🔴

  Рет қаралды 9,563

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#LIVE​​: TAHARUKI YAIBUKA SOKO LA JOB NDUGAI, WAFANYABIASHARA WAGOMA | MTAA KWA MTAA
Wafanyabiashara wa mji wa Dodoma wamegoma kwenda kufanya biashara zao katika soko la Job Ndugai kwa madai kuwa katika soko hilo jipya hakuna biashara inayofanyika vizuri.
Kama una kero yoyote mtaani kwako na unatamani itufikie Global TV ili iweze kufanyiwa kazi basi tupigie kupitia nambari hii hapa chini..
( 0714 207 395 )
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 68
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Itafika wakati wananchi watachoka na wataandamana la sivyo serikali ijipange wananchi wameamka tayari
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Sukuizi hatuna kiongozi tanzania mungu akurehemu Magufuli. Siuamke baba tumeanzwa kuonewa magufuli. Amka huko uliko Utusaidie baba etu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
😭😭😭
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NANI KAKUONEA???
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NANI KAKUONEA.
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 Nyanya lako samia mashavu kama mfuko wa mavi
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@aishaasumany561 WEWE BADALA YA KUMTAJA NANI KAONEWA UNATOWA MANENO YASIOELEWEKA HIYO ITASAIDIA NINI???
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 жыл бұрын
Tumerudi kuleee kwenye migomo tutamkumbuka sana Magufuli aisee nawambieni
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
Huwo Si Mgomo Hiyo Ni Haki Ya Wafanya Biashara Ya Kueleza Ukweli/// Ukweli Huwezi Kuwita Mgomo Hata Magu Angekuwa Upande Wa Wafanya Biashara Angekuwa Wewe Na Lori Lako La Ndizi Ungepeleka Huko???? Sehemu Haina Wafanya Biashara Wala Wanunuwaji Ili Iweje Zikaoze??? KUWA MWELEWA USICHEZE NA MALI ZA WATU NA USIUWITE MGOMO.
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 wew hujanielewa kwan kuna anaye goma kama hana haki ya kile anachokigomea mbona kwenye madalaka ya magufuli walikuwa hawajitokezi hawa wote
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 жыл бұрын
Kweli
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@johnsilima1629 HAWO HAWAJAJITOKEZA IYO TV IMEWAFUWATA WAO SOKONI NA KUANZA KUWAULIZA UNATAKA WANYAMAZE???
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@johnsilima1629 HUWO SI MGOMO UMEKAZANA WALICHOKIGOMEA HAWO SI WAFANYAKAZI NA WALA SI WA AJIRIWA ATA USEMEME MGOMO HAO WAFANYA BIASHARA WANAELEZEA KWA NINI HAWAPELEKI BIDHAA ZAO HILO SOKO WALIOAMBIWA
@emanuelgavile3856
@emanuelgavile3856 3 жыл бұрын
Jaman magufuli kwann umeenda mapema ivo faza dah sie wanyonge haupo tutadili nao mungu mmoja me ntoke mkonze niende ndugai kumamake stakiii
@isackmwaluko8497
@isackmwaluko8497 3 жыл бұрын
Welaa!!! Kumekuchaa!!! Tutamkumbuka aliyekuwa anatukumbatia...
@joelmwita3592
@joelmwita3592 3 жыл бұрын
Magufuri nitaishi kumukumbuka
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Ndungai mwenyewe kisha mugeuza Hayati Magufuli. Hayati Magu alisema tutamukumbuka.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Sawa sawa mnafiki yule shoga ndugai
@annamablacharlescharles327
@annamablacharlescharles327 3 жыл бұрын
Watanzania tutakumiss sana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Alisema mtanikumbuka kwa mazuri yangu sio mabaya Inge kuwa wakati wa uhai wake huyo mkurugezi hana kazi na kilo kitu kiko sawa mwee RIP Mh Magufuli 😭😭🇹🇿💔💔
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
KWELI KABISA
@johnnzao6460
@johnnzao6460 3 жыл бұрын
Acheni hayo mbn Morogoro watu waligoma na hakuna aliyeguswa
@O11CEreview
@O11CEreview 3 жыл бұрын
Mambo yasha amka duh
@bahatimihambo7639
@bahatimihambo7639 3 жыл бұрын
Watanzania Sio wapumbuvu tena magufuli oyeee,, namshukur mungu kwa kua nilikuelewa mapema!
@singidaone5628
@singidaone5628 3 жыл бұрын
Migomo sasa inaanza mama samia jipange sana kutatua
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HUO SI MGOMO HUO NI UKWELI AMBAO UNATAKIWA INGEKUWA WEWE UNGEPELEKA MALI ZAKO HAPO ZIKAOZE???? HALAFU MNAUWITA MGOMO MSICHEZE NA MALI ZA WATU HAKI LAZIMA ISIKILIZWE SIO NGUVU ENZI ZA MIMI NIMESEMA KWISHAAA. NCHI YA MTU.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Yupo zanzibar anakula urojo , na mwengine kachukia kwenye Bombardier 🤣🤣
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Endeleeni kuwapigia ccm tu, kidumu chama cha Mapinduzi kidumu, maisha mkione. Serekali za mwituni mbovu
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Tunapo elekea Tanzania tutakuwa kama India aliyekuwa juu ni wa juu na wa chini utakuwa chini maisha na itafikia tamati watu watachoka sababu wa Afirica hasa watanzania sheria zetu ni tofauti na huko wanapotaka kutupeleka maana kila kiongozi anataka ubwana mm.
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
Tumerudi kwenye uongozi wa remote na Tv screen. Pengo la hayati Dr. Magufuli halitazibika! Wakurugenzi wameanza kutoa maagizo tena bila ya kwenda field; vingereza vingiii.. Mkuu mkoa/wilaya hatoki tena kwenye kiti cha kuzunguka! Magufuli uliijua nchi hii na utangamano wake; unafiki wake; kiini cha tatizo; ndiyo maana kila mmoja serikali kuu mpaka mitaa, uliwafanya wawe watumishi siyo watumikiwa. Ulisema tutakukumbuka unabii tartiibu unatimia Baba😭😭
@neemakaluwa2146
@neemakaluwa2146 3 жыл бұрын
Pengo la baba huyu ni pengo la ukubwani! Halioti daima.😭
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
WANATAKA KUIBA ARDHI YA HILO SOKO HAPO NI MJINI ROHO ZIMEWATOKA
@kassimmurji2872
@kassimmurji2872 3 жыл бұрын
Mkurugenzi hawezi kazi apishe hiyo nafasi
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 жыл бұрын
Mhuuuuu kazi ipo
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 жыл бұрын
Ni kweli kila mtu asikilizwe kwanza kbl ya maamuzi
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 3 жыл бұрын
Wanaonewa wanyonge na washaanza kuwatesa wanyonge sababu hayati ameondoka
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NANI KAONEWA???
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
BADO WANATINGISHA KIBIRITI WASIKIE MLIO
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAWO WANATAKA KUIBA ARDHI YA HIYO SOKO.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Viongozi dhulma wanataka rushwa alipwe rushwa ili mambo yake rahisi kwenu. Mkurugenzi kazowea Lula pesa hawafahamu
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
Wamejigonga, sasa hivi wa TZ wamefunguliwa Macho! Haki zao Magufuli kasha wafundisha! Watavuruga Uongozi Siku za usoni! Mungu ilinde TZ
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
C mlimchukia Magufuli??? Sasa hayupo, mtamkumbuka tu!!!
@devidsumaye5353
@devidsumaye5353 3 жыл бұрын
Wameshaanza hata mwez haujaisha jmn Tanzania yetu hii viongoz muwe wasikivu magufuli kwann lakin
@bahatimihambo7639
@bahatimihambo7639 3 жыл бұрын
Ndio wakat wa kumkumbuka hayati Doctor jonh pombe magufuli
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Andikeni mabango tuuu
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
WANATAKA KUIBA ARDHI YA HILO SOKO HAPO NI MJINI ROHO ZIMEWATOKA.
@emanuelgavile3856
@emanuelgavile3856 3 жыл бұрын
Jamani msiojua umambali wa soko la ndugai nikama utoke ubungo uende mbezi 😂
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAO VIONGOZI WANATAKA KUWAHAMISHA WANANCHI HAPO SOKONI ILI WAIBE HIYO ARDHI UTAKUTA HAPO NI MJINI WANATAKA KUPAIBA.
@emanuelgavile3856
@emanuelgavile3856 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 ndo zao mbwa hao
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 жыл бұрын
Hali ilivyo kwa soko la ndugai inabidi wafanyabiashara watazamwe hasa biadhaa zinazoharibika. Hapo hakuna wateja. Soko la mjini lifungwe lipelekwe ndugai hapo mtaweza
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
HAWO LENGO LAO NI KUTAKA KUIBA HIYO ARDHI YA HILO SOKO NDIO MANA WANATAKA KUWAHAMISHA HUKO NA SI MAENDELEO.
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 3 жыл бұрын
Magufuli
@selegioelias9076
@selegioelias9076 3 жыл бұрын
Kiuhalisia walio chukua vizimba humo ndugai siyo wafanyabiashara ni wao watu wa serikali nawapiga madili
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 3 жыл бұрын
Unajenga soko kubwa na gharama kubwa.. B ilion14 .4 sehem ambayo hakuna makazi ya watu faida yake nini... Then unawalaImisha wafanya biashara waende kushusha bidha zao polini watamuuzia nani...
@josephgekone6109
@josephgekone6109 3 жыл бұрын
Magufuli alionya haya maneno
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Ndugai ni mbali, Halafu hawa watu unawaambia waombee online kweli ? Wanawapa watu wazito halafu wanatukodisha kwa 200k/month SIO FAIR
@ridhiwanikhalifa9036
@ridhiwanikhalifa9036 3 жыл бұрын
tatizo kujenga bila kuangalia mazingira ya biashara ni hasara tupu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 жыл бұрын
Tatizo ni rushwa viongozi wamegawana soko lishajaa wakati hakuna mfanya biashara. Wawape hivyo vizimba wakafanye biashara. Wamechukua vizimba ili wakodishe.
@wijagefungo527
@wijagefungo527 3 жыл бұрын
Jamani wapeni wafanyabiashara wazoefu wa majengo hivyo vizimba.Hao wa mtandaoni futa wote.wafanyakazi wa jiji wasitafute pesa kwa njia ambayo sinzuri.Masoko mengi wameyaharibu kwa tamaa zao.Soko Kama la Mwanjelwa Mbeya nalo wameharibu haohao wafanyakazi wa jiji.wape wazoefu wachangamshe soko.
@mtakatifubony1829
@mtakatifubony1829 3 жыл бұрын
Hili ni jambo dogo tu , Zengwe la niniiiiiiii
@sethstiven3393
@sethstiven3393 3 жыл бұрын
Mkurugez viwanja vimepimwa watu kwann hawajengi ili soko liwe na wateja wa karbu watu watoke mjin waje ndugai nikitu kigum wapen watu wa nzuguni
@mubarakgajjali9003
@mubarakgajjali9003 3 жыл бұрын
nikwel kabsa kaka
Mwone Mizengo Pinda akipambana shambani kutafuta pesa
4:09
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Bei ya mahindi yaporomoka, wakulima 'walia na soko la Kenya'
3:51
Hii ndio hatima ya Soko la Ndugai
5:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,1 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН