Mtoto anavoko kali sana anajua kuimba kwaisia anajua kwenda ma vinanda anajua kupanda nakushuka kwa biti kifupi dogo yuko full pakejiiii
@habakukifaraja Жыл бұрын
Yes
@especherathuman26936 ай бұрын
❤❤
@BrysonTiller-mj2gj5 ай бұрын
@@habakukifarajaqq1qqqq
@ImaniMusa-g2k5 ай бұрын
Mungu ampandishe viwango
@fridandenga77199 ай бұрын
So wonderful, praise the Lord
@habakukifaraja9 ай бұрын
Amen amen
@HectorNethanani11 ай бұрын
physically I do not understand the language but spiritually this song is going straight to my heart and soul. keep up the good work. 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@habakukifaraja11 ай бұрын
Amen amen father, welcome
@samsonelyson143011 ай бұрын
Meaning:- We don't have anything to say anymore, our mind is ended there. God you are above all, God you are Great. God you are Great.
@DevothaMasanja-d4j10 ай бұрын
Huyu mtoto mungu aendelee kukutumia kwa namna yatofauti nayaajabu kija unasauti ndani yake mungu yupo❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@habakukifaraja10 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@ngolobulugu9525 Жыл бұрын
,🥺🥺😭😭 MUNGU uko mkubwa....atuna Tena Cha kufanya akili zetu zimefika mwisho....hata me ni kale kandoo kadogo kalikopotea 🥺🥺😭Mungu uko mkubwa....corona ilikuja ikaendaa ikatufundisha kunawa mikono 🙏🙏😭Mungu uko mkubwa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@bernadethakavishe47812 ай бұрын
Kweli Mungu tunayekutumikia na kukutegemea wewe ni Mkubwa mno
@wizerepamella5762 Жыл бұрын
Nani akingali anaisikiliza 2023 kufikia mwisho wa dunia 😭😭😭Uko Mkubwa Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@jescaevodia Жыл бұрын
😭😭😭huu wimbo unaniliza mm jamani daah😭😭
@habakukifaraja Жыл бұрын
Mungu akubariki
@jescaevodia Жыл бұрын
@@habakukifaraja Ameen kwakweli Huwa unanitoa mawazo na kunipa Imani 🙏
@mwasitingata245821 күн бұрын
Hata Mimi tu 😢
@ohmygoal8344 Жыл бұрын
This song deserves a million views
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@zaym7769 Жыл бұрын
Absolutely 👏
@eveotiato221011 ай бұрын
I heard this song on a reel on fb and the spirit led me here, let the fire continue burning
@habakukifaraja11 ай бұрын
Welcome madam, God bless
@fortinathambilinyi3186 Жыл бұрын
Daaaa 😥 mbona siwez kuchukua huu wimbo
@habakukifaraja Жыл бұрын
Mbona ni rahisi
@BrastoKibiki6 ай бұрын
I’m here 2024….😢😢😢❤❤❤ Jesus Christ remember Congo
@habakukifaraja6 ай бұрын
Amen amen amen
@BongoleSaidi5 ай бұрын
Msalmie sana huyo dogo voice yake naikubal xanaaa
@jabiraxmed7898 Жыл бұрын
I come here from Instagram
@habakukifaraja Жыл бұрын
Welcome
@radegundapeter4205 Жыл бұрын
Im speechless🙌🙌huyu mtoto wakiume jamani,Mungu mlinde huyu niwakwako🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@achiengowiti1981ify Жыл бұрын
Hii nyimbo imenigusa sana...The Young Song Vocalist is not only a Singer but Gods Servant.😊❤
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@SaddanicodemasNicodemas-be1ws Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mkubwa kwetu
@marcelot.lumanisha5689 Жыл бұрын
Tuna Ishi tu kwa nehema zake😭
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@Baka-EkyirBoy9 ай бұрын
What a powerful ministration much love I'm a Ghanaian 🇬🇭 although I don't understand the language but I have been touched by this worship Glory be to God 🙌🏽🙌🏾🙏🏾
@habakukifaraja9 ай бұрын
Glory to God, welcome
@zawadikassimiri Жыл бұрын
Mungu WA mbinguni najisikia kukutukuza kwa ajili yenu moyo wangu moyo wangu mtukuze Mungu nyakat zote wewe ni Mungu na utabaki kuwa Mungu kwangu no matter what wewe ni Mungu 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen, Mungu wa mbinguni awe nawe na akutendeye sawasawa na haja ya moyo wako
@habakukifaraja Жыл бұрын
Huu wimbo ukawe Funguo ya baraka kwa maisha yako yote
@zawadikassimiri Жыл бұрын
Amen amen amen 🙏
@tasokwamichael2433 Жыл бұрын
Maisha yangu yametawaliwa na maumivu makali Nashukuru Kwa wimbo huu umekuwa faraja Mungu upo Mkubwa kwangu 🙏
@mtotowasongwe3940 Жыл бұрын
Pole Mungu Akakufanyie Gumu Kua Jepesi.....Damu Yake Ikakufunike Na Ukainuliwe Tenaaa Upyaaa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Usiokope ndugu yangu, Mungu ana kujuwa na anakwenda kukuvusha
@atujairos4361 Жыл бұрын
Mungu akukumbuke akuvushe Abebe hayo maumivu
@dianasanga5057 Жыл бұрын
Neema ya Mungu iwe juu yako usiogope
@Mbarukuhawa Жыл бұрын
So touching song!
@stefanohonory7974Ай бұрын
eemungu kupitia wimbo huu onekana Kwa Kila aliye sikiliza Kwa imani❤❤
@habakukifarajaАй бұрын
Amen amen amen 🙏 🙌 👏 ❤️
@irenejohn2250 Жыл бұрын
Akili Zetu zinapoishia yeye ndio uanzia jmn😭😭😭.Mungu yuko mkubwa ,this gives me goosebumps 😭😭❤️❤️I love you God.
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@neemanyagan1181 Жыл бұрын
Nliusikiliza kwa instaglam Kuna ndege ilipata ajali,,wekaweka oudio daaa umenitoa machoz
@pilijumanne350Ай бұрын
Amen mungu uko mkubwa
@habakukifarajaАй бұрын
Amen amen 🙏 🙌 👏
@jeniphachristian8351 Жыл бұрын
Hakuna Mungu kama wewe Bwana wangu...😭😭😭😭 nasogea mbele zako..... ni kweri wewe uko mkubwa hauna limits....tuseme nini Bwana wewe ni mkuu 🙏🙏🙏 mbarikiwe wapendwa...
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@BenjaNickorous Жыл бұрын
Your the big winner no one like you
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@BenjaNickorous Жыл бұрын
Good after noon
@habakukifaraja Жыл бұрын
Thanks
@emmymwakabana6 ай бұрын
Waooo mwanangu zidi kukua ukimpendeza Mungu unajua kuimba
@habakukifaraja6 ай бұрын
Amen
@ezekielmbilinyi-kh4ty Жыл бұрын
Barikiweni Sana kwa kweli,mimi sio mtu was dini lakini umeni convice
@habakukifaraja Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@BillionaireMM Жыл бұрын
I send my love from Nigeria 🇳🇬, I may not hear what you're singing..but my heart can hear you better, Tanzania will listen to you.. One day I'll fly you all to come over
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen, welcome dear
@ramsonudoba4299 Жыл бұрын
Mungu awabaliki sana kazi nzuli ya faraja
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@johnizoboy Жыл бұрын
Who else is blessed with these Prayers🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@habakukifaraja Жыл бұрын
Me too
@GuelordCimanga-ng8hn Жыл бұрын
Paka vile Bana sema uko mukubwa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@mwandjammbandoci1029 Жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa nautafuta sana Leo nimeupata, barikiwa sana mtumishi Habakuki Faraja pamoja na wanafunzi wako.
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen, Karibu sana
@ashamnyambu40563 ай бұрын
Jamani Jamani What a great song 🎵,kweli hakuna vyasema Ukuu wako unatutosha❤🙏
@habakukifaraja3 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@ashamnyambu40563 ай бұрын
@@habakukifaraja Amina Amina🙏,barikiwa pia Kaka yangu,Neema ya Mungu izidi kututosha🙏
@gloryglory75532 жыл бұрын
Much love from Tanzania❤❤❤ I wish I could be singing this with you
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Kwakupata Nyimbo za wengine Yes Account iko tayari, ni hiyi HABAKUKI FARAJA ABAH YESU NJO BOSS from Congo, Whatsapp ni +243991047936
@godfreysanga6091 Жыл бұрын
Fanyeni collabo na yule mtoto mc baby ..mtapata pesa nyingi sana ..waimbishe hao watoto wawili
@mosesmligo9614 Жыл бұрын
Mungu ni Zaid ya pesa mkuu.
@zedcelebvibes40558 ай бұрын
powerful , touching, uplifting song... more grace 😭😭😭😭😭😭
@habakukifaraja8 ай бұрын
Amen amen amen
@kimsamson6149 Жыл бұрын
Mungu ni mwema nimepata hii nyimbo nilikua nikiteseka kutafta comments za mtu akaesema hii nyimbo inaitwaje Mungu akubariki na pia awabariki wote mlio imba huu wimbo umekua Baraka sana kwangu
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen, ubarikiwe sana, karibu sana
@noxiebeily Жыл бұрын
god bless u
@andrewmadaga7913 Жыл бұрын
Hakika uko MKUBWA 🙌🏿🙏 ikawe baraka kwa Vizazi vyote ❤️❤️ 🔥
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@mfurukijr104211 ай бұрын
Ooh God if i am ever ungrateful, forgive me Lord
@habakukifaraja11 ай бұрын
God bless u
@abayorangwa19152 жыл бұрын
Amen Amen, sitakuwa nimekosa kwa kusema ni wa Congo hawa. Mbarikiwe sana kwa wimbo ulio na huhai ndani kama huu. Kwa kweli Mungu uko MKUBWA
@jackmacruby Жыл бұрын
Nemeitafta ii wimbo sana finally nimeipata apa youtube nlikua naskia tu vipande zake sikujua yaitwaje
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen, karibu sana
@hukuUJERUMANI Жыл бұрын
This song should go viral globally & be each & every church's praise & worship song. It gives me goosebumps! And the emotions are raw & real. Wow! 🥺
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@MichaelKasuka-ll5mr Жыл бұрын
Uko mkubwa,wimbo mziuri sana.I'm blessed with the song
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@gracechupa349011 ай бұрын
Despite not understanding the language but I feel the song 😢🙏🙏
@margy-f2t10 ай бұрын
Uko mkubwa bwana😢😢😢
@habakukifaraja10 ай бұрын
Amen amen amen
@jameswolf007 Жыл бұрын
Fom instagram up to here Just to see this Young blood with this miraculous voice 🤲🏾🙏🏿. God is good…………. 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@Anitaomary10 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 aaah Jesus Christ God bless you all
@habakukifaraja10 ай бұрын
Amen
@abrahamdesire3393 Жыл бұрын
Mungu uko mkubwa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@SeanMuseya7 ай бұрын
I can't understand the language but am so touched
@habakukifaraja7 ай бұрын
God bless u dear
@frosineniwenkunda4340 Жыл бұрын
I don't even understand all the words but this song is emotional 😭 hatuna tena Baba
@habakukifaraja Жыл бұрын
Glory to our mighty God
@BBVMusics Жыл бұрын
Keep going forward brother you’re a shining star! ❤
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@bensimon7330 Жыл бұрын
Nimetafuta sana hii songs barikiwa sana ❤
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@irenedenis2883 Жыл бұрын
Mbona mm kwangu inago ai download jaman mnisaidie mtu aliye nayo anitumie wapendwa
Sichoki kuitizama mungu akupe afya na umtumikie Mungu
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@eddiemaclaren-yr9iq Жыл бұрын
Just heard the song on a clip from instagram, l came 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️. What a very powerful song that speaks to us even though we don't speak your language . God bless all those who made this song on each and every stage of its production. More love to you from Zimbabwe 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen, we love u, Welcome
@margaretkanini6683 Жыл бұрын
Me too i saw women closing a river on a floater
@HassanMwaki Жыл бұрын
Amen God is powerful amen
@miraclennko1147 Жыл бұрын
Wonderful song glory to God my Almighty God bless you all
@habakukifaraja Жыл бұрын
Welcome inbox i will explain to u Wa.me/255759166321
@StephenKasolo11 ай бұрын
Wimbo huu umenitoa machozi
@habakukifaraja11 ай бұрын
Welcome
@heavenblesspeter4767 Жыл бұрын
MUNGU UKO MUKUBWA NITAKUSIFU MILELE 😭😭🙏🏿
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@judepaul3076 Жыл бұрын
Saw a clip in titkok then came here looking for the song. Bariki sawa, ii song imeniguza sana 🙏🙏
@habakukifaraja Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@kolaephy47722 жыл бұрын
Feeling goosebumps. This is so powerful. The kingdom of God need such worshippers. Who do worship in spirit. Am so much blessed and spirit filled🙌🙌🙏 hallelujah hallelujah to the most high God. Love you and God's grace, favor and love be part of you endlessly. May the Lord continue using you in greater heights. Dear ones I really need that impartation, please you all stand with me in prayers, i want to do it as you guys. I feel and want to worship to the Lord, in the same spirit. God help me🙌🙏😥😥😥 . MUNGU UKO MKUBWA. Amen!!!! Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu. Nawapenda sana
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Be blessed, whatsapp +243991047936
@HAAM6702 жыл бұрын
@@habakukifaraja Kale ka kuondoka kidogo is your Son??? Mungu awaketishe juu sana. Umekuwa wimbo wangu wa asbh sana na jioni kabla ya kulala. Pray for the young boy to grow in the calling.
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Ubarikiwe saaaaaana, He is one of my Pupils
@habakukifaraja2 жыл бұрын
One of my Music Pupils
@stelladideh Жыл бұрын
Gloire à Notre Papa Bon DIEU . Bénis soit notre DIEU pour ces bien-aimés qui adorent en esprit. Je ne comprends pas les paroles , mais l' Esprit-Saint s'est manifesté en moi pendant l'écoute. Demeurez bénis à jamais. Shalom
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Utukufuku wako siwezi gusa maana unayoyatenda yanapita ,Mungu uko mukubwa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@doricemwakasengo3612 жыл бұрын
Wimbo umenibariki saana mwenyezi mungu aendelee kuwabariki watunzi na waimbaji🙏
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Amen, +243991047936
@Anitaomary10 ай бұрын
God bless you all 😢I am bless with song
@habakukifaraja10 ай бұрын
Amen amen
@BOYKAJONATHAN2432 жыл бұрын
Iyi nyimbo nikali sana mungu akubariki sana brother 🙏 😢
@SifaBora-w1c Жыл бұрын
❤❤❤mungu awabariki sana kabisa😢😢nanikama wewe mungu wetu nakuinuwa johova
@habakukifaraja Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@emilianaemmanuel56102 жыл бұрын
❤️ mungu akubariki ❤️ azidi kukuongoza nyimbo zako zimepakwa mafuta na roho mtakatifu ❤️ 🙏
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe sana +243991047936
@emilianaemmanuel56102 жыл бұрын
Amen 🙏 na nyie m’barikiwe sana ❤️
@gilbertgabriel17327 ай бұрын
Aseee ata Mimi niliuona Tikitok ndoo nikaingia kuutafuta nimeupata kweli mungu mkubwa ameen🙏🙏🙏🙏🙏
@habakukifaraja7 ай бұрын
Kweli kabisa, karibu sana
@eddyrich.3312 Жыл бұрын
Nimeutafuta sana huu wimbo maana niliusikia mahali nikaupenda sana sasa nimeupata huku, hongereni wote mliohusika na wimbo huu mzuri sana kwa njia moja au nyingine.
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe sana, karibu
@salumuasani4115 Жыл бұрын
Sichoki kusikiliza Huu wimbo aisee mungu yupo Na watumishi waliopakwa mafuta wapo ohh haleyuya Jehova mbarikiwe Sana mnatuponya
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen amen
@flaqo Жыл бұрын
Mungu uko mkubwa,been a fan🔥🫶🏻Blessed..salimieni Benito power.Gifted group.Blessed
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@agneskoku6574 Жыл бұрын
Tunawakaribisha tena Ngomeni MWA Yesu Kristo Tanzania 🙏❣️
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@MagrethGunda3 ай бұрын
2024 Mungu uko mkubwa kwangu I’m blessed lord God I’m thankful 😢
@habakukifaraja3 ай бұрын
Amen amen
@mbokamwafongo4502 Жыл бұрын
Nikulinganishe na nini Mungu wangu
@eliaskatole3701 Жыл бұрын
Always and forverer MUNU YUKO MUKUBWA, Congolese gospal songs ni balaa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Be blessed, welcome
@justusijakaa71 Жыл бұрын
😭 😭 😭 😭 😭 😭 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏this song is very powerful
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@muchemimark2881 Жыл бұрын
Akili zetu zimefika mwisho kabisa 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@habakukifaraja Жыл бұрын
Yes
@guelordnkongolo5948 Жыл бұрын
Que l'éternel à qui je sers et j'appartient qu'ils vous bénisse abondamment
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@goldenrockw Жыл бұрын
Wowwwwwwww kweli Mungu wetu ni mkubwa saaaaana saanaa halinganishwi. Karibuni Tanzania🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@habakukifaraja Жыл бұрын
+255759166321 +243991047936
@sovajulius3870 Жыл бұрын
This song is so powerful than you can imagine Please people let support this group that they can reach far especially American got taken I believe they will get Buzzer..This is my Wish for them God keep this group so natural and real . Amazing Talented Singers and that voice of that small kid gives me goosebumps
Mimi victorina njokale ka kondoo kadg kalikua kamepotea ukatelekeza kondoo 99 kwa 7bu ya kunitafuta mimi hakika Mungu uko mukubwaa sana Amen amen 🙏🏻🧎♀️🧎♀️🙌🙌🙌🧎♀️🙏🏻
@habakukifaraja8 ай бұрын
Ubarikiwe sana Shujaa
@Victorina-wi1dl5py3s8 ай бұрын
Sifa zimrudie Mungu wetu🙏🏻🙌🙌🙌🙏🏻
@habakukifaraja8 ай бұрын
Amen
@clementkingu9632 жыл бұрын
Toka +255 🇹🇿 nabarikiwa na ninyi...Mungu awatunze zaidi...
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu
@anthonettentumba Жыл бұрын
Mungu hukumukubwa amen Amen praise the lord all the best in God ❤❤❤❤❤
@obychars2 жыл бұрын
Barikiwa sana! Baada ya kuona kipande tiktok nimekuja kuutafuta huku👏😢
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Wapo vizur aisee mm nimeona kwa status ya mtu nikaja mbio huku
@habakukifaraja Жыл бұрын
Ubarikiwe sana, KARIBU SANA
@priscajustine2456 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe pia
@mwasitingata2458 Жыл бұрын
Hata mimi dah dogo Yuko vizuri kweli
@habakukifaraja Жыл бұрын
Asante sana
@furahasarakikya3223 Жыл бұрын
🙌🙌😭😭🙏🙏 oooohh yesu
@SintiaTabataba Жыл бұрын
Asante mungu wangu seigneur 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭 je en vie de pleurer
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen ameb
@brondylutete6248 Жыл бұрын
❤❤❤❤I don't understand the language but I'm touched on this song. may the eternal bless you exceptional inspiration I validate the sound😢😢😢
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen , welcome
@stanslaussemele627811 ай бұрын
Nauhisi ukuu wa huu wimbo kwa moyo wangu. Umenigusa hadi kwa ndani hakika kwa yote tunayopitia, Mungu atabaki kuwa mkubwa. Nashukuru kwa huu ushuhuda.
@habakukifaraja11 ай бұрын
Amen amen amen, ubarikiwe sana mpendwa
@jeremiasikilianikiliani9633 Жыл бұрын
Congratulations for the good work and God bless you all in the name of Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏🙏
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@felixchristian7912 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa binadamu tumkumbuke Mungu na tusikatiane tamaa🙏
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@zaym7769 Жыл бұрын
Powerful Praise and Worship song Ever . God bless All of you ! 👏👏👏Nimebarikiwa!
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@winfredsiwale907810 ай бұрын
Thanks so much are i like you voice amen and amen God bless you
@habakukifaraja10 ай бұрын
Amen amen
@arsenekalonjiofficiel23632 жыл бұрын
une generation apres generation chanteras cette belle chanson inspirer par le saint esprit
@lodricknassaryofficial3704 Жыл бұрын
Barikiwe mtumishi wa MUNGU ✊✊✊ kwer MUNGU uko mkubwa
@habakukifaraja Жыл бұрын
Ame
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@salesbridgetanzania72182 жыл бұрын
This is so so amazing....uko mkubwa Yesu....with Love from Tanzania
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Amen, +243991047936
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Amen, +243991047936
@einauvincent886111 ай бұрын
Amen all the love❤❤❤❤ from Uganda❤❤❤❤❤❤❤
@habakukifaraja11 ай бұрын
Welcome dear
@rosestephano3262 жыл бұрын
Huu wimbo umenibarik Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 uko mkubwa
@habakukifaraja2 жыл бұрын
Be blessed, whatsapp +243991047936
@LaetitiaLaetitia-l6i2 ай бұрын
Gode bless tout ❤❤❤❤
@wycliffemulindwa1907 Жыл бұрын
Wow wow these vocals are Heavenly, sending love from uganda 256
@danycomson-gariah2062 Жыл бұрын
Jebhare sebho
@habakukifaraja Жыл бұрын
Be blessed
@habakukifaraja Жыл бұрын
Enkosi kakhulu
@GraceGrace-z6e2 ай бұрын
Deeper song ❤❤❤
@wilfredmutati949 Жыл бұрын
May God bless and honour you in Jesus Name, walk in open doors always in Jesus Name
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen amen
@Victorina-wi1dl5py3s8 ай бұрын
Nakiri Mungu uko mukubwa sana sana sana Sanaa yehova uko Mungu kubwa😭😭😭😭😭😭💯&💯
@habakukifaraja8 ай бұрын
Amen amen amen
@isackignas1752 Жыл бұрын
Wimbo umefika Tanzania 🇹🇿
@habakukifaraja Жыл бұрын
Amen
@mwasitingata2458 Жыл бұрын
Dah huu wimbo naupenda Sana hapa alipoimba huyu Mwanangu dah ..mbarikiwe Sana..nawapenda