TUNAHITAJI TOBA YA TAIFA, YAJAYO YANATISHA, NABII ROLINGA ATAJA ISHARA ZOTE .

  Рет қаралды 32,090

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @haleluyatv
#HaleluyaTv #ProphetRolinga #omegaministrieschurchofallnations #ocoan
TUNAHITAJI TOBA YA TAIFA, YAJAYO YANATISHA, NABII ROLINGA ATAJA ISHARA ZOTE ''GADHABU YA MUNGU NI HATARI''
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Haleluya APP : play.google.co...
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
KZbin : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...

Пікірлер: 95
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 27 күн бұрын
Ni kweli kabisa tunahitaji toba ya Taifa kwa pamoja, kutokana na umuhimu wa jambo hili naomba panga siku moja tukusanyike kwenye viwanja vikubwa vyote vya mikoa tufanye toba ya pamoja. Andika maneno ya toba tuyatamke kwa pamoja na baada ya hapo tuwe na saa moja kutubu binafsi, watu waombwe wafunge shughuli zao siku hiyo kwa ajili ya shughuli ya toba. MUNGU ATAIPONYA NCHI YETU
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 27 күн бұрын
Kabisaaaa
@anithamassawe401
@anithamassawe401 27 күн бұрын
Nimetoka kusema hii ,huu ni muda wa kuombea nchi tusilale tuwe na mikesha ya maombi kwa ajili ya taifa ....Natamani watumishi waanze kuona hii na kuitisha mikesha ya maombi nawiwa sana moyoni kusema hili
@HAAM670
@HAAM670 21 күн бұрын
This was a very powerful Prayer, Maombi ya msimu huu 2024-2025-2026. Asante Prophet nimepata ajenda za kusimamia nazo kwaajili ya Taifa
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 27 күн бұрын
Prophet Rolinga umetabiri sahihiiiiii. Wenye hekima ya Mungu tuuuu inaweza kumfanya mtu akuelewe
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 27 күн бұрын
Prophet mungu amekupa kibali mungu akupe miaka 100 zaidi katika huduma kweli mungu amekuchakuwa shuhuda zako ni za kweli na hakika tupu mungu amekubariki sana tangu upo tumboni kwa mama jina la yesu asifiwe daima
@margaretnjuguna7157
@margaretnjuguna7157 27 күн бұрын
I'll stand in the gap and pray for Tanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 27 күн бұрын
Nabii Rolinga Mungu akuinue zaidi katika utumishi,kwa kuanzisha maombi haya yaliyo muhimu sana kwetu kipindi hiki,ili kuusimika ufalme wa Mungu aliye hai katika taifa lako hili, amen....
@LucyGodwin-qp6it
@LucyGodwin-qp6it 27 күн бұрын
Mungu akulinde prophet nakukupa maisha marefu kwa ajili ya taifa letu amen
@lawrencemsangi3837
@lawrencemsangi3837 5 күн бұрын
Amen
@ANDREWBUTONDO
@ANDREWBUTONDO 2 күн бұрын
Ameeen ! !
@Safariking2010
@Safariking2010 27 күн бұрын
Naungana na Roho wa Kristo kuamini katika kuombea Taifa. Mungu atufanyie Rehema kama Taifa
@anchelouskyaruzi3992
@anchelouskyaruzi3992 9 күн бұрын
Ni ajabu sana matendo ya bwana Mungu
@dorahvedasto8938
@dorahvedasto8938 21 күн бұрын
Ee Mungu tupe unyenyekevu na mioyo ya toba, barikiwa sana Prophet Rollinga
@FikiliRameki
@FikiliRameki 22 күн бұрын
Tunamshukru MUNGU prophet kwa kukupa maono haya makubwa ujumbe ufike sehemu husika.
@elizabethndamugoba2392
@elizabethndamugoba2392 19 күн бұрын
Bwana Yesu atuvushe salama katika kipindi hiki kigumu.
@estherdavidjohn-py7hh
@estherdavidjohn-py7hh 15 күн бұрын
Gob bless you man of GOD....nakupenda baba Mungu akutunze
@Maureenjason9651
@Maureenjason9651 27 күн бұрын
Kweli kabisa, msiudharau huu unabii watu wa Tanzania,, mnahitaji toba kabisa🇰🇪🇰🇪
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 25 күн бұрын
thanks neighbor!
@gadimbajo
@gadimbajo 27 күн бұрын
Nina manabii wawili tu Tanzania naowajua, Wewe na Edmund basi, Mungu awalinde.
@wellahsuleiman7881
@wellahsuleiman7881 27 күн бұрын
TUOMBE PAMOJA, TOA TAREHE KITAIFA TUFUNGE NA TUOMBE UTUONGOZE
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 7 күн бұрын
Towatarehe tuombeane nakufunga
@ChazkKasubi-le4dj
@ChazkKasubi-le4dj 27 күн бұрын
We need your mercy in our nation in the name of Jesus Christ 🙏
@MariamHassan-kn5qs
@MariamHassan-kn5qs 23 күн бұрын
Amiina🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@dassustephen731
@dassustephen731 27 күн бұрын
Lazima laana iwe juu yetu maana matukio ya kumkufuru Mungu yanaobgezeka.Watu wanaendekeza ushirikina,kuuwa albinos,kuua watoto wadogo Kwa milengo ya kishirikina Toba inahtajika kama taifa
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 27 күн бұрын
Kabisa kuwalawiti kuwauwa
@EnhakoreTv
@EnhakoreTv 15 күн бұрын
Mungu atusaidie kwakweli
@BarakaKamara
@BarakaKamara 27 күн бұрын
Yeshua Mungu mkuu ulirehemu taifa letu Tanzania kwa ajili ya watoto wako.
@user-sc3dn3oc8e
@user-sc3dn3oc8e 27 күн бұрын
Baba nabii, tuungane wote kuomba Toba Kwa ajili ya Taifa letu baba
@neemaevance80
@neemaevance80 27 күн бұрын
Mwenyezi Mungu tunaomba Toba tusamehe
@DaudBenson
@DaudBenson 27 күн бұрын
Barikiwa kwa mafundisho mazuri ya kuokoa pastor
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h 17 күн бұрын
True kabisa mtumishi ,
@user-gk9wt6st7b
@user-gk9wt6st7b 26 күн бұрын
Amen najiiungamanisha na unabii huu
@NinaTitus404
@NinaTitus404 23 күн бұрын
Eeh Yesu tukumbuke tunaomba toba kwa nchi yetu tuhurumie sisi na taifa letu, tunakuomba Mungu wetu mwenye huruma tusaidie
@JoseCha-j9c
@JoseCha-j9c 27 күн бұрын
Hujawahi kukosea mtumishi be blessing
@aminamagaji2645
@aminamagaji2645 27 күн бұрын
Amen 🙏
@EzraStephano-h1j
@EzraStephano-h1j 21 күн бұрын
Mungu tutetee watu wako
@ObedSanari
@ObedSanari 14 күн бұрын
Hilo nisawa nabii maana nimeyaona hayo
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 27 күн бұрын
❤❤❤❤❤Amina Muñgu aturehemu kwa kweli
@nurumigeyo4625
@nurumigeyo4625 27 күн бұрын
I receive in name of Jesus
@fedianfredy2631
@fedianfredy2631 26 күн бұрын
Unahitaji huelewa mkubwa sana ili ujue mtumishi anamaanisha nini akili kichwani. MUNGU BARIKI TANZANIA 🇹🇿 MUNGU BARIKI AFRICA 🌍
@MariamHassan-kn5qs
@MariamHassan-kn5qs 23 күн бұрын
Amiinaaaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@juliusmix
@juliusmix 27 күн бұрын
Tunaomba utulivu katika mabadiliko ya kiutawala.... Hapa nimepashika sana, kuna jambo jema toka juu Mbinguni.
@venance-ox2jh
@venance-ox2jh 26 күн бұрын
Amina
@user-bf1jd9nl3v
@user-bf1jd9nl3v 6 күн бұрын
Mm huwa nakuamini sana maana ulishawahi kutabiri juu ya hii nchi ikatokea kweli...na Taifa likashuhudia..natamani sana siku nije kanisani kwako hata nikuone tuu maana nipo mikoani
@CostantinoBurra
@CostantinoBurra Күн бұрын
Watanzanie tuamke tukisimama ktk neno la mungu maana wachache wenye uchu wa madaraka na tamaa zao huharibu amani yetu
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 15 күн бұрын
Ombea taifa letu lipate kiongoz mwngne hatumtak huyu mama
@PendoPogwa
@PendoPogwa 27 күн бұрын
Lakn Yesu Bado anatupenda tumfuate tuweze kupona
@katunzijasson5410
@katunzijasson5410 12 күн бұрын
nabii kataja vyeo vyote juu ya kafara na haki...MUNGU AKUBARIKI MAANA HAKI HULIINUA AU KULIANGAMIZA TAIFA
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 27 күн бұрын
Kwenye wingu zito nakubali nabii,Watanzania wengi tunajadili mambo ya kipuuzi muda mwingi hatuna uwezo wakufocus kwenye mambo ya msingi ya kitaifa.Ukiingia mtandaoni mijadala mikubwa ni mapenzi na mipira.Mungu atupe ufahamu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
@NoelaWilfred
@NoelaWilfred 25 күн бұрын
Ee Mungu tusaidie tuelewe unavyotuambia kupitia watumishi wako.. KUWEKA AKIBA HILI LIMEJURUDIA SANA MUNGU AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MUNGU. EE MUNGU TUSAIDIE
@neemamwambaja1856
@neemamwambaja1856 27 күн бұрын
Mungu likumbuke taifa letu la Tanzania. Uturehemu watoto wako
@IsayaToto
@IsayaToto 27 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 27 күн бұрын
Kwenye Toba hapo sipingi mtumishi
@pauloropian2367
@pauloropian2367 27 күн бұрын
Ameeeeeen 👏👏👏👏👏✊
@user-zf2lk7sx1k
@user-zf2lk7sx1k 26 күн бұрын
Ameen
@josephdossantos7316
@josephdossantos7316 27 күн бұрын
Aaaamin aamin
@siashayo8676
@siashayo8676 27 күн бұрын
Mtumishi, May to September ni cool season Kwa Dar es Salaam
@stewartmlanga1263
@stewartmlanga1263 27 күн бұрын
Correct
@hamisiismail2577
@hamisiismail2577 27 күн бұрын
Toba bila kiongozi wa ichi aina uzito,itakuwa kila mtu atubu kivyake
@MiliamYusufu
@MiliamYusufu 27 күн бұрын
Ameni
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 күн бұрын
NI TOBA TU...TUMEMWACHA MUNGU MBALI NA HIZI FIMBO NI NZITO KWETU ...MUNGU BABA TUHURUMIE
@karimmveyange280
@karimmveyange280 17 күн бұрын
SAWA PASTOR UNAVYO SEMA. WINGU NENE LIMEIGUBIKA NCHI,UNAKUTA WATU WOTE WAMEFUNGWA VINYWA VYAO WAKABAKIA KUSIKILIZA NA KUONA BILA KUONGEA CHOCHOTE. HATA YAO WAUMINI UNAWAONA UNAWAFUNULIA HALI HALISI,LAKINI HAWATHUBUTU KUSAMBAZA UFAHAMU HUO KWA UMMA. NIWATUPU KABISAAA. SASA MUNGU TANGU MWANZO HAKULETA AMANI KWA KUBAKIA TU KUOMBA,MITUME WAKE WATUKUFU WALISIMAMA MBELE NAWAUMINI SAO WAKAPIGANA KUFA KUPONA ILI AMANI YAKWELI IPATIKANE.OMBENI SANA MOTO KWA MAANA MOTO HUUNGUZA UCHAFU NA MAHALA PAKABAKI SALAMA. HIS SIYO AMANI, ILA NIWINGU LA UCHAFU
@susternguvila4338
@susternguvila4338 21 күн бұрын
weeee Mungu kuwepo kwenye taifa hili ni serikali kugeuka na mtegemea yeye
@emanuelmpamila6155
@emanuelmpamila6155 23 күн бұрын
hakika Dady kwl Taifa letu lilikofikia linahitaji toba ya dhati na raia wake mmojammoja tunahitaji mwongozo wa Kiungu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 27 күн бұрын
HAKIKA. Ili kumfurusha roho mchafu aharibuye taifa katika ufalme wake kwa watawala, makongamano ya kuomba ufalme mtakatifu wa Mungu utawale taifa ndio jukumu ĺa wote kwa sasa...
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 27 күн бұрын
Ushirikina umezidi Tanzania
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 27 күн бұрын
Ushirikina
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 17 күн бұрын
Nimeisha kuambia sio toba tu ni NENO la wakati kwa Mjumbe wa agano duniani, hiyo ndio suluhisho, Maana huu ni wakati wa MWAKA WA BWANA ULIOKUBALIKA NA kisasi cha Mungu wetu jifunze kwa MJUMBE WA AGANO upate kujua ukweli wote.
@happymrema7487
@happymrema7487 2 күн бұрын
Toba ya nini acha kam ilivyo
@MariamHassan-kn5qs
@MariamHassan-kn5qs 23 күн бұрын
Eeeeh MUNGU tupe AMANI nchini kwetu😭😭😭😭😭😭 naumia kuona amani inapungua nchini kwetu HUYU MTUMISHI Namuamin akisema inakuwa ndio sitaki itokee vbya nchini kwetu😢😢😢😢😢😢 eeeeh MUNGU shuka
@SaidMnyika-i9e
@SaidMnyika-i9e 16 күн бұрын
Shirk Ukhut! Refer "lahaulla wala-kuwata illa billa" No one knows the unseen except the one, Allah"
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m 27 күн бұрын
SASA,mtumishi tutaombeaje,Hawa mafisadi tatizo serikali,ibadilike tupate KATIBA mpya,tuyakamate haya majizi na wanyonyaji wa haki,za wanyonge ili tuyafunge,haya majizi,yote MUNGU atupatiye toba,machozi na DAMU za wanyonge zikiachwa kumwagwa,na Hawa wapenda madaraka, MUNGU atarudisha nuru katika taifa HILI,lakini bila HIVYO sijui Kama kuomba kwetu kutasaidia,
@LissaJonas
@LissaJonas 24 күн бұрын
Hawatakiwi kuombea Hawa wamesha tuhujumu vya kutosha inabdi wapigwe catastrophe moja TAKATIFU. Ameen
@JuliethLyimo-bv8vl
@JuliethLyimo-bv8vl 27 күн бұрын
Mungu bariki taifa letu
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 27 күн бұрын
Kwani chifu Angai ni nani? Mkuu wa nchi alisimikwa na machifu tafsili yake nini?
@aaronswai3092
@aaronswai3092 27 күн бұрын
Mtumishi wa BWANA uko sawa; Watanganyika wengi wamefungwa sana kwenye kujadili vitu visivyokuwa na manufaa kwao (kama mpira, n.k) na kuacha kujadili mustakabali wa nchi yao. Ee BWANA tusaidie Watanganyika!
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 27 күн бұрын
Hili nalo linahitaji maombi kwakweli
@erickmsigala138
@erickmsigala138 21 күн бұрын
Kwa huu utawala wa ccm tunahitaji kisasi cha Mungu kiwe juu ya ccm wasiyo hofu kumwuua mtu ili watawale kwa kumbukumbu tu damu za hawa zinawalilia, Daud Mwangos Mawazo kule geita Azor gwanda, na wengine wengi Tundu lissu amekuwa mlemavu sababu yote ccm uko wap Mungu juu ya mateso ya hawa watu wako wanateswa na utawala wa ccm
@wakalimediatz
@wakalimediatz 27 күн бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@eleutermhumba347
@eleutermhumba347 25 күн бұрын
Tuliombee taifa hili,maana kiza kisigubike mbingu bali NURU itawale.
@elizabety7671
@elizabety7671 26 күн бұрын
Nimeota Leo hiki kitu
@LomnyakiKivuyo-f1p
@LomnyakiKivuyo-f1p 25 күн бұрын
Jaman tuwasikilize hawa watumishi wa mungu, Huyu huyu Nabii Alitabiri kifo cha Hayati Magufuli haijachukua hata mda maguhufuli kaondoka kwahyo mmmmmh kuweni makini nyie viongozi
@emmanuelkennedy558
@emmanuelkennedy558 26 күн бұрын
Huu siyo unabii bali ni MAWAZO MEMA yenye hekima tu ya ushauri . Maana siyo Lulinga tu aliyepewa kuonyeshwa mambo ya rohoni .
@emmanuelkennedy558
@emmanuelkennedy558 19 күн бұрын
@@ChristianBenny-ew5mk mwana wa majoka wewe hapo ulipo Bado umefungwa na mizimu ya ukoo mnapelekeshwa kama mang'ombe tu ya kafara . Huna kilo za kusimama na Mimi hata kidogo !!!
@YekoniaLabani
@YekoniaLabani 27 күн бұрын
Amina
@eliasmsetti
@eliasmsetti 20 күн бұрын
Amen
@2025kkj
@2025kkj 27 күн бұрын
Amen 🙏
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa 25 күн бұрын
Amen
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 27 күн бұрын
Amen
@victoriamtangi3287
@victoriamtangi3287 27 күн бұрын
Amen
@alphonceshija-cb3yp
@alphonceshija-cb3yp 27 күн бұрын
Amen
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 27 күн бұрын
Amen
@imaniandrew5009
@imaniandrew5009 27 күн бұрын
amen
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 13 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
HATMA KUBWA ILIYOPO KWA MZALIWA WA NNE (Mtu wa Nne)
46:00
Haleluya Tv
Рет қаралды 6 М.
NI HATARI SANA KUOTA NDOTO ZA AINA HII
53:12
Haleluya Tv
Рет қаралды 37 М.
MUNGU AKIKUPA KITU AMEKUPA HAWEZI KUKUNYANG’ANG’A | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA
21:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU| Rabbi Abshalom Longan| RUNZEWE GEITA
50:33
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 12 М.
NABII MKUU ATOA SOMO LA MWAKA 2024 - GeorDavie TV
1:06:48
GeorDavie TV
Рет қаралды 3,4 М.
MAZITO NCHINI: SIASA,CHUKI, USALITI, NABII ROLINGA ANENA HAYA
25:33
NABII MKUU KUTINGA BUNGENI KWA MWALIKO MAALUM - GeorDavie TV
24:24
GeorDavie TV
Рет қаралды 32 М.