#live

  Рет қаралды 3,117

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Powered by Restream restream.io
JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
MKUTANO WA SIKU 16 wa nyimbo za Sifa ,Maanudu na Neno la BWANA kupitia Mtumishi wakeRV.OMARI MNYESHANI NA ADAM HAJI Waliye kuwa Muslim Wakaokolewa na Bwana YESU CHRISTO, sasa ivi Wanatangaza Makuu na Uponyaji wa YESU.
BUJUMBURA-BURUNDI BUYENZI 2Av n4b
ARESHE CHURCH BI
areshechurchbi@gmail.com

for more info please contact us to
+257 79 065 646/ +275 62 667 842

Пікірлер: 17
@augenmagabila3081
@augenmagabila3081 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Omary Mnyeshani na team Promover. YESU awainue na kuwatetea Mwenyewe.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Ай бұрын
Barikiwa sanaaaa Mtumishi wa JEHOVAH MUNGU Muinjilisti Omary Msheshani
@tamarali8325
@tamarali8325 Ай бұрын
Ameeeeeeen Amen Promover be Blessed. Omary nimejifunza Barikiwa sana
@Priska247
@Priska247 Ай бұрын
Asante sana Promover,Mungu awabariki
@roggerasili3089
@roggerasili3089 Ай бұрын
Nimekuelewa sana mwalimu Mungu akupe maisha malefu uendelee kumtumikia.
@fedytemba7541
@fedytemba7541 Ай бұрын
Hallelujah to God in Jesus Christ name . Sheikh Omary munyeshan Juma Mohamed nabarikiwa sana Kenya.Thenkyou may God bless you and rewards you in Jesus Christ name I declare
@lidamudy2842
@lidamudy2842 Ай бұрын
Amen 🙏 mubarikiwe sana tunaqapenda sana🇧🇮🥰
@annaezra2344
@annaezra2344 Ай бұрын
Mchungaji bwana akupe kibali uje man Ukirudi Tanzania karibu mkoa wa manyara wilaya ya mbulu kata ya marangw
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Omar
@vianneymukeshimana7600
@vianneymukeshimana7600 Ай бұрын
Amen mubarikiwe
@khalilweiz8530
@khalilweiz8530 Ай бұрын
Namimi nimeamuwa kumtumikiya Bwana Yesu
@Graceofthelordjesus
@Graceofthelordjesus Ай бұрын
Amina barikiwa
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 Ай бұрын
Amina
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 Ай бұрын
Hakika jina YESU Lapita Majina yoooote Nimuache huyu YESU Niende kwa naaniii????
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 Ай бұрын
Hakika ndo maana YESU alisema mtu yeyote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe ajitwike msalaba wake anifuate
@zawadiEsther-gt2iw
@zawadiEsther-gt2iw Ай бұрын
Hi
@tamarali8325
@tamarali8325 Ай бұрын
Ameeeeeeen Amen Promover be Blessed. Omary nimejifunza Barikiwa sana
"Ubwoko ntibwari kumbuza gutwara umugore nkunda"
8:06
Yaga Burundi
Рет қаралды 10 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 32 МЛН
MKUTANO WA INJILI JIJINI MBEYA | SIKU YA 1 | 06-09-2024 FULL HD VIDEO
1:30:12
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 2,1 М.