Pole Sana Mh waziri mkuu, watumishi Kama hao wako wengiii. God bless you
@leodegarfoyanshaw7111 Жыл бұрын
Mh.Waziri mkuu, kwa kweli unachapa kazi iliyotukuka, wanamchi wako tunakushukuru sana na tunakuamini Sana na tunakuombea sana Mungu akubariki
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Majaliwa you deserve to be a presdent,
@jumakondo568810 ай бұрын
My next President
@sambulugu9988 Жыл бұрын
Daah baadhi ya watendaji ni wabaya sana na wana roho mbaya sana! Asanteh Waziri Mkuu! Wazawa wanawekeza wazawa hao hao wanakwamisha! 🙏
@knight6757 Жыл бұрын
👀
@sulemanmndeme8961 Жыл бұрын
Washitakiwe. Naomba kuwekwe Sheria ya utumishi wa umma. Atakaeenda kinyume na taratibu za kazi,kula rushwa,kufanya dhuluma na kutofuata Sheria za kazi washitakiwe. Tunawalipa Kodi zetu na watanzania wengi waadilifu hawana ajira.
@ahz6907 Жыл бұрын
Wanyongwe😅
@Mkrist Жыл бұрын
Hii ndiyo Serikali ya Samia Suluhu. Angekuwa Marehemu Magufuli, hapa vichwa vingeanguka leo leo. RIP Magufuli
@omaryramdhani98239 ай бұрын
Hana lolote lilikua na roho mbaya hilo dude lako uliko litaja
@michaelkisesa395929 күн бұрын
Hongera sana Major mungu akupe maisha marefu sana uendelee kupigania wa nyonge, na kwa ulichokisema inaonyesha ni jinsi gani kuna majungu mengi na ndio maana ukawekewa kaimu waziri mkuu.
@nekaagripa3993 Жыл бұрын
PM ni mmoja TU TZ
@mikbete Жыл бұрын
You are among few remaining TRUE SONS OF AFRICA.
@BarakaRwegoshora10 ай бұрын
Ndicho tunakipata WAKULIMA WA VANILLA MKOANI KAGERA TUNAIDAI KAMPUNI YA SOSAKA
@elisantemrita9490 Жыл бұрын
Watanzania huyu jamaa Mungu katupa 1) Awe raisi 2) CCM wakikataa awe raisi basi tumchangie hata 💯 kila mwananchi
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Hapa Kuna mambo mengi yalienda mrama .. kuhusu utaratibu. Pm amelazimika Hadi kutumia vetto.
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Mwanza kuna syndicate mbaya sana inayohujumu kila kitu cha maendeleo na wanajifanya wao ni untouchable. Hongera waziri Mkuu kwa kuwakabili hawa.
@juzepha3160 Жыл бұрын
Baba jiuzuru uwaachie nchi yao, kipindi kikifika tutakuchagua 😢 Wasikudharau Bure Baba
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mhh mhh siku ya hukumu imekuwa tumevurgwa na yetu Ila tungekuwa na wasaa wa kuangaliana tungebaku midomo wazi,kutokuamini ukweli wa mambo
@johnmworia1062 Жыл бұрын
Sukuma ndani alafu wachunguzwe inaonekana ni wapigaji hawa.
@richardjoseph2921 Жыл бұрын
Kweli kaka huyu mzee wetu wanam~buruza tu. Usikute hata kustaafu wanamgomea hili kuficha......
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
@@richardjoseph2921 usilolijua sawa na usiku wa giza
@wamoyothenumberone4356 Жыл бұрын
Yeye sindo wazili mkuu sianamaamuzi na Utawara Akonaoo
@kristofuraha3369 Жыл бұрын
Aisee wanyonge wanapata tabu sana!😭
@filmmaker8444 Жыл бұрын
Inafurahisha sana level ya ufuatiliaji But the irrelevance of the issue is even next level. i wish vipewe kipaumbele vitu vyenye msingi kwa Wote in such a public level of detail.
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
Mzee wewe ni mtu sahihi peke ako ambae umebaki kwenye uongozi huu hao wengne wanafata upepo tu mungu akuweke sana mzee unapiga kaz nzuri sana🙏🙏🙏
@fidemgonja1966 Жыл бұрын
Nchi hii ukisimsma kwenye haki utapgwa vita kama sana pm kazia apoapo
@scolasticakaduma5143 Жыл бұрын
Waziri Mkuu wewe ni damu ya JPM kabisa tunakupenda Watanzania wote. Hao mashetani ni majipu tumbua.
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
Hongere Mhe Wazir Mkuu kazi inaendelea..........
@edmundchota2664 Жыл бұрын
Safi saana Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa maamuzi magumu.Hongera Sana!!
@Prax1 Жыл бұрын
The only Leader at the Moment
@MONGABABERE Жыл бұрын
Vzr sana waziri mkuu binafsi nakuamini sana,
@evansmoshi1923 Жыл бұрын
Tunashkuru sana wazirimkuu Kwa maamuzi sahihi mungu akubariki sana ,naona wakuu hapo vipara ving'aa kwelkwel
@wamoyothenumberone4356 Жыл бұрын
😂😂😂
@user98771 Жыл бұрын
Watendaji Ardhi Halmasahauri manispaa ya kinondoni wanatapeli mnoooo
@yustiniKilumileАй бұрын
Kweli Waziri yupo vizuri sana angekuwa na magu yuhai tinge songa mbele sana
@yonangobito281 Жыл бұрын
Huyu ndiye kiongozi mwenye hofu ya Mungu
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Uyoo ni kibuli SANA. Anaweza kushindana na Mkuu wake WA KAZIIII DUUUUU GONJWAAA SANA LA UBONGOOO
@godlovemasamakibatandu2092 Жыл бұрын
Kwani hujui teuzi za mama? Ni kujuana ndio maana kamweka wazuri mkuu naibu
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Siku zote nakuamini PM✍️ keep going...naomba mh chukua maamuzi magumu juu ya maadui hawa😢😢😢..inauma sana👽 nimeumia sana kudharauliwa mh waziri mkuu wetu🤨💯
@mapendomeela7166 Жыл бұрын
Mweshimiwa waziri mkuu gombea uraisi unapita mia ya mia mungu akulinde
@mariomachecajoaquim1921 Жыл бұрын
I hope your Excelence One day to BE the Next President of Tanzânia. Naipenda bure kazi yako safi sana Mze
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Waziri mkuu Majaliwa wewe ndiyo ulistahili kuwa Rais mama hawezi wewe ni kama hayati magufuli unachapa kazi vizuri sanaaaa
@ZanzibarOrchestra9 ай бұрын
kumbuka uweko wake hapo ni kwa sababu ya mama asingetaka awepo ungekuwa ushamsahau. mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.
@YustoMlay-cv4zb Жыл бұрын
Uyu Mzee anafaa kuwa Rais kabisa
@DullaSelemani9 ай бұрын
Mkuu mpo vizuri sana ww na mama yet rais Wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimiwa samia sulluhu hassan
@justinleveran6137 Жыл бұрын
Tunasimama na wewe Waziri Mkuu wetu, kauli ya Mkurugenzi imetuumiza hata sisi wananchi .....Our future President
@brother_majesty Жыл бұрын
Naona PM akapewa kinoti..aloo...hii nchi aliiweza MAGU tuu
@husseinabdallah916 Жыл бұрын
Waziri mungu akubaliki akulinde kwakutendaaki atasisi uku avc wanatutesa sana juu yamambo kamaayo
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Tuwe wangalifu na maneno kwani yanaumba. Tuseme unachopenda na wewe usikie. Mungu Baba Mwenyezi tusameje kwa udhaifu wetu. Amina
@amisamaurid188211 ай бұрын
Xafi xana wazir mkuu tumia fyekeo lilelile tumechoka ❤
@josephshee Жыл бұрын
Hongera Mh. Waziri Mkuu, huko ardhi yapo mengi tuu, ya aina hiyo. Wengi wana viliyo kama hivyo.
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Safiii baba waziri mungu akulende na zidi yaa mafisadi baba
@naldclever Жыл бұрын
Mh.Waziri mkuu kama wanakuzingua jiuzulu 2025 tukupe nchi....
@stephenndagalla8183 Жыл бұрын
Na huyo àliye toa kauli ya kumdharau WM pamoja na Mkuu wa Mkoa wanachukuliwa hatua zipi.Ikumbukwe kuwa huyo Kamishna wa ardhi aliyetoa hiyo kauli ya dharau na DED wàlitumbuliwa na Magu, lkn wakarejeshwa na Mamlaka iliyopo, hapo picha ni kubwa zaidi. WM ana kazi...
@rkcomercialenterprises3209 Жыл бұрын
Mali iliyopatikana kutoka kwa wananchi kwa njia ya compasation kwa manufaa ya Umma haiwezekani tena wananchi wengine wauziwe. Kuna shida hapa.
@midundotechtz6843 Жыл бұрын
Mm sijui niseme nn yan watanzania washamilza ❤❤ PM kasim
@ezekielkandonga9238 Жыл бұрын
Waziri Mkuu Mungu awe nawe,Hawa viongozi wengine ni takataka ni na mzigo kwa Taifa Letu.
@robsonlotyloy5678 Жыл бұрын
Mungu akulinde baba.
@frankmganda2424 Жыл бұрын
Muwekeni ndani uyo mkurugenzi
@josephntongolo-kh5lm Жыл бұрын
Unahitaji katika wakati huu mkuu kumsaidia mama.
@robertmkude8234 Жыл бұрын
Hivi huu utamaduni wa watu kuwa incapable ya kufanya jukumu lao alafu wanahamishwa badala ya kufukuzwa na kutaifishwa mali zao kulipia hasara waliyosababisha haya mambo ndio maana hayakomi. Hapo ndipo walipomchukia JPM,yaani haiwezekani watu kuwa that stupid. Alafu bado ana kazi,WaTZ over 65mil tuna recycle same idiots? Aisee kiendelea hiyo nchi ni ngumu sana,biashara ya kuoneana aibu hii inatutia umaskini. Wafukuzwe na wafilisiwe,inaonekana sababu ni pesa ya serikali hakuna mwenye uchungu nayo. Ni JPM(RIP) tuu ndio aliyekuwa anamaanisha alichokuwa anakiongea,love or hate him.
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
Umesema kweli ndugu. Recycling the same idiots, incapable fools
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Kabisa
@shubebunyesi542 Жыл бұрын
Jpm mengine mnamsingizia angekuwa hai angekataa ayo maneno mnayo mlisha Magu alikuwa anawatumbua tu lkn wako huru na sanasana ni wale viongozi walioteuliwa tu mfanyakazi aliyeajiriwa kuna hatua za kufuata tofauti na apo ata atakushitaki na utalipa fidia na kazi anaendelea sio rahisi Mana wengi wangekuwa walishafukuzwa, lkn pia matumaini yamekuwa makubwa kuliko uhalisia yule alikuwa mkali lkn watu walikuwa wanapiga kama Kawa
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Tafuta pesa Broo 😂😂😂 tuachane nao hao sio tz ndo inawatu wa hovyo nnchi nyingi duniani zipo hivyo
@prospervedasto4366 Жыл бұрын
Sidhani kama PM walopita wangaliweza kuendesha kikao na kulalamika hivyo, Mh. PM ajitafakari analiwa kisogo heri awaachie kiti hicho abaki na heshima yake
@jofreusimon8514 Жыл бұрын
hayo yaendelee katika uchunguzi mbalimbali nchi nzima inchi itakuwa inaviongozi wachapa kazi na waaminifu na wenye hofu ya mungu na kazi iendelee. ubarikiwe sana kiongozi.
@Kanyawela Жыл бұрын
Waziri Ongera sana kwa Kazi
@sichahaule2819 Жыл бұрын
Magufuli alikataa makala wengine wanasema makala.mzuri
@mayanigerald Жыл бұрын
😁😁😁😁 majamaa wanajifanya kuandika notes kama wako serious vile ha ha ha ha
@hassanisaimon1531 Жыл бұрын
The fittest one will survive.....!
@meshackmpalanga9130 Жыл бұрын
Yaaaan, hao jamaaa waliuza hadi eneo la kujenga kanisa
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Tanzania Kila mtumishi ni mwizi.Nchi ina loopholes nyingi sana hii na haitatoboa
@francismlembwa2733 Жыл бұрын
Huyo makala ni Basua kichwa Sana hata Dar es salaam ametusumbua Sana maamuzi yake ni maumivu Sana kwa WANANCHI , mkurupukaji awezi kuita pende mbili ili kupata suluhu, Mungu atamlipa tu hapa Dunia, Uongozi ni Busara,hekima na Utu
@RichraxRichdeng Жыл бұрын
CONGATURATION OUR MP I WANNA YOU BE OUR FORE PRESIDENT 2025 and not samiah suluhu hassan I BELIEVE 2025 THERE WILL BE HIGH POLITICAL SITUATION RATHER THAN EXPECTED
@alexchonanga1821 Жыл бұрын
Good job mhe PM MAJALIWA MAJALIWA HAKUNA ASIEKUELEWA TANZANIA HONGERA SANA KWA KUMSAIDIA KAZI MAMA SAMIA LAKINI HONGERA SANA KWA KUSOLVE MATATIZO YA WANANCHI
@Fundi1234510 ай бұрын
Mama sasa sasa hapo alitakiwa kumuunga mkono wazili wake kwa nguvu zote sisi mama akinyamaza inaoneswa kuwa ni nguvu ya waziri tu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ZanzibarOrchestra9 ай бұрын
kwani kila mmoja ana serikali yake?
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Aliesikia jambo dakika ya tisa sekunde ya 14 mpka 19 agonge like hapa😂😂😂😂😂
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Shughulika nao mheshimiwa waziri mkuu kwani viongozi mmekuwa mnapoteza imani kwa wananchi kwaajili ya watu wachache wenye mambo ya hovyo kabisa kama hao wanao nyima haki za watu kwa maslahi binafsi
@michaelmatonange630 Жыл бұрын
Mama tumbua ayo majipu😢😢
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Anaanzaje
@yuenwilington835 Жыл бұрын
Majaliwa kama majaliwa waukweli ndoo huyu mwamba wa serikali tatu.
@samsonkivuyo9548 Жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa anasinzia mbele ya Boss wake
@singanoatanasi1994 Жыл бұрын
Dhamiri hai kwa binadamu zimekufa . Dhamiri hai njema zipo chache hatutaweza kuishi kwenye aridhi hii milele alie iumba anatuangalia sana tu Mungu atusaidie sana wenye haki aisee
@DeomtanaDeo11 ай бұрын
Naomba number zenu Nna habari moto sana Arusha kuna wakubwa wana tafuna ela za shule
@edgarnemass4645 Жыл бұрын
Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake. (LUKA 10:2)
@josephvenus3259 Жыл бұрын
WAZIRI MKUU WE KATA FUNUA HAO 😏😏
@JumaShimende Жыл бұрын
Tuna macho hatuoni tunamasikio hatusikii mama akimaliza muda wake tunakuomba baba gombea urais mungu akuweke insha Allah.Au ikiwezekana jiuzuku igombee Kwa chama chochote tutakuja kura
@DianaDaud-b1f Жыл бұрын
Tanzania bhana hatari Sana mkuu wa mkoa anajimwambafy kwa waziri mkuu hii ni hatari Sana
@TM.Sullusi Жыл бұрын
Sio hata mkuu wa mkoa ni Mkurugenzi wa halmashauri 😂😂😂
@mbenambenanga8889 Жыл бұрын
Huyu makalla hamna kitu kabisa Mzee,,, ata uku dar alishanza kuvurunda
@bebysheni-gf1zf Жыл бұрын
Hii imeenda Al ahali imekuja dar es salaam wakagungana Simba imeenda misri Moja Moja afu Simba katolewa vipi hawa
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Wazurumaji hao wapiga diri hao kuoneya wanyongee wasio kuwa na pesa😢😢😢
@kilogreek405010 ай бұрын
Kakukejeli Atambui kauli ya waziri Mkuu wewe Ndio wapili nchini sukuma ndani😂😂😂
@michaelmwalimu605711 ай бұрын
Makala lazima afukuzwe hafai kuwa kiongozi alituumiza sana huku Daresalam
@singanoatanasi1994 Жыл бұрын
Jamani leo tupo tunaishi hivi kesho yetu ipi kwa Mungu haki ikwapi viongozi mliopata wadhifa wa kuwasadia wananchi mpaka waziri mkuu aumize kichwa ili kuweka usawa . Pongezi waziri mkuu
@luganojohn2673 Жыл бұрын
Mtatibuana wenyewe mpk mkome
@josephlorri431 Жыл бұрын
Waziri mkuu anaongea kwa kuumia,anatetea ofisi ya PM, sio yeye kama Majaliwa. Kama huyu mwenye dharau kwa maagizo ya PM ndo wale 'chawa wa mama',bado tuna safari ndefu
@arthurkasiba751 Жыл бұрын
UnApata wapi ujasiri wa Kumzungusha Hon; PM majaliwa
@FadhiliRashidi-z3b Жыл бұрын
katiba mpy ndo kilakitu
@ml-elisante-kwayayavijanai6570 Жыл бұрын
Dah kweli hii nchi imeyumba.
@frankmganda2424 Жыл бұрын
Mkuu hao sio wakuongea nao kama wanakuzarau wachukuliwe atua haraka sana
@habibukitwana1552 Жыл бұрын
Waziri mkuu kazi unayo maana huna support kutoka kwa Rais😢😢😢😢
@cyprianboniphace-oz5lw5 ай бұрын
Hii nchi rais akiwa Mh Majaliwa na waziri mkuu akawa Jerry Slaa hakika watu tutaheshimiana hawapendi ujinga.
@ahmadiomari6913 Жыл бұрын
Waziri wetu weee. Mola wetu akuhifadhi. Tuko nyuma yako na serikali yako Ukifnaya vizuri nitakupenda had kufa. Maslahi ya uma uko vyema.❤
@GiftWilliam-tz7ws9 ай бұрын
Ndiyo Mheshimiwa Ida
@wamoyothenumberone4356 Жыл бұрын
Huyo aliepinga maagizoo ya wazili mkuu maamuzi aliyatoa waapi
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
inshallah one you must lead this country
@franciskassanga7999 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapaaaaa !!!
@jeromesapi5522 Жыл бұрын
Huyo phares Robert na halima wanastahili wafungwe jela maana hata mimi wananilazimisha wanipe fidia kiwanja changu huku wamechukua hela ya muarabu mmoja wamuuzie. Wana jeuri sana maana waliniambia niwapeleke popote hakuna wa kuwatisha hata raisi nimfikishie.
@MeshackLukanda11 ай бұрын
Ila hii nchi tuachieni wasukuma muone naona Moto wetu mnaujua vzr
@mohammednassor8167 Жыл бұрын
Naogopa sana daaah
@lucassalvatory7251 Жыл бұрын
Our next president
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Kiburi cha madaraka.Mtu anatamka kutotambua maamuzi ya waziri mkuu😢😢😢
@vidalyuki4916 Жыл бұрын
Hongera
@bakarykijazi293 Жыл бұрын
Tumebaki na majaliwa mungu onyesha nguvu zako huyu kiume awekiongoz wajuu katika taifa la TZ
@FrankMapuga Жыл бұрын
Tunakuomba mpwapwa mh. Waziri mkuu
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Kuna watuhumiwa wawili hapo mzee wetu magu aliwatumbua mama akasema sikubali wakarudishwa mlimfanya magu chizi nyinyi ndo wajuaji wameboronga tena bado huyo mmoja makalla mnahangaika naye kumuhamisha mikoa mpaka analeta dharau bado waziri mkuu unamtetea eti wamemmislead haya hangaikeni naye tu sijui mtamrudisha Dar bado tu zunguukeni naye ila iposiku mtajua magufuli hakukosea kumtumbua Amos Makalla sema mama kama alikuaga na nongwa na magu
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Kumbe alitumbuliwagw
@abdullahchabukila6686 Жыл бұрын
Kabsa wanajifanya wajuaji ona sasa madudu Baba magu alitoa takataka zote bikidude kaludisha ni upuuzi tu 😢
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Wale watu wa Magufuli wote aliowatumbua wamerudi basi acha wale nchi
@ahz6907 Жыл бұрын
@@abdullahchabukila6686bi kidude...
@Abdulhamid-pw3qy9 ай бұрын
Nyie wote ni pumba tu. Mna ndoto na mwenda zake dikteta jiwe Magu muuwaji asie na huruma ktk utawala wake wa mkono wa chuma. Yule alikuwa na roho mbaya na chuki na ndio maana M/Mungu alimuondoa mapema ili kuwapa amani viumbe wake. Moto wa milele umuunguzie dikteta mtoa roho magufuli.
@Clement-px8eg Жыл бұрын
Hii nchi imekwisha kufa unachofanya ni sawaswa na kutaka kufunika mwili kwa leso.