Hongereni sana, Waziri kwa kujituma kushughulikia matatizo ya watu. Kwa Brig General mstaafu hongera kwa moyo wa uungwana na uvumilivu, na kwa ndugu yangu auliyeamua kukabidhi kiwanja hongera kwa moyo wa utu na uungwana wako. Kitendo cha kukubali ukweli, kuamua kuwa utakabidhi eneo tena pamoja na majengo kwa hiyari yako mwenyewe ni cha kiungwana sana na huenda kinatokana na hofu ya Mungu. Usijali ndugu hizi Mali ni za Duniani tu, kwakuwa umekuwa sehemu ya kutenda haki basi Mungu wetu ambaye anatutaka kutenda haki atakurejeshea Mali yako kwa wakati wake. Huyo bwana mmekuwa ndugu na Sasa hamna mgogoro tena. Mwenyezi Mungu awabariki wote mliohusika na suala hilo.
@asteriambwei955 жыл бұрын
Yaani lukuvi unanifurahisha sana uko sawa sana na raisi wetu anataka viongonzi bora km wewe nakuombea mungu utende haki siku zote na hao matapeli wekeni ndani yaani sukuma ndani yako mengi sana hayo matapeli wanamtapeli hadi bregedia je sisi wanyonge je?si balaa
@antonymwajombe85363 жыл бұрын
Wanashugulikiwa kigogo kama hueleweki
@lucasamos37253 жыл бұрын
instablaster...
@Raymond64975 жыл бұрын
Hongera Mongi,,,nimependa kauli yako "hakuna atakayezikwa kwenye skwea mita 1800"" kila nikifikiriaga naiogopa na naogopa ugomvi wa aridhii,,nikikumbuka IPO Siku nitarudishwa kijijini kwetu kwenye ukame na vumbi aridhi ya Dar salaam no matter IPO wapi naonaga ni takataka,,(Ila ni vema kuwa nayo kwanza mengine yafuate)May Allah bless all receiver and the giver)
@akrammahtabi9354 жыл бұрын
Mungu akujaalie is wonderful fundisho kubwa baba
@sannycpaul94233 жыл бұрын
Kuna watu wanamoyo kiukweli, hapo Mungi ni mtafutaji kweli na anabusara Sana, Huyo mzee angekubari tuu apewe fedha ionekane Mungi kanunua Mara mbili..
@mamymamiza29245 жыл бұрын
Wangoni hembu tujuane jinsi tulivyo wapole hongera waziri wetu lukuvi upo vizuri sana
@kikariantandi48333 жыл бұрын
Hongera sana muheshimiwa Lukuvi unatenda haki ya Mungu Ila nahao waliohusika kumtapeli huyo bwana kama alipitia kwenye vyombo husika vya serikali wawajibishwe ili iwe fundisho kwa matapeli wengine
@franciscowilliam25753 жыл бұрын
Hongera mzee umetumikia taifa vyema, hongera Lukuvi una nia ya dhati ya moyoni kuwahudumia watanzania kwa kweli Kuna uwajibikaji na ni lazima tuipongeze serikali
@yordanyona12345 жыл бұрын
Huyu jamaaa Mungu amzidishie ana hekima na ana upendo wa ajabu ...Ila hawa wanaowarubuni watu awahukumu
@Electri-ambi5 жыл бұрын
Pa muhehe umenigusa waziri hongera sana wahehe tujuane
@judaspantaleo97795 жыл бұрын
Safi kabsa ulielidhia kuludsha kiwanja mungu atakuludishia kikubwa
@ramadhanisuru18225 жыл бұрын
Dah!! Imeniuma sana kwa huyu aliye tepeliwa waziri lukuvu mwangaliye kwajicho lapili aisee hata mungu atakulinda utakapo msaidia
@tinagorges37415 жыл бұрын
Muheshimiwa lukuvi mungu akupe maisha marefuu naafyaa njemaa nahuyo jamaa aliyekubali matokea piya mungu ampe imaani
@tedymwandara54805 жыл бұрын
Mheshimiwa Lukuvi nakupongeza kwa kazi nzuri sana, msaidie huyu aliyeingizwa mkenge sababu pia ni MTU mzuri kumuachia majengo bila kubomoa ni mtu mwenye upendo, msaidie kumsaka aliyemwingiza mjini.
@tedymwandara54805 жыл бұрын
Kumbe nimeona clip nyingine huyu aliyeingizwa mkenge kapewa kiwanja pemba mnazi sijui iko wapi hii, atalipia kiwanja kilichopimwa kwa bei ya serikali.Mheshimiwa Lukuvi Mungu akutunze🙏
@munaahmed84993 жыл бұрын
Na huyu mzee amsaidie kutafuta hifadhi mwenzie jmn kafanya utuuu
@jimnatancredi79104 жыл бұрын
You are a very clever and wise man mr minister. I like your work. Magufuli is so blessed to have you.
@husseinshabani95225 жыл бұрын
Dunia ni mapito. Mungu Anasema Ukisamehe au Ukiacha kitu kwa kumuogopa Yeye Anakupa M badala yake.ndugu yangu Umesamehe kwa moyo Weupe bila kinyongo Allah Atakupa M badala wake muda si Mrefu InshaAllah Allah Atufanyie wepesi.
@jonamnyone80145 жыл бұрын
Pole sana mzee Mongi Mungu atakulipia umekuwa mstaarabu kukubali yaishe.
@drjohnroberto80145 жыл бұрын
Duuu jamaa ana mungu saana.mpaka kila kitu ana acha.Mkuu mungu yuu nawe.kuzikwa tutazikwa kwenye sehemu ndogo tu.Mkuu mungu atakuongezea
@ainonlinetv88635 жыл бұрын
Asante baba nakuomba nisaidie nmetapekiwa na mwenyekit wa mtaa hp arusha
@imagepower36415 жыл бұрын
aisee we uliyerudisha unasitahili pongezi-ndani ya watu 1000 anapatikana mmoja tu
@dastanfussy48983 жыл бұрын
Ungekuwa wewe unefanyaje?
@ndunihiyari40153 жыл бұрын
hakun kbx , hat huy 1 hayup. Labda lak 1.
@ramamtetu23275 жыл бұрын
Wanasheria Mungu anawaona ! Hongera Serikali ya awamu ya tano Kusimamia haki na Uadirifu Mzèe Lukuvi nakupenda bure
@alberttembarichard2235 жыл бұрын
Mungu atakupa kilicho chako pole brother usijali mungu ni mwema kwa kila mtafutaji utapata chako Ila watu wa karibu wanatutumbukiza huko tujiepushe nao Fanya kazi na mtu unaemulekeza sio anaekushawishi ana manufaa yake utayajua baada ya kuumia kesho yake
@ahmedshariff80645 жыл бұрын
mungu akupe afya na akuepushe na kila haya mheshimiwa Waziri ningeomba uelewe matatizo ya waliodhulumiwa matatizo yapo ofisini kwako safisha wote
@mosesg.pendael83815 жыл бұрын
Hapn, sifa nyingi ni kwa Mongi. Mongi katapeliwa, kaibiwa. Kajenga. Lkn kaamua kuacha mali kubwa kwa Brigedia. Huu ni moyo wa ajabu sana.
@lucassabida54715 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa Lukuvi kwa kazi kubwa unayoifanya na ningeshauri hao watu wanaoendelea na mambo haya ya utapeli wa viwanja, wafungwe. Ni kwa nini matapeli wengi wa viwanja wanayoka kwenye kabila moja la hapa nchini?why?
@upendorobert72985 жыл бұрын
Mongi hongera kwa uzalenfo. lakini siku zote huyo baba alivokua anakomaa, ulikua huamini mpaka waziri akufuate, duuh. haya bhana
@anjelinakasembe8455 жыл бұрын
AsanteMr Lukuvi nakuja kukutafuta pompöse ulipo Nina lshu kubwa
@sophiamwakila33005 жыл бұрын
Hongera waziri wa ardhi kazi unaifanya kwa moyo wako wote. Ulinzi wa Mungu uwe juu yako. Ndugu Mongi hakika Mungu atakulipa zaidi ya hiki ulichokitoa.
@yasiniiddy81633 жыл бұрын
Uje utusidie kwetu
@temkezatv43813 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@ssent84muse545 жыл бұрын
Wow Tanzania’s are very patient people. ✌🏽
@mohamadally57325 жыл бұрын
Dah huyu alietapeliwa ni MTU mwenye hekma sana hana tabu mstaarabu sana mungu atakupa haki yako mzee wangu
@sadikidaudi12235 жыл бұрын
Kweli wanasheria wanawazurumu watu nibola wakawa wanasema ukweli ila Mhehe unachapa Kazi Mungu akujaalie.
@dr_godfrey5 жыл бұрын
Da! Sema rukuvi unafanya kazi nzuri wanyooshe na wakome😁
@kasimukabwela61703 жыл бұрын
TV he qwerty we are all III relationship xy
@bishopmosesmagadula75725 жыл бұрын
NAMPONGEZA NDUGU MONGI KWA KURIDHIA KUMKABIDHI HUYO MZEE KWA MOYO MKUNJUFU KWA HIARI YAKE UMEONYESHA MOYO WA KIPEKEE HAPA DUNIANI TUNAPITA HATUONDOKI NA KITU UBARIKIWE..
@pendonjau15875 жыл бұрын
Kabisa
@yasiniiddy81633 жыл бұрын
Ukweli utabaki wazir ukweli undilifu mweshimwa raisi
@antonyvallerian17185 жыл бұрын
Daah....mongi umeongea hadi najisikia ujasiri ndani ya moyo wangu.
@alextzmmary51215 жыл бұрын
Hekima ina umuhimu Sana,
@antonyvallerian17185 жыл бұрын
hakika.......
@dn.n49835 жыл бұрын
Moyo wa ajabu baba waziri msaidia haliotoa hiko kiwanja
@sheryphamwenevalley61245 жыл бұрын
🤣🤣🤣 nacheka km.kazuri awamu ya 5 umejua kuwwnyoodha matapeli lov u mr Lukuvi
@estheradriel98295 жыл бұрын
Mweshimiwa Mungu akubariki natamani baba yangu angekuwa hai akapata ardhi zake zote alizo zulumiwa.
@harounbuzohera47973 жыл бұрын
Huyu bwana Mungi kwa kweli ni mtu mstaarabu sana. MWENYEZI MUNGU yuko naye.
@dn.n49835 жыл бұрын
Kweli kabisa matepeli mi hatari
@samwelnaal7952 Жыл бұрын
Dah Mr Mongi😢 Sijui hata niseme nini
@valeriaveda75193 жыл бұрын
Iv uyu baba si wakilongawima namjua vile duh ongera baba
@henrymgeyekwa55295 жыл бұрын
njooo na mbinga lukuvi zuluma imezidi mungu akusaidie kwery
@goodluckmzenobius81205 жыл бұрын
Kweli kabisa Mbinga wanadhulumiwa sana
@karimabdul39284 жыл бұрын
Kwamoyo msafi ulivyo peana Mwenye ez Mungu atakurudishia pia wewe
@shohamuwokovuhalisi.26483 жыл бұрын
KWELI MUNGU BABA NI HAKI,NA AMESHUKIA TANZANIA, NDIOMAANA HAKI INATETENDEKA. IMEKUWA
@louxonmedia5 жыл бұрын
Ebhanaaaaaaeeeeee! Dunia imekuwa na binadamu aiseee
@gracemima52343 жыл бұрын
Serikali ichukuwe hatuwa kwa wanasheria wanaotanya makusudi kuwapa ama kuwashauli waebdelee na kesi huku wakijuwa hawana nafasi ya kushinda kesi kwa ushahidi uliopo. ya Walaziishwe wawalipe wateja wao kwa upotovu wao wa kuwaunga mkono wavunja sheria
@bashirsaid11085 жыл бұрын
Hongera kwa kuridhika, lakini usiache kufuatilia hao matapeli
@pascalmgina5 жыл бұрын
Our next prezidaa
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Ila mzee umekula pesa za serikali haki
@godfreylyimo41775 жыл бұрын
Pole sn Mzee Mongi
@tedyyesaya55255 жыл бұрын
Wamezidi hao waonyeshe baba
@sir.josephmbeya70175 жыл бұрын
Safi mzee Mongi
@dorothyannan81845 жыл бұрын
Mmmh...jamani
@pendaelmollel18475 жыл бұрын
Mh unapga kazi sana , kwangu Mimi ktk mawaziri watatu bora ww umo
@danielnyari11193 жыл бұрын
Huenda aliyeuza Kiwanja Cha Brigadia Ni Drs la 7 la zamani.
@stephanokanyika63215 жыл бұрын
Pale ulipo toa ndugu mungu atakuzidishia wala hauta pungukiwa kitu
Inauma lkn dah pole baba ulie ibiwa ukauziwa mbuz kwa gunia
@fortidaskashaigili74963 жыл бұрын
Wanasheria waliowengi ni njaa tu,wala sio waaminifu,wanaendesha kesi haiishi,mpaka mtu unafilisika
@erickchitumbi13085 жыл бұрын
Hawa wanasheria bwana...wanadhani wananchi ni kama bidhaa kwao.
@kanoa6455 жыл бұрын
Mheshimiwa waziri, huyu mzalendo mfikilie tu kwa kumpa kiwanja kingine, akinunue kwako, maana hajakusumbua na ameonyesha moyo wa pekee, amekuwa ni mzalendi mwema, lakini je waliomuingiza kwenye adha hii hawawezi kupatikana? Hii tumuachie yeye kama akiamua kuwashtaki haya akiamua kuwasamehe sawa.
@saitotisaitoti67345 жыл бұрын
Ndio tabia ya wanasheria hizo
@pungopungo4113 жыл бұрын
Huo sio Uganda ni kuanzisha vurugu uugwana ni huu kama mtu naendelea na kuna marengo yake. Nikumpa yule ambae hajaendeleza .eneo lingine kwa gharama za huyo alieendeleza kwa mtindo huo itakua vulugu mechi
@inosentchaba29375 жыл бұрын
Aseii jamaa no mgwana sana
@kassimmohammed49495 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa kabisa
@SEMANKA975 жыл бұрын
Mi serikali ya tano nimeivulia kofia imepania kuweka mazingira tulivu ya nchi hadi nimeongeza imani 150%
@akimmbwego7975 жыл бұрын
Mh Lukuvi ni zaidi ya KIONGOZI WA DINI KWA UYAFANYAYO MIAKA NENDA RUDI,YAANI NAANZA KUKUFANANISHA NA ALIYOKUWA AKIFANYA SAYDINA OMARI RADHI YA MWENYEZI MUNGU IWE NAE........NAKUKUBALI MZEE
@bonifacentabo49845 жыл бұрын
Hongera waziri Lukuvi unatetea kwa haki.Mungu akuongoze.
@agnessmwendwa75424 жыл бұрын
Wangekubliana na uyo Mzee alipwe pesa akanunue kiwanja kingine jamani kuliko kumuacha na majengo
@sadockalfred67505 жыл бұрын
Rukuvi anafaa kuwa Rais wa jamhuli ya Muungano wa Tanzania
Sasa lukuvu hayo matapeli unamwachia nani adili nayo muhulize kama anawajua hao matapeli watafutwe waswekwe ndani hili liwe fundisho nzuri kwa matapeli kama hao yaani hapo lukuvi umewapa kichwa matapeli tuu,maana yake tanzania unatapeliwa ardhi pamoja kwa kuandikishana na matapeli wanaendelea kudunda tuu
@mirajinalego42165 жыл бұрын
Good Mr Lukuvi but hao matapeli wasakwe na washughulikiwe ili kukomesha this habit
@tinyaanosiatha11185 жыл бұрын
Mongi unaroho nzuri . Dunia ya leo huwezi pata mtu kama huyu. Anasema nyumba hatabomoa atatoa vitu vyake tu Harafu nyumba atamwachia huyo brigad mustaafu. Mongi akubaliki.
@bishopmosesmagadula75725 жыл бұрын
UKO VIZURI LUKUVI. ENDELEA KUTENDA HAKI..
@matonyamhboraukimwikulikok92925 жыл бұрын
Tunaonamba uje keko juu nasisi tuna nyalaka zote watu wamejenga mbele ya nyumba yetu tunaomba waziri tusaidie baba pia kuna hopen spes imejenga hoteli
@matonyamhboraukimwikulikok92925 жыл бұрын
Tunaomba zungukie na huku tafadhali
@Electri-ambi5 жыл бұрын
👏👏
@jaziumusa41315 жыл бұрын
Kwaiyo lukuvi anajifanya wewe nimwema kama nimwema aludishe viwanja vya kibamba na mbezi vilivyo polwa na wao vipi
@shijamayala34645 жыл бұрын
Wanasheria asilimia kubwa ni matapeli wanalenga kuwaiibia wananchi
@fikirinyanda68055 жыл бұрын
Kuwe na sheria ya kuwabana hao wanasheria nao wapate adhabu kwa usumbufu wanao wapatia wenye haki
@smeena34473 жыл бұрын
Search Report inapatikana/fanyika wapi,....Wizarani au online? Waziri tuelekeze tafadhali.
@davidwapalila76775 жыл бұрын
Daah ila kweli ilikuwa balaa, sasa kama Brig General alifanyiwa hayo, sisi raia wa kawaida si ndo utaweza hamishwa na nyumba yako kabisa. Daaah
@salmaiddy49315 жыл бұрын
Nitakutafuta muheshimiwa
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Sasa kwanini hao wapigaji wasichukuliwe Sheria?
@abeidsanga73613 жыл бұрын
Angekuachiatu na ww umpe fedha kiasi jamani
@davidmahenge55115 жыл бұрын
Mwambieni huku mbezi beach kuna mtu hajenga juu ya bomba la maji
@sharifahayatta35845 жыл бұрын
viwanja vya mama maria nyerere vipi?
@kanoa6455 жыл бұрын
Uungwana uliouonyesha kumrudishia haki yake mstaadu ni mkubwa nakushauri kuwa mtoto katika familia ya mstaafu huu ni udugu tosha
@JaziraMustafa-g9p7 ай бұрын
FIDA HUSSEIN HUKU DAR NI JAMBAZI WA MAJUMBA YAWATU HUKU DAR
@valentinemtei29275 жыл бұрын
Msee unajiongezea CV ya kua Presidaa
@visualservices88973 жыл бұрын
Uyo jamaa aliyeachia kiwanjaa mbingu ni yake
@wilfredmushi52285 жыл бұрын
Sawa mh lukuvi sasa mongi alietapeliwa c angekutajia hao matapeli waliomuuzia ili wakamatwe?
@mdzainb37223 жыл бұрын
Ssa hapo mongi ndo awashtaki sio waziri
@salymkitumbika86445 жыл бұрын
Anuani ya barua tafadhalii mh
@albertmarco18825 жыл бұрын
Kuna kabila flani wanadhurumu Sana ardhi kwanini ati
@fanbullalukasa4865 жыл бұрын
Albert Marco nimekulewa mkuu kuna kabila kaputi ni mabigwa was kizurumu hata sisi tuliponea kidogo kuzurumiwa na akiwa mpangaji wetu Soweto mbeya na anajijua akisoma ujumbe huu
@franciscogosbert96035 жыл бұрын
😂😂😂😂 harafu hilo kabila ukienda kwao sasa hupati ardhi kirahisi
@meksonyjoseph89095 жыл бұрын
Sasa huyo alie waauzia yuko wapi
@hassanmirambo5645 жыл бұрын
Hakuna watu siwapendi kama hao wanaojiita wanasheria pumbavu zao sana ndio maana JPM alisema ikiwrzekana wawe wanafungwa akithibitika analazimisha haki kuwa batili,huyo bwana siku akikutana na huyo aliyemuuzia hicho kiwanja sipati picha
@ireneusrwiza73575 жыл бұрын
huyu jamaa aliye tapeliwa lol mungu amfungulie mlango mwingine
@thabitngangila85625 жыл бұрын
Magu atawale miaka 20
@ramahzedon66885 жыл бұрын
Wahuni sio watu wazuri wanawazingua had mabrigedia
@kelvinwilliam62443 жыл бұрын
😂
@alexchungu95055 жыл бұрын
Tumpe urahisi huyu
@eliudmsigwa2295 жыл бұрын
sasa ww brigedia unabastora ya nn ? yann ww unabastora alafu unazulumiwa kwel!!!!