LIVE: USIKU HUU KINACHOENDELEA NYUMBANI KWA JAMAA ALIYEUA ASKARI WANNE

  Рет қаралды 124,967

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Ayo TV & Millardayo.com tumeweka kambi mahali inapoaminika alikuwa akiishi Hamza, jamaa aliyefanya mauaji ya Askari wawili na watu wengine wawili akiwemo Mlinzi.

Пікірлер: 319
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Uyu jamaa n mtu mhimu sana kwa Millard anapambana na yuko very smart katika kaz yake
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Jamani tuendelee kuiombea nchi yetu🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa na aimarishe amani na utulive ..Ameen🙏🙏🙏
@tzsolarenergy6592
@tzsolarenergy6592 2 жыл бұрын
Oya millard huyu jamaa anayetangaza unatakiwa umlipe pesa nyingi sana tofauti na wengne.... Maana jamaa anafight sana kuzitafta habari kwa udi na uvumba ,kokote na muda wowote ,
@husamtech2748
@husamtech2748 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Hamza
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 2 жыл бұрын
Kabisa bro yupo vizuri
@suleimanhamadi5099
@suleimanhamadi5099 2 жыл бұрын
Vida vidox
@lilianfelix5143
@lilianfelix5143 2 жыл бұрын
Vido vidox
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Ee Mungu wetu ikumbuke 🇹🇿 🤲tujaalie mwisho mwema 🤲🙏
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 жыл бұрын
Hatar tazama hapa kzbin.info/www/bejne/bXiZioiIh5KdacU
@yasintajohn1189
@yasintajohn1189 2 жыл бұрын
Mungu ubariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢
@peteryohanamachibya2493
@peteryohanamachibya2493 2 жыл бұрын
Poleni sana familia zilizopoteza wapendwa wao
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Amina
@magrethdeogratias6876
@magrethdeogratias6876 2 жыл бұрын
MUNGU akupe afya njema kaka millrad hayoo tunakupenda mnoo
@mohamedmuhajiri4690
@mohamedmuhajiri4690 2 жыл бұрын
Millad ayo mzee wakutupa apdat za ukweli zisizokua na chenga🙏
@ramahassan9171
@ramahassan9171 2 жыл бұрын
Kweli
@mariamyusuphu5434
@mariamyusuphu5434 2 жыл бұрын
Kabisa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Kabisa
@jenipheraron5071
@jenipheraron5071 2 жыл бұрын
Namkubali ayo
@moodykillenja3673
@moodykillenja3673 2 жыл бұрын
Ahsante Millard Ayo kwa updates muhimu
@superdeeboy6100
@superdeeboy6100 2 жыл бұрын
Mungu akulinde kaka mtangazaji na pia Allah ibariki tz yetu👏
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 жыл бұрын
Huyu mtangazaji aongezewe msharaha wallah anajua anajua anajua tenaaa
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 2 жыл бұрын
1.kunashida ktk jeshi la polisi. Mbona hajazuru raia 2.Watu Kila mara Wana lalamika mahusiano yanakuwa siyo mazuri kati ya raia na police. 3.Rais wetu kipenzi hebu angalia hili jambo kwa kina. Kunashida hapo katikati ya haya matukio. Poleni wafiwa
@chamblainreuben7431
@chamblainreuben7431 2 жыл бұрын
Polic wetu wanapenderea san
@pendombise6756
@pendombise6756 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka millard kwa kazi yako nzuri
@japhetkassim5910
@japhetkassim5910 2 жыл бұрын
huyu jamaa yawezekana" Alikuwa na BIFU na ASKALI,,.. Mbona hakudiri na RAIA?🤣🤣🤣
@josephmlawa1776
@josephmlawa1776 2 жыл бұрын
Watakuwa walichukuwa boda🙄
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 2 жыл бұрын
Hata mie nahis ivyo...Kuna ktu kpo na hao polis
@RoseRose-fo8lw
@RoseRose-fo8lw 2 жыл бұрын
Siku moja mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na sio kwa mabaya ulale salama mwenda zake magu. 😭😭😭
@yoakimmsuha9636
@yoakimmsuha9636 2 жыл бұрын
😢 😢 😢
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 жыл бұрын
Kwa iyo yeye ndo alikua mungu kwa matukioa haya yasingetokea ebu acha ujinga bhana
@jumakwau6500
@jumakwau6500 2 жыл бұрын
Sasa hili tukio la leo linahusiana nini na mzee wetu?
@aminamalugala8010
@aminamalugala8010 2 жыл бұрын
Anasababu tu huyo.angeuwa raiya.kwanini ashambulie polis tu? Ipo sababu t.
@joycecasto7966
@joycecasto7966 2 жыл бұрын
Watakuwa wamemzurum mbona hajaua raia
@kontradagugami3678
@kontradagugami3678 2 жыл бұрын
Kweli ya kaisari hayo... Polisi wawajiboshwe kutoa taarifa za kweli baada ya kuhojiana nae. Wasitupange uongo. Wasiseme hamza chizi anasababu. Raia tunawajua polisi uzulumat wao na ubabe wao juu ya haki. R.I.p. hamza baba LA watu
@swdaalii6892
@swdaalii6892 2 жыл бұрын
Kweli kabisa ilo wala haliitaji tochi, awa polisi dhurmati Sana
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Kumbe ni mtanzania na ana family yake DAAH mapolisi wetu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@shijamakoye6544
@shijamakoye6544 2 жыл бұрын
Sasa mapolisi wenu wamefanyeje kama MTU kishauwa askari 4 ulitaka afanyweje sasa na wewe
@saidisalabi7693
@saidisalabi7693 2 жыл бұрын
INNALILAH WAINNA LILAH RAJIUN.
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 2 жыл бұрын
Isingefaa kupigwa risasi ya mguu tu na kumkamata, maana amejitwika silaha kifuani anamimina hovyo. Apumzike kwa Amani.🙏
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 2 жыл бұрын
Inaumiza kwa wafiwa na muuji pia maana cjui kakutwa na nn yaarabi
@edgasanga9694
@edgasanga9694 2 жыл бұрын
Ira akuna tv makn kama miladayo jomon
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 жыл бұрын
Kunakitu sio bure
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
Mtangazaji mzur😋macho yake ss nauwo weusi wake dah😘
@zawiajuma715
@zawiajuma715 2 жыл бұрын
Poleni sana wanafamiliya
@cathywence4336
@cathywence4336 2 жыл бұрын
Noma sana hii
@ismailystarmusic3657
@ismailystarmusic3657 2 жыл бұрын
Nanyie mtakufa Kama walivyo kufa wengine maana amuogopi mnaenda tuu
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 2 жыл бұрын
Milard ayo number 1 on blog
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Mungu ilinde 🇹🇿 kweli nimeumia asikali wetu jamani wapumzike kwa Amani
@suzukisimba8393
@suzukisimba8393 2 жыл бұрын
Eee mungu inuxulu nchi yetu nawatu wake 🙏🙏
@omarmuhale5320
@omarmuhale5320 2 жыл бұрын
Mnaifanya kz nzuri
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 2 жыл бұрын
Yes
@boniphacepetro5919
@boniphacepetro5919 2 жыл бұрын
Mungu ibarik Tanzania yetu🙏🙏
@evansthobias9115
@evansthobias9115 2 жыл бұрын
Jaman pengine haya ni matatizo yanayotokana na kupanda kwa tozo luku mafuta na vichanjo yaan dar mungu ibaliki tz
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Tusha uzwa na wenye tamaa ya pesa
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
Ndo mjue tofauti na alivyo kua magufuli na bado watatunyanyasa haswa tu
@ednaJF1028
@ednaJF1028 2 жыл бұрын
When magufuli was presented i wanted to come back but now no way Hakuna anaye jari watu wa chini kama magufuli alivyo kua akifanya
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 жыл бұрын
Namkubali sana Vido Vidox
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Baba awe na mgodi wala asiwe nawo, ila uyo gayidi kajifundisha wapi jeshi, wala silaha????
@abdillahsuleiman7931
@abdillahsuleiman7931 2 жыл бұрын
Jiulize kwanza na iyo silaha anayomiliki kihalali kaipata vp?
@getrudamichaely9609
@getrudamichaely9609 2 жыл бұрын
Jaman
@getrudamichaely9609
@getrudamichaely9609 2 жыл бұрын
Watu wanaona kitu Cha kushededea Ila kunawatu nyuma ya panzia washaumizwaa
@talekush5623
@talekush5623 2 жыл бұрын
Nakubali
@izdorybutati3718
@izdorybutati3718 2 жыл бұрын
Au ndo zile chanjo za korona zimeanza kuvuruga watu 😭😭😭
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 2 жыл бұрын
🙄
@joelkahuya6719
@joelkahuya6719 2 жыл бұрын
Ata mm nina mashaka na hilo
@alimakame5645
@alimakame5645 2 жыл бұрын
Kweli jamaa achunguzwe isjekuwa alichanja corona ndo imeanza Fanya kaz hahaha
@yb-60-9
@yb-60-9 2 жыл бұрын
😂😂
@shijamakoye6544
@shijamakoye6544 2 жыл бұрын
.😁😂😁😁😂😁😁 we noma
@manicidan650
@manicidan650 2 жыл бұрын
Mmmh kazi kwelikweli yalipungua haya wakat mzee yupo sasa yameanza tena kwa kasi
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 жыл бұрын
Rufiji, mapango ya amboni , kutekwa kwa roma, mo, kufaliki kwa msanii wa ze mafiki mbalamwezi na kuokotwa akiwa uchi , beni saa nane ajulikani alipo, nakukumbusha tu Ili upate angalau kuona usiwe kipofu Sema kinachotokea ni miemko au kutaka kumchafua serikali ya awamu hii watu wantembea na changamoto za msongo wa mawazo , juzi Kati kuna jamaa kaua mtu na yeye kajiua saa unawezaje kuzuia tukio kama Ilo duniani kote utokea matukio kama ayo unakua mtu na silaa anavamia shule anapiga risasi baadae naye anauliwa kawaida
@nasrahnaim795
@nasrahnaim795 2 жыл бұрын
yalipunguaa yap??mbona mo alitekwaa akapoteaa wiki naaa...
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 hao walishalishwa unga wa ndeld km walikua wanakula malimao na kubugia matangawiz na kumtuma profesa kabudi akabebe apple lunch madagascar hawaez kuelewa
@Ram_1893
@Ram_1893 2 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 Yule jamaa wa Mbalamwezi ilikuaje aisee? Dah!!
@mariaernest9324
@mariaernest9324 2 жыл бұрын
Habari za hii chaneli sina wasiwasi nazo ni zaukwel
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 2 жыл бұрын
Jaman uombe na kusal Tanzania Mauaji Kira sku😭🙏
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Vido love you bro
@shaniaally153
@shaniaally153 2 жыл бұрын
Jamaa sijui kakutwa na nn ila angeamua kuua RAIA angeua hata buku
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Kabsa
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 жыл бұрын
Kwa risasi kiroba?
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 2 жыл бұрын
Kweli mana ilikuwa mda wa move ment watu wana shughuli zao kwaiyo angekuwa na nia mbaya kwa raia da angeua sana
@reginaldmsofe2437
@reginaldmsofe2437 2 жыл бұрын
apo kuna lakujifunza
@ChaluEngine
@ChaluEngine 2 жыл бұрын
Kuna nini mbona c elewy
@mathiassay3723
@mathiassay3723 2 жыл бұрын
Dhuu mbona kazi ipo
@lydiachembe9376
@lydiachembe9376 2 жыл бұрын
Masikini maasikar wetu duh
@lameckmtera2252
@lameckmtera2252 2 жыл бұрын
Tunashukuru kwa tahalifa kaka
@suleimansalim7194
@suleimansalim7194 2 жыл бұрын
Askari wa 4 raia Mmoja Duh,
@zawadimasula6253
@zawadimasula6253 2 жыл бұрын
Poleni Sana jeshi la polisi
@sultanamour8501
@sultanamour8501 2 жыл бұрын
Sisi tunahangaika kutafuta sababu ni nini kumbe ndio ilikua andiko la kifo Chao hapo kuna yakujifunza kuwa ikifka muda wako utakufa tu maana kama ni jambazi aliiba nini kabla au target yake ni nin au wapi? Lakini kama ni gsidi alitaget nin na kwanini aue Askari tu awaache wengine yaani raia? Na kama ni gaidi hawezi jitoa road kwa style ile?
@wilsonjoshua6209
@wilsonjoshua6209 2 жыл бұрын
Kwahiyo jamaa Ni msamalia mwema anaetimiza maandiko ya Mungu ..😅😅😂😂 .
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 2 жыл бұрын
@@wilsonjoshua6209 😂😂😂
@wasilaahmad5459
@wasilaahmad5459 2 жыл бұрын
We nawe huna point ya msingi ,tunajua kama kila kifo kina sababu lakini huyo jamaa analo alilokusudia, wasomali wanapenda kufanya ugaid na kujificha ktk uislamu, washenzi wKubwa
@wasilaahmad5459
@wasilaahmad5459 2 жыл бұрын
@@wilsonjoshua6209 🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu nae itakua ni msomali
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Kuna siri nzito hapo kt ya mtuhumiwa na police
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
Polisi wa tanzania Kuna jambo la kujifunza kwa hili tukio, jmaa alidili na askar polis tu,
@userAysha
@userAysha 2 жыл бұрын
Umeona eeh waache tamaa kama kinacho zungumziwa ni kweli basi mapolice wamekufa kizembe sana wao rushwa tuuu na tamaa mbaya
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
@@userAysha hatar san yani hao hawana ubinadam hata kidogo rushwa tu hawafny kz kwa mujib wa sheria inavyosema yan
@userAysha
@userAysha 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 kila kona rushwa tu mtu baada ya kufanya kazi yake vizuri kama inavotakiwa basi yeye akimshika mtu anaanza nipe chochote nikuwache
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
@@userAysha hiyo ndo tatizo watu wanawachukia polisi wa africa ni tatizo
@userAysha
@userAysha 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 halafu afrika nzima sawa sawa karibia wafanya kazi wote wa serikalini wanapenda rushwa ulaya hakuna mmabo hayo na ndo maana wameendelea we tizama afrika mtu anapangiwa mda wa kuanza kazi basi anakwenda time anazotaka yeye hawako makini na kazi zao kabisa
@opendoorspoutryfarm309
@opendoorspoutryfarm309 2 жыл бұрын
ao police walijuaje apo ndo kwake?
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Vido vidox nakukubali naunajua bana
@kimodomusic2009
@kimodomusic2009 2 жыл бұрын
Atali Sana😭
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 жыл бұрын
Polesi wetu jamani ..poleni ndugu na jamaa....
@mussanganda505
@mussanganda505 2 жыл бұрын
Polen sana
@mtagechota1002
@mtagechota1002 2 жыл бұрын
Samia kazidi kusema magaidi magaidi hajui tyuu mazara yake
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 жыл бұрын
Magufuri ajawai kusema acha unafki kama unachuki zako binafsi Sema yani, linawauma kusikia mbowe gaidi ila wale mashekhe wala hamjawai kupiga kelele kwenu sawa tu
@mtagechota1002
@mtagechota1002 2 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 binafsi siko huko unakowaza wew hata ukiangalia video alikuwa anaongea leo unaweza ukaelewa kwann nimecoment ivi Anyway acha kihere here bro
@faustinenyeura4243
@faustinenyeura4243 2 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 mbona hao Kina Mbowe na Lisu ndo waliipigia kelele serikali ya Magu iwaachie Mashekhe wa uamsho??!!!
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Aseee vijana acheni hayo mambo mutaharisha family kama hivyo mama Wenda hujui chochote dah mungu atulindie vizazi vyetu yasitokee balaa kama hizi
@kalizote4952
@kalizote4952 2 жыл бұрын
Kaz ya upolisi ni sawa na kujitowa muwanga kuzuiya bom
@naihfrank7306
@naihfrank7306 2 жыл бұрын
Daaa jmn walinz wetu wanch wameondok gafla mungu awapokeee kak zang mlio kufa bila atia sas huyu anza kwanin walimrus kumilik hiz bastola
@jamesmumba9985
@jamesmumba9985 2 жыл бұрын
Weeee poleni jamani
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 2 жыл бұрын
Duu kumbe wa nyumbani nini maskin kimemkuta
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 2 жыл бұрын
Itakua alikua na bifu na pokisi
@adamkadiri3864
@adamkadiri3864 2 жыл бұрын
Duh mmmmmh
@fredrickmalunde3426
@fredrickmalunde3426 2 жыл бұрын
We reporter boys kweli ,huna hata bullet proof.karibu na nyumvavya gaidi mwenye jezi za ccm
@mcmwasikitoko7294
@mcmwasikitoko7294 2 жыл бұрын
Aya ndio matatizo yatokanayo na Tozo Luku bizaa kupanda bei chanjo nk lazima akili ziruke sio poa
@jacksonlaurentfrancis884
@jacksonlaurentfrancis884 2 жыл бұрын
Nikwel aisee
@jumamsafari5121
@jumamsafari5121 2 жыл бұрын
Watanzania tukio alofanya huyo jama siolakawaida yuko peke yake naeneo lenyewe kuna baloz kama nne na kunakituo chapolic tuji ulize wange kuwa wako watano ingekuaje?
@nasrasaid2121
@nasrasaid2121 2 жыл бұрын
Jamani hata maiti pia askari wamekuja amakeli ukiwa na mali uko mavini bado kazulumiwa na bado family inateseka jamani sasa lazima tuwe makini na hawa askari mola akupe kauli sabit akupunguzie azabu ya kaburi
@jumansekeye3860
@jumansekeye3860 2 жыл бұрын
Inaskitisha allah atunusur
@ezraphonetv6185
@ezraphonetv6185 2 жыл бұрын
Dah
@abdulhalim3840
@abdulhalim3840 2 жыл бұрын
Tetea haki yak had Toni lako la mwisho hamza itakuwa alizulumiwa ndio Maan akaamuwa kudili na police tu dah hatar san Ole wak unakufa hali umedhulumu chochote kile iwe kwa tajir ukaona hupunguz kitu au maskin ukaona hanambii kitu jahannam inakusubir mpe kila mwenye haki haki
@abdallahrajabu4401
@abdallahrajabu4401 2 жыл бұрын
Kawapa tabu familia yao na wengine
@pendopeleus9943
@pendopeleus9943 2 жыл бұрын
Mtuhumiwa kashakufa hapo kwake wanalinda nini kaacha nini kitachowasaidia upelelez inachotakiwa musiwe mnauwa watuhumiwa muwe mnawajeruhi mnabakiza ushaidi mtamuua baadae akishajieleza
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Polen kwa wafiwa wote Lakin siro aseme alikua anatatizo gan nahamza
@cityhunter6858
@cityhunter6858 2 жыл бұрын
Mkishindwa niiteni city hunter nije chap chap tutawapata
@jimmymwambe8733
@jimmymwambe8733 2 жыл бұрын
Jitiada za polisi kuhus mtuumiwa na wengne kama huyo vp🤷‍♂️🤷‍♂️
@filismpangala2146
@filismpangala2146 2 жыл бұрын
Itakuwa uko uko mgodin polis wamemdulumu kitu akaamua kufany vile na inawezekan ni maswala ya hera
@fauziawaziri2729
@fauziawaziri2729 2 жыл бұрын
jeshi lapolisi lichunguzwe vizuri kwanini hajauwa laiya na anafanya kusema yeye hana shida ya kuuwa laiya anashida ya kuuwa askari polisi wachunguzwe kwa kina wakijulikana wanahatia wachukuliwe hatua za kishelia
@goodluckbosha1464
@goodluckbosha1464 2 жыл бұрын
Mr Vido Vidox naomba ukipata nafasa kumuhoji mamq yake Muulize "Unahisi Mwanao alipata wapi silaha na mafunzo ya kutumia silaha za kivita..."
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 жыл бұрын
Nasikia silaha ni ya baba yake alikuwa mmliki wa migodi huko shinyanga ila kwa sasa baba yake ni marehem kwa sasa na amewaachia hiyo migodi
@mohammedjuma8992
@mohammedjuma8992 2 жыл бұрын
Alifuata nn ubalozin
@nasrahnaim795
@nasrahnaim795 2 жыл бұрын
kwann wasimulize kwann alikuwa anauaaa askarii 2
@victordede1922
@victordede1922 2 жыл бұрын
Wamemuibia mgod uo
@officialsalhath299
@officialsalhath299 2 жыл бұрын
Nmehuzunika kutambua hakuw jambaz alizurumiwa pesa zake na askar ND maan akaamua kuyafany hayo Ila waislam wenzangu tujiuliz Jambo japo alifany hayo lkn hakumsaahau mola wake kwa Kila hatua
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 2 жыл бұрын
Me napita tu.
@perpetuafelix2264
@perpetuafelix2264 2 жыл бұрын
🙏🇹🇿🇹🇿
@robertmtiba6092
@robertmtiba6092 2 жыл бұрын
Akili anazo timamu kwann aue police tu asiue raia
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Yap,sio chiz na wala hakuchanganyikwa
@kipsjr3664
@kipsjr3664 2 жыл бұрын
huwezi kujua chizi kuna muda akiona polisi anajua yupo vitani so tatizo la akili ni daktari wa kuthibitisha
@twistermwasilelwa3663
@twistermwasilelwa3663 2 жыл бұрын
Kazma Kuna kitu hapa polisi tyu na sio laia
@esteromary2102
@esteromary2102 2 жыл бұрын
R I P polisi wetu 😭😭😭
@justinendizeye714
@justinendizeye714 2 жыл бұрын
Uthubutu wote aliwonyesha siyo wakawayida, dah
@nassirvarane6852
@nassirvarane6852 2 жыл бұрын
Serekal yetu hususani polic wanapenda kuzulum mali za wana nchi ss wananchi wenye hasira kali km hamza hawawez kuvumilia ujinga wao
@mimahally1388
@mimahally1388 2 жыл бұрын
Vidox😘😘
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
Hamza kaitia familia yake matatizo
@khatwabisadathil3423
@khatwabisadathil3423 2 жыл бұрын
Kweli kabisa.
@naihfrank7306
@naihfrank7306 2 жыл бұрын
Vidi dock anajitahid wamillad hay
@asmahaniabduli2726
@asmahaniabduli2726 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@poncan1133
@poncan1133 2 жыл бұрын
Asee MUNGU atukumbuke
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Mungu hakuna hata kimoja anachokisahau vyote ni milki yak hasahau kitu
@brayanjames9953
@brayanjames9953 2 жыл бұрын
Mimi ndo WA kwanza au
@puregamers4215
@puregamers4215 2 жыл бұрын
Kwani Millard anasemaje
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Kupigwa risasi au😃
@fredmramba6612
@fredmramba6612 2 жыл бұрын
Watu walishachanganyikiwa na maisha
@pendopeleus9943
@pendopeleus9943 2 жыл бұрын
Harafu unakutana na mixengwe unasumbuliwa kweny mali yako kitatokea nini wkt mnawakabidhi bastora ajilinde na mali zake
@mashibatoursafari4670
@mashibatoursafari4670 2 жыл бұрын
Hakuna ulizi wowote
@elishamwanjela4443
@elishamwanjela4443 2 жыл бұрын
Blog no 1 tz
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Millard ajawahi kutoa taarifa za hovyo
@officialz-styletz4934
@officialz-styletz4934 2 жыл бұрын
duuh pazitooh
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Hawa watu wa jamii ya kisomali sio watu kabisa nyie chukueni hilo tukio poa poa tu, watakuja kuwauwa kama kuku, waulizeni Kenya waliwakaribisha wengi sasa wakenya wazawa wanajuta. Ni bora mkaribishe waafrika wengine hawana tabia za kigaidi na roho mbaya na ubaguzi Ila sio wasomali hawana maana kabisa hao watu.
@abdulahihassankadir9770
@abdulahihassankadir9770 2 жыл бұрын
Punda wewe usoongee pumba ...
@aminiahidani4120
@aminiahidani4120 2 жыл бұрын
ALIYEUWA NAYE KAUWAWA WEWE UNAYESEMA KAIPA TABU FAMILIA KWNI ALIKUWA NAYO KWENYE TUKIO
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 4,8 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 85 МЛН
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4 МЛН
"SLOVENSKÁ MAFIA"  rozhovor Ján Petrovič
1:49:43
ABY SI VEDEL
Рет қаралды 167 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН