Asallm alaykum mimi nauliza ikiwa kashamuacha talaka moja siku zimeisha naje kama unaweza muoa upya siku ukimuacha utaaza namoja au unaunganisha kua talaka mbili tafadhali naomba jibu
@andallaathman38564 жыл бұрын
Mashekh wetu mnatuchangnya Sana wallah ALLAH ndio atatuhukumu coz kuna mashekh wasema kumregea mke wako kama uko nae nyumbani umemueka eda hata ukimuita tuu mke wangu ama ukimuingila tuu usharegea Leo twambiwa mpaka wawepo mashahidi wawili nivipi jamani na kumuacha pia mnatwambia ukitamka kumwambia nakuacha kwwisha pita Leo watwambia mpaka uwe na mashahidi sasa nivipi tujueje jamni mnieke wazi nijue mm
@nuriyaabuu4 жыл бұрын
Andalla Athman kwny hilo ipo ikhtilf ya wanavyuoni
@zamzamdekow-ps4kt10 ай бұрын
Asalaam aleykum shelkh niachika ndo zote lakini hakukua na mashahidi ilikua akiniandikia barua kwa kila ndoa, Sasa hiyo ni sahihi au🙏
@salimmapande46684 жыл бұрын
Baarakallaahu fyka, hafidhwakallaahu sheikhunaa
@yadadamaa23594 жыл бұрын
Je yafaa kumrengelea mkeo yapa miaka 7 Kwa umpa talaka moja
@allynassor11192 жыл бұрын
Asalam alaikum naiwezekana kurejea mke km hajamaliza edda ya talaka 1
@abdulhashim27054 жыл бұрын
Assalam alaykum .mume kamjimai mwanae wa kambo jee ndoa kwamkewe bado ipo au kaachika talaka 3????
@sheikhAlisubaneya4 жыл бұрын
Asaalam alekum Mimi nauliza ukimwacha mke na talaka moja na muda wa ida yake imeisha anaweza kumrudia?
@alhashimy26254 жыл бұрын
Hapo si kumrudia, bali unamuowa upya, ikiwa idadi ya talaka haijafika talaka ya tatu.
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@allyurasa7059 Жыл бұрын
@@alhashimy2625 barakallah fikum wa jazakamullah gheir
@zamzamdekow-ps4kt10 ай бұрын
Mimi nliashwa lakini si kuolewa tena amenirudia tu hivyo kweli hiyo nisawa au, naalipo niacha ameniandikia barau Sikua na mashahidi