🔴LIVE: WAKILI MWABUKUSI ANAKULA KIAPO MUDA HUU KAMA RAIS WA TLS TANGANYIKA

  Рет қаралды 8,436

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@PaulMasingisha
@PaulMasingisha 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutangulie sana wakili Mwabukusi
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 ай бұрын
Kazi kazi kazini kumekucha serikali tuwe pamoja kujenga Nchi
@SarahMwamfupe
@SarahMwamfupe 2 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Mungu akuwezeshe kutenda sawa na mapenzi yake.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 2 ай бұрын
Mungu akulinde na kukuongoza.
@samwelmohonge4573
@samwelmohonge4573 2 ай бұрын
hongera sana ndugu mtanganyika mwenzangu, hakika TLS imempata mwakilishi bora kwa maslahi ya jamhuri yetu sote.
@JuliethMshiu
@JuliethMshiu 2 ай бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote
@rainbowioc4176
@rainbowioc4176 2 ай бұрын
Big up MWABUKUSI
@lazaromsasi2702
@lazaromsasi2702 2 ай бұрын
Hongera sana
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 2 ай бұрын
Hongera sana Wakili Mwabukusi.
@bakarikasimu-gn8xj
@bakarikasimu-gn8xj 2 ай бұрын
Natamani ungekuwa Rais wa CWT Maana tunayoyasikia huko tunakuhitaji ungekuwa Rais wa CWT
@nekaagripa3993
@nekaagripa3993 2 ай бұрын
Unaumwa?? 😂
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 2 ай бұрын
Haya Gen z.. hakika hata mwalimu Nyerere Hayati alisema, nanukuu 'nchi lazima iendeshwa kwa mujibu wa Sheria, huwezi kulala na mkeo kesho unakuja na mambo ya ajabu' Hivyo wanasheria lazima waheshimiwe vibaya mno.
@stanleymanya438
@stanleymanya438 2 ай бұрын
Wakili mwabukusi Mungu akulinde akupe Maisha marefu uanaharakatiwako hakuna mbambamba
@lucascosmas908
@lucascosmas908 2 ай бұрын
Sawa ongereni mawakili aisee mlicho kichagua ni sahii
@RobertKushema
@RobertKushema 2 ай бұрын
Wewe ndo mkombozi wetu tunakutegemea Mungu akulinde
@sondajohn1371
@sondajohn1371 2 ай бұрын
Kwa kwer wamasai wanaptia magum jamn
@tzonespices9734
@tzonespices9734 2 ай бұрын
Nimefrai saana kabisaa
@kingswebe3251
@kingswebe3251 2 ай бұрын
Mwamba huyu hapa
@sylidionkatetegwa429
@sylidionkatetegwa429 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 2 ай бұрын
Nakukubali Sanaa mwamba yaani naskia fraha Sanaa moyoni mwangu kuona umeshinda yamekuwa maombi YANGU,Namshukuru MUNGU SANA lakini pia nanyie wanachama mshikamane nayeye huyu Simba nimtu Safi SANA Tena anajielewa SANA sanaaaa Hongereni SANA jamani
@florangido202
@florangido202 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Richkinji-n1g
@Richkinji-n1g 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@kevinmary7129
@kevinmary7129 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gastonmakweta8036
@gastonmakweta8036 2 ай бұрын
Kila la kheri Adv. Mwabukusi katika utume huo wa kuimarisha misingi ya TLS (section 4) na wajibu wa wanasheria/mawakili kwa watanzania wote.
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Nadhani uchaguz upo sahihi na aliechaguliwa ni mtu sahihi Il naon nitoe maoni yetu wenda sielewi .. Moj nikwamba katka kupata uhuru naona bado huo uhuru bado sio waukweli kwasbabu nyum ya pazia Waingereza bado wanamamlaka na huo uhuru kwahy Mwambukus amekuwa Rais wa Tls now .. Ninaona kuwa rais kuna mipango nilazima ataelekwezwa kufanya ambalo hilo lipo nje wa uwezo wake hili jmbo lipo n atalijua yeyw na hatolizungumz mbele ya jumuia.
@erasmichuwa4049
@erasmichuwa4049 2 ай бұрын
TUNAKUOMBEA MAFANIKIO TELE KATIKA JUKUMU HILI LA KUWATETEA WANANCHI
@edwinmwombela4504
@edwinmwombela4504 2 ай бұрын
Tutakupima kwenye TLS ukifanya vyema tutakupa taifa baada ya miaka kumi ya Samia
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 ай бұрын
Samia Hana kumi. Kisha Mali a hatamı yake. Hana sifa . Kuna watu wengine wana tufa kwa sasa zaidi yake. Kama Mwakubusi alivyoenguliwa, one wa, na dhuruma kubwa kuna watu thabiti wanaostahili zaidi.
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 11 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 18 МЛН
🔴LIVE: KAULI YA KWANZA YA RAIS MTEULE WA TLS WAKILI MWABUKUSI
10:22
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН