MAAGIZO MAZITO YA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO, ATINGA EWURA "WAPO WANAOVUJISHA TAARIFA".

  Рет қаралды 40,538

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@danielouma4475
@danielouma4475 Жыл бұрын
Huyu kiongozi alikuwa wapi? Hongera Mh. Rais Samia. Recognizing and identifying such brilliant leaders is completely a gift from our heavenly father God.
@alexmurithi1327
@alexmurithi1327 Жыл бұрын
He is a presidential material
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Chuma cha JPM havinaga longo longo. 🙌🙌🙌 Hii imeenda 💯 sasa kitaelewka
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
Hongera Mhe Rais kwkumteuwa huyu MTU
@mzugigizzlelife6229
@mzugigizzlelife6229 Жыл бұрын
God bless u Hon Dr. Biteko
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 Жыл бұрын
Mh waziri biteko Mungu akutunze sana maana kazi yako ni njema sana
@ephraimmakaranga1795
@ephraimmakaranga1795 Жыл бұрын
Yes my brother Mungu azidi kukupa hekima na busara ktk utendeji wako Kasi ulioanza nayo hakuna kulegeza wasiondana na wewe wakae pembeniMungu akubariki sana
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Huyu waziri namuona ipo siku ataja kuwa Rais wa Tz
@mrafm7285
@mrafm7285 Жыл бұрын
Fukuza ewura weka wanajeshi wasimamie ewura haohao ewura ndio wanaowaambia wenye madepot kuwa next month mafuta yatapanda au yatashuka Kwa hiyo ndio tatizo
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 Жыл бұрын
SAFI SANA NAIBU WAZIRI MKUU, MIKAKATI MIZURI.
@joojombi2341
@joojombi2341 Жыл бұрын
Bora kabisa Naibu Waziri, hao nawavunja sharia code of conduct. Wahamishe tu hapo Office
@joelgeorgemwakajinga9479
@joelgeorgemwakajinga9479 Жыл бұрын
You are in charge big boss so just be aggressive on that...... Wanainchi wanaumia sana Chief .....EWURA WAMEZIDIWA NGUVU NA MATAIKUNI...... BIG BOSS tumaini letu ni kwako na si UWURA.... SO WE NEED UR AGREESIVNESS......
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Kuna watu wakimsikiliza biteko wananuna kwa nyundo zake ila ukweli ukiwafatilia sip wazalendo tukumbuke mwisho wa siku tunakuw hivi☠️
@henericomasanja
@henericomasanja Жыл бұрын
Naona mwelekeo Bora wa Taifa letu🇹🇿🙏🙏🙏
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed Жыл бұрын
Dr Biteko Juma aweso Majaliwa Majaliwa Mchengerwa hawa Watu wakiungana warafika mbali Sana
@cadiaonesmo9660
@cadiaonesmo9660 Жыл бұрын
Aweso hovyo kwani Mwanza ziwa limekauka mbona maji shida
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
We jamaaa mungu akuweke kuazia muonekano tu naonekana sio ndumila kuili
@ajirahongoli840
@ajirahongoli840 Жыл бұрын
Mh. Wekeni ruzuku kwenye uwekaji wa system za cmg kwenye magari
@barakakitomary2936
@barakakitomary2936 Жыл бұрын
We nimasta my brother biteko Good job
@magrethsindabaha1851
@magrethsindabaha1851 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 Жыл бұрын
Huyoo magufuli safii sana
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Ee mungu mpe uelewa mkubwa huyu mheshimiwa asije akabadilika akawa kibaraka, aendelee kutupenda hivihivi.
@anthonymwandu2615
@anthonymwandu2615 Жыл бұрын
Mr president
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 Жыл бұрын
Dr Biteko jihadhari. Unagusa sharubu za Simba.
@johnnyahi4875
@johnnyahi4875 Жыл бұрын
Kweli ww nikiongoz
@JUSTINPiniel
@JUSTINPiniel Жыл бұрын
Hawa ndio mawaziri tunawataka
@tinolutonja8932
@tinolutonja8932 Жыл бұрын
hii
@joojombi2341
@joojombi2341 Жыл бұрын
Naibu Waziri Mkuu
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Жыл бұрын
Maumivu ya bei za mafuta ni makali sana msmtafute mchawi punguzeni idadi ya kodo mlizoweka ktk mafuta zaidi ya aina 15 za kodi muweka hapo
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Жыл бұрын
iv nikupongeze sana biteko ww unajua shida za wanannchi Yani ilifaa uyu ndo awe wazili mkuu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Sio waziri mkuu tumpime tuone kama anafaa kuwa rais huko badae
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 Жыл бұрын
Hapa naona sura ya Magufuli kabisa
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Жыл бұрын
Sheria za manunuzi zikibadilika pamoja na kuondoa utitiri wa Kodi za uagizaji bei ya mafuta itapungua otherwise mtaishia kupiga domo na mwisho hakuna mabadiriko yeyote yanayotokea
@yohanasiwingwa8544
@yohanasiwingwa8544 Жыл бұрын
Mkuu toa hao Mungu akupe mafunuo,kuondoa mwendeshaji,na wakuu wote wa idara
@nbanba7138
@nbanba7138 Жыл бұрын
Mh. Ukaguzi pia ktk masheli Ukaguzi upite sababu hua wanaficha bidhaa.
@innocentraymond3301
@innocentraymond3301 Жыл бұрын
Hivi hii nchi haina akiba ya mafuta kama taifa! na kama ipo taasisi gani inasimamia hilo naomba kujua tu!
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Жыл бұрын
Mh Rais wanao kusifia waogope sana
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza Жыл бұрын
Naomba pambana kijana mchapa kazi pambana hata na wale wanaomtukana raisi wetu mtandaoni maana mwenzako tunaona amekaa kimya anawaangalia tu sijui ana maana gani aisee!
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Acha uchonganishi
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Muache huyo kipenzi Cha waarabu
@AllySaid-m1v
@AllySaid-m1v Жыл бұрын
Tukiwa na viongozi kumi kama huyu tanzania itafika mbali
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Kwanini na serikali isijenge sheli zake?? Ili wakifanya mchezo tunaenda sheli za serikali!!
@andasonmdede5653
@andasonmdede5653 Жыл бұрын
Tunaishi Kama sio watanzania pambana waziri pia Bei yamafuta nikubwa mnoo matajiri wanatututesa kwakweli Hadi tunakosa imani na selikali nasio mafuta tuu na biza zingine kama nondo mabati sementi vipimo vimepungu sana na ubora pia nk
@geraldkweka2073
@geraldkweka2073 Жыл бұрын
Namuona raisi ajayo doto biteko Ana zile cheche na moto jpm
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Dolla ipo kuangshwa ko sometimes tupambane
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Kiukwer navo jua mwez uh itashuka
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj Жыл бұрын
Atakuwa rais wa tanzania baadae
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Жыл бұрын
Duh huyu jamaa alikuwa wapi kipindi chose hicho?
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 Жыл бұрын
Timua hao Nchi imenasa kwaajil ya wachache
@amosemmanuel31
@amosemmanuel31 Жыл бұрын
Umeme unakatika katika sana
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 Жыл бұрын
🙏🙏
@pastorypetro6861
@pastorypetro6861 Жыл бұрын
Je ni kweli Kila mwezi mnaagiza mafuta???
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Wazalishaji wamepunguza uzalishaji kwann hatu ongezeko mpango wa jpm na mseven kuwa na mafuta yetu? Akili zautegemezi zitauisha lini?
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo Жыл бұрын
Bei ya mafuta inapanda kila kukicha mh naibu wazir mkuu tafuteni tatizo liko wapi kama kuna uwezekano hata kodi ipungue kidogo mafuta yashuke bei twaumia wananchi
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 Жыл бұрын
MAKAMBA MPIGAJI ALISHINDWA KIDILI NA EURA😂
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Hiki kiti alikiweza hayati Sokoine hawa wengine subili tuone kesho tu watamfunga mdogo!.
