Lulu Diva amburuza Lava Lava Mahakamani, adai fidia ya shilingi Milioni 200

  Рет қаралды 18,642

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

19 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 75
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 17 күн бұрын
Lulu jamani hata wewe hujapokea hiyo pesa tangu uzaliwe hadi sasa
@chancelebishopofficial2785
@chancelebishopofficial2785 17 күн бұрын
Kwani mahakama ya Tz aina kesi zakusikiliza au ndo ivo tena 😂😂😂😂😂😂😂😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 17 күн бұрын
Zinaishi kimbeambea
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 17 күн бұрын
Toka aanze kuimba huo muziki hajawah kupata hiyo m200 bomboklaat why hajamfungulia mashtaka yule aliyekuwa akimrekodi wakat amamla tako muuza uchi huyu
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 17 күн бұрын
😂😂😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 17 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 17 күн бұрын
😅😅😅
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 17 күн бұрын
mahakama na UMBEA ni vitu viwili tofauti we zingua watu mitandaoni wakushughulikie, si unaona mwijaku anavyopata stress
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 17 күн бұрын
😅😅😅😅 hakili hana umalaya tu wcb wamemupitia wote mi sioni kibaya lavalava kesema😅😅😅
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 17 күн бұрын
😂😂😂😂 yule alie vujisha mbona umemuacha bira kumfanya chochote
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 17 күн бұрын
Inawezekana Sio maarufu au hana pesa😂😂😂😂
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 17 күн бұрын
Mwaka huu fidia ndo mpango mzima😂😂 sns mjiandae nitawadai fidia nikitoa pongezi humu hamjibu 😅😅😅 fidia ya bando langu inawahusu #SnSlazFamily✌️
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 17 күн бұрын
😂😂😂❤
@athumanmbelako4317
@athumanmbelako4317 17 күн бұрын
Lava lava atashinda asbh mapema
@neemanziku5403
@neemanziku5403 17 күн бұрын
Lulu usimhukum mtu tupo duniani kumbuka pia huyo Ni ex wako
@MdTeofelus
@MdTeofelus 17 күн бұрын
Oyo chizi lulu diva
@NingeMuhozya
@NingeMuhozya 17 күн бұрын
Wanaoamini nikiki kwa ajili ya nyimbo mpya kama mm gonga like hapa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 17 күн бұрын
Duh ,kwahyo anataka kutokomeza umaskini Kwa njia hiyo ,,,,na hii ni kweli walidetiii na tunajua ,,sasa anataka KUtafuta backup ,arudi kwenye game??????
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 17 күн бұрын
Ulikuwa refa nn kwenye mechi Yao??
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 17 күн бұрын
@@mtzhalisi2232 duh
@franccoz94
@franccoz94 17 күн бұрын
Huyoo diva ameishiwa PESAA, NA HAJUI KAMA N MUUZA UCHI
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 17 күн бұрын
Ana hishima ange tobwa navijana wadongo akwende huko na njaa yake
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 17 күн бұрын
Please Lulu hebu msameehe naomba tusifanye hayo
@maryamm7765
@maryamm7765 17 күн бұрын
Kazi IPO
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 17 күн бұрын
Hizo pesa utapewa ila utazijutia😅
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 16 күн бұрын
Yaani ukiwa mwanaume heshimu sana wanawake usiwachukulie poa kwa nchi za ulaya mwanamke ana sauti sana akikupeleka mahakamani umeisha
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 17 күн бұрын
Yani unamshtaki mtu kwa kosa gani wakati kauli ilisemwa miezi kama minne ilipita 🤣sema una njaa deffermation ina apply only if kuna hasara mlalamikaji amepata hasara kuoitia naneno yaliyozungumzwa
@benancejohn1198
@benancejohn1198 17 күн бұрын
Hiyo taarifa na ile video iliyovujishwa na Mange,ni kipi kinachafua jina lake 🙄🤔
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 17 күн бұрын
Huyu bint hana utu tangu mama ake afariki anajiona hakuna mwingine zaidi yake
@rashiikaje3465
@rashiikaje3465 17 күн бұрын
Mama yake amefata nn apo eti
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 17 күн бұрын
@@rashiikaje3465 kama hujaelewa kakojoe ulale
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 17 күн бұрын
lava lava ataelewa hiyo lugha kweli!??
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 17 күн бұрын
Kule fidia bl.5 Huku ml.200😅😅 e ndio ndio
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 17 күн бұрын
Watu wengine watajifunza tabia za kuwaongelea wenzao vibaya
@Finalist29
@Finalist29 13 күн бұрын
anataka kutrend huyo,,,n njaa tu
@silverman6930
@silverman6930 17 күн бұрын
Njaaaa mbaya
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 17 күн бұрын
Lulu acha kujiaibisha😂😂
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 17 күн бұрын
Lulu acha za ovyo
@surusuru1994
@surusuru1994 17 күн бұрын
Good lulu❤
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 17 күн бұрын
Heshima ipi babu kakosa kujiheshimu mwenyewe kwani uongo lavalava hajamkuta bikra atiii alikuta kote kuko wazii 😂
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 13 күн бұрын
Ndio huyu demu wa million 500 alieolewa na mganga kwa bure
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 17 күн бұрын
Wote ni kkkk😂😂😂
@DM_15
@DM_15 17 күн бұрын
Safi mtu hawezi kuku ongeleahovyohovyotuu kamamwijaku na kipanyabwana ngoma isambe leo mwijaku kaposti halimbaya anasubiri huruma ya Mungu 😂😂 tunhitaji kuheshimiana kwakweli
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 17 күн бұрын
Mashabiki wakure wavyo tetea sasa agekuwa harmo ugesikia afugwe mara utasiki mabangi
@abassimussa7473
@abassimussa7473 17 күн бұрын
Jina gani linaribika ama heshima gani wakati video zake tuko nazo hata sai😂
@user-cp1js7ku9r
@user-cp1js7ku9r 17 күн бұрын
Me nataka kujua hako kawimbo kanako kuja mwisho wa hzi hbr kanaitwaje
@RandB_Channel
@RandB_Channel 17 күн бұрын
Heshima gani nyinyi mnazo?? Acha uwongo sa alikuwa mupenzi wako lala ? Hata kama mulikuwa mnakatala mmm fidiya pole
@user-lk9rh5xp4u
@user-lk9rh5xp4u 17 күн бұрын
Huu mwaka fidia zitakoma
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 16 күн бұрын
Yaani dizzim na wachafu kazi yao maswaliii yao kudhalilisha watu walio nje ya WCb sasa lavalava milioni 200 nani atamsaidia kulipa
@Mumewangu
@Mumewangu 17 күн бұрын
Huu mwaka fidia IPO mbele. Bora nikae kimyaa itabidi nisisalimie MTU. Manake waweza msalimia kesho atasema umemtukana na mipesa duh.
@gracelema2374
@gracelema2374 17 күн бұрын
Ngoja tuone
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 17 күн бұрын
Kwaiyo ukiwa na Kes ya madai kumbe mnaweza kuongea mahakamani asaiv jinsi yakukubaliana kulipwa kabla shauri halijakuwa kesi yakusikilizwa rasmi?? Ooh ok safi
@gracewairimu800
@gracewairimu800 14 күн бұрын
Wapare buana 😂😂😂
@Samueldavics
@Samueldavics 17 күн бұрын
yabibibiiiiii😂
@salumobed5980
@salumobed5980 17 күн бұрын
Hamn kesi hapo
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 17 күн бұрын
Anaelipwa fidia ,hivi anakazi Gani mjini ,,,,,,reply hapo wajuba😁😁😁
@kdloon2030
@kdloon2030 17 күн бұрын
Muuza uchi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 17 күн бұрын
@@kdloon2030 😁😁😁😁
@geoufo2858
@geoufo2858 17 күн бұрын
Sasa why ela jmn iyo ela yemwenyewe ajawah ishika 😅😅😂 cash
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 17 күн бұрын
Wasanii wabongo muache story za kijinga mnajua kutaja tuuu PESA kwenye account zenu za bank aaaah 😏
@EspiSimai
@EspiSimai 17 күн бұрын
Pesa hiyo lava lava azitowe wap asaiv nyota yake yenyew ishanza kufa taratibu
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 16 күн бұрын
Wasafi hakuna masikini
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 17 күн бұрын
😅😅😅😅eti nini hakili hana malaya huo sasa nani asiejua kama alitoka na mavoko na lavalava na hivi yupo na d voice acha dusubili mbele kenge ww nyie njo munajizalilicha badae munakuja kusema nini😅😅😅😅 ona wema 😅😅😅😅
@salumobed5980
@salumobed5980 17 күн бұрын
Hakuna lolote.... Hapo
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 17 күн бұрын
Hatujayaweka sawa ya mwijaku mengine haya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@malengafataki1228
@malengafataki1228 17 күн бұрын
🙆‍♂️🙆‍♂️🗣️😂😂😂😂🤷
@ankalmzito254
@ankalmzito254 17 күн бұрын
Tunazingatia Maokoto 😂😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 17 күн бұрын
😂😂😂
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 17 күн бұрын
😂😂😂😂😅🤣 🤣 🤣
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 17 күн бұрын
My 🇹🇿 🤷🏽👎🏽
@happynesssamwel4249
@happynesssamwel4249 17 күн бұрын
Saingine watu wawe na heshima kudate na mtu isiwe sababu yakumtamkia maneno machafu mm nipo upande wa Lulu
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 17 күн бұрын
Kufulia kubaya sana,nyie wasanii mkisema mburuzane mahakamanj mtaishi kiuadui sana kwa sababu kiki zenu kikawaida lazima ziende hivo,, kwani lulu diva upo wewe 2 kama alimuongelea lulu diva wa buza
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 17 күн бұрын
Ukona na akili nyingine au ni hii tu😅 nyie ndio mmnafanyA in hi iwe y mazuzu
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 17 күн бұрын
Wewe sky news zengine Achana nazo
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 21 М.
Фишки FORD F-150. Часть 2
0:54
Fresh Маркетплейс
Рет қаралды 902 М.
ride like a god... #bike #bikelover #biker #rider #motorcycle #india
0:10
ФЭТБАЙК vs MTB Что лучше ? #shorts
0:21
Леха МАК
Рет қаралды 888 М.