🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU MWISHO - APRIL 5

  Рет қаралды 12,829

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

3 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 8 - APRIL 5
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 80
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 3 ай бұрын
Mungu akubariki Vero Mungu aendelee kukuinua ilivyotoka kwa Rweikatare niliumia sana nikasema ndo tumemmisi Vero kumbe kweli wakati wa Mungu ni sahihi
@vickysteven1172
@vickysteven1172 3 ай бұрын
Nilichokugundua sisi wazaz hatuwez kulea bila msaada wa Mungu bila shaka Marcy hofu ya Mungu ingemsaidia ila tunajifunza kutokana na makosa😭
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Aisee. Bila maombi never kutoboa inaumiza sana wadada wengi sana wanajiharibia sana Kwa kutokujali kesho Yao it's very pain ni hasara kubwa sana kushindwa kulinda ujana
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 3 ай бұрын
Emungu nisaidia kizazi changu 😢nilindie kizazi changu 😢🤲🤲🤲🤲
@akonlinestudio
@akonlinestudio 3 ай бұрын
Watu wengi wanamlaumu meshack jambazi ila tumesahau chanzo cha haya yote jamani MARAFIKI MARAFIKI ni wabaya sana hawa viumbe ukiwa hauna ulazima wa kuwa na rafiki achana nao kabisaaa
@onestykavishe6055
@onestykavishe6055 3 ай бұрын
True
@teddyurio2582
@teddyurio2582 3 ай бұрын
Simulizi Hii imenipa funzo kama kijana wa kike Mungu tupe macho ya kuona
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 3 ай бұрын
Nipo na wewe kindakindaki toka ukiwa kwenye hiyo media moja hivi (kwa mama Rwakatwale) wewe na Ben bonge. Kipindi hicho nipo chuo kilikuwa kipindi kule ni Cha asubuhi. I love you, mama ndo usiseme, yan akisikia sauti yako tuu anakaa kwa kutulia😂😂😂🥰🥰🥰🥰
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
NAMI PIA NIPONAE TOKA AKIWA KWA MAMA APUMZIKE KWA AMANI😭
@user-qo1ve7pb2n
@user-qo1ve7pb2n 3 ай бұрын
Kilikuwa kinaitwa prays power hata mm nimemsimiliza tangu kipindi hiko
@sylviakitalika9719
@sylviakitalika9719 21 күн бұрын
​@@user-qo1ve7pb2n Praise power
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Ripoti ya pili mbaya kutoka chuo kikuu kwa wasichana. Watu wengi hawataki kuwasaidia wasichana wanakataa disappointment kama hizi. Sijui nini kifanyike, kwani mercy hakuwa na shida yoyote, alikuwa na kaka wa kumuonya na kumfuatilia. Sijui tuwaache wawe wajanja kabla ya chuo? Labda watajua matapeli na wa kweli? Sijui tuwafungie device/chip itakayo wa monitor kila walipo ili tuwafuate? Inauma mtoto mdogo anakumbana na gonjwa na shida kama hizo, bahati huyo mzee ana roho kama nae angembwaga si angeishia kujiua 😭😭😭😭. Mungu tulindie hawa watoto
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 ай бұрын
ooh nimeumia Kwa kweli, Meshack amekuharibia Maisha tuned 🇰🇪
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
😢😢😢pole sana mercy inauma sana
@dayana5513story
@dayana5513story 3 ай бұрын
Hii story imeniliza😢nimekumbuka maisha ambayo nimepitia ya mateso mercy ulipata bahati ya watu wema,Asante mercy ubarikiwe sana kuna vijana wengi wako wanapitia,
@agripinameinrad65
@agripinameinrad65 3 ай бұрын
Aisee maisha haya
@Munirajuma-sv5hk
@Munirajuma-sv5hk 3 ай бұрын
Pole unatufundish wengn
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 3 ай бұрын
Bora hii simulizi imeisha...yni usomeshwe mpka chuo kikuuu...kupigwa upigwe..utapeliwee..maradhi pia upewe...aki pole sanaa
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 3 ай бұрын
Dah!! Kweli yalikukuta makubwa dada Mercy!! Mmh!! Pole sana mwaya
@user-cq6nn9xz5w
@user-cq6nn9xz5w 3 ай бұрын
Pole Mercy Mungu yupo na wewe kipenz
@agripinameinrad65
@agripinameinrad65 3 ай бұрын
Ahsante KWA somo nimejifunza
@nusrashaban6946
@nusrashaban6946 3 ай бұрын
Inna lilah waina ilaili rajiun 😢😢😢
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Hongereni sana kwakupambana, hongera dada Veronica
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya Ай бұрын
Mh.uy u.mers
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 3 ай бұрын
Duuuu mimi kama mzazi nimelia mana sijui watt wetu nini wanafanya wanapokuwepo mbali na wazazi wpoo😢😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Kuwaombea usiku na mchana maana shetani yupo na anachojua ni kutuharibia maisha
@user-bx1eo2wc4h
@user-bx1eo2wc4h 3 ай бұрын
Hata mm nimelia jaman😢😢😢
@enelisa01
@enelisa01 3 ай бұрын
🙌🏽
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Pole sana mess kwa yaliyo kukuta inabid umrudie muuumba wako
@samwelmkepule9361
@samwelmkepule9361 3 ай бұрын
upo special vero, yo doing good.
@DianaCharles-uk7gu
@DianaCharles-uk7gu 3 ай бұрын
Yaaani nimesikitika sana jamani,,meshack mungu anamuona kwa kweli
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
😢😢😢
@olivajohn9301
@olivajohn9301 3 ай бұрын
Pole sana mecy
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Huyo baba anaroho ya kipekee kweli kuna watu watakatifu
@CatherineKibona-hf6yg
@CatherineKibona-hf6yg 3 ай бұрын
Daaaaa
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 3 ай бұрын
😢😢😢 jmn Adi uluma😢😢😢
@user-om6im6wh6p
@user-om6im6wh6p 3 ай бұрын
😢😢
@olivajohn9301
@olivajohn9301 3 ай бұрын
Ohh my god😢
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 ай бұрын
Uwiiiii mamaweee😢😢😢
@olivajohn9301
@olivajohn9301 3 ай бұрын
😢😢😢
@lynepeter7040
@lynepeter7040 2 ай бұрын
Dah maisha ya chuo unakuwa mlokole unadumbukia kwenye mtiani unakuwa mpole unakutana na wahuni dah bila maombi na kujitambua ni mtihani sana wazaz tuwe tunafatilia watoto vyuoni huko na kingine😂tufundishe watoto tangu wakiwa umri balee kuhusu maisha na jamii pia inauma sana mzaz analia sababu ya binti au kijana wake
@devothafilbert2347
@devothafilbert2347 2 ай бұрын
Uwii
@nicolauschanda7075
@nicolauschanda7075 3 ай бұрын
Inasikitisha sana😢
@user-yv4wd5ii8k
@user-yv4wd5ii8k 3 ай бұрын
Jmn maskini hatuna fadhila hata kidogo 😢 Mercy jmn had machozi yamenitoka
@user-ct8om8jw3l
@user-ct8om8jw3l 3 ай бұрын
Sikulaum my pole sana yan sana2 najuwa 😭😭😭😭😭
@khorima
@khorima 3 ай бұрын
Balaa sana hii.
@onestykavishe6055
@onestykavishe6055 3 ай бұрын
Hp mwishon umekazia vizur sana hakuna mwanaume anakufundisha vilev akakuoa
@user-xd6pr6lx3r
@user-xd6pr6lx3r 3 ай бұрын
Naitwa mamy Angela jaman merc nimemuonea huruma sana na ugonjwa Tena ooh hiyo Ni too much mungu ampe nguvu sana
@user-pv6wq4bc2d
@user-pv6wq4bc2d 3 ай бұрын
Nmelia sana kwa uchungu
@efrazialovenesshenerico3208
@efrazialovenesshenerico3208 3 ай бұрын
Walimwengu. Jamani
@zaytunsuleyman-pp3yl
@zaytunsuleyman-pp3yl 3 ай бұрын
Kuna ulemsemo ispokufaa akili Yako utakutesa ujinga wako Kuna uli mwingine uspokumbuka ulipotoka utapotea unapoenda Huyu ndo mercy Sasa msomi mpumbavu Ila meshack aya bhana ngoja tumuache mungu aku judge yeye ila kama malipo ni hapa hapa dunian utalipa Tena kwa riba😢
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 ай бұрын
Daaah yaan ww binti ni skio la kufa kabisa jaman daaah kaka ako alipokua anakufatilia ulijua anakusumbua hya sasa ujanja mwingi mbele ni upumbavu😢😢
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 3 ай бұрын
Somo kari sana
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Tumuuombe mungu atusaidie
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 3 ай бұрын
Nimesikitika saaana 😢😢😢😢😢
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 3 ай бұрын
Kitambo sana da vero tena kipindi kilikuwa asubuhi kipindi hicho kabla hujaja EFM
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
Yess kila mtu atavuna alichopanda sasa ndo malipo hayo ila pole xan!!
@catherinehuruku9826
@catherinehuruku9826 3 ай бұрын
Kakaake mercy 😂😂 hakuna kumlembea mtu ni makavu live
@theresiashirima7562
@theresiashirima7562 3 ай бұрын
Jamani dah! 😭 dada Vero vipi Mercy aliendelea na chuo kweli?
@user-qh9yd9xk1x
@user-qh9yd9xk1x 3 ай бұрын
Hey hey hey mapenzi haya sio poa
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 ай бұрын
Na hyu baba jaman anamoyo wake daaah aiseee na hyu baba ndomana anapata ridhiki maana pamoja na yote mes alioyafanya hyu baba hajamwacha mesi jaman daaah
@user-qh9yd9xk1x
@user-qh9yd9xk1x 3 ай бұрын
Wanachuo sijui wana shida gani.
@danamickle9739
@danamickle9739 3 ай бұрын
Oooooh God
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Huyo mess alijifanya yeye anayajua mapenz sana alifuatiliwa sana lakn hakusikia ckio la kufa halisikii dawa kwel mfadhil mbuz utamla mchuz
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 3 ай бұрын
kwenye maish kunabahti baya ndio iliyokukuta aise
@colvensicolvensi462
@colvensicolvensi462 3 ай бұрын
Mjini mambo mengi sana mda ni mchache
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 ай бұрын
Watoto wetu jaman mec ulipata bahati kubwa mnoooo ww na mdogo ako hyu baba amewalea vzr kanakwamba watoto wake kila unachokitaka unapewa jaman ndio maana mm nilisema hyu bint itakua katika wale mashetani waliomuas mungu wakatupwa dunian yamkin mojawapo mess maana hyo sio khali ya kawaida mtu gani usiojionea huruma ww fyuuuu
@user-zr1qf9sm3s
@user-zr1qf9sm3s 3 ай бұрын
Mpaka nimelia jaman dàah wanachuo sis😭😭😭
@DianaCharles-uk7gu
@DianaCharles-uk7gu 3 ай бұрын
Roho imeniuma sana kwa kitendo alichofanya meshack kwa mes
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Mercy ali mesi baada ya kujiona amekuwa mdada mkubwa Kwa nini Kaka ake anamfuatilia, kama angeona woga na heshima hangeendekeza tamaa ya mwili kuliko heshima Kwa watu waliomlea Kama mtoto wao
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Mungu awe nawe usikutane na mtu shetani kama Meshack
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Analia unafk huyo mess
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Nilijua tuu mwisho wa ili ni Maradhii
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 3 ай бұрын
Pumbaaaaaavu xan wew Ronaldo unaona sasa una alosto 🤣🤣
@EstherYouze
@EstherYouze 3 ай бұрын
Kaka yake mesi km ndo mumeo utakoma😂
@user-ly8gx4jp1v
@user-ly8gx4jp1v 3 ай бұрын
Yan hutoboi hapoo😂
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 3 ай бұрын
MESHAKI ANAISHI NA LAANA MAANA ALIVYOKUW ANAMFATILIA BINT WAWATU KHAA UTASEMA KONDOO KUMBE CHUI😢YANI KATOA BIKRA,NAKAMPA ZAWADI YAKUVURUGHA KILAAAA KITU,BADO AKAONA KWA MEC AITOSHI AKAENDA KUPIGA MILION 20 KWABABA NAKIPIGO CHA MBWA MWIZI JUU KHAA KWERI KUNAWATU AWANA HURUMA NAWATOTO WAWENZAO😢😢😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Binadamu wamekuwa wabaya kuliko wanyama. Huku vyuoni si salama kabisa, ripoti ya pili hii kwa muda wa kama mwezi wasichana wanaharibikiwa huko chuo kikuu. Wazazi tusichoke kuongea nao na kuwaombea wasiwaamini watu wanaokutana nao huko
@GudilaPendo
@GudilaPendo 3 ай бұрын
Inasikitisha jamani mungu atulindie watoto wetu pole sana mecy
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 36 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7  -  APRIL 3
58:11
🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA  7   -   JULY 09
56:39
RIPOTI YA LEO JOVIN SEHEMU YA 4
44:50
Mpapai TV
Рет қаралды 435
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 8  -  APRIL 4
52:40
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 01
23:53
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO  SIMULIZI MPYA YA HAJJI   - JAN 16 / 2024
54:16
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 36 МЛН