Рет қаралды 50,711
Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Mizengo Pinda ni mmoja wa wakulima hodari kiasi cha kujitambulisha kwa wananchi kuwa yeye ni "mtoto wa mkulima". Analima nini? Jamal Hashim alimtembelea shambani kwake Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma na kujua pamoja na mengine mpango wake wa ufugaji wa samaki.