🔴LIVE​​​​​​​​​​​​​​​ || SISTER AFICHUA MAZITO "NIMEMWONA ROLINGA" ASHANGAZWA UGONJWA ULIVYOTOWEKA

  Рет қаралды 21,608

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...

Пікірлер: 37
@lazaromwala9498
@lazaromwala9498 Жыл бұрын
Ushuhuda mazuri lakini kwa msimamo wa dhehebu lake hataletewa vikwazo kwenye huduma yake lakini lazima tutazame ukuu wa Mungu tu
@augustmbuya8385
@augustmbuya8385 16 күн бұрын
Shaloom wanafamilia wa Mungu,Haleluya Tv haipatikani hewani Azam TV Dar Es Salaam tunaomba muirekebishe
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Жыл бұрын
Nimepata uelewa mkubwa jinsi mlolongo wa nguvu za giza na mateso yatokanayo... nifanyeje namimi niko hapa ujerumani? Nafsi yangu inatamani kufika hapo Omega ministry
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Yeye ni sister ametokea Kenya anaishi Spain, asema ni sister toka dhehebu gani au shirika lipi la utume Kati ya madhehebu yenye nafasi za usister na isiwe michongo ya ajabu
@mgonzamsuya2039
@mgonzamsuya2039 Жыл бұрын
Sioni sababu yayeye kutaja dini maana hapa lengo nikuongelea jinsi alivyovuka sio jinsi anavyotumikia dhehebu
@justinambrose3577
@justinambrose3577 Жыл бұрын
Sister kutoka wapi na shirika gani?
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 Жыл бұрын
Hallelujah! Mungu akubariki Sr Faith! Mungu ameamua kukuonyesha matendo makuu kupitia watumishi wengine wa Mungu.
@kkjustn8385
@kkjustn8385 Жыл бұрын
MUNGU tukumbuke kwajina LAYESU
@estinomkinga1260
@estinomkinga1260 Жыл бұрын
Huyu sista ndugu zake kiimani wanayajua hayo? comments za matus na kejeli, kama ilivo zoeleka Kwa wenzetu sizioni!!
@mukunderashid9092
@mukunderashid9092 Жыл бұрын
Mungu anagusa kweli kweli myioyo ya walio wake ❤️👏🎁🙏
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
Sr Faith nimependezwa sana na USHUHUDA ILA NINA SWALI MOJA BADO .Je kwanini huwazi kuwa NAWE YESU AWEZA KUKUTUMIA KWA MIUJIZA NA ISHARA NA MAAJABU ? Je ungependa YESU AKUFANYIE HUDUMA ILI UKAWAPELEKEE WENGINE UPONYAJI TOKA KWA MUNGU?
@Maureenjason9651
@Maureenjason9651 Жыл бұрын
Hakika mm nimejengwa sana ushuhuda sister Faith, kwa kweli watu wa MUNGU. MUNGU anatenda mambo makubwa kwa nini tusimshukuru. Haya Madhabahu ya OMEGA NI YA YESU KRISTO. AAAAMEEEEN.
@suzanakihoo5054
@suzanakihoo5054 Жыл бұрын
Sr. Faith which congregation are you belong??
@jamesswai6583
@jamesswai6583 Жыл бұрын
Powerful Testimony
@aminitu3766
@aminitu3766 Ай бұрын
Mchongo huuu
@HinohiatHidoCo
@HinohiatHidoCo Ай бұрын
Bila mchongo hakuna mauzo!
@blessedmama5367
@blessedmama5367 Жыл бұрын
These testimonies are always encouraging ❤
@emmanuelmponji4553
@emmanuelmponji4553 Жыл бұрын
Amen 🤲🙏🕊️
@lucyelizabeth6946
@lucyelizabeth6946 Жыл бұрын
Ameeen really inspiring
@adolphineapingi7774
@adolphineapingi7774 Жыл бұрын
Namimi pia nalifanikiwa kufika ,Omega na kukanyaga Madhzabau hiyo
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
Sister heri umeutafuta mkono wa Mungu.UMEVUKA DINI UMEMFATA KRISTO YEYE HAKUWA NA DINI.
@rosemaryfidely6668
@rosemaryfidely6668 Жыл бұрын
Glory to God 🔥🔥🔥
@siliviamaneno2905
@siliviamaneno2905 Жыл бұрын
Sisita ubarikiwe
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@2010Tadeo
@2010Tadeo Жыл бұрын
Sister Mungu na akubaliki sana. Umekuwa mwalimu kwa wanaokufa na tai shingoni. Roho Mtakatifu akulinde sana katika mambo yako yote.
@abelkidakule8818
@abelkidakule8818 Ай бұрын
Sister hongera sana kwa kuwa muwazi
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
ASANTE YESU MTENDA MIUJIZA.NAMI KUPITIA MTUMISHI HUYU UMENITENDEA MUUJIZA MKUBWA.THANK YOU JESUS.
@SmumbiMumbi
@SmumbiMumbi 9 ай бұрын
No yenyu ya whatsap ni gani
@jimmundakega9480
@jimmundakega9480 Ай бұрын
Mtangazaji Lucas Mungu akubariki sana.
@adolphineapingi7774
@adolphineapingi7774 Жыл бұрын
Asante sana
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt Ай бұрын
Mungu atupe neema
@peninamusyoka9125
@peninamusyoka9125 Жыл бұрын
Nguvu ya Omega. Hakika ushuhuda wa Sister Faith umejenga imani ya watu wengi sana. Hongera sana Sister hasa ninavyoelewa ametokea thehebu gani. Imani yake na shauku aliokua nayo kweli imenifurahisha sana. Mungu wa Madhabau ya Omega kweli anajibu kwa moto! Asante Yesu.
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 Ай бұрын
hakuna mungu wa madhehebu, God is one.
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 9 күн бұрын
​@@thanksrjhood9508 Mungu ni mmoja tu
@joycemabariki9303
@joycemabariki9303 Жыл бұрын
Haleluyaaaa
@priscamuimi7064
@priscamuimi7064 Жыл бұрын
Sister fey we niwa kwetu kitui
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk Жыл бұрын
Aaaasìii
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Haleluya Tv
Рет қаралды 19 М.
MAZITO NCHINI: SIASA,CHUKI, USALITI, NABII ROLINGA ANENA HAYA
25:33
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 46 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
Рет қаралды 441
ROLINGA AHOJIWA NA BBC KUHUSU TB JOSHUA
1:00:32
Haleluya Tv
Рет қаралды 69 М.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 87 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН