🅻🅸🆅🅴 : LUHAGA MPINA ANATANGAZA MAAMUZI MAGUMU MUDA HUU

  Рет қаралды 23,131

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 64
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mpina na akulinde No weapon formed against you Mpina shall prosper never ever in Jesus name Amen mwe support you Mpina 💯 % Kweli huyu bashe ni kilaza sana utasemaje watu waachane na kilimo cha miwa are you crazy
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 2 ай бұрын
Mpina my brother Tanganyika sisi ni changamoto tunaumizana sisi kwa sisi tumeshindwa kupambana na maaudui kama umasikini na ukosefu wa ajila mwenyezi Mungu yupo
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Mpina ccm watakukumbuka sana mungu akulinde watu wote hamuwezi kua chawa mwisho wa ubaya ni aibu tu Mzee wasila nae ajiuzulu Mzee kinana ni mfano wapishe vijana amen
@dinalema732
@dinalema732 2 ай бұрын
Mungu akulinde ndugu yetu Mpina. akufunike kwa damu yake
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 ай бұрын
Mimi nakuelewa sana Mungu akubariki sana
@benmambya8169
@benmambya8169 2 ай бұрын
Tunataka watu Kama Hawa wasema kweli kazi yako ni njema kaka
@JEREMIAOPIYO-j1y
@JEREMIAOPIYO-j1y 2 ай бұрын
uko vizuri mpina
@jumayusuph5733
@jumayusuph5733 2 ай бұрын
mpina uko vizuri
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Huyu ndio mwana CCM halisi,mtanzania mzalendo na muadilifu wa kweli.Huyu ndio mwana CCm ile ya Nyerere iliyokuwa inafuata miiko ya uongozi na maadili na kutanguliza mbele maslahi ya nchi.Tukijenga Taifa la watu wenye kujiamini,wabunifu na wenye uthubutu kama Mpina taifa letu na mifumo yake itakuwa imara sana.Taifa letu litakuwa imara sana na hatatokea fisadi wala mafisadi wa kuifisidi nchi.
@GalilayaKilyabiye
@GalilayaKilyabiye 2 ай бұрын
Makungu kilyabiye pamoja sana kaka mpina
@RedBelt-m2k
@RedBelt-m2k 2 ай бұрын
Safiiii
@anordkazuba-ft5jr
@anordkazuba-ft5jr 2 ай бұрын
Mpina hongera sana kwa uzalendo ulio tukuka kaza but usikate tama
@mickgeofreyjoachim1580
@mickgeofreyjoachim1580 2 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭the country smells corruption everywhere
@mickgeofreyjoachim1580
@mickgeofreyjoachim1580 2 ай бұрын
Hivi nyuma ya Bashe kunananiiiiii????????ukiona panya anamdharau nyau ujue kuna shimo pembeni hapa mkuu wa nchi anahusikaaa ndomaana yupo kimya kama haoni...daah!!!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Mnadhani kila kitu ni ushabiki wa mpira,
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Huyu ana wivu tuu kwa sababu hana nafasi hiyo tena, aende aka hangaikie jimbo lake huko wananchi hawana hata vyoo
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 2 ай бұрын
Katika wabunge wazalendo umebaki peke yako ndani ya ccm, lakini watanzania tuliowengi tunakuombea kwa mungu, hii vita sio yako peke yako ni vita yetu sote nchi nzima kupambana na watu wasiolitakia mema Taifa hili.
@pamaco_wa_viwanda
@pamaco_wa_viwanda 2 ай бұрын
Bashe na Mwigulu wanyongwe
@BarakaMbise-lk1eb
@BarakaMbise-lk1eb 2 ай бұрын
Bo's kweny Jimbo lako wakikunyima kura warakuw na matatiz usikate Tama pambana mpaka kieleweke
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
We kama hujitambui ni Bora ukale kimya usitoe comment za utumbo. Mamba Mbina ni mwakilishi WA Wananchi anayejitambua .
@ntegrity277
@ntegrity277 2 ай бұрын
HUYU JAMAA NI CHUMA, ALIPIGWA SUMU KIPINDI FULANI BUT GOD IS GREAT
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 ай бұрын
Mpina usikate tamaa, Dunia, Mbingu na Kuzimu zinakuelewa
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 2 ай бұрын
Mh.Mpina ni mbunge wa KARNE,Mzalendo wa kweli kwa Taifa lake,Mpina ni zaidi ya wabunge 300 wa ccm,hv Rais sakata hili na kilio cha Mpina kwa hija zake je,umezisikia?Rais jambo hili usilinyamazie toa tamko kwani sisi wana nchi tupo upande wa Mh Mpina mtetezi wa kweli kwa Taifa lake. Mh.Mpina MUNGU akushindie sana na tupo nyuma yako.
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm 2 ай бұрын
huyu jamaaaa ni mtu muhim sana kwenye taifa hili. mama samia nakuomba mamangu, mtu huyu mrinde sana. kuna upigaji mkubwa sana inaonekana. ruhusu uchunguzi
@ntegrity277
@ntegrity277 2 ай бұрын
KWA LOGIC YA KAWAIDA HIVI MPINA KILA KITU HUWA ANASEMA UONGO? AU VIONGOZI TUNAMPUUZA TU? MBONA ANATOA DATA? EVIDENCE? KUNA NINI HAPA?
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Nchi hii mambo yanakwenda hovyo sana ni kama viongozi wanawafanya wananchi hawana akili Nonsense
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 2 ай бұрын
PAMOJA SANA MPINA.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 ай бұрын
pigia nyundo hapo hapo 😂😂😂
@TundumaInclusive2024
@TundumaInclusive2024 2 ай бұрын
Brother nakusalimu kwanza
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
Ww unayesema acha que de una akili za matope, au ndiye mwizi mwenyewepanya ww
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 2 ай бұрын
Ndo umetumwa uongee upuuzi wako kaakimya
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 2 ай бұрын
Nakuunga mkono pamoja na kwamba wewe ni ccm hata mchanvo nitakupa pambana
@dinocastico8495
@dinocastico8495 2 ай бұрын
Hivi nitakua vigezo halali kwenda kwa wananchi ikiwa tu waziri wa kilimo hata kuja kupinga haya. Ikiwa atakaa kimya ni wazi ccm ina jiangamiza kwa kuamini watakuwa madaraki mpaka mwisho wa dunia. Watu weusi tunatabu saana
@titusrobert5890
@titusrobert5890 2 ай бұрын
❤❤p
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 ай бұрын
KWAHIYO WW NDIO WAKILI WA WENYE VIWANDA au
@Dominaevance
@Dominaevance 2 ай бұрын
Ukiwa huelewi mambo better to keep quiet Sasa hoja ya uwakili hapo inatokea wapi?
@saulocharles9306
@saulocharles9306 2 ай бұрын
Kamahaujui kinacho zungumziwa hapo ni bola kukaakimya
@mossessimon2493
@mossessimon2493 2 ай бұрын
Wewe ni Kiazi kama Viazi vingine
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Mjinga ww
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Au mitandao ndio mahakama naona jamaa anauza sura badala ya kutumikia wananchi wa kijijini kwake
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 ай бұрын
Jamani wewe Raizan yaani maswali yako hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuuliza kwani hayana kichwa wala mkoa ni maswali less swali eti kipindi hiki cha uchaguzi kwa hiyo asingetakiwa kutoa haya anayoyasema duuuh kweli inabidi urudi ukajifunze communication skills ujue jinsi ya kuuliza maswali sio tu unacopy na kupest 😅
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 ай бұрын
Ŵw umetumwa ila Bilion 580 lazima zipatikane
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 ай бұрын
ACHA ziende
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni anapenda kuonekana tuu kwenye mitandao alionja uwaziri sasa anaona wivu aende akasaidie jimbo lake huko ni kwa hali ya chini sana watu bado wanakwenda machakani kujisaidia
@evaristomwalongo1583
@evaristomwalongo1583 2 ай бұрын
Wasomi mnatuchanganya
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Wasomi wamefanyaje, ndio wanasiasa?
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 2 ай бұрын
Unatemaa mate juu yatakudondokea toka CCM njoo cdm upate jukwaa lakuwasemea watanzania
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Mchukueni tuu hata huku kijijini kwetu hakuna aliye mchagua hatumtaki
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
huyu anasumbuliwa na msongo wa mawazo!! atafutiwe tiba!!
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Mjinga nini ww,ushindwe shetani ww.
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 2 ай бұрын
Huna akili ww, utakuwa siyo riziki
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Mie nashangaa huyu jamaa alivyo shikia bango swala la sukari wakati ni watu wawili au watatu tu ndio wanao tumia sukari jimboni kwake ,
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 ай бұрын
Acha ujinga na ujielew kama ww utumii ss tunatumia
@2003hintay
@2003hintay 2 ай бұрын
Unatapatapa ribo inakuuma kukosa uwaziri
@Dominaevance
@Dominaevance 2 ай бұрын
Ni wapumbavu wachache sana wenye mawazo ya Ajabu kama hayaa, yaan Mbunge kutekeleza Majukumu yake ya kibunge ni kukosa Uwaziri? Unashindwa kufanya analysis ya hoja za Mbunge unakimbilia Uwaziri?
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 2 ай бұрын
?.....
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Wajinga kama ww kwenye karne hii ni aibu kubwa sana.Mpina anajitahidi kututetea kwa faida zetu sisi wenyewe lakini ww mjinga mwenye laana unamuona si kitu.shetani ww.
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 ай бұрын
Weee mbumbu mkubwa hujitambui ndiyo maana unaandika kama ulivyoandika Mpina ni kiongozi anayejitambua ni Mtanzania halisi na Mungu amlinde na kumbariki tuko pamoja nawewe Mpina tunakuunga mkono
@saulocharles9306
@saulocharles9306 2 ай бұрын
Kweli wapumbavu kama ww hamuwezi kwisha bongo
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 ай бұрын
Mie nashangaa huyu jamaa alivyo shikia bango swala la sukari wakati ni watu wawili au watatu tu ndio wanao tumia sukari jimboni kwake ,
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН