Alishajua bila ya wao hana kiti tena ila namuombea Mungu ambariki afya njema umri mrefu akawe mshauli mzuri awe bega kwa bega na Lisu🙏🤲🫡✌️✌️✌️✌️
@stevenmabungi3245Сағат бұрын
😅😅😅
@bbclondonulimwenguwasoka612639 минут бұрын
Mwisho wa Mbowe
@IsackMkana49 минут бұрын
Lissu jaman tuleteen
@simonsadala238653 минут бұрын
LISSU Leo ndo mwisho wa uongozi wake kesho atakuwa mkunja ngumi kama mimi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BarakaDaud-qu3ecСағат бұрын
Lisu tunamtaka
@DamassiKastuli3 сағат бұрын
Mpeni lisu atuongoze
@asantechota89743 минут бұрын
Two in one unapiga huku unajilinda
@barnaba30374 сағат бұрын
TUNAMTAKA LISU PLS MSIFANYE MAKOSA
@PhilipoMwita-b2x2 сағат бұрын
Wali wa kushiba Sasa hizo shangwe kwa lissu na heche nisalam tu
@JohnKipalile-e2yМинут бұрын
Nahapa na nahidi mbele ya mungu chadema ntakulinda mpa kufa
@tzonespices9734Сағат бұрын
Mwenyekiti mstaafu
@felixngwasi94693 сағат бұрын
Wajumbe, nimewaita, na nawaita mara tatu, Wajumbe, Wajumbe, wajumbe, fanyeni maamuzi sahihi kulingana na nini nyakati inataka, huwezi pingana na nyakati kwa kulinganisha history, angalieni dhamira zenu na za wananchi zinahitaji nini, msiingie kwenye mtego wa kujaribu kulamba sumu ilikujua kama itadhuru au la, leteni mtu ambaye majira yanamtaka , oneni juu ya ugumu mtakao upata kwa wananchi na wanachama wa chini, fuata Moyo wako usifuate kundi
@thadeyumbella1935Сағат бұрын
Umenena kweli kabisa mkuu
@davidnyambuche35243 минут бұрын
Nikikumbuka akili za wajumbe zinavyokuaga nachoka kabisa.. wajumbe sio watu
@cyliacusselestine88472 сағат бұрын
Ila wjumbe mhhhh…… mmemufanyia mbaya FAM.
@SilvioMpogole-o7f3 сағат бұрын
Lisu must goo
@Boniphaceshayo549 минут бұрын
Mbona kama kuna kajanja kwa wagombea
@ottomap-u2i2 сағат бұрын
wajumbe sasa hivi wanaonekana ni wamuhimu sana ila uchaguzi ukiisha tu......😂😂
@songombingo10814 минут бұрын
Hapa Mugabe alikuwa ameshtua kidogo
@ramadhanishabani8073 сағат бұрын
Mbowe nikinganganizi ivo unaenda kutoka kwa aibu
@mtoromwinyi4366Сағат бұрын
Sasa àibu ya nn c kura zimeamua
@FlorentinaMichaeli3 сағат бұрын
Mimi sina chama lkn namuombea mbowe kwa Mungu ashinde
@thadeyumbella1935Сағат бұрын
Kwanini unamaslah nae
@SolamhelaKulwa4 сағат бұрын
Kwani hawa viongozi wanajiuzuru lini?
@NathanLukambinga2 сағат бұрын
Ni mimi tuu ndo niliyeskia "Shkamooni wajumbe"?😅😅
@kiatu2 сағат бұрын
Huu ndio mchakato sahihi wa kumpata kiongozi. CCM wanafanya mzaha na democracy. Wanakiuka katiba ya chama chao kwa kusingizia mila na tamaduni zao.
@ProductionWinderBulyanhulu2 сағат бұрын
Wenje no mtu pekee ambae alipotajwa wajumbe hawakushangili😂
@abuubaya76144 сағат бұрын
MMEWAKATA WAJUMBE WA LISSU KWANN,HUU NI UHUNI
@1stladyafrica4024 сағат бұрын
Yaan ni uhuni mkubwa mno
@JoelKilemile4 сағат бұрын
Kweli huu ni uhuni kabisa,mbona hawatueli ni kwa Nini?@@1stladyafrica402
@alphoncealexander85362 сағат бұрын
Hawa wajanja sana wanatuchezea akili🤔🤔
@ndingolivin-qy6xk3 сағат бұрын
Tuleteeni Mbowe Tafadhali
@stanleymanya4383 сағат бұрын
Nimefurahi mkicheka pamoja inapendeza sana
@kizitoleons62913 сағат бұрын
Mkutano mzuri watu wanasikilizana sio ule kila kitu kushangilia tu hovyo
@Boniphaceshayo548 минут бұрын
Matayo anagombea nini
@MsabahAli-d6u4 сағат бұрын
Hichi chama kitabqki kama TLP tu au CUF maana tayr kuna hujuma nyingi ndani ya chama
@annamnanka-qk1bx4 сағат бұрын
Iisu kama wagombea wako wamekatwa kataa warudishwe
@emanuelkamangu65003 сағат бұрын
Mbowe 5 tena
@PauloLaizer-c7f2 сағат бұрын
Lisu lisu lisu lisu lisu
@severinmmassy76272 сағат бұрын
Hahhhaha mbona wanapeana gwara Hawa wahun2
@KishiwaMaganga-g1r17 минут бұрын
Mmeniuz kukata majina watu
@gracemnyani68482 сағат бұрын
acha uongo wote wameshangiliwa
@mtoromwinyi4366Сағат бұрын
Wanasahau rowasa alivyokua anashangiliwa lkn aliambulia patupu wajumbe wanafiki sana mtakuna ona nawambia unajua wajumbe wanabalance kwa lisu wanajua akishinda watapata shida lkn mbowe Mzee wa hekima aitakua shida kumaliza tofauti
@Danielpablo923 сағат бұрын
CHADEMA aiwezi tobowa kwenye uchaguzi huwa wanapitisha muda tu
@davidkawesa35942 сағат бұрын
Unaota
@sewandomkuchu92674 сағат бұрын
Chama kubwa..no waandishi machawa,no wasanii,no uchawa..100% wa kutoka moyoni.
@halimammbaga73463 сағат бұрын
Mbowe adumu
@happymushi44932 сағат бұрын
Mbowe kwa ajili ya Chadema imara
@salama11134 сағат бұрын
Watu walisu wamekatwa kweli hiki chama cha kichaga wananch tusikubali kuwaingiza vijana wenu kama kafala arafu yy anakaa kimya
@AthmanKhalfan59 минут бұрын
Mbowe apewe ni kiongoz mbunifu.wajumne mpeni mauwa yke
@swedywamba55354 сағат бұрын
Lisu inabidi aondoke chadema sio mtu mzuri
@AlumanaPilla3 сағат бұрын
Na wewe mbona lilalushwa
@muwangavenance85972 сағат бұрын
Nyamaza kama hujui kinachoendelea
@davidkawesa35942 сағат бұрын
Awe mama yako ndio mzuri
@deven.oauditx75472 сағат бұрын
Hatuangalii uzuri tunatafuta kiongozi.
@MikidadiSalim-xk9dc2 сағат бұрын
Mzuri baba yako mzazi akipaka liptik aanapendeza sn....