ZANZIBAR SASA NI ZAIDI YA DAMPO LA VIFAA VYA “USED” VILIVYOTUMIKA

  Рет қаралды 26,944

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 жыл бұрын
Tatizo kubwa la Z'bar na la msingi halizungumziwi bali, yanayozungumzwa ni matokeo ya msingi wa tatizo lenyewe. Shida ya wananchi wengi wanapotoshwa mantiki halisi na kuzungumzia athari ya msingi wa tatizo lenyewe-Poleni sana shida ni yenu na wasimamizi wa visiwa vyenyewe ni wapishi wa hizo shida.
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Tv ambayo inauzwa hapa unguja ukienda tanganyika huinunui lakin ss wafanyabiashara hapa unguja tunajitahidi kuuza rahisi Ila watanganyika wamepandisha ushuru ili kutengeneza mazingira wazanzibar tusiuze Ila tuwambie tu ndugu zetu sisi hatuanguki Kwa sababu yenu nyinyi we still fight
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 5 жыл бұрын
Mie nataka 📺 Tv ndugu yang, ntapata kwa kiasi gani huko?
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 жыл бұрын
KTV nyinyi noma mungu awalipe kheir kufichukua maovu na machafu 😎
@dulakess8928
@dulakess8928 5 жыл бұрын
Wanalipishwa ushur Mara mbili hvyo wabongo hawawez kja kvhkuwa tv
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Vitu vya used ni vizuri ila vikiamua kuharibika Hodi kwa haziishi.
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 жыл бұрын
KTV TZ ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@mohammedramadhani1751
@mohammedramadhani1751 3 жыл бұрын
Mm nina shida ya pirate 657 B simu smart 5 Infinx
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
maana nyengine maelezo ni mengine. kwani musiweke maana "Tanganyika inawalipisha ushuhuru mara mbili biashara inakufa znz" ukisikiliza malalamiko wanunuzi ni kutoka bara sasa kule hukamuliwa ushuhuru TATIZO NI SHETANI LILELILE MUUNGANO
@kitalechapombe6602
@kitalechapombe6602 5 жыл бұрын
Bara ulaya wew punda wee,mnadai zanzibar nchi mji mkuu upo wapi?
@kitalechapombe6602
@kitalechapombe6602 5 жыл бұрын
Nyie mbona mnafirana nawakati ile ile njia yakutolea mavi.alafu mnasema zanzibar nchi.hii siyo nchi huu mkoa.kama hii nchi nendeni mkawatoe wasenge wenzenu uamsho.
@kitalechapombe6602
@kitalechapombe6602 5 жыл бұрын
@Hamed Amour tulia wew mpumbavu wèwe unajifanya unajua kumbe taflani tuu.zanzibar siyo nchi narudia tena zanzibar siyo nchi...............huu mkoa ukitaka kuamini muulize mizengo pinda wazir mkuu mstaafu atakwambia
@fadhilahaji8719
@fadhilahaji8719 5 жыл бұрын
Bara si ulaya ustaarabu hamna kazi matusi na umbea tu ndo mnalolijua nyooni mxiuuu
@amourtido9172
@amourtido9172 5 жыл бұрын
tulia ww kiazi unajua kila kitu mmekopi zanzibar. soccer, siasa biashara, music ila ustarabu tu mnajaribu kuiga lkn hamuwezi cos nyy mishenzi mikabaji wauwaji watekaji umalaya mwingi yaan du!
@oopsm3574
@oopsm3574 5 жыл бұрын
Chembelepo ukisafiri kwa ndege kwenda dar husachiwi wanasema hiyo internal flight, lakini kwa boti utakoma kamasi za pua zitakutoka
@SaidMohamed-k9h
@SaidMohamed-k9h 5 ай бұрын
Mbona mada na mahojiano ni vitu viwili tofauti,hamna welding waandishi
@AYUBINHAMISS
@AYUBINHAMISS 11 ай бұрын
Nipo daslam maduka ya dar yapo wapi
@gracewandwi2467
@gracewandwi2467 7 ай бұрын
Abdul, naomba nitumie No
@selemanjuma8147
@selemanjuma8147 5 жыл бұрын
Nikweli
@nabzchannel9027
@nabzchannel9027 5 жыл бұрын
Zanzibar will not develop at all if the people don’t fight for their rights,😪
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
watanganyika salimin alivyofanya kuifanya Dubai ya zabibu wanafiki na watanganyika wakatufanyia Dubai ya makorokoro
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
Uwii machogooo oyeee Tanganyika ulaya lkn tunakunya kweny mifuko kukoga hatujui ila tunawzarau wazanzibar why
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 жыл бұрын
Watu wabahir sijui maana wanashindwa kusikiliza video ndo watoe comment ,ona Sasa wanatukana bila kujua
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Used things sio mbaya ikiwa inabei nafuu pia vitu vyenyewe vinadumu mda mrefu
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Vinadumu lakini kwamwaka mmoja hodi kwa fundi haziishi.
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
@@josej9888 Ahhh basi hazifai. Mwaka sio kitu. Yafaa miaka 3 hadi 5
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
J JOSE hawa Bila ya used mungejua tv nyinyi mungejua maoveni mungetumia katel nyinyi chuki tu na uhasidi mitanganyika
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
@@princeganji2779 We umezoea kutusi wenzio ehh? Halafu unawadharau binaadam wenzako? Mbona used things zipo Ulimwengu nzima. Hussein Juma sina la ziada ila aliye juu msubirie chini 😜
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Sham Moha hahahhahah shah ww umeona message zangu tu soma na zao acha shobo
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 жыл бұрын
Tnz bara wamezidi sana kitu umenunuwa unatakiwa ulipe pesa nyingi sana
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 жыл бұрын
Poleni ndio biashara musichoke kutafu riziki kila mtu na ridhiki yake
@alihaji7201
@alihaji7201 5 жыл бұрын
Ipo haja Sasa Zanzibar na sisi kila anekuja c mzungu c Africa km c from zenji Kodi y kila kichwa buku tano lzm
@MercySisilo
@MercySisilo 5 ай бұрын
Una draya za salon
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Pesa hatuna tutawezaje vipya
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
Ila ukitak kua mbaya dai chako
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
nilivyosikiliza maelezo na maada ya ktv ni tofauti SHETANI ndio LILELILE MUUNGANO
@Apeacfulguy
@Apeacfulguy 5 жыл бұрын
Mbona munapata tabu sana kodi ikipandishwa bila huruma na wewe pandisha bidhaa zako bila huruma
@brownjumbe9
@brownjumbe9 5 жыл бұрын
Vitu vishakua vya used lkn bado wanauza km vipya y.
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Njoo ufanye ww biashara ili ujue biashara sio unapayuka tu
@saidiyusuph5577
@saidiyusuph5577 5 жыл бұрын
Ko ni nchi mbili? Sasa ushuru mkubwa unatoka wap? Wakati yote ni Tanzania?
@suleiboy5230
@suleiboy5230 5 жыл бұрын
da kwahili wacha nipite tu leo nimechoka sitochangia kitu
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
Bara Co wanabana ushuru mmezidi kuleta taka taka za warabu kwani cc uko Dubai atwendi tunaenda kila ck lakini atutaki kubeba uo uchafu maana dola elf 4 tu unajaza contena uza vitu vizuri kama kutoka uturuki India bei rahis na imara usichukue bora bidhaa chukua bidhaa bora
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
@Hamed Amour labda nikujuze tu mm sijawahi kufanya Kaz kwa mtu na wala cto fanya Kaz kwa mtu ao warabu mm nawaona kama takataka tu mm namfagilia mzungu mwenye akili zake kila kitu ktk hii dunia katengeneza mzungu, ww Leo hii unaangalia TV ya mzungu unapanda gr la mzungu ndege ya mzungu tren bus zahabu anachimba mzungu mafuta mzungu ao warabu labda kula tende tu
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
@Hamed Amour waarabu walikua awasikii mafirauni ndo maana wakashushiwe mitume ata kipindi iki c unawaona kuna mtu firauni duniani kushinda mwarabu iyo dini yenyewe uislam Jina tu awana habari nayo dini inapiganiwa na wahindi na wasomari wao bata tu
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
@Hamed Amour mm Co mkristo mm ni muislam Safi kabisa uo uislam unaendelezwa na wahindi ndugu yangu ktk Imani ao warabu wameuacha uislam ila kama unabisha bisha tu uo ndo ukweli halis
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
@Hamed Amour kumbuka mada ilivyo aanza mm sijambagua mtu ila ulizungumzia uislam na warabu ni kakwambia warabu uo uislam wameutupa kabisa na uo ndio ukweli yaani ni wa mm na kama wasingekuwa wa mm uislam ungeenea kwa Kas sana mm ndugu yangu natembea naona wahindi wanavyo jitahid ktk dini ww fiisabil laahi umemuona mwarabu gn? Iyo Co chuki ni uhalisia
@mangulymanguly139
@mangulymanguly139 5 жыл бұрын
@Hamed Amour uko sahihi kabisa ila warabu Co waislam ni Muslim maana ndo wabaguz wa kwanza duniani angalia wanavyo watendea waislam wenzao kama vile waindonesia wahindi wafilipino wanawatesa wanawachoma na pas wanawarusha magolofani vitendo viovu vingi tu ww mwenyewe unavijua je uo uislam ndo unasema ivyo ayo ndo mafundisho ya mtume wetu
@wuwubdywiwiwisu6499
@wuwubdywiwiwisu6499 4 жыл бұрын
Chakuweni tu ccm yenu
@mundhirabdulrahman4312
@mundhirabdulrahman4312 5 жыл бұрын
C ndio dubai yenu hiyo
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 жыл бұрын
watanganyika salimin alivyofanya kuifanya Dubai ya zabibu wanafiki na watanganyika wakatufanyia Dubai ya makorokoro balaa
@fadhilahaji8719
@fadhilahaji8719 5 жыл бұрын
Dubwana limebana kila pahala lol
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Mungano oyyyeeeeee tutaisoma number bandari huru wameiyondoa tutaisoma number
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Tatizo nyote biashara moja .inafanana
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Pole sana Kwa uchizi
@rashid.mwenyezimunguakurin2968
@rashid.mwenyezimunguakurin2968 5 жыл бұрын
hapo hakuna muungano
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 5 жыл бұрын
Bandarini wanaudhi sana sana
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Wazanzibari Ndio Wanaosambaza Uchafu Kwasababu Badala Ya Kujituma Wajenge Viwanda Matokeo Yake Wananunua Vitu Vilivooza Na Kureta Uchafu Uku Bala Kuchafua Ali Ya Ewa Bola Wabanwe Tu Uchafu Wanaleta
@amourtido9172
@amourtido9172 5 жыл бұрын
kiswahili kinakupa tabu kidg
@suleiboy5230
@suleiboy5230 5 жыл бұрын
du jamaa amekuotea
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
@Hamed Amour Mzanzibari nimsafi nje ila ndani nimchafu kuliko mhindi.
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
@Hamed Amour Naona unatumia NGUVU nyingi sana kucomment humu upuuzi, halafu hilo unalosema sikuwahi kuliona nakama lilikuwepo bac nizamani sio karne hii tena, halafu Kwakuwa wazanzibari nimaskini nawakija bara wanapanga nakukaa nyumba zakimaskini/wapangaji, yale yawatu wachache mnayoyaona kwa watu maskini mnadhani wabara wote wapo hivo, jaribu kukua kiakili nasio kukalili jambo moja kila pahali unaongea hilohilo tu.
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
@Hamed Amour Huna hoja yamaana halafu inaonekana wewe nimbinafsi sana, hapa bara kuna wapemba wangapi nawaunguja wangapi wamejenga wakaoa nawanafanya biashara zao bila buguza? Halafu inaonekana hujitambui na hujui wazanzibari wafanyabiashara wanategemea sana wanunuzi wa biashara zao kutoka Tanganyika? Ukiendelea nawivu wako na ubinafsi wako utakufa maskini na hutakuwa namchango wowote kwenye family yenu.
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Ushuru lazima kokote kule
@oopsm3574
@oopsm3574 5 жыл бұрын
Ndani kwa ndani au sio?
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Hujui unachokiongea kaa kimya
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
@@princeganji2779 Ehh, we ndio unaejua kila kitu. Ndio maana watu kun'gan'gania ulaya na kushindwa endeleza nchini mwao. Ulaya imejengwa kwa kodi za wafanya kazi. Jua hilo mjuaji 😉
@princeganji2779
@princeganji2779 5 жыл бұрын
Sham Moha pole sana Kwa uchizi
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,6 МЛН
KWANINI BEI YA SAMAKI ZANZIBAR NI GHALI............?
10:33
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 6 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 66 М.
UKATILI WA KIJINSIA ZANZIBAR
9:55
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 1,5 М.
HIZI NDIZO NYUMBA WATAKAZO PEWA WANANCHI WA ZANZIBAR KAMA FIDIA YAO
4:39
Utamaduni wa kushangaza Zanzibar, haupo sehemu nyingine Duniani
5:58
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
14:08
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 2,7 М.
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 31 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 115 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН