Aagh wee unajua kuimba sanaa na nakukubalii sana ila kasoro yako ni moja unajiskia sanaa na unajikuta sana maisha ya mziki hayapo ivyo mdogo wangu ishi vizur na watu punguza maringo utatokaa sana wee
@bakariWahida2 күн бұрын
Tumekusamehe mdogo wangu
@fredrickjoseph2907Күн бұрын
Ameongea kwenye status ya muziki sio uongozi
@kazkaz1943Күн бұрын
Usipojirekebisha utakua unaomba radhi kila siku kama haji manara😅 hapa kaz ipo Ruby akasomeee ujeur wa hali ya juu😅😅😅
Hey naomba business contact za Uyu dada naitaji kumsapoti please
@sarahmcharo15482 күн бұрын
jamaa ndio mbona ni neno la kawaidaa mlitaka asemajeee
@shaabanramadhan6770Күн бұрын
Alipo sema jamaa hyo ni kawaida kwenye misemo ya arusha jambo jengine madem wachuga hawaongei km wanawake huwa ktk kuongea wanaongea tu chochote kinachotok mdomon napia hawako romantic ukiwa na uhusiano nao utajuta dadekii
@gongotv8132Күн бұрын
Rafudhi, ndio nin?
@MubarakaMorice2 күн бұрын
Kichwa nazi kweli wewe...eti ulikuwa umepanick...we una kiburi kubabake mana hata msamaha enyewe hujui kuomba
@MwantumRashidi2 күн бұрын
Ulitaka auombaje huo msamaha?jaman hebu jaribu kuvaa viatu vya huyu dada alafu kingne hawa ni waarusha wanavimisemo vyao.
@MubarakaMorice2 күн бұрын
@MwantumRashidi hapo sasa ndo unanipandisha midadi. Ya hasira mana manzi za arusha zinazingua sana kwenye mahusiano
@MwantumRashidiКүн бұрын
@MubarakaMorice kama umezinguliwa si wew hasira za nin sasa?