No video

LIVE: WAKULIMA WA MIWA WAUNGANA NA MPINA KUMSHITAKI BASHE, WAMWAGA MACHOZI KWA UCHUNGU

  Рет қаралды 27,312

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#uhondotv #uhondo

Пікірлер: 336
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m Ай бұрын
MPINA Luhaga hongera sana kwa Kutetea Wakulima wa Miwa.Tuko pamoja Aluta continua.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Ай бұрын
MH. SPIKA TULIA....UMEWASIKIA WAKULIMA WA MIWA.....WEWE BINAFSI UMETUMIWA NA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAAGIZAJI WA SUKARI WALIOONGOZWA NA MH. WAZIRI BASHE NA BODI YA SUKARI...NA UMETUMIKA! AIBU NA FEDHEHA KWAKO SPIKA NA GENGE LOTE LA WABUNGE WA CCM WALIOSHIRIKI KUMPINGA NA KUMUONDOA BUNGENI.
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Wanaangalia maslahi Yao na siyo wananchi.Mungu mfufue JPM
@NgunoSangano
@NgunoSangano Ай бұрын
Mpina oooyeee!!! Salute mh mubunge ,mko sahii kabisa wanainchi tunaumia sana m Me mkaz wa geita
@fredgonga
@fredgonga Ай бұрын
Hii ni Inchi ya vichekesho, usishangae siku moja tutaagiza mlenda kutoka nje..
@awadhally1052
@awadhally1052 Ай бұрын
😂😂😂😂😂kwel
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 Ай бұрын
Hii ni kweli! Inawezekana inafanyika kama wameweza kupindisha ukweli ndani ya Bunge mchana kweupe. Misingi ya haki ilikwisha haribika wenye haki siku zote ndio waovu.
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Ай бұрын
Mbunge biraupinzani tutaumia tu ccm haina huruma kwa mwana ccm tanzania wote ccm shida viongozi wanaangalia matumbo yao
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kumtetea Ruhaga Mpina mtetezi wa Wanyonge
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Ай бұрын
magufuli atakumbukwa kwa mengi sana yani watu wa kilombelo wana mbunge wao lakini wanamuunga mkono mpina yani mpina ana watetea wananchi wa kilombelo na mbunge wa kilombelo hana watetea wenza wa maraisi nao walipwe mishahara yani anachotaka mwenyenacho aongezewe
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Hapo ndipo ung'amue mwenyewe kwamba zoezi la kuwapata wawakilishi wa wananchi lilivurugwa na haya ndiyo madhara ya kuamini katika kila kitu anachosema mtu!! Tujifunze, wasiotufaa kwa shughuli zetu na kutupa kisogo tuwapige chini bila huruma!
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
@@festokemibala5832 sahihi!
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
❤❤wako sawa Hongera MPINA MBUNGE
@user-eq9lw9ju1l
@user-eq9lw9ju1l Ай бұрын
Pole Mzee wangu hili Bunge ni serikali sio mihimili unajitegemea kuisimamia sirikali. 2025 tujitahid tuwaondie wote.
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Ай бұрын
hatuna wabunge kwa Hivi sasa bali tuna machawa wanaotafuna kodi zetu
@jacobmakono4399
@jacobmakono4399 26 күн бұрын
Aksante Sana!ni kweli
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Ай бұрын
Paza sauti Mpina ni kiongozi bora mungu amlinde
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 Ай бұрын
Hapa ndio utajuwa kwamba Watanzania tume haribiwa na elimu mbovu "yarabi nafsi yangu" sijuwi mshenzi Musukuma na blood Tulia mnatuambia nini?
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan Ай бұрын
MwenyeEnziMunguMlezi AtuSimamie. Pumzika Kwa Amani Kiongozi Mzalendo na Mwadilifu❤🇹🇿🕊️JPM RIP
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Msigwa baada ya kunyimwa uenyekiti wa kanda ya Nyasa amekwenda kwa wapigaji
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
kweli?
@binsherbal6089
@binsherbal6089 Ай бұрын
Kiza kimezidi sana, ni dalili za kupambazuka. Ahsante Mungu, tumenyonywa sana, tumeonewa sana, tumedhalilishwa sana na sasa tumaini linaonekana lipo mlangoni. Wakulima Elfu 11 ni wengi, hawa wote wakiinyima Kura CCM pamoja na jamaa zao litakua pigo kwa Chama cha Majambazi. Watanganyika tuamke sasa tuwakatae hawa watu na wala si nyie tu hawa watu wameharibu kila sehemu, si kwa Wakulima, Wamachinga, Wafanyabiashara, Wafanyakazi kote wameharibu. Tuungane tuwakatae kwenye sanduku la Kura.
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Ай бұрын
Mwenye shibe hamwoni mwenye njaa pamoja na maneno hayo ya uchungu hakiwaingii chochte wanacheka ni kama wanafikiri tunatokea ukoo wa nyani wao ndio walio umbwa na Mungu
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
Usiku uliendelea sana mchana umekaribia au umeanza kuonekana
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 Ай бұрын
Mpina tupo nawewe adi kieleweke
@barnaba3037
@barnaba3037 Ай бұрын
Mpina anawakilisha wananchi ndo mana wamemtoa nje
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Mpina hoyeee mzalendo wa kweli Mtanganyika Mungu yuko nawe wakulima mko vizuri sana
@mukeshramji1537
@mukeshramji1537 Ай бұрын
Bei Kubwa Sana Kutoka nje Bei Rahisi Kwanini Bei zenu ni Kubwa
@user-vq6dc4nr5p
@user-vq6dc4nr5p Ай бұрын
Sababu hiyo sukari ya nje ni comical tupu, wauwaji nyie, alafu watanzani tungejua wahindi Wana roho mbaya aisee,​@@mukeshramji1537
@rithaurassa
@rithaurassa 9 күн бұрын
Mmmmh. Nchi nzima kimeumana.Shehe uko vizuri ubarikiwe sana.
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Ай бұрын
Poleni sana
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Ай бұрын
Hongera mpina na simiyu msifanye mchezo
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w Ай бұрын
Hivi job ndugai hatukumuelewa su
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Ай бұрын
Hii nilimsikia jafo analalamikia uagizwaji wa mbolea nje ya nchi,leo tena wakulima wa muwa mpo live mkilia kuaribiwa kwa uchumi wenu,nimuombe mh rais awasikilize hawa wananchi wake mh waziri yy Alisha sema ni wachache.bashe jiuzuru tu kk ungwana si utumwa
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
Rais huyu mliyenaye yeye ni kibalaka wa hao majizi na mabeberu
@gellangi9694
@gellangi9694 Ай бұрын
Rais ndiye mteuzi wa Bashe na kumlilia hakuwezi kuwasaidia.
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud Ай бұрын
Chura kiziwi
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 Ай бұрын
Sijui wabunge wanajisikiaje wanavo ona watu wanao wawakilisha wameamua kutoka live
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
@@elikanaernesti8440 aibu ingawa hawa jamaa zetu huwa hawana haya! Jioni asema hivi usiku vile kwao usiku ni mchana na mchana ni asubuhi! Hujamuona mjinga mmoja anasema kwamba unadhamiria kutenda dhambi kisha ukimaliza unamuomba Mungu akusamehe? Sijui dini yake ni ipi lkn mimi nadhani ni mazingira alimozaliwa ya nje ya ndoa!
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Ай бұрын
Ndgu yangu kumbuka msemo: aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa! Kwa hiyo wabunge hawajisikii chochote!
@sundayyohana-qx3ys
@sundayyohana-qx3ys Ай бұрын
Viva wakulima viva..
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
Mungu aendelee kutusaidia watanzania tuendelee kuamka..poleni wote
@Ich-ny7uo
@Ich-ny7uo Ай бұрын
Putini alisema wafrika wana halibu uchumi wao wenyewe
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
ila Mama Samia anapoona malalamiko ya w/nchi inabidi awe makini na kuongea na waziri mhusika kwamba kulikoni? na amuagize aende kutoa suluhu mara1..sio vizuri kuongoza nchi na watu wana moyo umejaa maumivu hivi jmni
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Huyu mama nimzanzibar Hana uchungu na TZ Hana uchungu kabisa
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Ай бұрын
Ni Chula kiziwi
@AMOSSILYVESTER
@AMOSSILYVESTER Ай бұрын
Tulia haufai
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk Ай бұрын
Bashe anakauli za dharau sana,eti wakulima wa mua ni wachache wabadilishe walime mpunga,harafu eti ni Waziri wa kilimo.Viwanda vinazidi kuboreshwa ili kupunguza uhaba wa sukari nchini bahati mbaya mmeanza kuingiza sukari tena kupita kiasi kutoka nje,not fair. Hawa wananchi wanaolalamika wasikilizwe hoja zao. Na kwa upande wa mbolea imekuwa hivo hivo,mbolea nyingi inaagizwa nje. Ukisharuhusu wafanyabiashara waingize sukari tayari ujue umeua kilimo cha miwa,umeua viwanda vya sukari,umeua ajira za watu,umeua na baadhi ya viwanda vinavyozalisha spare/vifaa/mbolea zinazotumika viwandani. Wazo la kuwekeza kwenye viwanda vya ndani ni zuri sana ila tunakoelekea MUNGU atulinde.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Ай бұрын
VIVA WAKULIMA WA MIWA TANZANIA....NGUVU YA UMMA ITAWANG'OA CCM MADARAKANI.
@eliaslaurent-it1id
@eliaslaurent-it1id Ай бұрын
safii sana ndo inavyotakiwa kuwaunga mkono wabunge wanapo tutetea
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 Ай бұрын
Bashe hafai
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s 4 күн бұрын
Bashe mungu anakuona mbaazi yetu tulikuwa tunauza 3300 Leo uliposema tukauze galani Leo tunauza 1500 Bashe hafai kabisa
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan Ай бұрын
Mhe. Mpina❤🇹🇿🕊️
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Acheni kulia Lia mama mama mama. Hao wote mnaowalalamikia ni wateule wake unadhania kama yeye atawalazimu kubadili na hao ndio wamepitisha hiyo sheria bungeni nayeye kuisaini. Andamaneni. GEN Z walibadili mwelekeo Kenya
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Wadau, eleweni kuwa kama bashe unaujasiri wa kusema eti wakulima wa miwa ni wachache tafuteni kilimo kingine hapa wameshapanga kukiuwa kilimo cha miwa, kama walivyouwa cha kahawa. CCM wamechoka sana,
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Hapo Msigwa unasemaje
@gellangi9694
@gellangi9694 Ай бұрын
Hana lingine zaidi ya CCM Hoyeee
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 29 күн бұрын
Msigwa. Anasema mkurunziza
@abdulwaheedsheikh8015
@abdulwaheedsheikh8015 Ай бұрын
Kwa hiyo mnataka sukari isiagizwe nje iwe nyingi na ipungue bei, mnataka uzalishaji uwe mdogo ili bei ipande mufaidike sana na mlaji wa mwisho apandishiwe bei?
@Fesary
@Fesary Ай бұрын
Point ni wao kutoshilikishwa tu,
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo Ай бұрын
Yap Hawa lengo sukari aidimike ili wanufaike wajifunze kuzalisha kwa bei ya chin
@nestor384
@nestor384 Ай бұрын
Luhaga Jelson Mpina alikuwa sahihi Speaker alichagua kulidanganya wizi na kuamua kuua atamizi za wazawa kujiajili na kutengeneza uchumi unaomilkiwa na wananchi
@supa7077
@supa7077 Ай бұрын
Nyie Mnatumika tuu.. Kwahiyo wananchi milioni 60 waumie kununua sukari 10000 kwa kilo ili iwalinde wakulima 12000. Acheni kelele. Kila mwaka wananchi wanaumia na bei ya sukari kwa kuwalinda nyie wachache. Tulieni sasa. Huyo.mzee anasema ameuza tani 200 kwa KILOMBERO, utasema ni mkulima mdogo???
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 Ай бұрын
Yaan nibora utulie kwanza afu uchunguz bei ya sukar imepanda kutomana na uingizaj wasukar kiholela nchin mbn kipind tunawategemea viwand vya hapa hap sukar haikua juu iv bashe mwizi yule
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 Ай бұрын
Wewe kipele ushawailima mtu anapewa kibali wauza Sim Waka agiza sukari
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Ай бұрын
Kaaa kimya
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Ай бұрын
Sukari iko wapi?
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
Mwaka 2006 mpaka Mwaka 2008 nilikuwa Hakimu Mahakama ya Mwanzo KIDODI Kilombero ndio kwanza nimetoka chuo tu nilisikiliza shauri moja bwana Mohamed Said Kapyale alikuwa ni sehemu ya shauri hilo namkumbuka vizuri sana mpaka leo bwana Mohamed Said Kapyale ni fundi sana wakujenga hoja na kuhoji na ana uzoefu mzuri sana amenikumbusha mbali sana😂😂
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 Ай бұрын
Moto umewaka huyu mpina ana jambo lake
@kanoa645
@kanoa645 Ай бұрын
Unaonaeee!!!
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff Ай бұрын
Mmh! Umaskini wa kutengenezewa . .nchii unaweza kuogelea kwenye fursa lukuki zilizopo lkn kukubadilishia maisha kutoka umaskini uwe tajiri ni jambo tofauti mno...
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Ай бұрын
Mpina ni mbunge wa dunia wakulima wanafanya kazi sanaa Tanzania inakuwajee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mpina chuma cha pua unapendwa kiroho mbaya wakulima wa sukari oyeeeee mtetezi wa wakulima wa sukari
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose Ай бұрын
Muheshimiwa spika mama Tulia ni yupo bungeni kwa ajili ya serekali sio wananchi waliomchagua! Howo ndio ukweli.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Kumbukeni lile sio bunge kwani hawakuchaguliwa
@abuubilal2646
@abuubilal2646 Ай бұрын
Wabunge wa magufuli
@HarunaGardenGoa
@HarunaGardenGoa 9 күн бұрын
Mpina anatosha kuiongoza Tanzania sio hao mawaziri mafisadi, wafunguliwe mashataka wanyongwe Hadi wafe
@songeramashauri7312
@songeramashauri7312 Ай бұрын
Na inaonekana kabisa ubora wa sukari hii ya nje ni wa chini ukilinganisha na sukari inayotengenezwa nchini.
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Ай бұрын
Watanzania tuamke sasa
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 Ай бұрын
Viva Mpina
@elishadodi8787
@elishadodi8787 Ай бұрын
Bunge letu siyo wawakilishi wa wananchi ni vibaraka wa serikali tu. Wanayoongea siyo Yale waliyotumwa na wananchi. Ukiona kauli za wabunge zipo tofauti na uhalisia wa wananchi ujue wabunge Wana ajenda zao tu. Shida wabunge wetu wanapigia makofi sana serikali badala ya kubeba hoja za wananchi. Bunge hata Sheria linazotunga Kwa sehemu kubwa ni kutetea ulaji wao wenyewe na heshima zao na ndiyo maana Sheria yoyote inayowahusu kuwatetea wananchi ikivunjwa husikii sana wakipiga kelele Ila ivunjwe ya upande wao utaswekwa mahakamani. Vunja Sheria zinazowatetea serikali na bunge uone, utafanyiwa kama Mpina. Bunge letu siku Ile ya kumfukuza Mpina lilipozi kujadili ajenda muhimu ili kushughulikia mtu anayetetea wananchi ili kulinda heshima ya bunge, unajiuliza kumbe ninyi mpo radhi tuumie wananchi ninyi mlinde heshima yenu? Serikali na bunge ni genge moja lile lile la walaji wa nchi na lazima wateteane maana pia ni chama kimoja. Kinachofanya wabunge wawe vibaraka wa serikali ni Kwa sababu Mwenyekiti wa chama Chao ndiye Mwenye maamuzi kwenye chama nani agombee na nani asigombee ndiyo utawaona wabunge wanapigia makofi Mwenyekiti wao huku wakisema ana upiga mwingi. Wabunge ni vibaraka wa serikali na chama Chao tu na siyo wawakilishi wa wananchi, wabunge wanajua wananchi wanaowawakilisha hawana uwezo hata wa kuwaengua kwenye uchaguzi Bali chama ndiyo chenye nguvu . Nape juzi juzi alishasema uchaguzi kushinda ni rahisi sana na yeye ni mtaalamu wa kufanya washinde, Sasa Wana shida gani hata msipowapigia kura wanajua watashinda? Wabunge si waajiriwa wa wananchi Bali wa chama na serikali ndiyo maana hawawatetei wananchi.
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan Ай бұрын
Katiba ya Warioba
@barnabasmsamwel4292
@barnabasmsamwel4292 Ай бұрын
@user-xw1dv3gr8s
@user-xw1dv3gr8s Ай бұрын
Bashe hafai kabisa anatumiza wakulima
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Ай бұрын
Mpina Mungu yupo nawe
@NyangiMarwa
@NyangiMarwa Ай бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie wakurima
@abdulrahmankhamis4099
@abdulrahmankhamis4099 Ай бұрын
Biashara ni ushindani jamani, lazima tushindane, inakuaje sukari inayotoka brazili iwe bei ya chini mara mbili ya sukari inayozalishwa kilombero. mwsiho wa siku tusilazimishe mwananchi anunue sukari kilo 15,000 kwasababu tu wakulima wapate fedha hilo haliwezekani. unsema haiwezekani sukari iuzwe kilo 2000 mnataka mwananchi anunue kilo bei gani. mama lishe wanunue kilo bei gani. sukari ni ya wanyonge, musijiangalie nyie tu.
@supa7077
@supa7077 Ай бұрын
Umeongea point sana.,haiwezekena hawa wachache wawaaumize watanzania mil 60. Washidane na sukari ya nje
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y Ай бұрын
Inapanda shauri ya makodi mengi
@user-tf5ec2hi3k
@user-tf5ec2hi3k Ай бұрын
Hamna hoja ya msingi kwahiyo mnataka watanzani milioni 60 waumie kwaajili yenu watu elfu 12000
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 Ай бұрын
Huyo Msomali Bashe ana roho mbaya ya kisomali
@DaudiLengai-ym5fx
@DaudiLengai-ym5fx Ай бұрын
Siyo Msomali ni ndugu moja na mzee mmoja wa ccm anaitwa Kinana
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 24 күн бұрын
AIBU TANZANIA😢😢
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 Ай бұрын
Mifumo ndiyo inashida kubwa. Latina mpya ndiyo mwalobaini katika nchi hii.ndiyo maana watu watapiha kelele, hakuna anaye jali.
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
Uko wapi JPM
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Malalamiko kila kona, nini kiini cha yote haya?
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze Ай бұрын
Msgwa oyee
@seifkassim5872
@seifkassim5872 28 күн бұрын
Brazilian sugar.sasa ndo imejaa madukani sukali yetu ata ahionekan
@KamardinTebe
@KamardinTebe Ай бұрын
Bado kazi iendelee mtamkumbuka sana jpm
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy Ай бұрын
Najua mtanikumbuka kwa mema ,#jpm. Mpina oyee
@georgemahenge
@georgemahenge Ай бұрын
Mpina.ndiyo mzarendo ktkt wabunge wote.na hii ya sukari ikuri inahusika nakama haiusiki nikwann mkuu wa nchi hajatoa kauri kuhusu waziri!
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
Rais wa ziara
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Ай бұрын
HAPANA. BEI YA SUKARI TANZANIA NI KUBWA MNO. MSIANGALIE MASLAHI YENU TU NINYI WAKULIMA
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Mbona kodi mnapandisha mno.Viongozi gani bure kabisa msio wajali wananchi wao wenyewe
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o Ай бұрын
KWELI KABISA LUHAGA MPINA NI MZALENDO NA MTETEZI WA WAKULIMA WOTE NCHINI .BUNGE LA TANZANIA CHINI TULIA JACKSON KUMTOA MPINA KT.BUNGE AMBAYE NI MTETEZI WA WAKULIMA.
@hamishassan6784
@hamishassan6784 Ай бұрын
Tunatofautiana kidogo, Bei nzuri sio maana yake iwe bei kubwa kiasi cha watumiaji kuhisi mzigo, Pale serikali inapoamua kutetea walaji pia ni lazima iangaliwe na fikra yangu ni kwamba tumeaminishwa na wachumi uchwara kwamba faida inapatikana pale unapouza kwa bei kubwa Natoa wito elimu ya uchumi na uzalishaji itolewe ili mzalishaji pia ajue ni vipi anaweza tengeneza faida na sio eti watu wauze tu kwa bei juu, si wapingi wakulima lakini naona kuwa na mawazo mseto ili kujenga umoja wetu ni jambo zuri
@mukeshramji1537
@mukeshramji1537 Ай бұрын
Kila kitu kinachozaliswa bongo kinatakiwa Bei Mara mbili Kama unazalisha sukari kilo Moja garama yake ni 2000/kuuza lazima tuuze4500/ HIVI KWELI tutafika
@leonardoscarkitime145
@leonardoscarkitime145 Ай бұрын
WAMETUMWA HAWA.. HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA, JARIBU KUWASIKILIZA UTAGUNDUA HAWAJUI HATA SHERIA MPYA INASEMAJE.. HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MFUMO WA UNUNUZI WA SUKARI YA ZIADA AMA UNUNUA SUKARI YA AKIBA. YAN NI BOGAZ KABISA, ZERO ZERO ZERO KICHWANI
@Dominaevance
@Dominaevance Ай бұрын
Kuna Msemo Moja WA kiswahili unasema Kichaa anachekesha akiwa hatokei kwako au kwenu, unatoa kauli za kejeli Kwa kuwa ww Kilimo Cha Muwa sio Maisha ukishindwa kuwaunga mkono ni Bora ukae kimya ni Busara zaidi
@leonardoscarkitime145
@leonardoscarkitime145 Ай бұрын
@@Dominaevance Mzee na wewe ni wale wale.. kwahiyo niwaunge mkono kwa kusema serikali imeamua kununua sukari nje kwahiyo biashara ya miwa yao itakuwa imekufa..?? Inamaana na wewe hujui kinachoendelea? Inamaana hujui ni kwanini sukari imenunuliwa nje na ukizingatia hii si mara ya kwanza kununua nje, ni kila mwanga sukari lazima inunuliwe nje kuziga gap la uzalishaji dhidi ya matumiz ya ndan, ina maana hujui kwamba sheria mpya ilichobadili ni kusema kwamba mnunuzi wa hii sukari ya gap ni serikali na si viwanda tena, ina maana na wewe hujui kwamba serikali imeanzisha sheria ya utaratibu wa kuhufadhi sukari ktk magharala yake kama ilivyo kwa mahindi na bidhaa nyingine za muhimu.?? Kama haya hujui na wewe ndo wale wale kaka
@leonardoscarkitime145
@leonardoscarkitime145 Ай бұрын
Na utaratibu huu hauna madhara yoyote kwa mkulima kwasababu ni utaratibu wa kawaida ulikuwa ukifanyika huko nyuma kwa bidhaa zinginezo ikiwemo mahindi, viwanda vitaendelea na uzalishaji kama kawaida na wakulima wataendelea kuwauzia viwanda kama kawaida.. kwasababu serikali haitafanya biashara isipokuwa sukari ikikosekana tu.! Na hii ni kwa kumsaidia mwananchi wa chini kabisa asije kusumbuliwa na upandaji wa bei kiholela
@leonardoscarkitime145
@leonardoscarkitime145 Ай бұрын
@@Dominaevance YANI WATU BADALA YA KUIPONGEZA SERIKALI KWA KUCHUKUA HATUA ZA KISHUJAA KUNUSURU BEI YA SUKARI ILI WATU WA CHINI WASITESEKE NA WAMEWEKA UTARATIBU MZURI KWA BAADAE.. NYIE MMEKAA KUSIKILIZA MPINA ALIYETUMWA NA WAMILIKI WA VIWANDA ILI KUCHAFUA HILI, HAO WOTE WANATUMIKA.
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Nchi kama Haina Rais ni hatari sana
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 Ай бұрын
Mko sawa kabisa
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Inauma sanasana kwanza nyumbani nnje badae
@user-sk6ly4oj9c
@user-sk6ly4oj9c Ай бұрын
Tujifunze kuchangua viongozi,tusichague waunga mikono
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Ай бұрын
Watanzania tuna haribu uchumi wetu sisi wenyewe
@Edger-bn2mt
@Edger-bn2mt Ай бұрын
Xyo mkulim 2 ata cc Walal hoi 2po nyuma yenu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Kazi ya kufanya ni kuiondoa CCM madalakani nyie endeleen kulalama
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h Ай бұрын
Shida ya nchi hiii wasomi wetu wamegeuka kuwa machawa tu wasomi nchi yoyote wakisimama kwapamoja nchi huwa inaeleweka lakini wasomi wengi nchi hi wengi sijui wana mtindio waubongo mambo yahovyo lakini unakuta wao wapo tu hawasimami kutetea uozo wanajali masilahi yao na family zao tu wasomi sijui mnalaana gani nchi hii
@exaudkkamwela9960
@exaudkkamwela9960 Ай бұрын
Sauti ya mpina ni sauti ya watanzania wahitaji haki ktk hili.
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Ай бұрын
Tupo wengi nyuma ya mbunge wa tanzania
@HarunaGardenGoa
@HarunaGardenGoa 9 күн бұрын
Mbuge wenu hawafai mpigeni chini
@HenryMhabuka
@HenryMhabuka Ай бұрын
Hii serikali ya ajabu sana wakulima wote ni kilio. Hii yote ni kwa sababu ya kuwa na wabunge maboya.
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Ай бұрын
Is just a matter of time
@abeidsanga7361
@abeidsanga7361 Ай бұрын
Wemetupiga hao Kila Kona pole tanzania tunazikwa wazima wazima mungu tusimamie
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 Ай бұрын
Wee mzee kaa tu ccm na wengine mlokua hamujielewi kuikumbatia tu ccm mutulie
@chamaibra5966
@chamaibra5966 Ай бұрын
Hawa wakulima kwa mkusanyiko huu wamekusanywa wameitiwa waandishi wa habari hawana walijualo wamepewa hela na wamelishwa maneno
@selegioelias9076
@selegioelias9076 Ай бұрын
Hivi kweli unadhani hawa wakulima hawajui maisha kama wanadai pesa wewe unajua maisha yakulima
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 Ай бұрын
Hili ndio tatizo. Wananchi hao mnawaona wenyewe hawana akili. Wamekusanywa, wamepewa hela. Wenye akili no ninyi tu.
@AyubuedwardKiwipa
@AyubuedwardKiwipa Ай бұрын
Wabunge wote vibaraka wa mafisadi wa serikari
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
2025 ujeeeee!
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze Ай бұрын
Sasa hivi wanakokotoa Kila Kona hakuna atakayepona tusipoungana
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
Katiba mpya ni sasa
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Ай бұрын
bado ujasema, hapo bado sàna, tkiwambia nchi niyawapiga diri amtuelewi.
@Ajijji12
@Ajijji12 Ай бұрын
Kwahiyo mmeandikiwa script 😅
@Adye255
@Adye255 Ай бұрын
Watu wanapiga hela nyie mnalialia endeleleeni kulia, Usha ambiwa amutaki watapita kwa gori la mkono mnataka watapita kwa kura zenu, Samia anajua kinachoendelea, usalama wa taifa umetapakaa kila Kona tarifa anayo, Wezetu Kenya wamekataa kuwa watumwa Kwenye nchi Yao wenyewe wamechukua hatua, Tanganyika sisi zetu kulialia, haki hatafutwi kwa mfumo huo.
@thabit5775
@thabit5775 Ай бұрын
Polen sana ndugu zangu
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 11 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 8 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН