Mashaallah mungu ampe afya na uzima hizi ndizo sifa za kuigwa na viongozi wengine. Mashaallah
@rahelmilami12715 жыл бұрын
tunakupenda sanaa Rais wetu mstaafu 😍😍😘😘😘😘😘😘
@abdulybabumgwaobabu74075 жыл бұрын
Napenda sana kilimo tena sana
@dickaugustino22147 жыл бұрын
Hongera, mzee!
@vailethjohansen88736 жыл бұрын
safi sana msitaaf wetu
@hosearwechungura71646 жыл бұрын
Etz Viez Litz Prez Dez Formez Kikwete!
@daudhenry9137 жыл бұрын
Mzee huyu nampenda sana
@jacksonmathayo65106 жыл бұрын
Safiii Sanaa mheshimiwa
@edsonbjoseph7 жыл бұрын
Nakupenda sana baba angu
@milimomashini94327 жыл бұрын
MangeTv kama mm
@franckarony2875 жыл бұрын
Hongera wewe nimekukubali
@emanuelmsaky80745 жыл бұрын
mawasiliano ya mtaalamu wa kilimo
@ezekielndesailo61524 жыл бұрын
Baba Kama, itakupendeza nikuombe nifanye kazi za Shambani kwako, Mimi Ezekiel Ngitu nimeitibu shahada ya sheria Lushoto na Sina kazi.Ombi kwa mawasiliano namba yangu ya simu ni 0747412128.Asante
@milimomashini94327 жыл бұрын
Tunaomba msichelewe kurusga vipind you tube maana mm nafuatilia kupitia huku na n mkulima wa papai pia