LUCAS NGOTO AVUNJA UKIMYA, ATANGAZA KUMUUNGA MKONO LISSU

  Рет қаралды 5,088

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@jacobmwankenja5466
@jacobmwankenja5466 Сағат бұрын
Ngoto naiona karama kubwa ya uongozi ndani yako, umeongea kwa utulivu, ufasaha na kubwa zaidi kukubali maoni ya wapiga kura walio wengi, yaani wananchi, big up kiongozi
@Valerianshad
@Valerianshad Сағат бұрын
Mara hatujawahii kuwa machawa mbowe must go 🙏🙏✍️✍️✍️✍️✍️✍️🙌
@CareerPathWorldwide
@CareerPathWorldwide 3 сағат бұрын
Hii Vita ni Ngumu✍🏿✍🏿! Ngoja tusubiri namna ambavyo Mbowe atapigwa
@christophermalango1433
@christophermalango1433 2 сағат бұрын
Uko vema brother hongera sana
@laurentdoriye8117
@laurentdoriye8117 3 минут бұрын
Khaa nimekuelewa sana kuliko lisu mwenyewe, bright speach
@yustinacharles-o8y
@yustinacharles-o8y 3 сағат бұрын
Ngoto wewe ni shujaa uheshimiwe sana
@AronSholla
@AronSholla 2 сағат бұрын
Hawa ndio mashujaa wa chama
@MaryFeeso
@MaryFeeso Сағат бұрын
Safiii sana❤❤❤
@barryrioba3934
@barryrioba3934 6 минут бұрын
NGOTO Hongera Sana Kwa Kumuunga LISSU NA HECHE Kwenye Huu Uchaguzi Muhimu Sana Kipindi Hiki.
@NDIMUELIAS
@NDIMUELIAS 2 сағат бұрын
Mkoa wa mara ni smart sana batsman kuwa mkurya
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 2 сағат бұрын
Niseme tu kwamba Ngoto ni hazina kubwa sana chadema
@emanuelsam1543
@emanuelsam1543 2 сағат бұрын
Ni sahihi kabisa, sikuwahi kumsikiliza lakini kwa kumsikiliza tu anajua kupangilia speach na anaongea fact sana,
@SirajiIssa-c7o
@SirajiIssa-c7o Сағат бұрын
Mungu akubali ki
@denisdamian1190
@denisdamian1190 Сағат бұрын
Hongera saan hujapindisha mambo bila lisu kwasasa hakuna nguvu tena
@allyshaban406
@allyshaban406 2 сағат бұрын
Kamanda upo sawa, bila Lissu chadema alijojo.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Сағат бұрын
WATU WA MARA MNA AKILI KUBWA, MWENYEKITI WEWE UKO VIZURI SANA UNAFAA SANA KUWA MWENYEKITI. NIMEKUPENDA KWA HOJA ZAKO ZA NGUVU!!! UMETIA FORA NA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU KWA FAIDA YA NCHI YETU.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 2 сағат бұрын
Well narrated and understood, a good leader
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Сағат бұрын
Usiku umeendelea Sana mapambazuko tayari
@rejobu9723
@rejobu9723 2 сағат бұрын
Mbowe amekihujumu chama watu hawawezi kumgeuka tuu bira sababu hawezi hata kupata %10 ya kura
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 2 сағат бұрын
UYU MZEE ANAONGEA KWA KUPANGILIA MANENO SANA YANI WAJUMBE KUMBUKENI HILO SASA KABLA HAMUJACHELEWA KUFANYA MAAMUZI WASIKILIZENI WANACHAMA WENU WANATAKA NINI MIMI SIO MWANACHADEMA KWA NAMNA ALIVYO ONGEA UYU NDUGU AMEONGEA KWA UCHUNGU SANA FANYENI MAAMUZI YA KUKIJENGA CHAMA CHENU
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 сағат бұрын
Mbowe amezungukwa na wahuni tu🪛🪛🪛🪛🪛🪛
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 сағат бұрын
Mitandao yote toka kusini, kaskazini , madhariki hata Magharibi wanamtaka Lisu na Heche
@ShomaryMapunda
@ShomaryMapunda Сағат бұрын
Wameramba asali
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 3 сағат бұрын
Sawa sawa ni Lissu tu
@chachakichonge1285
@chachakichonge1285 37 минут бұрын
Lucas ngoto umeonge logic argument with vivid exmple
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 сағат бұрын
Mbowe ni mhuni na mjanja. Chenga nyingi, si mkweli , mpiga madili.
@jastinekyando9044
@jastinekyando9044 Сағат бұрын
NAFIKIRI WAPIGA KURA WAZINGATIE SANA HISIA ZA WANANCHI AU WANACHAMA WANAMTAKA NANI LASIVYOO KAMA TUNDULISU AKISHINDWA NAONA WANACHAMA KUACHA CHAMA NA KUMSHAWISHI TUNDULISU KUUNDA CHAMA KINGINE ILE WAONYESHE NGUVU YAO
@NdaroBoniface
@NdaroBoniface 23 минут бұрын
Kaka unamanenu ya Heiman sana
@deogratiasjk
@deogratiasjk 14 минут бұрын
Makini sana Lucas Ngoto
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 3 сағат бұрын
Ngoto,Ntobhi anakuogopa
@TeddyCyprian-o1s
@TeddyCyprian-o1s 2 сағат бұрын
Kesho ndipo tunasubili hatima yenu
@salama1113
@salama1113 3 сағат бұрын
Sio kwapamba bali kwarushwa😂😂😂
@okechcharles2452
@okechcharles2452 3 сағат бұрын
akishindwa je?????
@TeddyCyprian-o1s
@TeddyCyprian-o1s 2 сағат бұрын
Nyie mufanye masiala na hiki chama mala tunamutaka lisu
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 Сағат бұрын
Lissu khabari ya mjini
@PhilipoYusuph-f6f
@PhilipoYusuph-f6f Сағат бұрын
Nasema hivi tunamtaka lisu
MBOWE, LISSU WALIVYOTOLEWA NJE MKUTANO MKUU CHADEMA
3:23
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
LEMA AMLIPUA TENA MBOWE "APUMZIKE SASA NI LISSU"
30:56
JAMBO TV
Рет қаралды 44 М.
Even Tyson Was Afraid of Him! Mike Tyson vs Donovan Ruddock
12:40
Boxing Land
Рет қаралды 2,9 МЛН
Lionel Messi Destroying Manchester United - UCL Final 2011
18:08
4KMessi
Рет қаралды 3,1 МЛН