🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 6 - APRIL 01

  Рет қаралды 10,747

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

3 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 6 - APRIL 01
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 50
@ashurajuma4837
@ashurajuma4837 3 ай бұрын
Ila da Vero anavyosimulia hapo kwenye pete utazani alikuwepo😂😂
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 3 ай бұрын
Minahis kaka anampenda mercy jaman naana muandaa kuwa mke wake😊
@janethkomba4485
@janethkomba4485 3 ай бұрын
Nauyo kaka sijui km atomtongozaaa maana ata km sio kwaulindaji huwo,simu masaa 24 km mtoa uduma wa voda khaa
@KhamisiBakari-xf4er
@KhamisiBakari-xf4er 3 ай бұрын
Yaani kabla sijajua mwisho wa story inaonekana huyu mesi ni mjinga mjinga sana japokua ni msomi yaani hovyo kabisa
@Mushizoo
@Mushizoo 3 ай бұрын
Pamoja sana dada vero❤
@evelyneibrahim7397
@evelyneibrahim7397 3 ай бұрын
dada vero natamani kukujua zaidi..heri ya pasaka
@user-el6kw3kw6q
@user-el6kw3kw6q 3 ай бұрын
Hiii story inavutia japo hatujui chambele
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Yaani kaka Ake mecy amemwokoa alikuwa analiwa leo
@muntazsaleh2023
@muntazsaleh2023 2 ай бұрын
😂
@salmachuwa5147
@salmachuwa5147 3 ай бұрын
❤❤❤ veronica story ni moto ooo
@THOBIASMIGONZO
@THOBIASMIGONZO 3 ай бұрын
Nakupata vizur kabisa
@user-nb2vi4tj6w
@user-nb2vi4tj6w 2 ай бұрын
Tunaoenjoi kicheko cha da vero tujuane😂
@user-yv4wd5ii8k
@user-yv4wd5ii8k 3 ай бұрын
Da vero anavyoelezea huyo dada aliyevishwa pete mie hoi kwa kicheko😅😅😂
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Hi dada Veronica,heri ya pasaka nakuona u mzima
@naimamalekela812
@naimamalekela812 3 ай бұрын
Dada Veronica nakusikiliza nikiwa muscat oman
@AliceOberlin
@AliceOberlin 3 ай бұрын
Da vero napend Sauti yako sana❤❤
@user-wl8bj4mm8i
@user-wl8bj4mm8i 2 ай бұрын
10080
@user-oy5oj6hh2q
@user-oy5oj6hh2q 3 ай бұрын
Namashaka na uyo rafikiii
@JohnKalinga-oz7xe
@JohnKalinga-oz7xe 3 ай бұрын
Morogor upande wa redio haishiki jaman kuna nn vero
@user-el6kw3kw6q
@user-el6kw3kw6q 3 ай бұрын
❤❤
@user-ly8gx4jp1v
@user-ly8gx4jp1v 3 ай бұрын
❤❤🎉
@josephinjulius6008
@josephinjulius6008 3 ай бұрын
Uyu kaka ana ajenda sio bure
@josephinekamluc1969
@josephinekamluc1969 3 ай бұрын
Umendeza da Veroo
@WemaHenry
@WemaHenry 3 ай бұрын
Duuh!Hatareeeee
@AliceOberlin
@AliceOberlin 3 ай бұрын
Da vero ❤ 9:38
@user-lv8sv9nf2k
@user-lv8sv9nf2k 3 ай бұрын
Naomba kujua morogoro mnapatikana kwa namba ngapi?
@user-oy5oj6hh2q
@user-oy5oj6hh2q 3 ай бұрын
95.5
@user-lv8sv9nf2k
@user-lv8sv9nf2k 3 ай бұрын
Asante
@catherinehuruku9826
@catherinehuruku9826 3 ай бұрын
Da vero twende na muda tuachane na vitu unnecessary bhanaa. Story za pete zinamaliza bando tuu😁
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Mmmh yaani hii familia ina kazi na uyu bint kabisaa ngoja tuone mwisho syo kumlind ivii loh
@EzekielDebora-cd2ib
@EzekielDebora-cd2ib 3 ай бұрын
Da veroo yani anavokolezaga mie hoii akaaa😅😅
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 ай бұрын
Mercy nae mpuuzi tu, angenyanyuka akaondoka angepungukiwa nini???!
@user-jk8qn4zi5t
@user-jk8qn4zi5t 3 ай бұрын
davero 🤣🤣nimecheka hapo kwenye pete eti baby nakupenda 🤪🤪makisi kama yote🥰🥰
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 ай бұрын
Mwanamke mwanamke tu kama mkate kwene chai
@user-ji9wf9dh8h
@user-ji9wf9dh8h 3 ай бұрын
Kama je hesabu hatujui tutajibuje swali gumu hivyo la dakika duh
@naimamalekela812
@naimamalekela812 3 ай бұрын
Et kamuheshimisha😂😂😂kweli mambo ya mjini haya😂😂😂😂😂
@JohnKalinga-oz7xe
@JohnKalinga-oz7xe 3 ай бұрын
Moro haishiki kuna nn
@editorfrank7471
@editorfrank7471 3 ай бұрын
wapendwa naomba mnikumbushe ile story ya yule dada aliyetapeliwa na mwanaume hadi akauza nyumba na kiwanja,akaja kukutana nae mwenge akiw na mwanamke mwingine😀
@priscarjohn
@priscarjohn 3 ай бұрын
Hahaaaaaa nmecheka jaman,kunawanaume nimatapeli mpaka sio vzr
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Ya zulpa
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Zulpha
@editorfrank7471
@editorfrank7471 3 ай бұрын
Ahsante kipenz
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 3 ай бұрын
Milioni 2 muongo 😂😂😂😂😂😂yaani tapeli
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
Mmh😅
@SalomeObedyMwinuka
@SalomeObedyMwinuka 3 ай бұрын
Da vero❤
@JuliethJulius-vm1uq
@JuliethJulius-vm1uq 3 ай бұрын
Mercy kaka umepata kwakweli 😂😂
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 3 ай бұрын
Minahis kaka anamtaka mercy
@ArafaAlly-gs3yi
@ArafaAlly-gs3yi 3 ай бұрын
@@Lilian2023-pc1lrusikute mama ndo alitaka awe mume wake
@user-lu4ie4fp1o
@user-lu4ie4fp1o 3 ай бұрын
Wao dada vero nimekuwa nikikusikiliza tu nimefurahi kuku ona dada nimekuwa nimejifuza mengi kuhusu simlizi zako
@AliceOberlin
@AliceOberlin 3 ай бұрын
Da vero ❤ 9:38
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU MWISHO - APRIL 5
55:05
RIPOTI YA LEO JOVIN SEHEMU YA 01
51:58
Mpapai TV
Рет қаралды 190
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
Gari ya Pastor Tony Kapola. Kwanini aliamua kununua Ineos Grenadier
3:56
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 35 М.
Michael Pilarczyk: Hoe Je EINDELIJK Afkomt Van Stress en Onzekerheid
1:32:28
SHEMEJI KAPATIKANA ....
3:01
Mr Uky
Рет қаралды 20 М.
🔴LIVE:  RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL02
53:32
RIPOTI YA LEO  BONIFACE  VOLUME
41:00
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
ILIKUAJE : ANN MWANGANGI - KAZI YA KUHIFADHI MAITI NI PASSION YANGU
42:34
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 238 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН