#Live

  Рет қаралды 1,843

PROMOVER TV

PROMOVER TV

11 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 19
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw 11 ай бұрын
Mungu aendeleye kuinuwa promova TV viwango vianjuu sana kwakuwa inaokowa watu wengi sana, umenifunza mambo mengi sana najisi yakuombeya maisha yangu. Mungu awabariki sana tena sana, naitwa hornella kutoka Congo munji wa Bukavu, provençe ya Sd-kv
@tamarali8325
@tamarali8325 11 ай бұрын
Sifa tumpe Yesu peke yake. Barikiweni sana wana Promover tv
@nendeamisi2184
@nendeamisi2184 11 ай бұрын
Kutoka USA, Mubarikiwe Mulifanya kazimzuri sana.
@annachachage4931
@annachachage4931 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana,na MUNGU aendelee kuwatunza,namuendelee kuishi kusudi lake,
@keziaranga6329
@keziaranga6329 11 ай бұрын
Mungu awabariki sana promover TV kwa kutuinua kiimani ,mchuchumilie wokovu mkatwae Taji lenu
@christineatieno-hr2jj
@christineatieno-hr2jj 11 ай бұрын
Kutoka Kenya.kutoka promover tv nimejifunza mengi sana hata hapa ndo nimejifunza vitu mingi kama unyakuo na kuishi katika wokovu ya ukweli
@blessedlameckbongoye7313
@blessedlameckbongoye7313 11 ай бұрын
Wonderful job Promover TV. Barikiwa sana
@gracemutono5023
@gracemutono5023 11 ай бұрын
Amen Asante sana watumishi wa MUNGU
@HappyAnton-yv4ms
@HappyAnton-yv4ms 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 11 ай бұрын
nimeguswa zaidi kusikia ushuuda mahali mulipotoka na mahali munapotaka kufika Mungu awawezeshe,shuuda wangu mimi tokea niwe mmoja wapo wa marafiki wa promover tv nimeguswa kwaviwango vikubwa kupitia wa tumishi mbali mbali na shuuda nyingi zimenijongeza karibu na Mungu na wapenda team promover tv nawafata kutokea 🇺🇸 nikonanyi kadiri na Mungu atakavyo niwezesha kufanya kazi nanyi😭😭😭😭🙏
@angelaniminyeko821
@angelaniminyeko821 11 ай бұрын
Amen Amen
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 11 ай бұрын
Barikiwa sana mwanangu jactan Mungu atakuinua sana
@salomealphonce-ev7ko
@salomealphonce-ev7ko 11 ай бұрын
Mbarikiwe kwenye kazi jema
@happychikaoo1819
@happychikaoo1819 11 ай бұрын
Mungu awabariki
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 11 ай бұрын
amen amen 🙏
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 11 ай бұрын
MUNGU bariki channel hii pendwa ,wape ulinzi wote wanao hudumu humu,mipango yote iliyo kusudiwa kuwa na TV REDIO ,ikafanikiwe ili MUNGU wa mbinguni utukuzwe kupitia madhabahu hii ,chombo hiki kimekuwa baraka na kugeuza mioyo ya watu ikugekie KRISTO
@herielkishimbo9052
@herielkishimbo9052 11 ай бұрын
Wewe kama ni rafiki wa promova hizo Pete mbilimbili na hereni nywele bandia ni sawa?
@annachachage4931
@annachachage4931 11 ай бұрын
Ndio maana MUNGU anawanyeshea mvua watu wote wanaostahili na wasiostahili,hata wewe unaemhukumu mwenzio nani kakuthibitisha kuwa una haki?ukiwa bado upo duniani usihukumu usije ukahukumiwa, unaweza ukawa unatoa kibanzi huku boliti iko jichoni mwako.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 ай бұрын
​@@annachachage4931masikio wanayo na macho ya kuona wanaona kama hawataki kubadilika basi ni ukaidi wao wenyewe na Kila mtu atatoa hesabu siku ya mwisho. Ni kweli watu tunapenda kuwaona wakiwa wamebadilishwa lakini hatuwezi kuwalazimisha.
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 44 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
IBADA YA KUANZA MSIMU MPYA NA MUNGU | 30062024
1:44:24
CITY LIGHT TEMPLE
Рет қаралды 33
Kwanini Unaota unakula au unalishwa chakula?
1:31:29
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 98 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAU
56:10
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 32 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН