Navuka,naacha shida,taabu,dhiki,kukataliwa,kurudshwa nyuma,magonjwa,kudhalilika,kufedheheka,kukosa msimamo,kutokusonga mbele,kuyumbishwa,mimi pamoja na familia yangu!Ile nyota iliyoonekana kabla hatujazaliwa ionekane Sasa,Imani yangu isitetereke Mungu ni mkuu mno,sifa na Utukufu ni kwake yeye pekee.Sina mengi ya kusema zaidi ya kumsifu na kumuabudu yeye pekee Amen🙏🙏
@AshaErnest22 күн бұрын
Namimi naomba nifunguliwe Mimi na watoto wangu, nawazazi wangu na mahusiano yangu, nipate na kazi nzuri amen
@hybrid60322 күн бұрын
Najiungamanisha na mkesha huu napokea uponyaji kwa jina la Yesu.AMINA
@divanamines551622 күн бұрын
Mimi ninaomba nifunguliwe na familia yangu ;wazazi wangu, ndugu zangu, marafiki zangu na watu wote wenye uhitaji… Mwaka 2025 na mwisho wa mwaka huu ni muda wa ushindi 🙏🏽✨🙌🏼
@ShamimuMussa-c2l22 күн бұрын
Najiungamanisha in the name of Jesus Amen
@EdinaEdward-q1e22 күн бұрын
mungu nipe hekima na kibari na mm najiungamanisha na mkesha huu bwana nipe itaji la moyo wangu fungguwa jia pasipo na njia funguwa na familia yangu napia nipe kustawi kiuchumi na kuzidiwa na wateja Amen🙏
@EasterCharles-x8i22 күн бұрын
Ee mwenyezi mungu najiungamasha namm huu mkesha naomba maisha yangu yafunguliwe biashala yangu ikawe kubwa pita mfano nikafanikiwe zaidi wanao nicheka Leo kesho wakaniheshim naomba unieshimishe mungu kupitia mkesha huu
@hybrid60322 күн бұрын
Napokea katika Jina la Yetu.AMINA
@JoyceSamwel-u8z22 күн бұрын
Naomba mungu aitendee familia yangu miujiza mam na baba yangu wapone marafhi yanayo wasumbua baba yangu ache pombe na wawe saw n mama yangu naomba hata mungu unipatie wepes katika utaftaj wangu nipatie mume bab wa mbinguni afya kwa ndugu jamaa na marafiki baba unanijua shida zangu naomba hayoo nikiamin unaenda kutenda kbla ya mwaka kuisha navuka n changu amen
@davidmaziku561122 күн бұрын
Napokea uponyaji kwenye afya angu na mama yangu kwa jina la yesu
@AdercaMkalunyoisa-d8m22 күн бұрын
Namimi najiunganisha kwa jina la yesu mimi na familia yangu
@FatmaRashid-l5o22 күн бұрын
Naomba nifunguliwe na familia yangu ndoa yangu ifunguliwe ameen
@JiwezzieGovert22 күн бұрын
Najiungamanisha na naupako laivu naombamungu anifunguwe maishanyangu napokea upoyaji
@AnnaEdward-y7o22 күн бұрын
Najiungamanisha na mkesha huu watoto wangu wakujue na kukutumikia bwana ktk masomo yao wakae kichwa wala c mkia baba wakae matunda mazur hapa duniani bwana uwalinde waingiapo na watokapo wafunike kwa damu yako Yesu
@ChristinaLucas-e3w22 күн бұрын
Naomna mtume akiombea watu kesi yangu ya hiv ikaishe kabisa nikiolewa niwe mzima waafya amen
@JeniferUnderson22 күн бұрын
Najifunganisha na mkesha huu wa vuka na chako Mimi na watoto wangu tunavuka pamoja na family yangu nakili tunavuka salama
@davidmaziku561122 күн бұрын
Napokea kwa jina la yesu
@DamasKimaro-y6n22 күн бұрын
Naomba mungu anipe ulizi katika maisha yangu amen
@RachelRenatus22 күн бұрын
MUNGU nipe uzima na afya me pamoja na familia yangu simama name mwakahuu uwe wabaraka kwangu hitaji langu nikiwanja na ofc yangu isiteteleke kamwe simama name mpka hatua ya mwisho navunja roho yakukata tamaa huzuni kutojiamin nakutohisimamia nipe moyo wakupambana wakati wote nisaidie MUNGU wangu sina tegemeo zaidi yako😢🤲
@tatumohamedbolosi990522 күн бұрын
Mungu naomba na mm nivuko na changu.napokea uponyaji
@dorcusnsajigwa22 күн бұрын
Mimi na familia yngu navuka na changu kwa jina la yesu
@MASAMIMASATU22 күн бұрын
Nami naomba nifunguliwe pamoja na familia yangu na tupate mafanikio,Amina
@RahmaSakihi22 күн бұрын
Naomba nifunguliwe mm na familia yangu ...na katika masomo yang nibarikiwe kwa kuinuliwa
@ChuchuShayo22 күн бұрын
Najua utanifungua mm na family yangu Bwana. Najua ni miaka mingi sasa sipo kwenye ndoa yangu ila kwa uweza wako utanirudisha kwa mume wangu. Naomba umfungue ufaham wa mume wangu Nicholas tukalee watoto wetu pamoja.
@GircKishai22 күн бұрын
Amen tupo pamoja
@JoyceShigela22 күн бұрын
Mungu mpe kibali mume wangu kila anapo kanyaga
@davidmaziku561122 күн бұрын
Najiunganisha kwa jina la yesu
@christophermajumbi631822 күн бұрын
Navuka na Changu kwa jina la Yesu
@JoyceShigela22 күн бұрын
Mungu atubariki nipate watoto kiume tujenge nyumba nyingi tununue na magali ndoa yangu iwe ya furahaa
@Laurancewaka5 күн бұрын
Naamini navuka na Kila kitu chungu na wanangu na vitu vyangu amen amen
@RaphaeleugeneNgoma-pk5cm22 күн бұрын
Najiungamanisha namkesha huu mungu fungua milango yamafanikio yangu
@EDINAIDDY22 күн бұрын
Ee mungu naomba untoe katika mateso nnayopitia pia naomba unipe nguvu yakuweza kuyashinda haya yote mwisho nkapate furaha na amani
@GroliaFlorence22 күн бұрын
yesu na mm nitendee
@EDINAIDDY22 күн бұрын
Ee mungu wamadhabahu ya inuke uangaze naomba umfungue mume wangu kiuchumi napia umtoe kwenye ulevi
@EasterCharles-x8i22 күн бұрын
Navuka na changu kwajina la yesu
@Amaninehemiah-w5i22 күн бұрын
Najiungamanisha na mkesha usiosahaulika nipate mimba mwez huu pia niunuke kiuchumi pamoja wazaz wang na wadog zang
@EasterCharles-x8i22 күн бұрын
Ninaomba ukawabaliku watoto wangu
@ShamimuMussa-c2l22 күн бұрын
Mimi na familia yangu tufunguliwe
@HsdvvdHwhwhs22 күн бұрын
Najiunganisha na mkesha usiosahaurika naomba mngu unirinde katika safari yangu kesho niña safari naomba nisikamate jiyani na mapolisi
@RoseSanula22 күн бұрын
Navuka na changu leo 🙏🙏🙏🙏🙏
@rosetarimo496522 күн бұрын
Najiunga manisha usiku wa leo navuka kabla ya kuvuka ktk maisha ya familia yetu
@anjeradaudi22 күн бұрын
Ee Mungu naomba unlined na kumtunza mwanangu naomba umuondoe katika udhaifu wa viungo vya mwili nae aweze kuvuka na mifupa na misuli mipya ya mgongo na shingo yake vikaze na aweze kukaa,,,
@LauraShirima-w8u20 күн бұрын
Nivushe hata sasa bwana mungu
@EsterJuma-oq8ll22 күн бұрын
Leo navuka na ndoa yangu
@ScolastikaJairo22 күн бұрын
Nifunguliwe kiuchumi na kiafya na familia yangu ifunguliwe lazima nivuke na changu
@RahmaSakihi22 күн бұрын
Gladness afunguliwe na aweze kuwa mwenye uwezo shulen
@PriscaLuanda22 күн бұрын
Nimevuka kwajinalayesu
@AnnaEdward-y7o22 күн бұрын
Najiungamanisha na mkesha huu kabla ya mwaka kuisha niwe nimefungua biashara yangu eneo ninalotaka
@AnnaEdward-y7o22 күн бұрын
Najiungamanisha na ibada hii nifunguliwe vifungo vyote nikue kiuchumi biashara ikue nizidiwe wateja nipate mapacha mwaka ujao mpenz wangu akue kiuchumi amiliki biashara yke na aache pombe nyota zetu zingae
@RoseHermani5 күн бұрын
Navuka na changu kupitia mkesha huu napona maradhi yangu na kupata mtoto ndani ya 2025
@BahatiMapunda-o9y22 күн бұрын
Napokea uponyaji wakichwa
@ScolastikaJairo22 күн бұрын
Leo nataka nirudishe thamani yangu Tena navuka nachangu ee mwenyez nisaidie,
@RoseHermani5 күн бұрын
Navuka na changu naimani kupitia mkesha huu navuka na uponyaji naamini napona kupitia vuka kabla ya kuvuka
@miriamnoel161522 күн бұрын
Mbona siwezi kupakua ibada, download
@FatmaRashid-l5o22 күн бұрын
Napokea chochote wanapofunguliwa nam nfunguliwe
@PatriciaLivipa22 күн бұрын
Naomb npate baraka katik kipind hk naungama na maombi
@Amaninehemiah-w5i22 күн бұрын
Naamin navuka na changu ucku wa leo
@JoyceShigela22 күн бұрын
Nip one magonjwa yote mums Wang I apate kibari kazini yesu nitetee
@Tobiassimonitobias22 күн бұрын
Nifungulie kihuchumi
@GroliaFlorence22 күн бұрын
Namim lzm nivuke na changu
@Malaika231122 күн бұрын
@ Proff Ex
@ScolastikaJairo22 күн бұрын
Nifunguliwe kiuchumi na kiafya na familia yangu ifunguliwe lazima nivuke na changu
@RahmaSakihi22 күн бұрын
Gladness afunguliwe na aweze kuwa mwenye uwezo shulen