VUTA NI KUVUTE YA STAND, JERRY SILAA AMVAA DC NIKKI, ATAKA WAZIRI KUINGILIA KATI "HAIWEZEKANI"

  Рет қаралды 91,652

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 230
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 4 ай бұрын
Mh.Jerry Slaa ni mwadilifu,mchapa kazi na ni nuru ya Uongozi kwa Nchi yetu.Hongera Mkuu kwa kazi yenye vitendo,kutatua kero za Watanzania
@edsonoisso4271
@edsonoisso4271 Жыл бұрын
Unawaza vizuri sana mheshimiwa ila uswahili utakuponza babu.
@millegodfrey1373
@millegodfrey1373 Жыл бұрын
Jerry hakuna haja yakutukana mtu mngekaa mezani muongee akiwepo waziri sasa siasa haisaidiii
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Yaani umeongea kitu cha kweli kabisa! Karopoka saaaaaana
@lenoxbuhanza4926
@lenoxbuhanza4926 Жыл бұрын
Acheni mambo yakuitana kaka yangu/mdogo wangu sijui ndugu yangu au vinginevyo fanyeni kazi eti mdogo wangu Niki,dada yangu Jenifer,rafiki yangu mwana FA.acheni hizo adres mtu kwa nafasi yake bila kupepesa macho
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Sijapenda kwakweli
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Uswahili wenu huu ndo samia kaleta hata maendeleo hatuoni kila siku mipasho mara macho YANGU yamelegea lakini yanaona mbali ukinitekenya nitakukunanakukupuliza kakopa wee hamna chochote ulikuwa mkuu wa wilaya hapo ulifanya nini nsikama kikwete tu miaka kuni hamna chochote uswahili mwingi maneno milioni kazi hamna acheni uswahili hautusaidii chochote
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Жыл бұрын
Umeteleza mheshimiwa uyo ni mteule wa raisi acha zalau
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
Hapana ukikosea utaelezwa tu.Rais anakuteua ili uchape kazi na utumie akili.Oooh mteule wa Rais na hiyo ndiyo inawadanganya,Jerry slaa waeleze hao watulize vichwa vyao wakipewa Mamlaka.
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Жыл бұрын
Kama ulikua unayajua hayo kwann usiende kuongea nayeye ofcn wewe bwana jery kumbuka hata huyo mkuu wa wilaya anapokea amri toka kwa waliomuwekaadarakani ajipangii
@mpokimwasimba
@mpokimwasimba Жыл бұрын
Safi sana hili angeongea nae yakaisha sasa hii kutafuta sifa tu
@josephluther6431
@josephluther6431 Жыл бұрын
Ilo tatizo lipo tokea Jokate awepo na stand ilianza kujengwa Kisarawe, chuma alishatolea maamuzi alivyokufa tu yameibuka tena
@godiegodie1336
@godiegodie1336 2 ай бұрын
Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm Ай бұрын
Jer uko poa mku wawiraya asijichukurie maamzi nchi yetu .sote
@benjamingilles9462
@benjamingilles9462 Жыл бұрын
Jerry silaa umekosa busara to the moon and back
@cleverkifaluka4337
@cleverkifaluka4337 Жыл бұрын
Slaa unakosa hekima kama kiongozi hutakiwi kumsema mwenzako tena wa chama kimoja kwa maneno ya dharau hivyo. Mashimo yakutosha stand hakuna nick wa pili kakusaidia magari yako yanaenda kwake unamdhalilisha?
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Kalewa madaraka na sifa zimemzidi
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 Жыл бұрын
Niikazi ya mbunge bila kuangalia chama. Shida sis tumezoea kabushara cha wabunge kusifia wakati wao kaz kuu n kuongelea wananchi either kukosoa au kushauri pia mbunge siotendaji wa serikali akaongelee ofisini kaz yake upimwa na waajiri wake ambao n wananchi kwaio lazima aongelee changamoto zao bila kupepesa macho bila private lazima wananch wajue mbunge wetu katuongelea ndio maana bunge liko live ili wananchi wapime kaz ya wasemaji wao. Shida wabunge wengi awaongelei wananchi wanaongelea chama ndio maana wananchi wana changamoto nyingi lakini hakuna wakuwasemea wao kaz kusifia sifia kusifia sio vibaya sema zikizidi wakat huo huo Kuna changamoto za kusemea hiyo ndio mbaya
@steveprosper4084
@steveprosper4084 Жыл бұрын
Mwenyewe ashawahi kuwa mkuu wa wilaya hapa kinachomtesa Jerry ni ubunge ccm hapo tu ukichaa unaanza
@luperbukuku2659
@luperbukuku2659 Жыл бұрын
Kwanini nikki maeneo ya Dar aseme ni pwani
@godiegodie1336
@godiegodie1336 2 ай бұрын
Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.
@shytv369
@shytv369 Жыл бұрын
Haina maana ya kuongerea hapo umekosa busara huyo ulipaswa kukutana nae myamalize
@godiegodie1336
@godiegodie1336 2 ай бұрын
Silaa anaongea na wanachi hapo ulitaka akaongea na nikk ofisini afu wananchi wawe wanabaki bila kuelewa chochote. Acha kukumbatia umbu mbumbu.
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 ай бұрын
Anatuletea sanaha kwenye maisha ya watu na kwenye siasa msomi Gani anaewapelekesha watu kiwendawazimu
@henrickmbilinyi6231
@henrickmbilinyi6231 Жыл бұрын
Kwani Jerry huwezi kukaa na mkuu wa wilaya meza moja kutatua changamoto , ikishindikana hakuna mamalaka ya juu ikaingilia kati kuona uwezekanao wa kutatua changamoto, siwezi kumlaumu sana jerry slaa kwani yeye ni mbunge ,mwanasiasa nijukumu lake kuongea ,halafu ndio suluhisho lianze
@dennismtatiro8230
@dennismtatiro8230 Жыл бұрын
Hizo ni wilaya 2 tofauti kwa hiyo lazima awepo mtu wa kuwakutanisha, ambaye ni WNORT
@billgussy6099
@billgussy6099 7 ай бұрын
Huyu jamaa kazi itamshinda mapema sana. Anapenda sana uswahili kufanya kazi na media.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Mbona haijamshinda leo ni waziri ,ulitaka afanye kazi kimya kimya ofisini halafu sisi tutajuaje anachokifanya?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Tunataka watu jamii yamakonda
@billgussy6099
@billgussy6099 5 ай бұрын
changa la macho unalijua?? hao watu wanajuana nyie wananchi ndo mnao danganyika
@mamakoku5123
@mamakoku5123 Жыл бұрын
nyumba ni moja mzee usipoteze fito zake
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Jerry tutengenezee barabara kitunda ni mbovu kupita maelezo
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Kiasilia Nikki sio mtu wa hapo na pia ni kweli kabisa "unaweza ukawa na Elimu lakini huna akili" .. Faida kubwa ya Elimu ni KUKOMBOKA KIFIKRA ila Kuna uwezekano mkubwa mtu kuwa na Elimu ya vyeti ila bado akawa ni mjinga(HAJAKOMBOKA KIFIKRA)
@frankmalimi5863
@frankmalimi5863 Жыл бұрын
Mheshimiwa Jerry, ule mpango wa ujenzi wa barabara kiwango Cha lami kutokea PUGU SEKONDARI MPAKA VIWEGE umeyeyukia wapi ?
@michaelfutakamba9360
@michaelfutakamba9360 Жыл бұрын
Jerry Slaa jipime nidhamu yako unapotaka kuwasilisha hoja yako, unamapungufu Sana kwenye kauli kinywa chako kichafu, tumekuona sana sio mara ya kwanza wala ya pili.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Usimtishe slaa
@lilhydon452
@lilhydon452 Жыл бұрын
Ndo maana inafaa mkuu wa wilaya awe mzawa na achaguliwe na Wana nchi wenyewe "katiba mpya"
@momylaviel
@momylaviel 3 ай бұрын
Uishi maisha marefuuu khaaa jamn wakihamisha stend hiyo tutafanyaje
@capantermkugwa7650
@capantermkugwa7650 Жыл бұрын
jeli apo umeongea pwent sana kaka
@rasiaelnicholaus9286
@rasiaelnicholaus9286 7 ай бұрын
Usimchambe Kiongozi mwenzio ...kwanini Msikutane Mkayajenga B4 hauajaja kwa Wananchi
@fahamumbava3702
@fahamumbava3702 Жыл бұрын
Unakosea sana kma kweli unabusara ungemfata ofisini huo ni huchonganishi
@mizumo6935
@mizumo6935 7 ай бұрын
Uyu Jamaa Kanasifa sana alafu atumii Busara Unamsema Kiongozi Mwenzako Hadharani kama hivyo Sio poa
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 ай бұрын
Joketi ndio kiongoz mzuri hakukuwa na migogoro uko
@ustawiwetu
@ustawiwetu Жыл бұрын
Viongozi wanajipendekezaga Sana, Hadi mumtaje Raisi ktk kila kitu hata vitu vidogo vidogo
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 Жыл бұрын
Hasa nyie wote ni viongozi hauitaji kutoa mapungufu yenu kwa wananchi.mnatakiwa kuitana wenyewe mmaluzane bila wananchi kujua
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
1.Nick amezaliwa Arusha,amekulia Arusha tena siyo Town centre hukoo mitaa mitaa isiyo kuwa na mipangiliomji. so me naona makosa ni aliyemchagua kwanini akampe cheo km hicho mkoa mji asiye ujua chochote kuhusu kisarawe? 2.Jerry kwanini usimfwate office kwake huyo nikki? Km alileta ukahidi huko ccm hamna watu wazima?
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
Kwanza mjeuri mjeuri la pili mgeni mjini.
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 Жыл бұрын
Toka afe magufuli nchi imekuwa ya hovyo sn hii kila mtu anajiamulia yeye tu kumamake walai
@HusseinHussein-hl5eh
@HusseinHussein-hl5eh Жыл бұрын
Tatizo mji inaongozwa na wageni ambassador hawajui Romania halisi ya mji wanayoiongoza
@morganrobinson3542
@morganrobinson3542 Жыл бұрын
Kwahiyo ramani zinakaa kichwani mwa mtu? Ramani na mipaka ipo kwenye document na inaeleweka hata wewe ukitaka unapata
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
🤝👍
@HusseinHussein-hl5eh
@HusseinHussein-hl5eh Жыл бұрын
Kama anajua mbona anachemka
@KarataKarata-ue4cs
@KarataKarata-ue4cs 4 ай бұрын
Hauna busala hata kidogo haufai kua kiongoz
@HishamAbdull
@HishamAbdull 3 ай бұрын
kwa nn usianze na mkuu wa mkoa aje atatue kero unaenda 1 kwa moja aje waziri
@angelnicholaus9248
@angelnicholaus9248 Жыл бұрын
Sijaona cha maana hapo,ikihamia Kisarawe ni bora maana ndio kuna connection nzuri ya mabasi.Sijaona unachong'ang'ania hapo mr Slaa.
@captenndunga6745
@captenndunga6745 Жыл бұрын
Hahahaha mkuu wa wilaya haijui mipaka yake kama hali ndio hii ipo siku utasikia TEMEKE ipo KINONDONI.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Subiri Niki aseme Jambo ndio utagundua Huyu Jerry Ni cartoon
@dennismtatiro8230
@dennismtatiro8230 Жыл бұрын
Kuna tatizo la kiufundi hapo
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 ай бұрын
Mewaweka wauni kwenye huongozi watu wa mahana mnawacha ndio matokeo yake hayo sitilesi za mkewe Niki anatuletea wananchi mtoeni uyo hafai
@nr8782
@nr8782 4 ай бұрын
Unachukua wasanii unawafanya viongozi wa nchi untegemea nini...mtu mwenyewe katokea arusha na kichwa kibovu....wasanii waache wawe wasaniii wa bongo fleva...eti kiongozi...du bongo ni shida
@OdenBidili-lj5qi
@OdenBidili-lj5qi 7 ай бұрын
Huyo Jerry silaha mpuuzi sana maneno mengi kazi hakuna
@evelineurassa3642
@evelineurassa3642 Жыл бұрын
Jerry Slaa Ameiva mnooo
@user-nn3py9nj8l
@user-nn3py9nj8l 4 ай бұрын
Sio vizuri kumsema mwenzako.... Af wote nyie ni ccm
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Vipi kuhusu alipojisema mwenyewe kiwa tena inawezekana Niki amesoma kuliko yeye hapo hukuona ee, hapa anachofanya huyu ni kusaidia wananchi sio mihemko tu
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Ukweli pugu hapo hakuna stendi wala kituo sema iyo pugu kaliakoo aliokaimba Mr Nice niya treni na so ya dala dala au stendi choole
@marianmartin7483
@marianmartin7483 7 ай бұрын
Slaa piga kazi kaka, watanzania huwa hawaishiwi maneno na hawana jema.
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 Жыл бұрын
Mambo yenu ya ofisini hayo
@kombafocus6996
@kombafocus6996 5 ай бұрын
Mnaona wasanii Wana akili ccm vibiongozi
@chiefmussaally8301
@chiefmussaally8301 Жыл бұрын
viongoz ni dar tu nimezkia mwenyekit wa wasafirishaj Tanzania sjui alchaguliwa vip ad na akna sie wa mikoan
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Mheshimiwa Mainge Kijana wangu huyo!
@user-rg5ii1tg1l
@user-rg5ii1tg1l 7 ай бұрын
Ajaze vifusi mashimo hayo aoni aibu
@chichahamis635
@chichahamis635 3 ай бұрын
Mkuu wa wawilaya chizi
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Hayo mambo wangeanza kuyaongea wenyewe huko huko... Na kama anajua Nikki kamzidi elimu kwanini anakataa kuwa hayo maeneo sio Kisarawe?
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
kuondoa hili mipaka ya kisarawe inaanzia wapi na kuishi wapi na mikapa ya ilala inaishia wapi unajuu huku ubungo kuna sehem ni ilala ila jina ni moja
@karloladislaus45
@karloladislaus45 Жыл бұрын
Why kila kitu lazma atajwe Rais!??....Hawa viongozi ni wa ajabu sana.Serikali moja lakini wanabishana utadhani hawakai meza moja.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 7 ай бұрын
Vwanamtaja Rais kwa sababu hawajiamini katika maamuzi yao!!
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 ай бұрын
Muheshimiwa ulianza vizuri sasa unaanza kuharibu kwa kumchafua kiongozi mwenzako hadharani, kwanini uongelee elimu yake, eti ni bongo flavor umekosea sana, jihadhari huwezi kupanda juu kwa kumkashifu mwenzako
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Yeye ameshindwa kuuza viwanja vya makazi Visegese kupitia kiluvya.
@emmanuelchejo7154
@emmanuelchejo7154 Жыл бұрын
Acha dharau wewe usiseme maneno hayo c ushasema kakuzid elim bongo fleva inaingiaje hapo bhanaa
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Niki yupo right sana
@fauzibinzoo6563
@fauzibinzoo6563 7 ай бұрын
Waziri unapenda sana kiki haki ya nani
@GeorgeNhiga
@GeorgeNhiga 5 ай бұрын
😊😊😊😊😊
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 Жыл бұрын
Maisha ya wasanii wanaishi kisanii ndo uhalisia wa neno msanii
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
Ndy tatizo ya kuwapa watu kuongoza sehemu wasozijuwa
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Stand ya kigogo mbovu sana
@brunoonenjemu3674
@brunoonenjemu3674 Жыл бұрын
Mhe. Slaa barabara za mtaa zinatakiwa, gongolamboto hadi chuo Rada.Hatuna barabara.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Yaani nilifikili huyu jamaa anaakili kumbe 000. Suala hilo eti anamuita Waziri aje asuluhishe wewe na wenzako mnafanya nini wewe.? Acha Siasa kama hamuwezi pisheni. Nimempenda Nick wa Pili kaamua Jambo hata kama amekosea kaamua.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
TUNGEKUWA NA MAWAZIRI KAMA WEWE KUMI TUUU, TUNGEFIKA SEHEMU.
@abdallahabdu8194
@abdallahabdu8194 Жыл бұрын
Hako ka dc huwa kabishi sana hakuna asiyekajua hata kuna wakati kaliwavuruga wasanii wenzake
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
watu wanaishi kiukweli wengi wetu tunaishi kwa feelings inawezeka mipaka aliyopewa inaonenya ni eneo lao na hata huyo mzee anasema kibali cha lessen wanaenda kata kwao sasa sijajua jerrry anabisha based on feelings or paper on the records
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
NDO MAANA MI NAULUZA , HIVI HAWA WAKUU WA WILIYA , MAMA SAMIA ANAWACHAGUWA MWENYEWE?. AU ANAPEWA MAJINA TUU. KUSOMA SIYO AKILI AU KUELEWA KAMA ULIVYOSEMA, WENGINE WALIBURUZWA TUU MPAKA HAPO WALIPO KAMA WAKUU WA WILAYA.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
HAO HAO VIONGOZI WENU WANAPEWA PESA NA WATU , ILI KUPINDUSHA SHERIA.
@esombommambelwa6809
@esombommambelwa6809 Жыл бұрын
Jerry aujatumia hekima na busara hata kidogo kwa nini musiamalize officeni,, ukiona mwana siasa anawasifu sifu wanasiasa wezake ili kupiga oja ya mtu mmoja jua ajiamini
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Hiyo ndo ccm Wananataka kujenga inchi Ili tuwe namaisha mazuri. Inamaana hampangani mambo yenu?
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI NA JAMBAZI WA NYUMBA ZA WANYONGE DAR
@user-yo9gc3eu7f
@user-yo9gc3eu7f 7 ай бұрын
Hivi huwezi ...bila kumtaja...
@givensanga3524
@givensanga3524 Жыл бұрын
Kwani wew ni mbunge wa ilala au ukonga kitunda kivule msngola kibeberu magole nyantira bombambili nk zimekushinda nan atakupe ubunge tena.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 7 ай бұрын
Mkuu wa wilaya huyo mhuni tu .Rais samia amuondowe .inawezekana ni chadema kabisa
@daudinyanda2499
@daudinyanda2499 Жыл бұрын
Jerry Slaa huna displin na ethics za uongozi unaleta chuki binafsi huwezi zungmza maneno kama hayo mbele ya umati swala la usaniii limeingiaje hapo huna akili wewe kwa staili hiyo sjui hata hao unaowaongoza maana umekaaa kimajungu majungu na uchawa tu.
@beberurafiki1273
@beberurafiki1273 Жыл бұрын
Yupo sawa.
@davidmbwilo4954
@davidmbwilo4954 Жыл бұрын
Hii siasa mzee
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 7 ай бұрын
Jerry ana dharau
@fatumangalomba4749
@fatumangalomba4749 Жыл бұрын
Uwo uswahili ungekaa nakiongozi mwenzango ukaweleshana halafu unaonekana una busara hata kidogo nahao unaowaongoza sidhani kama wanakufurahia kwa stahili hiyo (huo ni uchawi wa madaraka)💯
@essenceonlinetv217
@essenceonlinetv217 7 ай бұрын
Careful,tables turn brother
@festokemibala5832
@festokemibala5832 7 ай бұрын
Slaa itaneni ofisini mjadili haya badala ya kuzodoana huku mtaani, mnatia aibu nyumba moja kutoana ngeu!!
@masseaali3564
@masseaali3564 Жыл бұрын
DC anashindwa na MTU asiesoma how to reason
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
Personal Attack kwa DC haikusaidii ubunge wako huo ni utoto
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Kwani anamuogopa nn kumfata ofisini kwake wakajadiliana kuliko kuongea kwenye media Yani siasa kitu cha ajabu
@charlesdionisesanguapo7159
@charlesdionisesanguapo7159 Жыл бұрын
Huyu jamaa hovyo sana ukwanini ana attack mtu badala ya hoja
@fadhilngaona3685
@fadhilngaona3685 Жыл бұрын
Viongozi wengi wanaokuja kisarawe wanaburuzwa na huyo mwenyekiti wa ccm wilaya kisarawe inapataga Viongozi wazuri tatizo huyo,kwanza ana roho mbaya hapendi maendeleo ya vijana na Ina muuma roho sana vijana wa UMAMMU kuwa na magari roho inamuuma sana anafikiri watu wamepata magari Kwa Ajili ya stend. Anafanya roho mbaya alafu akiwa na shughuli za chama anakuja kuomba hayo hayo magari mbona Huwa hawafuati madaladala ya kisarawe.haitoshi wanaenda Mpaka Ratra kuzuia tusipewe leseni hivi hawa wanawatakia mema wananchi wa kisarawe. Haya umemzuia mfanyabiashara wa basi asifanye shughuli ya usafirishaji raia wako anasafiri vipi?
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 Жыл бұрын
Yaani jmn ramani ya kisarawe tunaiomba maana naona Kuna mtu kavuka redline huku
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 Жыл бұрын
Yaani Jerry c kiongozi Kabsa yaani vitu Vya kiuongozi mnaitana sasa wanaokupgia kelele apo
@Tango696
@Tango696 Жыл бұрын
Kiukweli mh Nikki kakosea.lakini slaaa hukupaswa kuongea ktk LUGHA hiyo .
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Жыл бұрын
Nikki akatupwa Kibahaaa
@cmantz8837
@cmantz8837 Жыл бұрын
Mbona kama unamkashifu mheshimiwa DC sasa swala lakuongelea adi fani yake ya mziki ndiyo nini kiongozi bule sana
@abdulymsafiri6463
@abdulymsafiri6463 Жыл бұрын
Mpumpavuu unamkosea kiongoz
@paulolmabu7161
@paulolmabu7161 Жыл бұрын
Jinga sana
@musason1680
@musason1680 Жыл бұрын
Huyu leo anaongea t hajui anaongea nini yule n mteule wa raisi hakurupukiwi hivyo n kumkosea hata heshima alimweka
@peternyambo1439
@peternyambo1439 Жыл бұрын
Kisarawe kuna stand nzuri mnooo, wahamie huko, pili hata wenye root za complex to Kisarawe waongezeke ndio maana ya biashara. Kiongozi ni kuona fursa.
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 7 ай бұрын
Ghafla nick akawa rais tafuta kwa kukimbilia jerry maana una chuki na msela .
@daudwilliam2326
@daudwilliam2326 Жыл бұрын
Tatizo ni elimu et kah
@othumanomari1589
@othumanomari1589 5 ай бұрын
Nikweri kwenda school sio kuelewa
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Жыл бұрын
Umemkosea sana mkuu wa wilaya....kamati ya maadili ya CCM imuite huyu bwana slaa... Kwann usimfuate dc oficin?...slaa umezingua..umemzarau sana dc
@meshackgerald4032
@meshackgerald4032 Жыл бұрын
Sas hap pugu kuna stend jaman 😂😂 hapa elewiki kbs
@johnsonngowo1183
@johnsonngowo1183 Жыл бұрын
Kiluvia kuna sehem kisarawe pia
@deuslucas2256
@deuslucas2256 Жыл бұрын
Sasa kunahaja gani ya kuongea hazaran na har nyie wote wa chama kimoja na unapo Mponda kuhusu elimu umekosea au ndio kutaka sifa
@babupeter7049
@babupeter7049 Жыл бұрын
Wala Kwa Nick wewe huingii hata kidogo ..tatua mgogoro ACHA siasa
@ramadhanimkude5744
@ramadhanimkude5744 Жыл бұрын
Kiluvya ni kweli IPO kisalawe,na maanisha Mloganzira na viunga vyake.
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 Жыл бұрын
Busara ya kiongozi ni kuongea nae ofisini
@husseinhussen6836
@husseinhussen6836 Жыл бұрын
kama.unashindwa.kuongoza.mkamuulize.polepole.namna.ya.uongozi
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 5 МЛН
Mkasi - SO6E03 with Jerry Silaa
29:57
MkasiTV
Рет қаралды 20 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН