wake no no ila yeye alikuwa nimjinga pia mshamba wa mapenzi mbaka anashawishik kuvuta banki halafu mwanachuo mzima nibora angekuwa mtoto mdogo sawa mtu mzima hovyo kaniudhi sana mess kumfanyia hivyo baba wawatu amakweli mfadhili mbuzi unywe mchuzi si binadamu kwakwel roh chefu
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Kabisa kabisa huwenda anapitia comment zetu🥲 tujifunze tu kupitia yeye😓
@user-cb3yy8tp2u
@user-cb3yy8tp2u 2 ай бұрын
Uyo demu miyeyusho sana
@salmaabuu765
@salmaabuu765 3 ай бұрын
Messy Kuna vitu anatuficha messy akuwa anavutishwa bangi hapana alikua anavutishwa madawa Na Ndio maana alikua akikosa anapata arosto Na Binadam yoyote akishaingia kwenye uraibu anapoteza utu wake anakua Mtu wa liwalo Na liwe mteja afadhiliki
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
Yaani we uwe mess au ronaldo Usmart gan ulonao ? au huo wa kumfanyia baba ako " UJAMBAZI"?
@MariaAjili
@MariaAjili 3 ай бұрын
Mara ya kwanza na comment binti huyu alikua mjinga kweli kbs 😂
@doricehungu5817
@doricehungu5817 3 ай бұрын
Nackiliza hii habar naamini mwananchuo mwaka wa Pili ni mtu mzima sana na anajielewaaa siamini ninachokickia
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 3 ай бұрын
Maisha ya chuo yanachangamoto sana zaidi hata ya haya ya mercy anatushirikisha. Maisha ya chuo ni upupu usioonekana . Ukipata nafasi washauri wanachuo na wale wanaoelekea chuo😢 na wale ambao wamemaliza chuo. Chuo kikuuu sijui ni nani aliweka neno hili Kuna mambo makuuu yasioelezeka .SIKU NI KILEWA NITASEMA UKWELI 😊
@Nuyusal96
@Nuyusal96 3 ай бұрын
Mapenzi yan nguv sana
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Hata mimi nimeshangaa ninini kimempata huyu Binti mbona alikuwa strong sana hapo mwanzo
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Ila Kwa kweli chuo kikuu Kuna mambo....@thobietha Kinachochangia sana watu kuharibikiwa chuo kikuu ni ule uhuru na utandawazi wa ghafla kijana anaoupata Sasa akikosea pale ndio basi tena. Wengi wameharibikiwa, wamekufa, wame disko etc Kwa sababu ya kuendekeza mapenzi chuo
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
​@Nuyusal96sana😢
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 3 ай бұрын
Mmmmh jmn ivi kwanini ali achia p nafasi ya kukaribu nauyo meshak😡 kuwa mpenz 😡bara kesho lnshaallah tumalize hii simulizi ina bowa sn uyo mes 😡😡😡😡😡😡
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 3 ай бұрын
Umeonaeeh..yni yaboa sanaaaaa.....bora yoishe tuu...mschana afabu hana wala fikra wema wote huo alfu walipa watu upuzi
@user-vg2uc3hw1v
@user-vg2uc3hw1v 3 ай бұрын
Daaa mess ilitakiwa wakutoe meno
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
😅😅
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 ай бұрын
Sikutaka kucoment chochote kakin hyu mess m naona ni katika mashetan waliotupwa dunian inawezekana mojawapo ni hyu mesi hakika maana sio akili ya kawaida hii
@SarapiaMfoi
@SarapiaMfoi 3 ай бұрын
😂😂😂jamani nilichezea kipigo kama mazur
@user-el6kw3kw6q
@user-el6kw3kw6q 3 ай бұрын
Da vee umependzaa❤
@user-el6ev9dt5k
@user-el6ev9dt5k 3 ай бұрын
Nimechelewa ndio naifatilia saa hii
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
💔💔💔💔Daaah sujui niseme dunia sina huruma maana mtu kajitoa juu yamaisha yako km mtoto wake wakumzaa bado unamfanyia ushezi nakujisahau km umesaidiwa yani ushajimilikisha km mtoto wa uyo mfadhiri khaaa "wewe mercy lazimaaaa uje upigwe nakitu kizinto ambacho utajuta maisha yako yoteee baada yajahazi lako kuzama😭😭😭😭
@noelkalinga
@noelkalinga 3 ай бұрын
Masikini hana chaguo ndomana hata matajiri hawapendi mazoezi na watu wenye uwezo mdogo sababu masikini hana changuo anaweza geuka mda wowote tofauti na watu wenye kipato sio rahc kulaghaika
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
@@noelkalinga Kabisaaaa💔💔💔💔
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Huyo n tahra aelekezwe mara ngap?
@jacklinemasanja5246
@jacklinemasanja5246 3 ай бұрын
Hahahaha watu wanahasira sana umu jamni
@SabrinaBaajun
@SabrinaBaajun 3 ай бұрын
Pole Sana mercy
@floramakanya8859
@floramakanya8859 3 ай бұрын
Jaman
@complex7582
@complex7582 3 ай бұрын
Mambo
@zaytunsuleyman-pp3yl
@zaytunsuleyman-pp3yl 3 ай бұрын
❤❤❤
@AbediHanzuruni-wq5oi
@AbediHanzuruni-wq5oi 3 ай бұрын
Mecy ni mtu aliye zaliwa na roho ya masumbuko hata angenda wapi ange vuta bangi pombe na vyote vichafu na ndiyo dunia kuna mazuri na mabaya yote ya mungu likikufika mbaya unajiona mjinga na likija nzuri unakuwa mjanja...
@Laurentupendo4
@Laurentupendo4 3 ай бұрын
Oooh my goddess 😅
@PabloojrJeremiah
@PabloojrJeremiah 3 ай бұрын
Jamani hatari san
@dauditheking1312
@dauditheking1312 3 ай бұрын
Uyu dada mjinga wa mwisho
@user-dl3ip5gj9b
@user-dl3ip5gj9b 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@anifambwelo
@anifambwelo 3 ай бұрын
Kweli binadamu sio wema,huyu dada ni hatari sana
@banguha
@banguha 3 ай бұрын
Unajua ndiyo maana watu wanaogopa kuwekeza kwa watoto wasio wa kwao Yan mtoto asiye wako akishauriwa tu kuwa unajua uyu sio mzaz wako kuna siku atakuacha na yeye anafata hana muda wa kutafakar mala mbili hakumbuki mazuri anashawishika haraka upuuz tu unadhan mercy angezaliwa na uyo baba angeyafanya haya
@aminajuma148
@aminajuma148 3 ай бұрын
Ama hakika mfadhili Mbuzi utakula nyama
@MariaLenny-fg6nv
@MariaLenny-fg6nv 3 ай бұрын
Spat pcha kaka ake au baba akijua
@mkwajiJeremiahphineas-te9us
@mkwajiJeremiahphineas-te9us 3 ай бұрын
Wanaweza kumnyonga😂
@janethferous
@janethferous 3 ай бұрын
Yani mesi wew ni jini mkata kamba
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
Yaaan wew ni "LAANA MATULLAH" kabisaaa
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 3 ай бұрын
Mmmmh hatari sana
@PabloojrJeremiah
@PabloojrJeremiah 3 ай бұрын
Jamani daar
@wemanjau5102
@wemanjau5102 3 ай бұрын
Mercy umelaaniwa mbingun na dunian
@evelyneibrahim7397
@evelyneibrahim7397 3 ай бұрын
Hicho kipingo hamu ya kitu itakuwa haikupatikana ...mhh sasa akilii zimerudi
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 3 ай бұрын
Duuuu usiombe kukutana mtu jini katika hii dunia looooo kuna watu wana roho mbaya
@clairenahimana1787
@clairenahimana1787 3 ай бұрын
Jamani
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 ай бұрын
Ngoja tuone mwisho wake kesho
@AbediHanzuruni-wq5oi
@AbediHanzuruni-wq5oi 3 ай бұрын
20:19
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Kwel ingebd atolewe meno huyo bnt amekuwa shetwan
@user-mu6ml3wu5v
@user-mu6ml3wu5v 3 ай бұрын
Walimloga itakuwa 😢
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Labda😩 kwaakili ya kawaida ni ngumu🥲
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 3 ай бұрын
Mmmmh jmn ivi kwanini ali achia p nafasi ya kukaribu nauyo meshak😡 kuwa mpenz 😡bara kesho lnshaallah tumalize hii simulizi ina bowa sn uyo mes 😡😡😡😡😡😡
@PabloojrJeremiah
@PabloojrJeremiah 3 ай бұрын
Jamani hatari san
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU MWISHO - APRIL 5
55:05
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA  JOVIN SEHEMU YA PILI  - APRIL 9
50:39
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 6   - APRIL 01
49:33
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERCY SEHEMU YA  2   -  MARCH 27
43:16
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН