49:14 "The strongest person in the world is the one who controls his anger"- Prophet Muhammad (Salallahu Alayh Wassalaam).
@NijuzetzdigitalАй бұрын
Hii stori ni very senditive, mzee ana kitu chake lersonal kihisia❤
@trosetony8005Ай бұрын
Nimeenjoy sana interview ❤❤these guys are genius
@erickismail4205Ай бұрын
Noma sana hawa Jamaa. Ni zaidi ya Artists, hawa ni Waalimu wa Maisha
@VictorChrispinSamsonАй бұрын
Now this is the second story teller and a Tanzanian Monument, besides Master Jay. This dude knows and analyses a story.
@emmanuelmayunga1518Ай бұрын
Big up legends, true definition of Tz hiphop
@jimmysevera2091Ай бұрын
Lord Eyez katulia sana,haongei sana.
@robertsaull9387Ай бұрын
Bongo Hip-hop to the world 🌎 ,Asee watangz tareh imesubirw kwa shauk sana.
@FredyAlphonceАй бұрын
Mtangazaji huu ujumbe naomba umfikie LORD EYEZ Interview nimeifatilia san nijambo zur san kumkumbka prof.chugullu kwa mema na mazur aliyomfanyia had leo anapumua,ila napenda kumwambia lord eyez kuw prof yupo had leo ila kwa sas nimgonjwa
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
ugomvi wa makundi sio sifa,, jau,,,si tulienda kupigana vingunguti,,,mwanetu akafa pigwa sana nyembe za uso,,,au kwa lugha fupi kama unapenda sana ugomvi punguza kiherehere,,watarudi wenzio,,,we utabaki
@jacksonbadАй бұрын
Fid ni bonge moja la storyteller,, hachoshi kumsikiliza
@irakozeeahmad6763Ай бұрын
Fid Tunakusubiri Burundi Napenda Intervieu zako zinafundisha uniq person
@itspatricklucasАй бұрын
DAMN THE VISION BEHIND NENO 🙌
@paulmbonika2459Ай бұрын
East African HIP HOP ICONS... Respect sana hapa.
@FrankKajoba-v9fАй бұрын
Jamaa wako matured,calm and intelligent.
@PatrickJulius-uy3ybАй бұрын
Nomaa nimecherewa rakin nime wai hip hop for life rod fid 🎉🎉
@Dickcheney-b1hАй бұрын
Wooow so amazing guys 🐐👑
@SaimonKalemera-im5dqАй бұрын
Kubwa sana hii interview 🔥🔥🙌🏽
@swahilimovies-l5qАй бұрын
combination ya fidi na lord ni perfect sana. lord ni chaos sana na ndo inamfanya awe lord. fidi katulia sana ndio kinamfanya awe fidi.
@DicksonKallaАй бұрын
@goodbeatus unajua sana music wa hip hop 🫡
@josemgy1199Ай бұрын
Sky unaweza sana
@alfredlaurent1728Ай бұрын
Lord Eyez and Fid Q!! Hip Hop bròthers. Interview ya Terror na Bandidu haichoshagi kusikiliza .
@amisindondi4549Ай бұрын
Hawatuweziii❤❤❤❤
@NoelChamboАй бұрын
Alikuwa anamuonea Fido vato Lord eyez akaingilia ugomvi
@MTOTOWAvitotoАй бұрын
Unawajua sana au sio?????
@NoelChamboАй бұрын
@MTOTOWAvitoto hajataka tu kutaja fido vato, mimi mwenyewe nimekulia kaloleni, ololoo lord alichomwa kisu kwaajili ya kumpambania fidoo
@ConsciousBNBАй бұрын
Aiseh 🙌🙌
@JosephJackson-jv1soАй бұрын
Yeah tulijaa sana ..Tena ile session unapaform Ripoti za mtaani na Mwanza Mwanza.
@njoroboihastlaАй бұрын
Legends🔥✊🏿
@boniphaceyohana-p8lАй бұрын
so good to see brothers rouphing together.😂
@AmosyCharles-e1uАй бұрын
Nakubali
@RamadhanJuma-k7hАй бұрын
Nakubali sana fid Q
@reisedyy4910Ай бұрын
😂😂😂😂😂 profesa chughulu
@christopherkihiyo2964Ай бұрын
Mm pia ni product ya bb
@DavalsonMarlonyАй бұрын
sns vc lord ft fd nomaa sanaaa
@johnkerrysibomana9062Ай бұрын
Kwahiyo Fid unamujua na unaheshimu uwezo wa KA Jeanine wa kwetu Burundi,nimependa ukweli wako
@zoladkingАй бұрын
blood fam full enegy💪
@maundumwingizi8027Ай бұрын
Hip hop legends.
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
Vichwa viwili vya bongo hiphop🔥🔥
@NoelChamboАй бұрын
Fid q wise sana
@rasmbeguАй бұрын
Wame tisha sana heshima kwao
@XxhamxyyxShhaАй бұрын
Bonge moja la combo
@silverman6930Ай бұрын
Will Lord eyes speak ? 🤣🤣
@ShabanGaspar-z9wАй бұрын
Nashuru sana kwa kuwasikiriza q aliposema kufa mpaka ukubali ni kweli niliwahi kuuguza boyfriend wangu aliangaika sana sa wakati huo sikuwa najua kitu alikuwa anazimia na kuzinduka anahema mfurulizo sikuwa mtu wa mahombi hili nilijua kusali siku hiyo namwabia kataha roho ya mahuti na yeye anarudia cha ajbu alipo sema nakufa akasinzia ghafla mm sikujua 😓😭😭😂😂sababu hilikuwa mara yangu ya kwanza kuuguza mtu Leo nimekumbuka mbali sana Mungu ilaze roho yake maali pema peponi
@emmanuelnjelekela6299Ай бұрын
Ukishaona mgonjwa anahema mfululizo anatetemeka anaongea visivyoeleweka bas ujue ugonjwa wake umeshafika kwenye ubongo hivyo hana hata week 1 ya ku survive pole sana ulipambana
@ismailinguhwe3473Ай бұрын
Fid,sio saikologia ni Maneno ya Mtume Muhammad pale anasema mnajua mwenye nguvu,akasema mwenye nguvu ni yule aanaeweza kudhibit gadhab zake😂