mh WAZIRI lijuwe na hili kuna wanyonge ambao hawana uwezo hta wakuongea na mgambo ili wapate haki zao. Kuna hawa Wenyekiti wa mitaa wanawaumiza sana kuhusiana na mashamba wanatia mihuri yao ktk shamba lililouzwa kwa mtu kuuzwa kwa mtu mwingine na ikiwa ktk mauziano ya mwanzo pia alitia muhuri yy mwenyewe haki za watu zinapotea moja kwa moja na hawafanywi kitu.
@jamalimohamed79885 жыл бұрын
Adam Makoye excise
@asteriambwei955 жыл бұрын
Safi sana lukuvi wako watu wengi kweli wamedhulumiwa haki zao embu tusaidie baba waziri lukuvi mungu akubariki sana
@victoromary45465 жыл бұрын
Ata huku kwetu rimetokea mtaani igurusi wenyeviti washenzi tena mungu yupo.
@davidisaya36253 жыл бұрын
Mungu akubarik mzee rukuvi mm nikushauri waziri wangu macha mnguza mari zake zote huyo nitaperi
@bensonnahkdgks21193 жыл бұрын
Huyo mke nae hafai achanae
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini nampenda sana huyu waziri lukuvi anastahili pongezi kubwa na zawadi,much love from kenya
@WaridawaridaWarida3 жыл бұрын
Amen
@auntdorah91413 жыл бұрын
Mzalendo
@SaidMasud-gk9bk8 ай бұрын
L😮00 @@WaridawaridaWarida
@BettyKimaro-l3q8 ай бұрын
❤
@micamathew64335 жыл бұрын
Yaana nimefurahi had utadhani jengo ni la kwangu, yaan ni kama nimerudishiwa mjengo wangu, hakika ninafuraha sana kiona huyu jamaa karudishiwa mjengo wake. Ahsante sana mh waziri Lukuvi, Mungu akubariki sana, na sisi tutakuombea. Amen.
@hamiskasara86725 жыл бұрын
Amen
@FloraMwanjala-p4q9 күн бұрын
Hongera mheshimiwa Waziri Kwa ubinadamu wako Mungu akuzidishie busara zako ktk hili maana wanyonge huwa hawana haki hata kama ni haki niyao Mungu akupe maisha marefu. Hii story inaliza sana
@happytz61905 жыл бұрын
Kati ya mawaziri wa awamu hii Lukuvi unastahili tuzo kwa kazi nzuri mungu akubariki
@athumaniismail36143 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu amini
@najma32685 жыл бұрын
Asante sana wazir wa ardhi nimefurahi sana kwakweli , mungu akuweke inshaallah
@edwinshaltielmagwano4685 жыл бұрын
Asante sana Mheshimiwa Waziri Mimi na ndugu zangu tunapata shida kwenye tatizo kama hili Mungu akubaliki sanaaa.
@tanzaniaboy96055 жыл бұрын
Safi sana wazir nimekubali m/mungu akuzidishie mh waziri na mungu awazidishie watu kama hawa kuongoza taifa amiin Tanzania 🇹🇿 oyeee respect Jembe JPM
@josephmwabange96335 жыл бұрын
Hongera Sana waziri Lukuvi,Roho wa Mungu yu juu yako,na ubarikiwe pamoja na raisi wako!
@frankrwegoshora47055 жыл бұрын
Du! Pole sana ndugu na hongera kwa kuipata haki yako. Hongera waziri Lukuvi kwa utendaji huu makini. Keep it up wapo wengi wenye udhulumaji kama huu
@mashikaabigail20073 жыл бұрын
Ubarikiwe Mh. waziri kwa utendaji ulio tukuka. Sisi huku tunatoa machozi kwa utendaji wenu wa kazi nzuri kwa awamu ya 5. Mungu awe upande wenu zaidi
@agnessmahu18883 жыл бұрын
Safi sana waziri tuko wengi tulionyanyaswa mungu akuongezee maisha tuokoe na sisi wengine
@tedymwandara54805 жыл бұрын
Yani mheshimiwa Lukuvi Mungu akubariki sana, wewe ni kati ya watendaji bora kabisa.
@geofreywegoro2355 жыл бұрын
Mungu hakuride
@salamakondo77055 жыл бұрын
natamani kulia jamani mungu stili na vizazi ve2 unamzulum m2 mali ya mikono yake laana inawausu matapeli wote mueshimiwa mungu akubaliki uwishi milele
@evelyinipaja12025 жыл бұрын
Amen@TedY Mwandara.
@jaromekabogo12385 жыл бұрын
Kwnz kaka polee sanaa na tunashukulu mheshimiwa mungu akubaliki sanaa baba👏👏👏
@valenakomba76865 жыл бұрын
Heshima Yako Mzee Lukuvii, Mungu akulinde siku zote za maisha yako. Na Magufuli aendelee ili na wewe uzidi kuwepo kwenye nafasi hiyo.
@godfreylyimo41775 жыл бұрын
Mh Waziri unamtukuza Mungu na kutupa heshima sn Watz na nchi yetu..jirani zetu wanatuheshimu kwasbb ya utendaji wako....Barikiwa sn
@jamesdelicious39573 жыл бұрын
Wooooow Mpaka machozi ya Furaha Yamenitoka Lukuvi MWENYEZ MUNGU AKUBARIK 🙏
@AsClassic38206 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha malefu waziri kujenga nikazi sana 🙏
Mh Waziri Lukuvi Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutusaidia wanyonge
@jamesmbembela57235 жыл бұрын
👍
@veronicashija1505 жыл бұрын
Hakika Tanzania imeshakuwa paradiso barikiwa sana baba Waziri wa ardhi nakufananisha na Jembeeee Baba yetu magufiri
@veronicashija1505 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu viongozi wetu
@kabaiyukyasnider67975 жыл бұрын
Yaaani siku hizi Mungu anaishi ofisi za serikali Asante sana Waziri na viongozi wote wa nchi ya Tanzania
@batildaburian82995 жыл бұрын
Hongera sana Mhe. Waziri Lukuvi. Mungu azidi kukubariki.
@rogersmziwanda38315 жыл бұрын
Lukuvi mungu akubaliki Sana huenda Huyu macha ndie aliemfanya awe kichaa achunguzwe achukuliwe hatua Kali sana
@lucypoleyakerobert10245 жыл бұрын
Lukuvi njoo morogoro
@lucypoleyakerobert10245 жыл бұрын
Njoo baba morogoro tunateseka Mh lukuvi,
@rizikibakar31865 жыл бұрын
Ni kweli alishirikiana na mkewe
@ashaally69935 жыл бұрын
Mungu ni mwema haki ya mtu haipotei!!!!dhulma haidumu na ikidumu inateketeza 🙏👌
@asmasaif59728 ай бұрын
Hongera baba waziri mungu akupe maisha marefu unachapa kazi 🙏😊
@jackrineochora93505 жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa waziri wa aridhi Lukuvi Mungu akupe Maisha marefu
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Masha ALLAH ,tanzania serikali yake yafanya kazi vizuri sana,hongera yenu
@joycenekesa41925 жыл бұрын
Hongera. Serekali.ya magufuli
@elicesikoi36255 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kuwaweka watetezi wa wanyonge. Mungu wetu huwa ashindwi. WAZIRI MUNGU AKULINDE SANA
@jescamaumbi13205 жыл бұрын
elice sikoi Amen 🙏🏻
@kevinjackson68845 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Lukuvi Mungu akupe maisha marefu
@jahabdallah18295 жыл бұрын
Duuuu mmesikia wajomba kazi wanayo hakunanga bongo kuzurumiwa wakikuzurumu bongo waache raki baharia ukiingia kwenye tinga tinga za mjomba rukuvi umekula kwako lukuvi aweeee salute my breee m south Africa jah
@wazirymohamedi77453 жыл бұрын
Safi sana wajina Lukuvi kiongozi muadilifu mungu akubariki
@juliussindani7865 жыл бұрын
Nakuombea wazirii mungu akupee neema kubwa sana na ujasirii mkubwa rakini pia nakupenda sana kwakazi nzuri karibu mbeya sana
@mwarishmodsalum5555 жыл бұрын
Safi sana Baba mungu akuzidishie kila lakheir kwa kazi nzuri unayoifanya
Kweli wapo wengi ata mm moja Kati watu tumezulimiwa ndugu wababa yangu wenye wameshatagulia mbele haki amekiuza
@hamisimohamedhamisi32413 жыл бұрын
Hongera rukuvi baba yang
@valentinamussa42125 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu waziri lukuvi, na jamaa mungu akulinde usipate tena kuchanganyikiwa, marika wa bwana akuangazie ukuepushe na magonjwa
@kelvinlwiva53805 жыл бұрын
YESU AWEZA KUMFANYA MWENYE DHAMBI KIUMBE KIPYA! Salamu ndugu msomaji! Leo Mungu ametupa neema ya uzima tena, na nimekuletea ujumbe kutoka kwa Mungu, kuwa huna haja ya kujikatia tamaa, huna haja ya kujikinai na kuona kuwa utaishi vyovyote vile na utafanya vyovyote vile, HAPANA! Bado unathamani kwa Mungu, maisha yako yaliyoharibiwa na dhambi, Yesu anao uwezo wa kuyatengeneza tena, anaweza kukufutia dhambi zako zote na kukufanya mpya kabisa, mwenye thamani kabisa, wa maana kabisa mbele za Mungu wetu aliyekuumba. Unalopaswa kufanya ili uwe mpya, ni hili, kumwambia Yesu karibu maishani mwako ili akupe nafasi ya KUTUBU na akupe MSAMAHA wa dhambi zako na hatimaye afute maisha ya machafu ya zamani na akufanye kiumbe kipya kama maneno ya Mungu yasemavyo, “Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya” 2 Wakorintho 5:17. Kinachokufanya uwe kiumbe kipya ni kule kumkaribisha Yesu akae ndani yako na wewe ndani yake, soma pia hapa “Mtu (YESU) huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli(wewe) TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI” Matendo ya mitume 5:31. Hivyo unaweza kuelewa kuwa hakuna TOBA wala MSAMAHA wa dhambi kwa mwingine isipokuwa ni kwa Yesu peke yake, UNAMHITAJI YESU KATIKA MAISHA YAKO! Mimi kama mjumbe wa Kristo, nakusihi wewe mwenye dhambi, ndiyo wewe mwenye dhambi! Upatanishwe na Kristo uwe kiumbe kipya, ya kale yote yapite, yaani uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo na hatimaye yawepo maisha mapya katika YESU KRISTO! Maana bila hivyo, kamwe hutaingia ufalme wa mbingu wa Mungu! YESU ANAOKOA HATA SASA! Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0676-407-085 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva
@joromimwanga32745 жыл бұрын
Mh wazr Lukuvi Mungu akusaidie ahsante sana.
@mwetamashambo50865 жыл бұрын
Huyu waziri lukuvi mungu wa mbinguni amlinde zidi ya wabaya wote lukuvi yuko vizuri sana mpigania haki
@emilydavidmdoe35525 жыл бұрын
Mweta Mashambo kwa kweli Lukuvi Ni mtu mwema na mtenda haki. Mungu amtunze
@edwardmlenge58025 жыл бұрын
Mungu wabariki viongozi waadilifu wa awamu ya tano
@deokamo21505 жыл бұрын
Mh lukuvi mungu akupe maisha malefu sanaaaàaaaaa na baada ya 2020 mungu atuwekee wewe jamani ; magufuli sio chaguo la mtu nichaguo la Mungu nawatanzania wazalendo asante Mungu kwa uwongozi huuuuuuuuuuu.
@halisiaisaya78325 жыл бұрын
Mungu hakubariki sana waziri.
@ramadhanihatibu66565 жыл бұрын
Salut lukuvi
@tatukhamis63493 жыл бұрын
Pole sana Lawama jamani Mungu ni mwema ametenda haki kupitia wewe.Hongera kwa kurejeshewa mjengo wako.
@mutomubaya3 жыл бұрын
Shukrani sana Bw. Waziri na shukrani kwa kiongozi, Raisi wa nchi
@maryamChumas7 ай бұрын
Jamaaa alichukua hati halafu akapìĝa rogooo la kichaaaaa mwenzieeee duuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤mambo si hayo jasho la mtu halipoteiii kirahisii hatakama itachukuaaa miaka 10 alooooo huyo ndo mwenyezi mungu kuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤mungu akulindeeee kiongoz lukuviiiì❤❤❤❤
@mwikangazibwe23585 жыл бұрын
I'm from Canada,I really appreciate the 5th Govement of Tanzania.God bless the president of Tanzania.
@anuarymkanza85205 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mh wapo watu wengi kweli wanaodhulumiwa Mali zao na kupingwa kichaaa kazi kazi uonevu hakuna tena
@MasaiJulius-u8x14 күн бұрын
Mungu akubariki sana mweshimiwa
@roswitaexavery33783 жыл бұрын
Asante Sana nakupenda Sana kwakuwafukuza mafisadi
@daudiwiston54853 жыл бұрын
Mheshimiwa, rukuvi Mungu akubariki na akuongezee uhai
@mishengoma24953 жыл бұрын
Mh Waziri Lukuvi hongera sana kwa kazi iliyotukuka. Mungu akubariki sana.
@masoudalriyamy62989 күн бұрын
Sawa sawa mungu akubariki lukuvi
@khneesajumaa20525 жыл бұрын
Asante sana wazili kwamsaada wako mungu akujalie umli mrefu
@jeninunu91775 жыл бұрын
Hongera Mungu awalinde Mheshimiwa William Lukuvi na wafuasi. Mwanga unaanza kuangaza . Unaleta Amni na upendo
@mwanamisaomar3465 жыл бұрын
Mheshimiwa Lukuvi..mungu akuzidishie hapo na pengine..duh imeniuma xana 😗🇰🇪✌
@khadijak30655 жыл бұрын
Safiiiiiiii sana wazirii jamani dhurumaa sio njema. Hakika haki haipotei itachelewaa tuu
@salumusalumuhamisi29025 жыл бұрын
Asante sana nimekupena munguakubariki na akupe umrimrefu
@peterthomas2735 жыл бұрын
Nakukubali sana mh LUKUVI.
@mjombamjomba18874 жыл бұрын
good job Mh Lukuvi n salute Prsdnt Magu pole sn Mzee wa Jengo hii ndio Dunia inamambo ila Haki haizami
@hdmtanzania26175 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mh Lukuvi abarikiwe Mh JPM mtetezi wa wanyonge
@mariamkibacha29403 жыл бұрын
Asante mh wiliam Lukuvi tusaidie sisi wanyonge
@dicksonnoel32163 жыл бұрын
Mungu akubariki mh waziri Lukuvi kwa kutetea haki za wanyonge
@amosmwanga40273 жыл бұрын
Mungu atawalipa kwa kazi nzuri na za haki munazo zifanya kwakwel....
@aryanaangel94535 жыл бұрын
asante muheshimiwa nimekupenda bure mungu akubariki sana
@godfreylyimo41775 жыл бұрын
Waziri wangu Mungu akubariki sn. Hakika Mungu akufikishe nafasi ya juu kbs kimaamlaka
@modestmzumbwe5885 жыл бұрын
mheshimiwa lukuvi watanzania tunakuombea kwa kazi nzuri unayofanya kwajili ya watanzania, huku Mbozi nilishuhudia wanakijiji wa Kijiji kimoja wanazulumiwa Ardhi na Wana koo frani
@namirihamisi38995 жыл бұрын
Safii sanaaaaaa mungunakutangulie baba.
@hamzalusinde30683 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu na utusaidie sana tena sana
@neemakaluwa18413 жыл бұрын
Mungu yupo jmn! Haki ya mtu haipotei bure! Ubarikiwe sana mzee Lukuvi
@mariambeautysonghuseni95493 жыл бұрын
your the best man since l first so you in dodoma good job Good bless you so much
@taifocuscompany92465 жыл бұрын
Halafu hayo matapeli yawe yanaanikwa kwenye vyombo vya habari ili yajulikane.
@aminafesali58175 жыл бұрын
Rabda kama itawezekana huyo macha namjuwa miye nikija africa huwa ana nichengiya pesa katka bank zake za change maney anapesa alisema qabila yake mchaga sdhani kama ataeza kuekwa hadharan ila kanitoa amana kabsa nlikuwa namuheshimu sana yule mzehe alikuwa anipeleka hadi Arusha kuona mazingira vp kadhulum mwinzake alikua wafanya wote tijara ya kuchange pesa duh fedheha sana
@deogratiasbernard87453 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa Lukuvi
@emmymsuya49555 жыл бұрын
Mungu akubariki mh. Waziri kazi nzuri sana .
@mbotwambotwa21863 жыл бұрын
Barikiwa sana mheshimewa Lukuvi
@rukiyahussan41905 жыл бұрын
Mungu akubariki sana muweshimiwa kwa kutusaidia sisi wanyonge🙏🙏
@azizahassan88785 жыл бұрын
Yerewiiii huyu Macha sio yule aliemzurum na yule bibi ?????
@rukiyahussan41905 жыл бұрын
@Mariam Shandalu tena bia yenyewe safariii
@switbertdeus77415 жыл бұрын
Mungu katuona tuliteseka sana
@evachriss59065 жыл бұрын
Poleni
@babamama94355 жыл бұрын
Mungu akubariki jamani nimefurahi sanaaa
@leylahley35425 жыл бұрын
Kazi nzuri mw/shimiwa waziri mungu akubariki kwa kutenda haki..
@kivambaagnes32705 жыл бұрын
Viva lukuvi ongela sana wewe nikiongozi mwadilifu sana na mtenda aki wewe pamoja na rais wetu mpendwa jony pombe magufuli Allah awasimamie Inshaallah
@bestfactsever90393 жыл бұрын
✨
@yasiniiddy81633 жыл бұрын
Mweshimwa namba yako
@ainonlinetv88635 жыл бұрын
Mheshimiwa mungu akubaliki uish miaka km yoteeee
@lubavaclassic70485 жыл бұрын
Kuna wakatii natafutaga pesa kwa nguvuuuu...lakini nikipata muda wakupuumzika nikionaga marumbano au vita za wanyang'anyi wanavyo nyemeleaga Mali za watu..uwaga naisi baada yakupata Mali nyingii nitakaribisha matatizo tuu...Kulogwa kuumwa mazima,,kuuwawa kwa uvamizi,,Au kuuwawa kwa magonjo ya moyo kwakupoteza pesa nyingi,muda na matumaini yakurudishiwa Haki zako...Mungu nisaidie nipate kioato chakunifanya napata furaha ya maisha yangu Amen
@anithakazaula95965 жыл бұрын
mawaziri kama wewe tunazidi kuwaombea
@anithakazaula95965 жыл бұрын
mawaziri kama wewe tunazidi kuwaombea
@veronicamahenge25125 жыл бұрын
Hongera waziri hakika mungu yupo anaishi
@nickmbecknkinda34865 жыл бұрын
Baba hapo nimewakubali Mungu awasimamie asante tunakuombea wazili
@jamalmvulla56043 жыл бұрын
Mh lukuvi kwa wema wako mungu atakulipa chapa kazi baba
@bonifacekalima46845 жыл бұрын
Hongera mheshiwa waziri mungu asimamie afya yako
@petermahimbo94505 жыл бұрын
The Upcoming president of the united republic of Tz welldone.
@filbertnashon71605 жыл бұрын
😀😀😀😀😀isee your just dreaming,
@123228793 жыл бұрын
Umri ushamtupa
@malaakyakub38535 жыл бұрын
Kkk kuweli watanzania walipata sirikali mzurii ? Salamu kutoka somalia & wandugu tanzania tunapenda saana nyiinyii ?
@sakinamubaraka12465 жыл бұрын
Asantee😁😁
@mgorakatembo5775 жыл бұрын
@@sakinamubaraka1246 mungu. Akubaliki
@rehemaaliidi3935 жыл бұрын
na sisi tunakupenda pia
@deonicemollel42055 жыл бұрын
Kah'le kah'le tzd huko noma duh
@umikram67555 жыл бұрын
Hasante ndg aisee unifunze kisomali nakipenda mno
@emilydavidmdoe35525 жыл бұрын
duuu mbarikiwe mno Waziri unafanya mambo makubwa sana.Barikiwa sana
@jossekellapopp94045 жыл бұрын
Mungu bariki serekali ya 5
@davidsamwel118 ай бұрын
Be blessed you all ❤
@merymrema4205 жыл бұрын
Waziri hongera sana MUNGU akubariki
@sharmelasaif473 жыл бұрын
Mungu akumpe umri mrefu inshaallah
@bukanunzungu21975 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mzee kutetea wanyonge
@petermartin71815 жыл бұрын
Asante waziri, nchi bila ya haki ni nchi isiyo na amani. Watu wengi walidhumiwa wengine hawana hata sauti za kuzungumza wamedhulumiwa. Serikali hii ya tano Mungu aibariki.
@bernadlydia2965 жыл бұрын
Mungu akulinde waziri wetu, nakupenda sana utendaji wako wa haki.
@derickkalinga76325 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu viongoz wetu
@linnamlay36435 жыл бұрын
Duu mhe.Magu asikuhamishe jamani hii wizara umeitendea hali.Hongera sana mhe.
@roinajohnson97885 жыл бұрын
Mheshimiwa lukuvi mungu akubarik na akuzidishie umri mrefu ili uwasaidia wenye shida dhuruma izo zipo babu fungi alikufa Mumbai yke ilizurumiwa kwa hivo mambo y kukopa
@roinajohnson97885 жыл бұрын
Mungu akubarik sn baba
@leilabuisha65785 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde wewe na mh magufuli, mzidi kuwasaidia wanyonge
@jamesburton38845 жыл бұрын
INASIKITISHA SANA ONGERA SANA WAZIRI MUNGU AKUBARI SANA
@MasaiJulius-u8x14 күн бұрын
waziri mkuu mungu akubariki sana
@japharielisha13144 жыл бұрын
mungu awabaliki xana Viongozi Awam ya5
@Babaharvey36248 ай бұрын
❤❤❤lukuvi pongezi kwako linda
@GeorgeMchami-y4l8 ай бұрын
Hongela sana kiongoz umesomeka tunakupata tukiwa njombe
@godfreysanga24055 жыл бұрын
Baba rukuvi Mungu akulinde daima hata milele uongozwe na roho wa bwana haki huinua taifa kwa hali hii nipo mbioni kuja kununua kiwanja dar mda tu na kufuata utaratibu wote wa kumiliki ardhi
@ashamwandu37815 жыл бұрын
jasho la mtu haliendi bule haki ya mama.waziri hongera sana.mie ninakukubali rukuvi.