Asitumie simu kwasasa awe mbali na simu na mitandao ya kijamiiiii kwa miezi miwili tuuu atakua sawa kidogo😢😢😢😢😢😢 tunakupemda pil wetu
@NeemaGrace1232 күн бұрын
Postpartum depression is real 😢
@queenlinda2553 күн бұрын
Ana watoto uyu dada na mume wake yuko wapi jamani akae nae karibu anaitaji watu wake wakaribu
@Laura-gx9xzКүн бұрын
Pole sana mdada utakaa sawa tu
@FatimaAli-of4gh3 күн бұрын
Pole sana huu ugonjwa umeongia saa hii hata mwanangu umempata
@keynasseib99993 күн бұрын
Mnyang'anyeni watoto huyo atawanyonga
@Rukia-n1d3 күн бұрын
Labda mja mzito .ukiwa mja mzito huwa hutaki nyele
@RukiaAbdallah-m7g3 күн бұрын
Mi pekeangu ndio cijaelewa au
@AsdDsa-fi5qk3 күн бұрын
Mmmh
@zoey26353 күн бұрын
Postpartum depression ni real , wamama wengi wanapitia Hilo jamani na watu hawajui
@AnthonyDcosta-f3q3 күн бұрын
Endeleeni kusema mnatumia milioni kwa saa
@marcpogba90573 күн бұрын
Munagusa dawa sana
@marcpogba90573 күн бұрын
Ushirikina mingi itawauwa nyinyi wasanii
@jacobmaganga33543 күн бұрын
Depression sio ukuchaa wewe acheni kupotosha watu...watu wa depression wanasaidiwa na councelling psychology wakat wagonjwa wa kichaa wanasaidiwa na wataalam wa psychiatry