#CloudsDigital Ipo Mubashara kutoka Studio Za Clouds FM
Пікірлер: 1 200
@judithngulwa7433 жыл бұрын
ba mdogo anahitaji tuzo kwa kweli ni wachache sana wababa kama hawa kwa kweli Mungu akubariki sana wewe baba
@salamakombo32573 жыл бұрын
Jamani naomba number ya mzee taji jamani jomoni hadi rahaaaaa
@consalvakileo82053 жыл бұрын
Ni baba mdogo wachache mungu ambariki
@atuganilekalinjila83853 жыл бұрын
Mzee taji anastaili tuzo kwakweli
@michaelthobias9967Ай бұрын
Wababa bora wapo wengi
@nadiaally90223 жыл бұрын
Mzee taji Mungu akuzidishie daah wewe ni baba bora.
@lawrencetesha59363 жыл бұрын
Kuna vitu ni vingumu duniani wakuviwezesha ni Mungu pekee. Yani unahakaika miaka yote Mungu anavifanya ndani ya dakika tu🌍🙏Mungu ni Mwema Kila WAKATI.
@anithajosephat73233 жыл бұрын
Kabisaa
@nyamongotvonline723 жыл бұрын
@@anithajosephat7323 j888jjjhjjhjjjkolmmmm
@nyamongotvonline723 жыл бұрын
Yeydt
@nyamongotvonline723 жыл бұрын
@@anithajosephat7323 dudyw
@familylove54173 жыл бұрын
Yaraby niweke mama angu ameen nimelia jmani
@HappynessJose3 жыл бұрын
Taj mungu Akubariki sana nimelia kwa uchungu sana
@dinahshirima63563 жыл бұрын
Inaumiza sana
@nancykabululu15423 жыл бұрын
Nmelia sana kwa kweli wanawake tunapitia mengi,, msione tupo kimya watu tumepitia mengi,,nakushukuru Gea mungu atakulipa kwa yote!!
@hamisaabdul9313 жыл бұрын
Kwel kabisa wanawake tunapitia mapito magumu sana
@bahatisunga16423 жыл бұрын
Hakika
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Majambo haya yawe endelevu jamani watu wanapotezana na vipenzi vyao sana !! Mashaallah sana
@aishaomari9443 жыл бұрын
Subhanallah
@habibahabiba71283 жыл бұрын
@Jojo Majare Amen
@nananjige29133 жыл бұрын
Daaah nmelia sanaa,kweli Mungu ni mwema🙏🏾🙏🏾
@mtumweusy46523 жыл бұрын
Nana hi
@binaljabirmshihirzanzibar83693 жыл бұрын
Dah!!! Balaaa kweli kweli
@margarethsaramaki39663 жыл бұрын
Hakika michozi itakutoka ila Mungu yu mwema🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sondashukuru30783 жыл бұрын
Sema kweli clouds ni redio ya watu, then Mzee taji ni mfano mzuri wa kuigwa na jamiii
@ashamganga66363 жыл бұрын
Wanaume kama mzee jengo sasa wamekufa
@mashalaizer31523 жыл бұрын
Kabisa na Mungu ampe umri mrefu
@euphrasiamsakwa36953 жыл бұрын
Nimejikuta nalia mungu ni mwema kwakweli
@mariamufungo96193 жыл бұрын
Hongera sana mzee taji,inatakiwa kitungwe kitabu cha historia ya mzee taji kutokana na roho yake nzuri
@mwanakhamiskhamis31153 жыл бұрын
Jamaniii inaumaaa sanaa chanzo cha yote wanaume hawaa nimejikuta nalia tu
@saumsiraji98703 жыл бұрын
Alhamdulillah Nimejikuta nalia bamdogo Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema Aamiin Yaa Rabbiy
@queenpiscator61173 жыл бұрын
Na mimi nimelia sana
@eddymsese87473 жыл бұрын
Mzee Taji in mzee mwenye busara sana na ccm imempoteza mtu muhimu kiwalani kumbe una story kubwa ya kuzunisha da nimelia jmn
@oyay28212 жыл бұрын
Uislamu wake umechangia
@sarahsarahgilla84913 жыл бұрын
Yaani nalia tu jamanii,mama ana thamani yake,mliojaaliwa wazazi wote wapendeni sana na kuwatunza,Mungu amjaalie maisha marefu sana mzee taji.Mpumzike kwa amani wazazi wangu😭😭😭😭
@adamndilanna15622 жыл бұрын
Pole dada angu swali na uwaombee wazaz wako
@juliusnyangindu37442 жыл бұрын
Hongereni familia kukutana lakini historian ya mama pamoja na kuwa haijasemwa haijakaa vizuri Kuna shida mahali
@neemangena5458 Жыл бұрын
Namiminalija😢😢😢
@osamashakeeb71943 жыл бұрын
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuwakutanisha mama na wanawe❤pili mzee Taji Mungu akulipe unacho stahili una roho nzuri sanaaaaa❤clouds mubarikiwe kwa kazi nzuri mulio ifanya❤❤❤❤❤❤❤
@mariamseifselemani63163 жыл бұрын
Mungu ni mwema saana tunawapongeza clauds media lakini pia Mzee Taji unaroho yako Allah akujaalie Afya njema Na furaha maisha marefu Amin allahummah thummah Amin
@shadmayarakshimil11063 жыл бұрын
Wallah nimejikuta nalia tu😭 namm namuomba Mungu anifanyie wepesi nionane na baba angu. cjui ata yuko wapi Mara ya mwisho kumuona Nina miaka 5.
@diddyalhad32023 жыл бұрын
Yaani kiukwel nimelia yaani nimekosa aman kabisa kwa kwel
@shadmayarakshimil11063 жыл бұрын
@@diddyalhad3202 pole my
@shadmayarakshimil11063 жыл бұрын
@the three bro's that are muslim sijui nianzie wap kumtafuta. Mama kisha tangulia mbele ya haki labda angekuwepo yeye angenipa muongozo vizur.
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
@@shadmayarakshimil1106 jaribu hatakwamama wadogo waomba pia nendakwenye Media utasaidiwa
@shadmayarakshimil11063 жыл бұрын
@@fatemaligalawa1918 in shaa Allah mamy tafanya ivyo
@najma32683 жыл бұрын
Nimelia sana, baba mdogo Taji mungu akubariki sana , wewe ni baba bora Na ni mfano wa kuigwa kwakweli, Allah akujaalie umri mrefu inshaallah
@ayshaayshaabdulrahman61433 жыл бұрын
Mzee taji Allah akubariki akuifadhi Leo Duniani na kesho akhera ww unamoyo WA ajabu❤️❤️❤️
@lidyakahwa36133 жыл бұрын
da Geah na team nzima nzima ya clouds MUNGU awape maisha marefu
@peninabernardo25043 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kama mm ndo uyu mwanahamis😭😭😭mung ampe maisha maref sana uyu bamdogo taj
@mariamrashid32523 жыл бұрын
Daah mwanahamisi ameniumiza mnooo😭😭
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Allah anaweza kila kitu . Tusikate tamaa kwenye kudra zake
@rahimaramsey87133 жыл бұрын
Nimeria jamani kaah mama mtamu natamani ningekuwa mie rkn mama yangu ayupo mungu amempenda zaid
@happyjohn76303 жыл бұрын
Huyu mzee hiyo sigda ulionayo kweli nimwanga wa kuiyona mbingu l wish your my daddy maan hat mm sijawah muona mungu akupe baraka ktk uzeee wako
@dinahshirima63563 жыл бұрын
Ameen
@catherinandamgoba93293 жыл бұрын
Tusilaumu sana kumbuka Wazazi wa kiume wana Roho Mbaya sana kwakua Mm yamenikuta Yani Mwanaume akiwa na Mwanamke wa nje niatari sana kwa family asa mama na Watoto wake unakimbiwa Bila kujijua Au kujipanga niteni Nije nitoe shuuda nilio Nao Mm Kwakua Siwezi kuandika Apa Machozi Yananitoka sana Mm Mwanamke niliyo yapitia Katika chupuchupu ya kifo mara mbali nikitu nisicho kuja kusahau Maishani Mwangu Tena nimume Wangu wa Ndoa kanisani
@mimahmimah15953 жыл бұрын
Hii story ni yangu kabisaaa lakin mm ni baba ndio namtafta😭😭
@msakadoobongeladada-uh3sk2 ай бұрын
nenda clouds km Una details utampata babaako @@mimahmimah1595
@zakyahya46453 жыл бұрын
Watunzeni mama Zenu wenzetu mulio jaaliwa kua nae nalia 😭😭kwa uchungu ila ni Mipango ya Allah siwezi kulaum sana nilitamani niiyone sura ya mama au japo Kidole tu lakini mungu akupenda 😭😭pumzika kwa Amani mama angu
@listerlujiso7743 жыл бұрын
Hii story imeniliza sana ila wazazi tusimame imara ktk mahusiano yetu ili tusitese watoto jaman ila bamdogo Mungu akubariki sana.
@winnemassawe81233 жыл бұрын
Geah umetuliza wengiii hii dunia bwana asohili ana lile, mungu tupe uvumilivu wa haya maisha hapa duniani maana, ba mdogo mungu ampe umri azidi kumfaidi mtoto wake huyoo
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Huyu baba mdogo nimempenda sana sana allah akujaaliye pepo
@tuojackson3513 жыл бұрын
Mzee Taji Mungu Akutimize mahitaji yako yoote na akutunze Daima kwa moyo wako wa upendo
@victorrevocatus85063 жыл бұрын
E . .ni mungu tu jamän
@kobajumakuziwa99763 жыл бұрын
gea habib you deserve an annual or century award you have made a great contribution to this community congratulations
@meddytibilikilwa92803 жыл бұрын
Ambae anaishi na wazazi awezi kuelewa nijinsi gani Hawa watu wanavyojisikia
@samwelpaul73343 жыл бұрын
Umeongea ukweli kbs
@dianamutahaba93423 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nishaabias56943 жыл бұрын
Sana tulio kaa na ndugu tunajua
@zenamohamedi9003 жыл бұрын
Ujakosea tusokua na wazazi ndo tunajua uchungu wa ili jambo
@azizamohamedi31613 жыл бұрын
Yarabi mpe maisha marefu huyu Baba nimelia Sana kwakwel nimejaribu kuvaa viatu vya hawa watoto hawa uyo wakeke kwakwel amenipeleka mbali Sana Kwa miaka yooot iyo amepitia mangapi we mwenyez mungu mwingi warehma leo amewakutanisha na mama Yao 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mabugapiter6363 жыл бұрын
Mzee Taji utavikwa Taji ya uzima wa milele kwa wema ulioufanya kwa watoto wa kakayako. Mungu wa mbinguni atawainua pia watoto wa kwako pia
@linahsemindu42613 жыл бұрын
🙏🙏😭
@judithmelvinealuchio89683 жыл бұрын
anafanana na jina lake ukimaliza kazi utavalishwa taji mungu ni mwema jamani na huu ni mwaka wa baraka kwetu sote mungu ameamua kutenda kweli 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@sanorescompay29793 жыл бұрын
Ameeen
@emmanueltesha60923 жыл бұрын
Hakika Mungu akubariki baba mdogo jamani
@tajimwambole31153 жыл бұрын
Wa jina wangu jamani .Mungu akubariki sana.nimekupenda sana .
@monicamwanjisi6933 жыл бұрын
We we baba mdogo unaroho ya ajabu sana mungu akupe kila lililo la heri .uoendo wa ajabu sana
@salmajumanne89143 жыл бұрын
Mashaalla kiukwel niwachache sana wt kama hao allah mruzuku pepo amin amin amin
@ashamohamed8573 жыл бұрын
Nimelia sana sana. Gea kwa nini hamna Tishu hapo Ofisin jamani kampuni kubwa sana jama watu wanajifuta machozi na na mikono sio vizuri jamani 😭😭😭
@michaelchiwalo84443 жыл бұрын
Walisahau km kutakua na kukata vitunguu
@justerkarimi76623 жыл бұрын
Da Asha Mohamed!!!
@diddyalhad32023 жыл бұрын
Da Asha ni kwel mhm bt nahic wamejisahau tu ila nimelia sna yaani machozi daha mungu mkubwa
@hawahassan8353 жыл бұрын
Ndio raha ya kulia ujifute na mkono chozi linanoga
@agneskighenda37953 жыл бұрын
Naminimejiuliza hilo! Mbona si ghali?
@rithakuyala99513 жыл бұрын
😭😭😭😭😭hii story imenisisimua sana, hongera sana baba kwa kuwalea vzr watoto kwa Mungu kuna fungu lako
@zenasaidy65263 жыл бұрын
😭😭😭Du inauma Sana ila mzee Taj mungu akulipe kabxa
@janslinjanslin98893 жыл бұрын
Uwiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hakuna siku nimepata uchungu kama leo jaman ukuu wa Mungu ni Mkubwa sana na umedhihirika kwa hao watoto na Mama Yao, jamani Wanaume acheni kuwapokonya wanawake watoto au kama mmeachana na umeamua kubaki na watoto wapeni uhuru pande zote (Mama na Watoto kutembeleana) ni uchungu mkubwa sana jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@teddyhenry25793 жыл бұрын
Jamani mdada kwanini umeniliza hivyo jamani mungu aendelee kukutunza wewe ni shujaaa hakika tumeuona ukuu wa mungu🥰🥰mama pole sanaa kwa uchungu ulioupata kwa watoto wako
@rahmasalum86423 жыл бұрын
Geah muandalieni zawadi baba mdogo kwa kutunza wtt iwe mfano kwa mababa
@deborahlyelu91143 жыл бұрын
Kwa kweli ni wachache mno ukizingatia baba mzazi yupo
@rahmayaledi17223 жыл бұрын
Kabisa wajina
@somoelikwena59963 жыл бұрын
Mungu ni mwema Sana maana mama amekua na maisha marefu mpaka kuonana na wanae mungu mkubwa Sana hongera Sana mama na baba mdogo kwa malezi ya watoto na adi kufikia apo
@lulukomanya3 жыл бұрын
Nimelia kama mtoto pole mwanahamisi school mate wangu weruweru Mungu ampe mama yetu umri mrefu ili nawe ufaidi utamu wa mama kama sisi tulio kua na wazazi wetu. Pole sana umeniweza leo
@edinazegu71733 жыл бұрын
Clouds ila mmejua kuniliza kwa furaha hongera mzee Tagi kwa upendo aliinesha kws hao watoto nimelia baba alipowapiga kisa mwanamke Uwiiiiii msiombee kutelekezwa
@annamachaki36443 жыл бұрын
Bamdogo wa Mwanahamis Mungu akupe maisha marefruuu🙏🙏
@meryhassan52723 жыл бұрын
Hongera sana baba mdogo
@judithmelvinealuchio89683 жыл бұрын
ninacho amini kweli tangu haya maneno sitawai sahau kuwa mungu ni mwaminifu na anatenda no matter what mungu azidi kuwabariki jamani wana cloud Gear na wengineo baba mdogo I will continue praying for you you're a such a darling parent thanks tanzanian for loving and caring ❤️🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@123228793 жыл бұрын
Kama umetizama hii ishu halafu machozi hayajakulenga basi ujue Wewe sio binadamu
@glorycharz37653 жыл бұрын
Hakika G
@gracemsenya21983 жыл бұрын
mimi nalia hapa ofisni mpka naulizwa nini shida nashindwa hata kujibu aisee kweli ktk dunia kila mtu anachangamoto ila zinatofautiana
@prosperkonokono57163 жыл бұрын
Koo mm sio binadamu
@diddyalhad32023 жыл бұрын
Kwel bro
@theopistachialo103 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kwakwel ni mbwa
@bibianabenedict24593 жыл бұрын
Mungu ni mwema kwa kila binadamu,Imenigusa sana!Hongera Mwanahamis na mdogo wako kwa Kuungana na Mama.Mzee Taji Mungu azidi kukubariki.Mama ni mama
@brytondibogo25533 жыл бұрын
kumbe hawa wanaume hawajaanza kunyanyasa wanawake carne hii?? ni tangu enzi na enzi!! jamni mimi ndo mana hata siwataki kabisa
@wj14213 жыл бұрын
Yaaan wanaweza kubadilisha maisha yako yakawa mabaya kwa dakika zeroo
@yasiniyunusu26503 жыл бұрын
@@wj1421 Mungu mkubwa
@blasidajulius22403 жыл бұрын
Mzee Taji Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu umewalea watoto wa kaka yako vzr sana wwe n mfano wakuigwa kwa roho yko nimekupenda sana baba🥰🙏
@themagadir3 жыл бұрын
Hassan sura mamake mtupu mashaAllah tofauti ya rangi ya mwili tu
@arbstationary75443 жыл бұрын
hongereni sana clouds kweli ni redio ya watu. nimelia hata mimi, by Anna from Dodoma
@namsamson34433 жыл бұрын
Huyu baba Mdogo TAJI NI MZEE ANAROHO NZURI SANA JAMANI. MSIMUACHE YAANI BABA YAO HAKUONEKANA KAMA ANAJALI SANA KAMA MZEE Taji jamanj
@binaljabirmshihirzanzibar83693 жыл бұрын
Yeaaah nkwel kabsa maneno yako sahihi
@jacklinemshana95953 жыл бұрын
Mzee Taji Mungu akuweke
@herenaabdallah92943 жыл бұрын
Amin
@rosehillary87423 жыл бұрын
hii story umeniweza. I can't hold my tears....Kichwa chauma kweli😭😭💔💔 Mungu ahimidiwe
@nuruhabdul69003 жыл бұрын
Tuliobahatika kulelewa na wazazi wote wawili tushukuru MUNGU kwakweli
@shanimohamed92673 жыл бұрын
Aminaaa
@veronicascottmollel78973 жыл бұрын
Kabisa
@nickylyanga21393 жыл бұрын
Hongera zenu
@neemakaaya32523 жыл бұрын
Hongereni sana
@sizelinamarolen11673 жыл бұрын
Amin🙏
@mosesbusanya35283 жыл бұрын
BABA MDOGO MUNGU ATAKULIPA, SURA YAKO INAONESHA WEMA ULIONAO NDANI YAKO, MUNGU AKULIPE MWISHO MWEMA🙏🙏🙏
@fatumamaiga84962 жыл бұрын
Kweli kabisa
@alinanuswempeta38953 жыл бұрын
😭😭😭😭Mungu anazidi kutufundisha mengi sana inauzunisha sana na kutupa moyo kuwa wakati miguu kwako sio mwisho wako
@saudahassam30313 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI MZEE TAJI ,MWANAHAMISI NA HASSAN HONGERENI KUMPATA MAMA KTK UMRI HUU.MACHOZI YAMENITOKA WALLAH
@jaycee90673 жыл бұрын
Story ya kusisimua. Mwanahamisi you are a ⭐️
@mtumweusy46523 жыл бұрын
Daah mnyamwezi mpaka nimelia
@salmaalimusa5473 жыл бұрын
Hii ndio raha ya kulea vzr watoto nahaya ndo matunda.hongera bamdogo
@gregorychristopher12243 жыл бұрын
Story imeniliza sana.
@lilykimisa38413 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@vailethwilliam8883 жыл бұрын
Nimelia sana jamani😭😭😭 kweri Nani Kama mama pole mwanahamis na hongera kwa kumuona mama
@hadijalukas59593 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Gea nimekuonea Leo nasikiaga tuu sauti yako
@aminagervas91403 жыл бұрын
Mzee Taji ni mwanaume na nusu yaani kamshinda hata yule aliyewaleta duniani, hongera mzee mwenyeezi Mungu akupe hitaji la moyo wako.
@auntysamweli95723 жыл бұрын
Nimelia hadi watoto wangu nao wananiangalia wanalia.. Mungu ni mwema
@judithngulwa7433 жыл бұрын
jamani dada ana uchungu sana but hongera sana Mungu awape umri mrefu angalau upate upendo wa mama kwa sasa
@sanorescompay29793 жыл бұрын
Eee Mungu wetu mwema ninakuomba sana umkumbuke huyu baba mdogo wa taifa mzee Taji katika ufalme wa mbinguni nikumbuke nami pia ili nikakutane naye nakumpongeza kwa moyo wake wa upendo 🙏🙏
@janemsamati67003 жыл бұрын
Hakika ashukuriwe Mungu atujaliaye kushinda, Mungu ni mkuu kuliko yeyote ktk hii dunia,
@bibianamkude58413 жыл бұрын
Mungu atakulipa mzee Taji
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Allah ambariki mzee taji,na akujaaliye pepo kesho kwa Ajili ya kuweza kuwajali maisha yote hayo,jazakha llahu kheiri
@zaudatmakula34543 жыл бұрын
Amiiiiin
@mnyakitz20073 жыл бұрын
Aminiii🙏🙏hakika anastahili pongezi kwa huyu mshua
@buguzajemedar25663 жыл бұрын
Mungu ni mwema.baba mdogo ni shujaa kwa kweli.Allah ampe umri mrefu ba mdogo na amuongezee umri zaidi.yaani inaumiza sana
@zaudatmakula34543 жыл бұрын
Amiiiiin
@neemachriss26053 жыл бұрын
Huyu baba ambariki sana
@jsbddhnxjdhhdhd14933 жыл бұрын
😭😭😭😭Inshaallah kumbe ipo cku na 🙏🙏 mie nitakuja kumuona baba mtoto wangu
@chikamajenisia22443 жыл бұрын
Ipo siku.
@happysanga39093 жыл бұрын
Yuko wapi
@afredyohana3563 жыл бұрын
Kwakweli crauss Big up hapo mmemuezi vzr Sana Ruge kwa tukio hili Mungu azidi kuwapa Uhai mrefu
@masofambagala53463 жыл бұрын
Nakupenda mama yangu nakupenda baba yangu leo najiona mwenye bahat kwa hii stoli
@mariamsuma30033 жыл бұрын
Kabisa tuwashukuru wazaz wetu waliyetulea kwa pamoja mpaka sasa ila nmelia sana huyu dada kuongea hivo
@sheckycobb52403 жыл бұрын
Kumbe tunajifunza umuhimu wa nguo tukiwaona wasionazo...
@rebeccasenkondo70473 жыл бұрын
Mzee taji kama jina lako ukaitwe barikiwa
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Akavikwe Taj uko mbingun mwenyez mungu ambarik mno baba huyu..
@jeniphanyamase84143 жыл бұрын
Mzee Taji mungu akujalie na akupe maisha maref yenye baraka tele moyo wa pekee kama huo ni wachache walionao.
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Mashallah nimechelewa ila hii ni movie zaid nimelia sana hongereni sana clous😢
@lafiaabashi78203 жыл бұрын
Hakuna Kama mama hakika!!nakukumbukuka sana mama yangu!! Pumzika Kwa amani ulipo mama yangu kipesi 🙏🙏
@mikemunishi13643 жыл бұрын
Daah Huyo mzee... Clouds... Mfanyieni hata kitu.... Kama mnavyomfanyiaga Mama malkia wa nguvu.. Amefanya kitu Hakuna mtu anaweza Fanya kbs.. Hasa kwa Africa
@themagadir3 жыл бұрын
Absolutely
@jackmacha23283 жыл бұрын
Nikweli kabisa huyu baba apewe tuzo
@ramearfe95093 жыл бұрын
Baba wshoka
@listerlujiso7743 жыл бұрын
Bamdogo M.Mungu Akubariki Sana Na Mapenzi Yake Yakatimie Juu Yako Amen
@azizahassan68033 жыл бұрын
Daa nimelia sana jaman
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
Duh wameniliza sana kha kwakweli Mungu ni mwema ,kumbe move the kinegeria wanahongelea stori za kweli nilijua move tu
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
ALLAH Akupe umri mrefu ,mzee tajik,daa geah mzee taji akitaka nusra ya ndoa mimi nipo hapa dada awe shem wako,Huyu ni mcha mungu bwana masha Allah
@zubedasakuru46703 жыл бұрын
Huwezi kuelewa mpaka upitie mazingira haya! Na siku zote Mungu huwainua wanaopitia mazingira ya kukua kwa tabu! I have been there! Mungu ni mwema. Nimelia sana imenikumbusha mambo mengi sana! Mungu akubariki mzee Taji. Ntakutumia zawadi 🙏
@ndenejoseph21143 жыл бұрын
Hongereni sana watoto na mama kuonana . Ni jambo la kumshukuru Mungu
@adamndilanna15622 жыл бұрын
Zubeda ahad na den
@jacqulinekasondera53263 жыл бұрын
Baba mdogo udumu umekuwa mfano mzuri ktk jamii y'a Tanzania, Mungu akubariki !!!!!
@raheemsuleyman67573 жыл бұрын
Am from Mozambique 🇲🇿 very emotional 😭
@shuhudiamtasiwa66463 жыл бұрын
Huyu baba sio maneno tu anahuruma jamani inayozunguka kwenye damu nimempenda sanaaa
@megmeg26283 жыл бұрын
God bless this uncle ....
@nduwimanafatma99483 жыл бұрын
Allah awape umri mrefu mama zetu waliohai na awape mwisho mwema na waliotangulia allah awasamehe.mzee Tagi allah amfungulie milango ya rizki ampe watoto watakao mpenda na yeye na ampe mwisho mwema
@salmahalfani63073 жыл бұрын
Aamin Amiin Yarabilaalahmiin duaa na iwe Makboul.
@rahimaaaaa56823 жыл бұрын
Baba mdogo mmepata kwaninavyo muona2 ata tatizo wengine roozao wanazijua wenyew
@alexiamruu75813 жыл бұрын
Mwanamisi look cute like her mum💪💪💪Allah barik 🙏🙏
@lidyakahwa36133 жыл бұрын
Maisha marefu kwa mzee Taji
@user-gg2xn2jd4y Жыл бұрын
Wavamia ndoa za watu Mungu awalaani milelee wanaleta matatizo makubwa sanaa..ila malipo ni Duniani..Big up sanaa kwa Mzee Taji
@teddysisty3203 жыл бұрын
Bamdogo Taji Mungu akuweke jamani moyo huo wanao wachache
@Mazoea3 жыл бұрын
Yes baba mdogo anaroho ya pekee
@fatmakusilawe69783 жыл бұрын
Hakika
@asmahanyally32253 жыл бұрын
Nimelia sn jmn nakumbuka mama angu alipochukua likizo na kwenda Kenya kumpeleka baba mlezi na kukaa miaka 19 ilikuwa ngumu sn sn sn so naelewa anachopitia huyo dada.......Mungu mkubwa sn ametukutanisha tena......Alhamdulillah
@agnesjimmy64013 жыл бұрын
Jamani 😭😭 Dada kanikumbusha mbali sana ukifiwa na wazazi ni changamoto sana nilifiwa na wazazi nipo darasa 2 hivyo nilipitishwa nikayajua mengi na nikajifunza mengi hapo nikajifunza lile neno la yatima hadeki😭😭
@mwanahamisiabdi33203 жыл бұрын
Achaaa agness tupo weng
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Polen Sana sie tuliolelewa na wazaz wote wa 2 tunamshukuru mungu,...bado tupo nao japo wako mbal sie tunatafuta, inahuzunisha maana kuna muda unashindwa hata kumtumia pesa kidogo Hali ngum inahuzunisha mno...
@nancytuni12063 жыл бұрын
Mama ana umuhimu sana jamn Mungu wang nimelia
@asilasaid62303 жыл бұрын
Baba mdogo hongera sana mamama alwa akufanyie wepes
@blessedi81383 жыл бұрын
Me and my 2 siblings went through this painful life style😭😭.Mama alivyofukuzwa na baba, Our step mom tried to kill us using poison several times but we survived..we were separated but I thank God our Mom came back after 5 yrs and rescued us..I can feel the pain of staying without a Mom
@wardw30222 жыл бұрын
Hiki kipindi ni kizuri sana na kinagusa jamii hongera shukran kwenu clouds media
@omnsultan3833 жыл бұрын
Pongezi zienda kwa mzee taji
@pamelamakolo79993 жыл бұрын
Maisha marefu Ba mdogo Ila daah nimelipa kwa uchungu kwa kweli nikikumbuka my mom ameniacha bado namuhitaj nimelipa kwa uchungu Sana kwa kweli
@afraalex23663 жыл бұрын
Me too
@sanurasanura64223 жыл бұрын
Tume liya wote kukosa mama mtihani sana tena sisi tuliyo achwa wadogo
@jamalhamad21323 жыл бұрын
@@sanurasanura6422 polen jaman polen
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Pole mpenz
@gloriarobert48363 жыл бұрын
Hii story imefanana sana na ya kwangu mwenyewe ! Inauma sana, inaumiza mno! Yote namwachia Mungu 🙆🏻🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@user-pr6dz7nd5r2 ай бұрын
Pole sana kipenzi MWENYEZI MUNGU atakupa faraja
@rahmssalum31633 жыл бұрын
Huyu baba mdogo mwnyz ampe umri mlefu na ambashirie pepo
@sultanaswaleh88922 жыл бұрын
Loo !..nawa shukuru sana clouds MUNGU !..awa fugulie kila ! La kheir
@richardngowi62853 жыл бұрын
Achen Mungu aitwe Mungu
@aminamsangi80083 жыл бұрын
Mzee taji anaroho wa mungu na hofu ya mungu na nimcha mungu
@jacklinemichael48903 жыл бұрын
Hongera sana baba mdogo Taji kwakuwalea hao watoto Wa kaka yako mungu akujalie maisha marefu naakujalie pepo
@richardngowi62853 жыл бұрын
Watu kama mzee taji ni wachache sana katika hii dunia Mungu awape maisha marefu
@mishibabu89463 жыл бұрын
Hakuna kama Mama🥰🥰🥰
@mwanakhamiskhamis31153 жыл бұрын
@@jacklinemichael4890 amin Amin Amin
@angeljasson43763 жыл бұрын
Mwee huyu dada kalia sana adi nimeshindwa kujizuia 😭pole sana
@jamesmboga73253 жыл бұрын
God has purpose for everything.God's plans doesn't fail even although it takes years.Namshukuru Mzee Taji kwa kazi njema, saidi sana mke wa wake, for taking care of these children.
@Meme-sr1gl3 жыл бұрын
Daaaah nimelia km yamenifika mimi, mungu akitaka kukupa hakuandikii barua..
@amanisengele96843 жыл бұрын
Mitano Tena kwa baba mdogo
@merinajuma12363 жыл бұрын
Kbsaaaaaa yni
@ramearfe95093 жыл бұрын
Hyo baba mdogo n50 mitano kidogo...
@sheckycobb52403 жыл бұрын
Mitano Mara tano Tena kwa Mzee Taji
@elizalyimo22413 жыл бұрын
Nimejitaidi kujizuia nimeshindwa kwa kweli machoz yamenitok kwa kwel,mama mtamu jaman ,
@celinamgundoi56013 жыл бұрын
Mungu nisaidie katika nyakati zote ngumu ninazo pitia niwe na watoto wangu, hii imeniliza sana mungu awaunganishe daima na msitengane tena na mama yenu hadi pale mungu atakavyo watenganisha Ameen
@margarethsaramaki39663 жыл бұрын
Sidhani hii clip kama kuna mtu hajadondosha chozi so Emotional Mbarikiwe nyote kwa ujumla🙏🏼🙏🏼💕💕
@Ulaya2393 жыл бұрын
Mzee taji mungu akubariki Sana .
@linamacha76863 жыл бұрын
Maisha marefu kwa baba mdogo 🙏
@godriverkabelela87553 жыл бұрын
Hadi nimelia amenikumbusha mbali sana watu tunapitia maisha magumu sana ila mtu akikuona hivi mmmh
@agnesshenry32803 жыл бұрын
Mungu wa ajabu sana jamani nimelia kama mtoto mdogo😭😭😭🙏
@mishengoma24953 жыл бұрын
Hongera sana Clouds media kwa kufacilitate HUU MUUJIZA WA MUNGU
@nunuuali53163 жыл бұрын
Kuna vitu vinauma hapa dunian jaman,daaah eeeh Mungu rehem wazazi wangu hakika hata mimi wameondoka nikiwa bado nawahitaji ila basi tu nasema Alhamdulillah! Mzee Taji Allah akujaalie kila la kheri baba