@nesphorynyakunga1202
@nesphorynyakunga1202 Жыл бұрын
Biteko tulia hivyo hivyo mambo ya jisot wewe Kuna kitu utafik mbal😅😅😅
@safarimayala
@safarimayala Жыл бұрын
Seba welero akwighulhile makwuwa numhwe gwako gwanukwurwre nawelero tongelaga
@PeterIdan
@PeterIdan Жыл бұрын
Bora hata wewe biteko MUNGU akutie nguvu ucbadilike uwe nas
@casfeta-tayomikigomatochan9807
@casfeta-tayomikigomatochan9807 Жыл бұрын
Naibu waziri mkuu hapo kwenye gas pambana kabisa tutavuka
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Ni kweli wanadhibiti maana wakiamua kudhibiti mafuta ya pande bei yana panda wakiamua wadhibiti yashuke yana shuka!!
@SarufuMartine
@SarufuMartine Жыл бұрын
Unastahili,,,,,,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Katika teuzi alizonifurahisha Rais ni kumteua Dotto Biteko
@benignatairo4722
@benignatairo4722 Жыл бұрын
Huyu Biteko ni kifaa na Magu alimwelewa saana Hana BAYA
@husseinfemmy5035
@husseinfemmy5035 Жыл бұрын
Chuma icho like magu
@AMBINHED
@AMBINHED Жыл бұрын
Serekali iwape ruhusa wafanya biashara waagize mafuta wenyewe wanajua wapi kuyapata kwa urahisi. Tatizo kuleta mafuta kwa pamoja kuna changa moto kubwa sana. Kama hamta fanya hivyo basi kila siku mtakuwa mnafuguza wafanya kazi Eruwa na kuajiri wapya na kutupiana lawama.
@emmanuelmakale5853
@emmanuelmakale5853 Жыл бұрын
Huku kwetu umeme haupishani na kibatari upepo ukipuliza tu unazima
@harrisonmariki1112
@harrisonmariki1112 Жыл бұрын
Mhe Uko poa. Ila Kama mna nia ya dhatia kumsaidia upatikanaji na kwa bei nafuu, nashauri muwape wafanyabiashara uhuru wa kuagiza mafutapopote ilimradi Kodi zilipwe na tbs wahakiki viwango naamini lengo la serikali kuwapunguzia wananchi makali litatimia.
@nbanba7138
@nbanba7138 Жыл бұрын
Kiongozi ndio inavyo akiwa sababu uongozi nikulinda wana nch. Nahicho ndicho unakifanya ongera mh.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 Жыл бұрын
Mhe Naibu Waziri Mkuu Chapa KAZI unayo idea na interest ya nyosha Vitu zilio Harbika. Umpe kila kazi time limit. Sisi Becco Ltd tume tengeneza Barabara kutoka kabiti mpaka Mloka wakati haipitiki kabisa Ku lekea Nyerere Dam wakati wa Marehemu Rais Mgufuli mpaka Leo hatuja lipwa na JV Arabs 11B.
@mwaaang
@mwaaang Жыл бұрын
Mmenda mahakamani?
@Rojamila-te3by
@Rojamila-te3by Жыл бұрын
Wazili mkuu wa 2025 mtanikumbuka🚩
@praygodjohn5221
@praygodjohn5221 Жыл бұрын
Na mm nahisi Kama WAZIRI mkuu ajaye
@salamathiastz274
@salamathiastz274 Жыл бұрын
Rais ajae 2025
@belydonmbewa690
@belydonmbewa690 Жыл бұрын
Dawa yake waruhusiwe kuagiza wafanyabiashara kila mmoja anako jua bei itashuka iwe huria badala yakuweka makampuni machache serikali ichukue Kodi tu nakuangalia ubora
@abubakarmaulidi9745
@abubakarmaulidi9745 Жыл бұрын
Rais ajae
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Sasa itasalaimiaje ccm hoye kwani mkutano wa ccm?
@dilludillu2747
@dilludillu2747 Жыл бұрын
Ccm ndo boss wake
@mkiryamadebe7678
@mkiryamadebe7678 Жыл бұрын
Hamna lolote
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,6 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 54 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН
Duh! Kali nyingine hii kutoka kwa Biteko, agawa dozi bila huruma
16:28
MFAHAMU DK. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MTEULE
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 92 М.
Dk Mpango akiondoka bungeni baada ya kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais
4:40
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН