Mnalifaham shetan nimsanii anawapepeta kama ngano Ili tu msigu due habari zake tunazijua okokeni jaman mkamkir yesu nakaribini sabato amina❤
@RUBYADO Жыл бұрын
Amina
@PauloZakayo-hy3ro7 ай бұрын
Vip@@RUBYADO
@DamasiIzaki2 ай бұрын
Huo ni uchawi azalAni jamani
@angeljoseph81032 ай бұрын
Nashindwa kuelewa ndugu wanasema amekufa walimshika akajKuondkana daktari kasema anapungufu waakili kwahiyo nayo waliojieleze a kubwa amerudi mazingara ya kutatanisha nao wanaufahamu mkweli yupi
@YohanaChegeАй бұрын
@RUBYADO😢😢😢😢😢😢
@DaisyChepkoech-y2sАй бұрын
Mungu mfufue Mama yangu
@christinemtangi42802 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu siku zote.🙏🙏🙏
@IvetteRashide4 күн бұрын
Mungu unfufuwe mama yangu na mwanangu na Bibi yangu.na ndogo wangu
@marymfugwa8472 жыл бұрын
Dok, umekwama kwa maelezo yako kwahiyo unabishana na ushahidi wa ndugu?
@MsAisha-w4o3 ай бұрын
Ole wenu mnao ingilia kazi ya mngu. Mngu haingiliwi kwenye njia zake binadamu utabaki kua binadamu huwezi ingilia njia za mngu.. uchawi umeshindwa ktk uwezo wa allah✅📌
@hadijamagufuli26612 жыл бұрын
From 🇹🇿mungu amfanyie wepesi inshalah
@rukiyamohammed29452 күн бұрын
Ee Mola wangu ,muumba wa mbingu na ardhi , tusaidie , tuokoe yaa Rabbi😢
@williambonyo-gt4fy Жыл бұрын
If possible take the lady to pastor Ezekiel and you guys will get the answers to your pending questions and I'm very sure he will help you coz he can oversee
@حمودي-ظ7ش5ث Жыл бұрын
Mungu amajilea Sana Na akumbuke Mungu Na kuombo
@praisehappiness8312 Жыл бұрын
Jameni basi Mungu mrudishe na mwanangu anicent kabeba..mwaka umeshaisha tangu tumzike 2022 march 4th. Namiss mwanangu sana alikuwa mwana wapekee kwangu mzaliwa wa kwanza wa kiume. Yaniuma kweli
@Lill12llLil888 Жыл бұрын
Ak nammi mungu c anikumbuke nammi anrudishie wangu juu hata cjawai amini kama alikufa juu hata hakugua,,ak mungu unikumbuke nammi😭😭😭😭😭😭😭
@Samoasoul2 ай бұрын
@SalomeYesaya2 ай бұрын
Jaman
@ESTHEROMMULI-ui6ftАй бұрын
@@Lill12llLil888mm namwomba Mungu amrudishe mamangu ni miaka 7 tangu tumemzika ninaamini kuwa atafufuka tena
@ZainabuJunior9 күн бұрын
Mungu mfufue mama angu namwanangu
@adbulmama50652 жыл бұрын
Subhana Allah.bamuace Allahu ayitwe Allah
@justinealoyce52712 жыл бұрын
Mungu wangu amlinde huyo bint Aishi maisha marefu
@rachelkivevele64342 жыл бұрын
Asante Mungu matendo yako hayazoeleki
@janegeogre32342 жыл бұрын
asa kuna haja gani ya kuonesha hii habar na hali ya kuwa mmeficha sura??
@neemaruben54272 жыл бұрын
Etiiii jmn
@lsacklsack5 ай бұрын
Jaman mbona wengine mnakoment hoviyo kwan ham amin kama mungu yupo had mna sema kwamba kwa nn asinge rudishwa akiwa mdogo kwahiyo mna mpangiya mung nakwan ham juw ukwel na kirib zauwongo poleni sana wanafamilia inshallah mwenyezi Mungu nimuweza wa yote utakuwa sawa t bint amiin
@AnethNkubaАй бұрын
Nao ni mateka HAO! YESU awaponye
@akothirine69412 жыл бұрын
God is always there my dears
@AsteriaJuma-n6qАй бұрын
Mungu mponye huyu dada 13:19 13:23
@josephmwakilasa61162 жыл бұрын
Ya mungu mengii..
@binfolavodjaf53772 жыл бұрын
Mmmmh polen sana
@marylinemutheu81732 жыл бұрын
Wah, mahajabu!!mungu ni mwema Kila wakati
@mauwashomari81602 жыл бұрын
Mungu mfufuwe na Mme wangu
@عليمحمدعليعلي-و9ن2 жыл бұрын
Huiiii UMENIFANYA nicheke haki nakusahau shida zangu
@mouwanahamisi82162 жыл бұрын
@@عليمحمدعليعلي-و9ن 😃😃
@aishadjumaphones88772 жыл бұрын
Pol dada
@mauwashomari81602 жыл бұрын
@@aishadjumaphones8877 asante
@shabanikamsawa1812 жыл бұрын
Pole sana my sister mungu akupe moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwako tuzid kumuombea aliye tangulia mbele za haki
@carolineouma15652 жыл бұрын
Poleni jamii ya huo binti
@phubusa20226 ай бұрын
Bwana Mungu amsaidie binti huyo kurudi katika hali yake ya kawaida!
@aminaathumani68322 жыл бұрын
Mungu mukubwa sana sana mashaaaIIaaah 🙏🤲🙏🤲❤❤aIIaaah karimu
@SylvestersLoman3 ай бұрын
😅😮😮😮😮
@joycejoseph15492 жыл бұрын
Poleeee sana binti kwa magumu ulio yapitia mungu ametenda miujiza
@gabrielndungu9122 Жыл бұрын
Akika mungu nimweza ninaimani ata kwangu atatenda
@mrph46452 жыл бұрын
Mungu amlinde
@MaMarthaGaudensiaАй бұрын
Ya mungu mengi ,jaman fanya wepesi na me mwanangu aludi nimemkumbuka Kwa kweli
@KalinkoKingАй бұрын
Hata mimi ningetamani mama yangu arudi hata leo maisha bila mzazi hendi hasa kwa toto wakike mwenyezi MUNGU atuhurumie😢
@edinaedward10822 жыл бұрын
Duh,mmenikumbusha kifo Cha uncle, uncle return if possible
@carolinenakirutimana15592 жыл бұрын
Wachawi mtaangayika siku ya kuhukumia. Jamani naomba wato wote wamludilie Mungu. Maana ufanye uchawiu usifanye, mwisho utafaliki nawewe, tena utahukumia. Kwa upande wangu wachawi acheni binadamu waishi kwa amani
@fkk68532 жыл бұрын
Hapo umesema ndugu ubarikiwe
@sylviermuhonjah84112 жыл бұрын
Huyo aligoma tuu kuja nyumbani leo hii karudi,njoo mfufue babangu kipenzi wanawe tuna miss
@JuliasFrank6 ай бұрын
Pole sana dada wachawi hawanamaana mungu ndokilakitu
@IvetteRashide4 күн бұрын
Mungu unfufuwe mama yangu
@evelynonyancha36163 ай бұрын
Fanya maajabu mungu mama arudi pia
@elizabethmajaliwa51892 жыл бұрын
Ee Mungu watt wangu wote wawili na mi nirudishie angalau mmoja😭
@youngbilioners46312 жыл бұрын
Pole
@ciarmnyone7382 жыл бұрын
Jamaaani.... poleeeh
@khadijandege20362 жыл бұрын
Pole sana ndg
@winipersitemba5872 жыл бұрын
Utampata kwa imani dear
@clarabwakila31362 жыл бұрын
pole sana
@KelvinKivati-qr6xe Жыл бұрын
Wah uyo amevunja rekodi angerudi akiwa bado mdogo
@NyamashekiАй бұрын
Ama kweli mungu yupo pamoja nawe
@kunsulle8862 жыл бұрын
Kuna watu wajifanya wana imani sana ya dini au hujifanya hawaamini kuwa uchawi upo. Ukiwa ktk Kundi hilo la wasioamini uchawi kuwa upo, Ujue ww Huna unacho kijua Toka M/mungu, yaan huna elimu ya dini Bali Unafuata mkumbo tu.
@carolinenakirutimana15592 жыл бұрын
Ucawi upo kabsaaa. Na watumishi wengi waMungu wanajua. Na yesu peke yake anajua kumbukeni ile wakati wale wanaume walimuuliza kama inaluhusiwa kumpa mie talaka . Kuko mustari aliwambia hivi ukimpa talaka lie wako bila kosa ya usinifu na ukaowa mke medicine utakua umezini. Sasa awo wakambia hivi kumbe ni bora mtu asiowe. Yesu awambia si kila mtu ambae anaweza kuowa. Kuko wenye walitoka tomboni oss mama zawo na hawana uwezo kuowa, wengine wamekataa kuowa kwa ajili ya ufalme wa Mungu na kuna wengine wawezi kuoa kwa maana wamerogwa. Sasa huyo mwenye anasema kama ucawi haipo hajapata cha mmtemakuni
@shushu81052 жыл бұрын
@@carolinenakirutimana1559 uchawii upo toka zama zamitume
@lucywakio80392 жыл бұрын
Uchawi upo lakini watu hawataki kuamini.Na uchawi ulikuwepo enzi za Musa na Firauni
@danimark33002 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@vailethkinabo79612 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwamifu sanaa
@JenivaFidelis11 ай бұрын
Hivi ni kweli Mungu Baba tenda na kwangu mwanangu arudi alikufa kifo Cha kutatanisha
@EDWARDZIRO-v2lАй бұрын
hii ni kuonyesha tz kunawachawi sana,je hakufiki mapanga kutoka china?kama yanafika yatumike kama hamwezi njooni mtoe kazi Kenya.
@NeemKulwa-d2q2 ай бұрын
Mungu amsaidie
@DelightfulPenguin-wk4kv9 ай бұрын
Naam twamshauri dada huyo arudi Kwa Mola wake mlezi autubiye na awe mwenye kumshukuru Mungu mno Kwa mijiuza alomwonyesha
@husnatemba73272 жыл бұрын
Mungu acha aitwe mungu
@Joash-m3f2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe sana
@isaacwambua482 жыл бұрын
Waaaa mwenyezi mungu awape maisha marefu❤️
@RahimaMkabajuna Жыл бұрын
Mungu naomba unifunguliee
@evansbirongo14662 жыл бұрын
Pole sana
@FelwusiFelwusiАй бұрын
Poleni jamani ndugu na wale majilani
@ShaniaTweve8 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu
@zuuhdadaa50992 жыл бұрын
Ndo watu waamini kuwa uchawi pia upo maana hapo unafikiri nini kimetumika mpaka akawa hivyo.
@marymary83132 жыл бұрын
Huyo ni wachawi walimjukua na wako hapo ,fikilia mbona anakumbuka Huyo kijana kama classmate lakini akumbuki wazazi ata wamearibu hiyo familia mungu awasamehe
@felistusmasila10886 ай бұрын
Joshua mume wangu rudi tulee watoto wetu jamani na mm pia nashukuru MUNGU
Nyumbani bakamufukuza akambiwa wewe uko muwongoo mutoto wangu ariye fariki kumbee kweriii hivi binafikaaa😭😭😭😭😭😭 sasa hivi nime fahamu kumbe baba yanguu ayuko tanzaniya kwerii sasa na Mimi mungu ataweza kunisayidiya baba yanguu kamuwona
@abidamsomi74602 жыл бұрын
Hatari Sana hyo
@zeinabukanzo96332 жыл бұрын
Mungu a naweza hayo yote, lakini alitoka vipi kwa kamburi? Ama mulimuonea wapi? Lakini mungu atukunzwe kwa hayo
@mathiasmanya71872 жыл бұрын
Mh jamani hilo ni kweli au maigizo
@julietabakali60002 жыл бұрын
Jamani mungu atusaidie
@shamirasenge5224 Жыл бұрын
It's amazing 😢mm sio mjuaji sana ila familiar ya huyu kijana itakuwa ni wachawi wa Evelyn 😢 why awakumbuke wao af awasahau wazazi wake?? Hapa alikuwa msukule wa familiar ya huyu kijana 😢
@aristidesedwardchahemba11622 жыл бұрын
Sio kweli.
@sadndogo Жыл бұрын
Allah Akbar
@salhamrisho81382 жыл бұрын
Uyu mkarimani kasoma mashaa allah
@baya70672 жыл бұрын
Hahahaha 😂
@sheilah224 Жыл бұрын
Alitoka wapi
@BonnySheldonАй бұрын
Mungu ni mwema
@ophryntirnigaprod12632 жыл бұрын
Ongera Mr WAJINA KUTUJUZA yaliyojiri ( swala hili linashangaza Sana , By prod Ophry ,,,
@doricamartin-po1ug Жыл бұрын
Mungu amlinde na kumpa aman tele ktka maisha yake
@SesiliaUlaya11 ай бұрын
Katuni
@SesiliaUlaya11 ай бұрын
Swipe left or right to deleteLong press to edit Locck
@paulkiragu45262 жыл бұрын
alikua anakuja namba moja Kwa Shure hiyo dio shida wivu ikatawala
@roselineonyango31592 жыл бұрын
Huyu Binti apelekwe kanisani, akafanyiwe maombi kabisa akombolewe kutokana na hayo maovu aliye wekewa Kwa maisha.
@marylynwairimu81312 жыл бұрын
Kama Ni kufufuka mungu afufue cuzo yangu
@daudpiason33022 жыл бұрын
Keep on going WajinaTv Hiyo Ni Nyakitonto naifahamu 😂😂😂
@juliejulie87042 жыл бұрын
Daah kachukuliwa msukule huyo na ana bahati hajakatwa ulimi mchawi sio mtu
@lucasmichael30952 жыл бұрын
Jamani mulifanyaje mpaka akapatikana
@monicahachieng8232 жыл бұрын
Surely huyo binti kama aliaga akiwa class two aje anarecall hawa kama maclassmates wake NOT true semeni ukweli
@johariwema5272 жыл бұрын
God is good
@Job001Odera2 ай бұрын
Mungu yupo lakini alitokaje ndani ya kaburi, ama alipotea tu. natamani sana jibu..
@HappinessAhia-ey1lqАй бұрын
Inawezekana ndugu yangu. Mungu ni yote juu ya yote.
@zeinabmabeka18302 жыл бұрын
Mbona majabu mtoto wa miaka 10 anakumbuka classmate lakini asimkumbuke mama mzazi
@fatmag89832 жыл бұрын
Namm nashangaa
@suburamwaipaja59712 жыл бұрын
Ata mm nimewaza kama wewe miaka kumi unakuwa na kumbukumb
@zinabal-dubae35512 жыл бұрын
Unaweza kukumbuka saana tu kama wanafunzi tunawajua kuliko mtu mwengine
@AisaMinja-cd1ln8 ай бұрын
16:39
@SalvatoryLeonce8 ай бұрын
Alikua anadeti nae bhna
@angelmlay884 Жыл бұрын
Ndio mwisho wa dunia embu afufuke mama angu
@evrardkaneza9252 Жыл бұрын
Yesu ni mwema
@marymfugwa8472 жыл бұрын
Sasa mnamziba wa nini?
@OmmyDizzo-og3ho4 ай бұрын
Jaman wachawi mna Nini hebu acheni kutesa watu inasikitisha sana jamani pole sana jamani
@MARYNAGUJustin2 ай бұрын
God is everything
@zurahbuteme42542 жыл бұрын
A unbelievable but she looks like her mother
@sweetbethcharles37762 жыл бұрын
aisee hiyo family ya huyo kijana waulizwe vizuri coz haiwezekani huyo binti awasahau watu wote mpaka wazazi wake afu awakumbuke na kuongea na family ya huyo kijana tu
@munamuna74882 жыл бұрын
Kumbe watu wanachukuliwa km baba angu wamemchukua bac Allah mulejeshe
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Amyn🤲 pole omba dua
@giselalibota81092 жыл бұрын
Basi Mungu mufufule wazazi wangu
@DamaDama-s6q Жыл бұрын
Si kweli
@nyandah-hk1gm Жыл бұрын
Haya ni maajab by nyandah kasongi
@NeymantBoyАй бұрын
hakumbuk mtoto alimuona lini hakusom mmemuelewa😢😢😢😮😮😮