Wakazi, Mashabiki wawakosoa watangazaji wa Transformer ya EFM waliodai Jason Derulo hana maajabu

  Рет қаралды 41,187

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 286
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o Ай бұрын
Brother Sky mimi nakukubali sana ,Wewe nimkweli ,nawapenda sana SNS ❤❤ Simba ni big Aest Africa
@user-gu3ez2if8k
@user-gu3ez2if8k Ай бұрын
Ht Serena Gomez hana maajabu marekani lkn Rema kamshikirisha kwenye Calm down na ndo nyimbo iliyohit kuliko original song
@sidosaidi3938
@sidosaidi3938 Ай бұрын
Acheni majungu ...let's praise our east African artists
@bettybetty8717
@bettybetty8717 Ай бұрын
Salute sns for correcting those fools
@lybiajohn4122
@lybiajohn4122 Ай бұрын
N gharama kubwa zaid pia kumshrksha msanii wa marekan ambaye yuko on top now . Cost management hyo imagine unamwambia Chris Brown unamshrksha cost yake n kubwa mno. Ila Diamond kaweza mno na n mwanzo mzur kwenda kwa wakina Chrisbrown sasa na wengneo weng sasa mnaosema wenye maajabu zaid. Taking all things postive
@alibinali_
@alibinali_ Ай бұрын
Diamond Platinum angefanya hiyo remix na Chris Brown bado tu mugeongea mbaya
@emanueldrancula
@emanueldrancula Ай бұрын
Sio wangeongea Chris brown ile challenge tu walisema sio kitu Cha ajabu Chris brown ashaisha saiz
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
​@@emanueldranculana kabla afanye walisema ungekuwa wimbo mkubwa ungefanyiwa challenge hata na kina CHRIS BROWN 😂alipofanya tena wakabadili maneno
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 Ай бұрын
😅uchawi upo​@@rosemahenge9071
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 Ай бұрын
Kwanza no body listens to radio anymore. Now media ni youtube na nyie wakina sns na millard ayo mliotangulia bdae mtakuja kua then next big thing keep it up
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Ай бұрын
Wao wenyewe ni watangazaji waliokosa mvuto na hawana maajab tena
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Ай бұрын
Kwa leo nimekubaliana na Wakazi Leo ameongea fact
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Ай бұрын
Wale watangazaji wa kile kipindi wote ni walevi na wavuta bange tena huyo jonhn ndo kabisa ndo maaan hata wasafi walimtimua pale
@StevenMathiasSallu
@StevenMathiasSallu Ай бұрын
Umepigaje hapo
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Ай бұрын
Bangi haihusiki hapo..watu wanaovuta bange wana upeo mkubwa sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
EFM lazima iende mjini kupitia Simba la Masimba Dangote
@billskeez92
@billskeez92 Ай бұрын
EFM inatembea na upepo wa Damiond 😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 Ай бұрын
Asante sana Sky kwa elimu nzuri. Sasa Jonijo na wenzie wachukue madini hayo yawasaidie hasa kuongea bila kufanya utafiti kwanza
@billskeez92
@billskeez92 Ай бұрын
Hao kina Jonijo wameshapotea wanatafuta kiki yakurudi mjini.....😂
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah Ай бұрын
Ila bongo bhana kipi jema? Nakumbuka mtu ambaye alikuwa ana hiyo ndoto ya kufikisha game yetu mbele alikuwa AY ila sasa DIAMOND kashika hicho kijiti kweli wana haki ya kusema hivyo ila kwa nini tunakuwa tuna angalia upande wa kuvunja moyo tuu na unajua mashabiki wa bongo kitu kikisemwa kwenye Media kubwa kama hiyo basi wanakichukua kama ilivyo yaaan tubadulike bana anajitahidi tumpe heshima yake nasi kumkatisha tamaa hivyo yaaan
@eng.maxmillianghachocha8023
@eng.maxmillianghachocha8023 Ай бұрын
We bro nakupenda saana.And I appreciate very much what you're doing.Yaan ww unastahil kufanikiwa kabsaaa ht Mungu anajua.Hakuna mtangazaji mwenye sauti nzuri inayofit in formal or street like yours. But also the intelligence and humbleness withnin.
@Black-sound24
@Black-sound24 Ай бұрын
Marioo alifanya yimbo na mr nice kwan saiz mr nice ana nn BONGO jau sanaa 😂😂
@AkotesefeSafari
@AkotesefeSafari Ай бұрын
Natoka drc kongo pa Kinshasa ila watanzania ni tu nabii haana eshima kwao, akifa diamond platnumz basi mutalia jinsi mziki wenu utashuka sana kama filamu zenu
@IldefoseLaymalo
@IldefoseLaymalo Ай бұрын
Umeongea la maan xaan
@zombazezu
@zombazezu Ай бұрын
Kweli kabisa
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ Ай бұрын
😅😅😅😅😅 nimependa sana unavyosoma comment.... Nice 1
@omarimpogo6895
@omarimpogo6895 Ай бұрын
Watu wanaonyesha chuki za wazi… ni Ushamba
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 Ай бұрын
Roho mbaya TU !!! Nyie hata kukoroma hamuwezi
@STAREHE255
@STAREHE255 Ай бұрын
Kaka Skywalker umechimbaaaaaaaa nakupa 💯
@OlgaChirezi-qt1pg
@OlgaChirezi-qt1pg Ай бұрын
Watanzania mda mwengine mna boa sn ivi bila diamond ku fanya iyo ft mgetoa huo uchambuzi wenu shidweni na pepo ya umaskini tupo USA 🇺🇸 na twaicheza comasava
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 Ай бұрын
Kwani jonijooh bado anatangaza? Mm namjua kupitia wasafi tv. Sns achen kuwapa clout wajinga kama hao. SNS is far bigger than jonijoh .Fredwaah caome on bro you are legend unajua? Vp bwana
@official_6ixer_
@official_6ixer_ Ай бұрын
Tafuteni Shughuli nyinyi sikubwata tuh😂😂😂😂💔
@pascalvitalis
@pascalvitalis Ай бұрын
Aho watangazaji vichaa... Me sio shabik wa diamond ila Jamaa anatisha😊
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Kaka SKY ww ndio unafaa uwe unasoma hata zile habari za kimataifa kuliko yule mwenye msauti mzito huwa hasikiki hata 😢
@cosbytz2370
@cosbytz2370 Ай бұрын
Hawa jamaa wapuuzi sana tena wivu unawasumbua sana naona hawapendi mafanikio ya wasanii wenzake ila hata hawamkomoi Simba la masimba 😂
@abel_esam
@abel_esam Ай бұрын
Roha mbaya tu, watangazaji walitakiwa kupongeza ndio wanaponda, bongo bana Wimbo mzuri, Jason ni msanii mkubwa
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 Ай бұрын
TV E Ina upuuzi
@HanchoJunior
@HanchoJunior Ай бұрын
Wamuite na wao
@Zillionking627
@Zillionking627 Ай бұрын
Daaaa kumbe watu wana chuki hivi??!!!!!!😢😢
@nadinekinyata1072
@nadinekinyata1072 Ай бұрын
True 🔥
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m Ай бұрын
Diamond atawanyoosha mamaezenu.
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 Ай бұрын
Diamond for life in Congo uvira ❤❤😢🎉🎉
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Ай бұрын
Watangazaji vilaza wengi wanatokea EFM
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 Ай бұрын
Derulo msanii mkubwa achen ujinga
@philipotieno9996
@philipotieno9996 Ай бұрын
Wanaujiinga sanaaa❤❤.
@Paplick9
@Paplick9 Ай бұрын
Yoote haya kwasababu jonijoo alifukuzwa kazi wasafi 😂😂😂😂😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 Ай бұрын
Jonijo chuki haiishi kama demu
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 Ай бұрын
Wakwanza leo naombeni likes zangu 👍
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 Ай бұрын
Safi sana wakazi
@islamisco8118
@islamisco8118 Ай бұрын
Asante
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 Ай бұрын
Ifike mahali diamond aende zake States, coz wa bongo 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ chuki za kijinga
@user-zl7qj3sk4o
@user-zl7qj3sk4o Ай бұрын
Majizo unaangalia vigezo gani kumuajiri mtangazaji mbona unaajiri watu walio chini ya uwezo hawana upeo ndiomaana median zingine zinakuwacha mbali sana
@iam_sami
@iam_sami Ай бұрын
Arf nd mnataka gemu liendelee watangazi wenyew wanawivu na wasanii 😂😂😂 kula chuma iko
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 Ай бұрын
Hapo wakazi umeonea watu wengine bwana hao wanamawazo.mafupi. Una wanweza ukafanya na.mtu mkubwa mwenye hot soup na nymbo ikawa.mbaya. think twice before you talk. Hao watangazaji kwa kifupi viziwi na vipofu hawajiu kitu. Diamond ana akili sana. Hafatagi mawazo ya.mtu anafata mawazo yake ni yeye km yeye sio.photo.copy. na bado mnazidishia atapaa.sana.tu
@mafianboyTV
@mafianboyTV Ай бұрын
Hawa watangazaji wa hiki kipindi ni watu wa kuponda tu juzi ilikuwa Jay melody sio watu wa ku appreciate
@issabaraka2404
@issabaraka2404 Ай бұрын
EFM wanacheza na moto diamond Platnumz ndokila kitu Tanzania hii sisi mashabiki wake tukisema basi hiyo radio wataifunga, kwa nini wanaoleta zarau au tuseme wanajua nini kuhusu mziki zaidi ya Diamondplatnumz wasifikiri labda amekurupuka hapana bali anajua kama Derulo nimkubwa pia atamfikisha sehemu shenzi zao wote na EFM yao😢😢😢😢😢😢
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 Ай бұрын
😂😂mie wasafi tu ndo redio yangu cna muda na redio zingine 😂
@user-fe7xz6ks7t
@user-fe7xz6ks7t Ай бұрын
Wapo sahihi kabisa.. #Les Twins kuwepo kwenye video kuna more impact kuliko #JasonDerulo
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l Ай бұрын
😅😅😅😅😅simba katulia tu yani nawazi kasema😂😂😂😂
@SumaMixy
@SumaMixy Ай бұрын
❤Nakubali sana
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 Ай бұрын
Wakazi Leo nimemuela
@moudrickmouh3569
@moudrickmouh3569 Ай бұрын
Wa kusini aliimba na shirmuda mlimuandalia tamasha ila bongo🙌😂💔
@petermvellah4120
@petermvellah4120 Ай бұрын
Ujuaji mwingi😅
@Muba3304
@Muba3304 Ай бұрын
Mwisho wanazirika na comment za wasomi😂😂
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Ай бұрын
#wiggle 903M #swala 1.7B #savage love.190M Acheni bangi Jason derulo impact yake ni kubwa
@draxelr-vc9wr
@draxelr-vc9wr Ай бұрын
Ni kwer ngoma ya derulo ya mwisho ilo it yan it song ni ngoma inaita Love not war ilitoka 2022 mbaka saiv akuna ngoma yyote alotoa imasumbua kama komasava ni wazi kwamba tumemsaidia 😅
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 Ай бұрын
Hata baada ya kusikiliza hii video yote bado una mawazo hayo.... Huna akili masta
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Hawa ni walevi na hapo pengine walikuwa wamelewa😂😂
@JohnKulinga
@JohnKulinga Ай бұрын
KWELIIIII KABISA
@innocentemiliani3494
@innocentemiliani3494 Ай бұрын
Hao watangazaji watoa maoni yao kwa kinyongo , ila ngonja tusubiri mda uende ndio tutajua kuwa ana impact au hana impact, yaani video ina SK moja tu mmeanza kujaji mmmmmmm bongo bwana hatunaga jambo hahahaha!
@muharamimwalie9753
@muharamimwalie9753 Ай бұрын
wapo sahihi
@Gody360
@Gody360 Ай бұрын
Wanaropoka tu Jeson anapiga hela ndefu sana apo tiktok tu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Kujua kuwa kwingi
@hassanyunus4634
@hassanyunus4634 Ай бұрын
Hio ni kweli
@AgatonyMayala
@AgatonyMayala Ай бұрын
itoshe kusema tu kuwa Hawa watangazaji na viraza👐👐
@kennedysimon6707
@kennedysimon6707 Ай бұрын
Wapumbavu hao
@GagaRino-iv7pr
@GagaRino-iv7pr Ай бұрын
Ndo maana kumbe Kenya na Uganda wanasema Diamond ni msanii wao,, leo sas nimeelewa aiseee😅😅😅
@sayyedsaeed8089
@sayyedsaeed8089 Ай бұрын
Kwani wapo radio gan ao?ifungiwe au walikua wamelewa?😂😂😂
@BenjaminNickson
@BenjaminNickson Ай бұрын
Ona huyu mshamba anazungumzia wigo hajui ngoma kama swalla haujui ngoma kama Good bye
@user-bs4df9gn2b
@user-bs4df9gn2b Ай бұрын
Kwanza kafanya kazi na la twice intertotion dance
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 Ай бұрын
Yaani watu ni washamba mnooooooooooo
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 Ай бұрын
Duniani hata ufanye nini huwezi ukakubaliwa na wote kwa wakati umoja.... wanadamu noma sn..
@AdolpheBahininwa
@AdolpheBahininwa Ай бұрын
Hiii radio ifungwe hiii
@TariqAziz-sc1lb
@TariqAziz-sc1lb Ай бұрын
Inabidi wawe wanawek watu ambao wanajua update za mzikiii , derulo after wiggle wiggle ametoa trumpets, try me which were top songs , savage love, like foreal lets just appreciate
@user-hr5ux9sb6k
@user-hr5ux9sb6k Ай бұрын
Jonijo a cha Ku force kuja mjin
@waidiyoyadagospelsmusicofficia
@waidiyoyadagospelsmusicofficia Ай бұрын
Jamani WA tanzania mnamatatizo gani? Mimi na ishi America 🇺🇸 tena Texas sijuwi tanzania hasa watangazaji muna shida gani? Kama unataka kujuwa mengi munitafute ni wape full story.
@SandreAlhlwah-bv1cx
@SandreAlhlwah-bv1cx Ай бұрын
❤❤❤❤
@user-tw3ur5iu3s
@user-tw3ur5iu3s Ай бұрын
Washirika wa harmonize
@allymtunge5530
@allymtunge5530 Ай бұрын
Mimi sio shabiki wcb lkn wamezingua yani mondi ata angefanya kazi snoop
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Ай бұрын
Ulivyo ianza story na ulivyo i wind up binafsi nasema inatosha. Zile brahbrah huenda watapunguza.
@JackChildishKE
@JackChildishKE Ай бұрын
Itawauma Sana na ndio simba ameanza more still to come, already Montana and DJ Khaled imewafikia
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Ай бұрын
Hao Forbes mm hua siwaamini kwa sabab kuna vtu hua haviendani na uhalisia kabisa kuhusu net worth za wasaniii
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 Ай бұрын
Duuuh wa Tz
@Kaleztoz
@Kaleztoz Ай бұрын
Let’s be honest komasava it’s number one song in Africa bt me my opinion on this track dimond yani kwa sasa hvyo ku do the rimx kwa jd was actually quick decision because of I believe if diamond should wait kidogoa maybe even cris should pop out from no where and we all know on this time the most artist in here us one of the biggest artists cris and right now those artists are most popular ni yeye lil baby na lil dark
@user-re4ve4nf3p
@user-re4ve4nf3p Ай бұрын
Hta ww waeza imba n hao uliowataja uslaximishe diamond afanye venye unataka coz psa si yko mbwa ww
@user-bs4df9gn2b
@user-bs4df9gn2b Ай бұрын
Yani hii ni aibu kubwa kweli kwenye comonet natamani waifute
@peteryohanne1268
@peteryohanne1268 Ай бұрын
Young killer aliwahi kusema, "bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi, ila sisi kazi kazi, wengine tumetoka kwenye msoto, kuoga mpaka tushikiwe viboko..." 😅😅😅
@markkayuni9775
@markkayuni9775 Ай бұрын
Nimependa iyo jezi ya liverpool aliyo vaa jonijo
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Jaman kila mtu anamtazamo wake ..ila janson yuko juu ila sio kama zaman
@user-re4ve4nf3p
@user-re4ve4nf3p Ай бұрын
Kma hyuko juu n n w raisi nenda umshike tako
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Pombe mbaya sana redio yenye walevi watupu
@bakarially253
@bakarially253 Ай бұрын
Hawajaa washenzi sana hana maajabu woa wanamaajabu gani
@adronicokalumna
@adronicokalumna Ай бұрын
Hawa jamaa sauti na sura zao haviendani kabixxaa 😮
@kiswantatv3817
@kiswantatv3817 Ай бұрын
Watu wapo na personal sana...kuliko ukweli
@ZawadiRobati
@ZawadiRobati Ай бұрын
Awo.Wanafik TU
@firdaousselalini
@firdaousselalini Ай бұрын
Jaman leo jumapili vip GPS sky 😢
@jeofreymsomba7200
@jeofreymsomba7200 Ай бұрын
Ulevi n mzigooo mkubwaa
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Ай бұрын
Jonijoo skutegemeag km anawez ishiwa mpka akawa anaongea huu upuuzi
@kabambulasimon
@kabambulasimon Ай бұрын
HATA WAKATI ANAANZA KUWASHIRIKISHA WASANII WA CONGO DR MLIMCHEKA SANA OK KUANZIA INAMA NA FALLY, yope na INNO’S B NA WAAAH NA KOFFI OLOMIDE ANGALIENI NUMBERS ON KZbin KILA MTU ANASHIRIKISHA YULE ALIYEELEWANa naye kwa mda fulani, kwani kuzozana kupo katika maisha.
@boitumeloboitumelo8038
@boitumeloboitumelo8038 Ай бұрын
Nikweli sana ata wale wengingine omarioo na neyo
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 Ай бұрын
Nikweli😂😂😂
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Ай бұрын
Wivu
@Markhomestz
@Markhomestz Ай бұрын
Angalieni Itune album inayo ongoza kwa America
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d Ай бұрын
DIAMOND PLATNUMZ aliwahi kusema kuwa anachofanya yeye kwenye muziki hakuna mtu anaeweza kukiona impact yake baadae, DIAMOND kwenye muzik anajua zaidi ya hao mandondocha wa redio mbovu.. PIGENI KIMYAA
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
Diamond Alivyozindua Tamasha La Wasafi Festival 2024
1:39
Mtoa Taarifa
Рет қаралды 172
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42