JUMA LOKOLE: CROWN hawatuwezi WASAFI, sisi wakubwa, Bila DIAMOND Zuchu ni adui mkubwa, ZARI kapotea

  Рет қаралды 18,772

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 82
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
Kusema kweli SNS inakua Kwa haraka na Kwa ukubwa sana. Huku Kenya sidhani kama Kuna online media yenye ukubwa huu. Nimependa sana studio mpya. Ni noma sana🎉🎉🎉🎉
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 3 ай бұрын
Asante sana Michael, Kenya ni second home bila shaka, tunafurahia sana upendo wenu
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 ай бұрын
Wakenya wanatupenda sana watanzania na wanapenda kusuport Sanaa ya Tanzania tunashukuru sana tunawapenda ndugu zetu❤❤
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 3 ай бұрын
​@@johnsilima1629kwa East Africa Tz na kenya mtandaoni tunapondanai ila kiuhalisia tunapenda kuliko nchii zingine mm mtz ukinambia nichague nchii ya kwenda kuish apa East Ntapenda kenya sababu ndo naona ni ndugu kabsa I think we love each other❤❤❤
@chibudangote0126
@chibudangote0126 3 ай бұрын
KENYA HATUNA ONLINE MEDIA KAMA HII CSE SHOWBIZ YETU YA ENTERTAINMENT IKO CHINI SANA SISI KWETU KENYA SIASA NDO TUMEIWEKA MBELE
@michaeljuma254
@michaeljuma254 3 ай бұрын
@@SimuliziNaSauti Karibu
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 ай бұрын
Yaani chuki tu huyu choko wasafi ndo nani kazi kutaka mashindano tu crown ipo juu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 ай бұрын
Hakuna mashabiki wajinga kama wa Kiba
@HamisNyange
@HamisNyange 2 ай бұрын
Hiv inge kuwa ww ndo mwajiriwa wa wasafi unge jibu vp maswala hayo
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj 3 ай бұрын
Huyu choko kweli kila kitu anahisi mashindano alafu huyo ally kiba sasa ana hata habari
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 ай бұрын
Wafasi huku ninako kaa haipatikani ila crown naisikia wazi wazi sana
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 ай бұрын
Sema studio imetengenezwa vzuri ukutani hizo picha big up❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@atwabimsoma8493
@atwabimsoma8493 3 ай бұрын
Ally kiba awezi kuchukuwa macho ko
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 3 ай бұрын
Sns you mean mumekosa mtu wa kuhoji
@jonasjme
@jonasjme 3 ай бұрын
Kabisa
@janvierramazani2189
@janvierramazani2189 3 ай бұрын
Wanahauka 😂😂😂 all the way from South Africa crown it Will take over I'm telling you
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 3 ай бұрын
Ni kweli wasafi hawawezikani sababu sijaona studio yenye mashoga wasafi muko juu
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 3 ай бұрын
😂😂😂
@SalumMushi
@SalumMushi 3 ай бұрын
Hahahahaha
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 3 ай бұрын
Masikini Tang Lin mkawa na akili
@nassirsalim6679
@nassirsalim6679 2 ай бұрын
😂😂😂
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 3 ай бұрын
Mimi napenda habari za kivita , ila haya , mengine , naona kama mauzauza tuleteni ,habari , zenyw msisimko, jamani maledio kitu gani ,hata hapa kwa wagogo, tunazo media Kari tyu Sana
@kenyzach9124
@kenyzach9124 3 ай бұрын
Ali anafanya kazi yake bila kujali mtu. back up yake (ushirika wake ) na Kikeke utaleta maajabu kwenye tasnia
@nyandichearts
@nyandichearts 3 ай бұрын
🤔Jamaaa la kupelekewa moto hilo the lokoleeee as known as mke wa domooo😠
@raydanfrenk
@raydanfrenk 3 ай бұрын
Crown imekuja kupindua media zote 😂😂😂 kwanza kipind cha Salm kikeke ni atari, maswali yeke ni atari, wengine ni machawa kila kitu kusifia Mama ila Crown mpka viongz wanabanwa kwl kwl
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 3 ай бұрын
Choko ilo ovyo😅😅
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 ай бұрын
Kweli kabisa Juma Yuko sahihi ,lazma afagilie Wasafi TV n'a EFM
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Naam wachafu wameanza kutepeta
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 3 ай бұрын
Wasafiiii ndo mzk wa tz ukipnga we n masikini wakutupwa 😂😂😂
@Qqambaa
@Qqambaa 3 ай бұрын
Namchukia bure huyu juma lokole bure😂😂
@ErickyTz-ku7dt
@ErickyTz-ku7dt 3 ай бұрын
Juma nae kupakuliwa TU kuoga aaaaaaaah 😂😂😂😂😂😂
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 ай бұрын
Bila kupepesa macho angalia account KZbin channel zao halafu ndio mlinganishe , mbona mnaivunjia heshima Wasafi midea!!
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 2 ай бұрын
I like what am seeing sns has brought revolution on online media tunafuraia ukuaji wenu sisi kama mashabiki tuko na nyinyi hadi kilele cha mafanikio yenu
@carolsayo6409
@carolsayo6409 3 ай бұрын
I enjoy his interviews be interviewing him more often
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 ай бұрын
Bila kupepesa macho angalia account KZbin channel zao halafu ndio mlinganishe , mbona mnaivunjia heshima Wasafi midea!!
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 3 ай бұрын
Clouds ndo radio kubwa Tanzania
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Kwa sasa hapana ila tukubali tu kuwa ni radio mama izi radio za vijana ila ushindani upo ju sana
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 ай бұрын
SASA NDIO NINI KUWALETA MASHOG* KWENYE CHANNEL INAYOHESHIMIKA KAMA HII..... FOOLISH CONTENT
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
SALIM KIKEKE KAWAFUNIKA WASAFI F.M REDIO NYINGI TU BONGO 😂😂😂
@popiya2368
@popiya2368 27 күн бұрын
Hivi SnS mbona hamumfanyii interview Alikiba😊
@HasanKisome
@HasanKisome 3 ай бұрын
Hivi mpaka mfanye mahojiano na watu wenye Tuhuma za Kujihusisha na mambo ya Kishoga ndo muingie mjini?
@XxhamxyyxShha
@XxhamxyyxShha 3 ай бұрын
Hapo mi natazama hizo screen za ukutani tu
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 ай бұрын
😂😂😂
@mussanchimani4839
@mussanchimani4839 3 ай бұрын
Leo Wakwanza mm nipeni like zangu
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 2 ай бұрын
Juma🙏🙏🙏
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 3 ай бұрын
Unategemea juma aponde sehem anayopatia ugali bongo wivu vip nyie juma anafagilia alipoajiliwa
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 3 ай бұрын
hapo kwa Malaika 🤣🤣🤣🤣🤣
@zarabati1750
@zarabati1750 3 ай бұрын
Juma humjui malaika😂😂😂😂😂😂😂
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
Kila mtu ana kitu chake....clouds burudani zote ambao ndo mababa😊,,itv habari za uhakika😊,eatv mambo ya east africa kiujumla😊--wasafi umbea umbea ndo umetawala na kumpamba bosi wao kipindi kizima,,E TV bado..tunasubiri na ao kings wataleta nn
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 3 ай бұрын
Choko
@bakarially253
@bakarially253 3 ай бұрын
Hii ndio inaitwa team work hongera sana juma lokole kwa kulinde brand ya kaka rekado Momo
@kinjekitilew
@kinjekitilew 3 ай бұрын
Nyi mnakosea sana kwanini mshindanishe watu fanye mahojiano yakawaida namengine
@Fardadihd
@Fardadihd 3 ай бұрын
HUYU MBONA ANAONGEA HIVO SI CHOLO LAKINI ILO LILOVAA PULOVER
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Ila Juma mkavu eti amfahamu Maraika😂😂
@SwaleheSaad
@SwaleheSaad 2 ай бұрын
Ameongea ukweli maana bado crown ni changa sana huwezi ilinganisha na wasafi but hii ji challenge kwao iendelee kuoambana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
JUMA TUNAFAHAMU BOSS WAKO KAKUTUMA CROWN INA SIKU YA TATU MNAANZA KUTEPETA MTAISOMA NAMBA. CROWN MEDIA NDO CNN YA AFRICA ONE LOVE OLL FAN'S ON CROWN MEDIA
@HASSANALIHASSAN-j2h
@HASSANALIHASSAN-j2h 3 ай бұрын
Punguza shobo kuna kifiroo cha ukubwani mwambaa
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
@@HASSANALIHASSAN-j2h nilijua tu mashoga wenzie mtakuja kumtetea
@christophekyandaza1113
@christophekyandaza1113 3 ай бұрын
❤❤
@jonasjme
@jonasjme 3 ай бұрын
Kwa ukibwa wenu na interview kama hii ni kukosa kazi
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 3 ай бұрын
Crown Media sio yakufananisha na upuuzi kama Wasafi ,huyo Lokole ni talataka tu
@fallii3213
@fallii3213 3 ай бұрын
Huu ni mtazamo wako tu.but ww umetumia details zipi kusema hivo
@StarMerinyo
@StarMerinyo 2 ай бұрын
Bado grown Bado Haina maajabu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 ай бұрын
Ukapimwe mkojo.
@mwanakitenge
@mwanakitenge 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk 3 ай бұрын
Bila kupepesa macho angalia account KZbin channel zao halafu ndio mlinganishe , mbona mnaivunjia heshima Wasafi midea!!
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 3 ай бұрын
Unatombwa na domo wewe matako,, ndosiku3 mloshaanza kuhangaika😂😂
@LobikiekiMarko
@LobikiekiMarko 3 ай бұрын
CROWN IKO NA SIKU 3 MNAANZA KUPATA WASIWASI
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Na Vipindi Vyote havijasinduliwa . tajiri yake kamtuma mtasubiri sana
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 3 ай бұрын
Unawazimmu sana ww ushakula lkin
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
@@Rizikialiamechannel763 ndo ujala ww tumekaa wa kukosa chakula!
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m 3 ай бұрын
Njoo crown media kunamadini yote😂😂​@@Rizikialiamechannel763
@zarabati1750
@zarabati1750 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 3 ай бұрын
Na huku mtaani, ukisikia yule mtoto wali nazi....ndo bhas tena
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 ай бұрын
😂😂😂😂juma hajui.malaika ?😅😅😅
@eve3894
@eve3894 3 ай бұрын
Love you Juma ❤❤❤❤❤❤❤
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 3 ай бұрын
Mnahoji maxhogakm hawa
@DazzWazenji-uy6cr
@DazzWazenji-uy6cr 2 ай бұрын
Mtu anaongea kma chokoo pua amebana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊✌️👍.
@AbduSomo-b1n
@AbduSomo-b1n 3 ай бұрын
Juma mushenzi 😂
@AbduSomo-b1n
@AbduSomo-b1n 3 ай бұрын
Mchenzi
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 60 МЛН
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14
Mjukuu wa Bakhresa, Zayed aonesha jumba lake la Kifahari! Pesa Inaongea
3:52
Zuchu awachukiza wengi kwa hili kuhusu Birthday ya Diamond
4:26
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 12 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 102 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
Steve Mweusi
Рет қаралды 794 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН