Pt2_USHUHUDA WA MCH.FEDRICK JUMANNE ANAYEFUNDISHA KUHUSU MIZIMU NA MAAGANO•ALIKUWA KAMCHAPE MCHAWI

  Рет қаралды 5,335

PROMOVER TV

PROMOVER TV

6 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 24
@ngugit88
@ngugit88 6 ай бұрын
Amina promover tv ibarikiwe sana,pia mchungaji Jumanne,na wachungaji wengine wa kweli
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 6 ай бұрын
Amen Amen. MUNGU nikilakitu ya Dunia takataka
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 6 ай бұрын
Amina Asante kwa ushuhuda mzuri watu wamegeukia neno la Mungu tusipotubu tumrejee tutangamia Eeh Bwana Yesu tusaidie
@LilianKhija
@LilianKhija 5 ай бұрын
Mungu akubarik sn mch,sasa nmekuelewa🙏 Nmependa na kubarikiwa hapo uliposema wachungaj wakemee dhambi makanisan👏👏👏
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 6 ай бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mungu tusaidie
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 6 ай бұрын
Mungu unirehemu na uirehemu inchi yangu ya Tanzania
@user-mt8ls5ki4f
@user-mt8ls5ki4f 6 ай бұрын
Amina tunakombolewa. May our Lord JESUS Christ bless His beautiful Hands which preaching the Word of our Lord.
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa MUNGU
@tamarali8325
@tamarali8325 6 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni utusaidie tukuone siku ya mwisho
@PCharlzy-rr2iv
@PCharlzy-rr2iv 6 ай бұрын
Ooh Bwana Yesu tumesikia...tupe neema ya kubaki ktk utukufu wako
@maryandason1815
@maryandason1815 6 ай бұрын
Amen blessed wote❤
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 6 ай бұрын
Asante Jacktan mukirudi tena Kenya muje na huyu mtumishi pia jamani.....
@Shalom2018
@Shalom2018 6 ай бұрын
Amina Mungu azidi kukubariki Mtumishi wa Mungu,uzidi kutupa mafundisho ili tupate kupona,tunaomba ukiwa unatufundisha tunaomba utuombee japo kidogo ili tuweze kujua kwenye kila unachotufundisha tuombe vipi.
@user-vs5iw6ru6m
@user-vs5iw6ru6m 6 ай бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 6 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu ,
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 5 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU UMESEMA YALIYO YA KWELI TUPU. ASANTE PIA KAKA JACTAN KWA AJILI YA KUTULETEA MTUMISHI HUYU TUMEJIFUNZA KITU MUNGU AKUKUMBUKE KAKA
@amishambar3418
@amishambar3418 6 ай бұрын
Amen 🙏
@godisable2098
@godisable2098 6 ай бұрын
Mungu atusaidiye
@georgekiwango2390
@georgekiwango2390 6 ай бұрын
AMINA mtumishi wa MUNGU. Ujumbe Ni mzuri.ubarikiwe Naomba namba yake ya simu kwa msaada zaidi
@rebecaleonard8515
@rebecaleonard8515 6 ай бұрын
Mungu irehemu Tanzania
@adventinandyanabo9358
@adventinandyanabo9358 6 ай бұрын
Mchungaji uyu yuko wapi? Kwa sasa tunaomba namba yake
@sophiamariki75
@sophiamariki75 5 ай бұрын
Naomba namba ya mtumishi
@DogoFredy
@DogoFredy 6 ай бұрын
Naitaji namba ya uyo mtumishiii jamani
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
USHUHUDA WA ALIYEKUWA KICHAA ANAYEISHI MAKABURINI
49:09
PROMOVER TV
Рет қаралды 15 М.
Day3_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:55:14
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН