No video

MFAHAMU DK. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MTEULE

  Рет қаралды 92,210

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anaingia katika historia ya viongozi wachache kushika wadhifa huo ambapo Dk. Salim Ahmed Salim alishika wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1984 - 1989 huku pia akiwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Mwingine ni Hayati Augustine Lyatonga Mrema alishika wadhifa huo kuanzia mwaka 1991- 1994 lakini pia alikuwa katika nafasi hiyo huku pia akiwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Dk. Biteko alizaliwa Disemba 30, 1978 ni mbunge wa Bukombe tangu mwaka 2015 hadi sasa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Alianza elimu ya msingi mwaka 1988 na kuhitimu mwaka 1994 katika shule ya Nyaruyeye iliyopo mkoani Geita, baadae alijiunga na shule ya sekondari Sengerema kwa masomo ya kidato cha kwanza hadi cha nne kuanzia mwaka 1995 hadi 1998.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 85
@thelitoarmy
@thelitoarmy 11 ай бұрын
Mbunge wangu Dotto biteko, proud of you 🔥
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 11 ай бұрын
Hongera mzalendo ingawa uko katikati ya mbwa mwitu lakini nakuaminia sana. Bravo!!
@HurumaMwaliaje
@HurumaMwaliaje Жыл бұрын
Kafanye Waziri Wangu Pamoja Sana Mwenyezi Mungu akujalie Hekima Katika Uongozi wako
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 11 ай бұрын
Hongera Dotto biteko, endelea na unyenyekevu ulio nao utafika mbali MITHALI 22:4
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 11 ай бұрын
Ubarikiwe tunakuombea Sana Ahsante
@shabanimbega40
@shabanimbega40 17 күн бұрын
Sawa ongeeni lakini rwandese
@moyogems
@moyogems 11 ай бұрын
Hongera sana tunaimani na wewe mungu akupe ulinzi wake madini tutakumisi saana mzalendo wetu
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Жыл бұрын
Kafanye kazi kaitoe janja janja ya kukata umeme Tanzania.
@bishangainnocent5161
@bishangainnocent5161 11 ай бұрын
Mmm mmoja m In .m 😅m po na nilp Npnl😅h kj.o J m nmim😊 mm Mlandizi😊mu kll❤ Imp😊. M nmbojmvnmn Mmimm Kk. 😊m 😊😢😅 2:19 😮🎉🎉😮😮
@prudenceleeheung4487
@prudenceleeheung4487 11 ай бұрын
Hongera sana Mr Naibu Wazir
@mwana4599
@mwana4599 11 ай бұрын
Woooow. Asante kwa historia nzuri. Excelllent ndio tuna taks haya.
@AnordJonas-cq1rb
@AnordJonas-cq1rb 11 ай бұрын
Mi mwenyewe nakukubali.
@mustaphersamson6174
@mustaphersamson6174 11 ай бұрын
SAFI SANA, MAPAMBANO LAZIMA YAENDELEE, PIGA KAZI MKUU.
@jacksule7557
@jacksule7557 11 ай бұрын
Anastahili sana mzalendo muadilifu
@user-ez6ko4mm5d
@user-ez6ko4mm5d 11 ай бұрын
Kazi iendeleee
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 11 ай бұрын
KAZI IENDELEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@amaninnko7928
@amaninnko7928 11 ай бұрын
Hiyo elfu kenda siyo....Waalimu wa kiswahili muongee hapo ...ni elfu moja mia kenda
@J4UPro
@J4UPro Жыл бұрын
Safi sana mama
@shabanimbega40
@shabanimbega40 17 күн бұрын
Kulwa namjua vizuri utakula jeuri 😂😂yenu
@user-wy3di8ej3p
@user-wy3di8ej3p 11 ай бұрын
Tuna Rais wa hovyo sana😢
@alisalimo2861
@alisalimo2861 11 ай бұрын
Mbona mbinafisi ww
@mohamedsuleiman2785
@mohamedsuleiman2785 11 ай бұрын
Kwa hiyo walipo Chaguliwa kina mrema na Salim ilikuwa hakuna raisi wa ovyoo ila Sasa onyoo eee wacha chuki za kijingaa
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 Жыл бұрын
Pambana bro hongera na pole kwa majukumu mazito ikumbuke ile nguzo ya nakaza mwendo
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 11 ай бұрын
Good leader
@mehboobkarmali5211
@mehboobkarmali5211 Жыл бұрын
Congratulations
@uchebetz7284
@uchebetz7284 11 ай бұрын
Mpuuzi tyuu huyu ana maaajabu
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 11 ай бұрын
Kwan mimi history yake inanisaidia nini au family yangu inafaidika nini kupitia history yake au Mimi nifurahie history yake itanipa faida gani mnashindwa kutafuta mafunzo ya mashamba au elim za ufugaji et fulani hivi na hivi huo ni umaskin wa fikra tuu mnakaa kumsifia mtu ambae hata siku moja hatokuja kukusaidia chochote kwenye maisha yako
@philipocharles9239
@philipocharles9239 11 ай бұрын
Wivu haujawahi kumuacha mtu salama
@ashelyjohn9180
@ashelyjohn9180 11 ай бұрын
Katka, mawaziri ambao wanafanya kazi kwa weledi , ni dkt.Dotto biteko ..huwa namuelewa xana
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 11 ай бұрын
Yaaan kwel hii nchi imevamiwaaa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Huyu Mhe hata akiandaliwa kuwa namba moja poa tu , hana kundi lolote , mzalendo, Kabila lake zuri sio Ma Racist, Mwelewa saana , hajikwezi, Kiongozi mahiri saana , Mungu amlinde kwenye Safari yake
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 ай бұрын
Ditto Biteko ni mnyarwanda original ingawa kabila siyo issue Kwa Tanzania ila inabidi aache upendeleo kwa wanyarwanda ili Tanzania isiwe kama Uganda na DRC. Bahima empire
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 11 ай бұрын
​@@RubenMtuwaMungu-bz8eeje ni kweli usemacho , na je waweza ni kwann useme ni mnyarwanda katikati ya medani ya siasa za Tanzania ?
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 11 ай бұрын
Mhe Naibu Waziri Mkuu Naomba wewe unisaidie Becco Ltd nipate 11B nawa Dai Jv Arabs tume tengeneza Barabara kutoka kabiti mpaka Mloka wakati haipitiki kabisa lekea Nyerere Dam wana zungusha hovio.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 11 ай бұрын
Kiongozi bora
@gabrielsendeu3069
@gabrielsendeu3069 11 ай бұрын
Mhe Bitteko Anastahili Nafazi hiyo Naamini Tatiso la umeme unaenda kuwa hitoria inchini Tanzania
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 11 ай бұрын
Mwandishi chawa tu
@user-ch6lb6lu8s
@user-ch6lb6lu8s 11 ай бұрын
Mh yaani viumbe sisi mtihani wallah
@mussaisaac
@mussaisaac 11 ай бұрын
Bado kijana mdgo sana miaka 45 tu
@helelochaula8140
@helelochaula8140 11 ай бұрын
Hulu vyuoni kote alikuwa akishika nyadhifa mbali mbali za juu ikiwemo urais wa wanachuo MOTCO (MOROGORO) na SAUTI
@TupoComedy
@TupoComedy 11 ай бұрын
👏
@user-li5de5qb4j
@user-li5de5qb4j 11 ай бұрын
Ndio
@ngwanyijekatanga1682
@ngwanyijekatanga1682 11 ай бұрын
Hongera sana mgogo wangu mngu aendelee kukusimamia amin
@breymbasa3451
@breymbasa3451 11 ай бұрын
Ugogo umekujaje hapo ushawahi sikia mgogo akiitwa mashaka ama biteko. Tuachane na dotto hyo ni kalibia sehem zote tz,wakizaliwa mapacha kuna kulwa na dotto je wagogo kuna kina mashaka na biteko? 😂😂 Au mgogo siku izi ndo msukuma
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 ай бұрын
​@@breymbasa3451ni mnyarwanda siyo msukuma
@simonsadala2386
@simonsadala2386 11 ай бұрын
Kasoma kwa kuunga unga hii inaonesha wazi kuwa mtu huyu alikuwa anafeli shuleni na kurudia rudia kifupi sio Gold wala Iron
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 11 ай бұрын
Ana asili ya Rwand ni mtusi
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 11 ай бұрын
Kumekucha, Mumeanza Tunarudi palepale kabila yake hapa Inahusu nini?
@breymbasa3451
@breymbasa3451 11 ай бұрын
Uongo huyo ni msukuma tunaijua vzuri familia yake hapa bukombe
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 11 ай бұрын
​@@breymbasa3451siyo kweli ni mtusi halisi. Hata hivyo hatu complain kabila lake tunachotaka ajulikana kuwa ni mtusi asijifichie Kwa wasukuma.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 11 ай бұрын
Kwani kabila hapa linakujaje .Unataka kutambika Sebastian .
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 11 ай бұрын
@@joscamwoshezi2986 Muulize hasa, maana hawa ndio kina Chokochoko.
@ShabaniOnyango-gm3vz
@ShabaniOnyango-gm3vz 11 ай бұрын
HV kumbe katiba inaruhusu wazir mkuu kuwa na naibu wake
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 11 ай бұрын
Ibara ya 36.(1) (2). Imempa rais mamlaka ya kuanzia wizara yyte.
@mybrain8940
@mybrain8940 11 ай бұрын
Shida ya siasa ni moja so kapata dili, au wananchi wamepata kiongozi Bora?
@prosperkimaro4660
@prosperkimaro4660 11 ай бұрын
Haya mama aujanza wewe kumchagua naibu waziri mkuu
@baizoboy1719
@baizoboy1719 11 ай бұрын
Tanzania mnateseka mkiwa wapi?? 😅😅
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 11 ай бұрын
Hii nchi ni ya wachache tuu ila yote tisa kumi hata mkajipa mavyeo mkafanya mtakavyo hakuna atakaebaki hapa dunia hizi zote ni mbwembwe tuu wote tutakufa tutaacha kila kitu endeleeni kujifanya kama nyie ndo miungu watu
@RukiaSamalu-kv5gy
@RukiaSamalu-kv5gy 11 ай бұрын
Acha kuchukulia vitu personal
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Жыл бұрын
MAGUFULI alitengeneza wazalendi wengi. Tatizo mama aliingizwa chaka akawaondoa wazalendo wote wa MAGUFULI na kuweka vibaka. Sasa wamemharibia mama Wala wao hawajari kitu
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 11 ай бұрын
Wewe fala kweli kwani si alikuwa waziri wa mama
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 11 ай бұрын
@@salehesalehe2967 fala maana yake nn at??
@shumbufrancisc9968
@shumbufrancisc9968 11 ай бұрын
Pambana mh,songa mbele na uangaze,Mungu kakuchagua kulitumikia Taifa lako,usirudi nyuma tunakuombea.
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 11 ай бұрын
Chemo hicho kimo kwenye Katiba?
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 11 ай бұрын
Ibara Ya 36/ (1) (2) Inampa Ruksa Rais kuanziaha Wizara Yoyote!😂
@malimicostantin7527
@malimicostantin7527 11 ай бұрын
Poa
@naturelle1097
@naturelle1097 11 ай бұрын
Hongera.but historia yake inaonesha ana passion ya Ualimu zaidi. Technical know how ya Wizara hii sijasikia ..Engineer wa TANESCO akisema anazima mitambo ili afanye sijui nini how will you understand?? Nimuhimu anaepewa hii Wizara awe na academic qualifications zinazoendena na hii Wizara and that is why nchi imekua ya migao ya umeme kila leo. wapo watu wenye hizi qualifications why not use their expertise? Ningependa kuona mtu kutoka REA for example anaelewa swala la Umeme zaidi.kuhusu madini Geologists mpo? .muhimu sana Waziri akawa na uelewa mkubwa na mpana wa hivi vitu.
@FredrickbarnabaBarnaba-hu1qp
@FredrickbarnabaBarnaba-hu1qp Жыл бұрын
Hivi nafasi hii ni kwa mujibu Wa katiba au ni utashi Wa Rais?
@josephusimbanilo9500
@josephusimbanilo9500 Жыл бұрын
Ni utashi wa Rais katba Haina naibu wazr Mkuu 😮😮
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Rais amekula kiapo hawezi fanya jambo kwa kukurupuka, kwani huyu ni WA Kwanza kuwa na cheo hicho Nchini
@karoliwilliam8877
@karoliwilliam8877 Жыл бұрын
Unawaza namna ya kukosoa tu
@maribaisack2097
@maribaisack2097 Жыл бұрын
Katiba
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 11 ай бұрын
Katiba y nchi ibara ya 36. Sura 1 na 2. Imempa mamlaka rais y kunzisha wizara yyte bila kuathiri mfumo wwte.
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 11 ай бұрын
Panapo uhai huyu atakujakuwa rais. Komenti hii itabakia
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim Жыл бұрын
Tumepata jembe.Kila la heri kijana mchapakazi.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
makuwadi ya warabu
@mathewkihwelo8550
@mathewkihwelo8550 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuongoze katika mapambano ya kuleta maendeleo ya nchi yetu. Tunakuamini na tunaimani na wewe mh. Biteko
@timothymapunda5030
@timothymapunda5030 11 ай бұрын
Huyu jamaa alishakuwa mhasibu Uhamiaji kia,sijasikia mkitaja hiyo.hivyo story yako sio sahihi
@johnkugesha7886
@johnkugesha7886 11 ай бұрын
Huyu hajasomea uhasibu. Unayemsema ni kaka yake anaitwa Kulwa Biteko na wanafanana sana, kama huwajui huwezi kuwatofautisha
@mirajisaidnzumira5842
@mirajisaidnzumira5842 11 ай бұрын
Siyo yeye ni kaka yake ndio alikuwa mhasibu
Historia Ya Nape Nauye
8:57
USIKU TV
Рет қаралды 1,1 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 49 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 22 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 49 МЛН